Shekh Suleyman Kilemile ajibu mashambulizi (SEHEMU YA KWANZA)

  Рет қаралды 74,624

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

Пікірлер: 209
@calacoswailer629
@calacoswailer629 5 жыл бұрын
Allahu Akbar - Tunakushukuru Sheikh kwa kuwatoa taka za masikio wengi na kututanabahisha kwa ya sawa na umoja kama Waislam tanzania na duniani - Baarika llahu fiik. Shukran Jazeelan
@asinakassim1548
@asinakassim1548 4 жыл бұрын
Innalillahi wainna illaihi Rajioun....yaaaa Rabbi...pumzika kwa amani sheikh wetu kipenzi chetu Hakika nyoyo zinahuzunika machozi yanadondokwa na machozi ila tunanyanyua mikono juu na kumuomba Allahu Kareem akulaze Pema palipo nawema🤲🤲🤲🤲
@swediali6567
@swediali6567 2 жыл бұрын
Baraka fill umri 🤲🤲 inshaallah shekhe Kilemile
@aliyhassan9113
@aliyhassan9113 4 жыл бұрын
Allah akurehemu Shekhe Kilemile. Nimefurahi sn juu ya mada yko kuwa Mashekhe baadhi yao hawachungi adabu za elimu kiasi ambacho wale mambumbumbu huwa tunafata mkumbo tu
@alhadhaji5086
@alhadhaji5086 5 жыл бұрын
Masheikh wa tz wengi wanatumikia mfumo kirsto kazi walopewa ni kuwagawa Waislam wa kweli ili wasijitambue na wasielewe Jukumu lao kama waislam. Masheikh wengi wako ndani huwasikii kusema. Wanamuachia Ponda pekeake. Wengine ni Kujikomba tu kwa makafiri wapate Maslahi yao. ALLAH Ampe umri mrefu Sheikh Ponda.Waislam jitambueni tuachane nao hao Masheikh Taasisi
@athumanmohammad5052
@athumanmohammad5052 5 жыл бұрын
Allah awajalien mkimaliza mivutano yenu ya msimu naomba mvutane kuhusu watoto wetu jinsi ya kupata elimu yao ya dini maan kuna makusudi ya kuwa chelewesha mashuleni ili wasipata nafasi ya kwenda kusoma dini ambayo ni haqi yao kwa ajili ya Maisha yao ya akhera
@ustrama8611
@ustrama8611 5 жыл бұрын
ni kweli kabisa umenena ulivyo ndivyoo
@abuuhamzafadhil5755
@abuuhamzafadhil5755 5 жыл бұрын
Athuman Mohammad we unaumwa kweli jukumu la mwanao ni la masheikh?
@princeshurem9575
@princeshurem9575 5 жыл бұрын
@@abuuhamzafadhil5755 ikiwa wao ni kizuiz jukumu lazm liwe kwao
@sadickchimbindo6841
@sadickchimbindo6841 5 жыл бұрын
mashehe nyinyi muko hapo mulipo kwa masilahi ya dini au tamaa yenu ya kutaka kujipatia kula kama munapingana kwanini musikae pamoja na kuludi kwenyevitabu na kujuwa ukweli sisi waislamu tunachoka na poloponganda zenu
@ayububakari9942
@ayububakari9942 5 жыл бұрын
@@abuuhamzafadhil5755 we inaonekana bado mdogo na hauna mtoto ambaye anasoma shule na kucheleweshwa madrasa kwa kuzuiwa mashuleni wiki nzima ispokuwa jumapili pekee!!! We huna mtoto na kama unayo wala haumii anavyocheleweshwa huko maschool
@mohamedalbaiti1423
@mohamedalbaiti1423 5 жыл бұрын
Sheikh nimekuelwa vizuri huongei kwa makelele jazaka laah kheir
@kawelasaidi502
@kawelasaidi502 5 жыл бұрын
msmamo huu ungeelekezwa kwa masheikh wetu walioko gerezani
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 5 жыл бұрын
Shekh nilikusikia ukisema masuala haya hayana khitlafu yoyote tena unazungumza kwa kinywa kipana nakusema huogopi mtu tena leo unabadilisha nakusema yanakhitlafu Subhana LLAH
@jumaakhalfan485
@jumaakhalfan485 5 жыл бұрын
Radhi za shekh wake zina muadhirisha mbele za watu
@abuutheymiin5498
@abuutheymiin5498 5 жыл бұрын
Jumaa khalfan, Hakuna radhi wala baraka za sheikh katika uislam,, someni dini enyi wajinga! Dini hii aliyetumwa na Allah kufikisha ujumbe wake ni Mtume swalla llaahu a'laihi wasallam na sio masheikh zenu wa bidaa hao السنة سفينة نوح من ركبها نجا ومن تخلف عنها غرك!
@sabraham5308
@sabraham5308 5 жыл бұрын
@@jumaakhalfan485 wacheni kuburuzwa na masharifu feki,Allah ndio wa kufuatwa na quran,na sunna za mtume Muhammad SAW,na masahaba zake,dini keshaikamilisha muumbaji wa kila kitu,kila mja atalipwa kwa mtihani wake na alilolichuma,tuifuate haki,shetani asikuchezeeni.
@sabraham5308
@sabraham5308 5 жыл бұрын
@@jumaakhalfan485 sheikh Sleiman anaifuata haki.
@feisalkeah899
@feisalkeah899 5 жыл бұрын
@@sabraham5308 Bro'.. Pliz, fafanua.. Nasurudin Albany, Ibn Taymiya ni masheikh au Mitume?
@iddramadhani2715
@iddramadhani2715 5 жыл бұрын
Mashaallah, Shekhe una busara sana na hekma na ndio dini ya haki inavyoelekeza, hivyo ww unafuata tabia za Rasulillah na wengine tunapaswa kuiga.
@shammusfredy4158
@shammusfredy4158 5 жыл бұрын
Wewe uliijuaje tabia ya Mtume محمد صلي الله عليه وسلم
@iddramadhani2715
@iddramadhani2715 5 жыл бұрын
shammus fredy, swali halina mantiki hilo, Ila nakujibu tu tabia ya mtume tunaijua kwa kumsoma kupitia kitabu kitukufu ambacho ni Qur-an tukufu.
@shammusfredy4158
@shammusfredy4158 5 жыл бұрын
Sheikh Iddi, Ayaa gani Ktk Quran inayozungumzia tabia ya Mtume
@ahmadsalim4417
@ahmadsalim4417 4 жыл бұрын
@@shammusfredy4158 kwamba ww quran nzima hujauona aya inayo msifu mtume kwa tabia njema? Au unataka tuyh kuanzisha mjadala usofaida???
@pekomisegese7724
@pekomisegese7724 5 жыл бұрын
UKO SAHIHI SHEIKH LETU KILEMILE ALLAH AKUHIFADHI KWANI MU WACHACHE MFANO WAKO. NA TUMEELEWA WAISLAMU KUWA KUNA WENGINE HAWAUTAKII MEMA MSHIKAMANO WA WAISLAM. ALLAH AKULIPE KILA LAKHERI.
@salehally8007
@salehally8007 4 жыл бұрын
Mashallah yani ndio kwanza namuona huyu shekh anozungumza kilillah
@kassimwatuta4149
@kassimwatuta4149 4 жыл бұрын
Allah amjaalie kher ampe nuru ktk makazi yake
@sabraham5308
@sabraham5308 5 жыл бұрын
Bartakallahu feekum,leo sheikh umezungumza mambo ya haki,tena yenye hekima kubwa na busara,na imani haswa waislamu tunatakiwa tuwe vipi ,Allah ajaaalie iwe ndio ufunguo wa kuleta heri kwa waislamu,nakubali kwamba,uislamu ni madhehebu manne makubwa,lakini yanayowauma ukiyasema hayo,na hao ndio wanaofurahia na katika hao,ndio wachochezi wakubwA na kufurahia.
@athumanmohammad5052
@athumanmohammad5052 5 жыл бұрын
Mkimaliza mivutano yenu ya msimu naomba mvutane kuhusu watoto wetu jinsi ya kupata elimu yao ya dini maan kuna makusudi ya kuwa chelewesha mashuleni ili wasipata nafasi ya kwenda kusoma dini yao
@salumkatula4824
@salumkatula4824 5 жыл бұрын
Alhamdulillah Nimepata kuelewa vyema Barakah llah fyika ya sheikh
@wilkymaclink2444
@wilkymaclink2444 5 жыл бұрын
Salum Katula xbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbb
@wilkymaclink2444
@wilkymaclink2444 5 жыл бұрын
Salum Katula nnbbbbbbbbbbbxxxxxxxxxxbbbbbbbbbwwwwwú 😅💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖♏♏♏♏♏💖😓😻
@khalfanhashil7006
@khalfanhashil7006 5 жыл бұрын
Jamaniii mtume Muhammad s.a.w amesema fungeni kwa kuona mwezi na fungueni kwa kuona mwezi maeneo yetu hatukuuona mwezi vp nifunge kwa kuusikia mwezi sehemu nyingine il hali kwangu sijauona kwa hio siwezi kufunga masiku kumi ya dhulhijja hutoka mwezi nikiuona nitaufunga sitofunga tupunguze ikhtilafu zisizo na umuhimu tushkamane katika dini
@mohamedyahya1677
@mohamedyahya1677 5 жыл бұрын
Zamani mwezi ukionekana ARUA - UGANDA ama LAMU - KENYA na ama NACHINGWEA - TANZANIA twatangaziwa kwenye vyombo vya habari na maspika barabarani twafuata, lkn leo hali ni tofauti. Mwezi uonekane hata MOMBASA sikuambii KIGOMA bado twaambiwa hatujauona mwezi. Kwani huu mwezi mpaka uonekane wapi (ama Daressalaam tu) ndio uwe umeonekana???
@alibabu4818
@alibabu4818 3 жыл бұрын
Sio kweli mtume hawajawahi sema maneno hayo
@nilamlenga3581
@nilamlenga3581 5 жыл бұрын
Ktk mashekh nimewaelewa huyu alhamdulillah Allah amlipe kila la kheir
@abuibra
@abuibra 5 жыл бұрын
KHERI INSHAALLAH TUTAFUNGA SIKU YA ARAFAA TUSIO KUA HAJI NA TULIOKUA HAJI TUTA FUTUR.MAQBUL YA SHEIKH.
@hamaadmmbarouk1389
@hamaadmmbarouk1389 2 жыл бұрын
ما شاألله
@kifigimuzamus3604
@kifigimuzamus3604 5 жыл бұрын
ALLAH awalipe mkimaliza haya mlio yaona yana muhm sasa ludini kwa masheykh wenzenu walio onewa na kuwekwa vizuizini ili tuungane pia ktk hili la msingi linalo tububujisha machoz vijana wa kiislaam
@abuuaisha9095
@abuuaisha9095 5 жыл бұрын
Allahu musta'an...!!! Shaikh umeleta maneno mengi lakini ufahamu wako ni mdogo Sana katika din sahih ya Uislam..!! Huna ufahamu sahih wa din ya kiislam..!! Hakuna umoja katika uislam km aqiidah si sahih...!! Rudi ukasome diin yako kwa usahihi..!! Maana unachojua ni kiarab.. Lakini diin ni msiba..!! Allah akuongoze..!!
@SophiaJumbee
@SophiaJumbee 7 ай бұрын
Huna adabu wewe mtoto huyu shekhe wewe humjui pia hujui mchango wake ktk dini hii enzi ya uhai wake Allah amrehemu
@mohamedsalim7220
@mohamedsalim7220 5 жыл бұрын
Shkh kilemile baarakallahu feek
@chagogegereka2889
@chagogegereka2889 5 жыл бұрын
Enyi ndugu zangu waislamu Na kuusieni pamoja Na kuihusia nafsi yangu, chukueni hoja za mashekhe Na kuzifanyia kazi, hoja ya sheikh utakae muelewa wewe ifuate, tuacheni kushabikia dini kama vyama vya siasa Na mpira,
@maulidimsangule8980
@maulidimsangule8980 5 жыл бұрын
Chago Gegereka swadakta
@farhatfatma12
@farhatfatma12 5 жыл бұрын
Inasikitisha sana kuwaona viongozi wetu au masheikh wetu wakilumbana kila siku. Kwangu mimi nyote nawachukulia ni watu dhaifu.
@rashidabeid172
@rashidabeid172 5 жыл бұрын
Sheikh waislamu tunachangia maendeleo ya nchi kwa kulipa kodi sheikh
@mrangi4454
@mrangi4454 5 жыл бұрын
Sheikh hilo uko sawasawa kabisa MashaAllah
@MohamedAhmed-ix3mf
@MohamedAhmed-ix3mf 4 жыл бұрын
Bahut acha hai
@deathrow8004
@deathrow8004 5 жыл бұрын
NIMEKUELEWA VILIVYO ASHEYKH..
@abdunur4585
@abdunur4585 5 жыл бұрын
Kisha niwalete niwahukumu kwa yale mliyokuwa mkihitlafiana kwa ajili yangu. ( ASEMA ALLAH SWT.) Sisi vigogo ni kufuata tu.
@zaidevarist8525
@zaidevarist8525 5 жыл бұрын
mwanzo ulisema na sio ulisema bali mlisema sababu mlikuwa watano, tena mlisema funga ya arafa haina totauti kwa wanazuoni wa mwanzo hadi wa mwisho wao,leo unakuja kutuambia funga ya arafa ina tofauti ina maana hicho kitabu cha Qurtubi umekipata jana? pili unahubiri wanazuoni kuheshiamana na kutumia lugha ya staha wewe uliposema huo ndio msimamo wako na humuogopi yeyote hiyo hiyo ni lugha staha na ya kiuanazuoni? unayoyasema bado yanampa sapoti shk.Mohammed Iddy
@junhanbabu1218
@junhanbabu1218 5 жыл бұрын
MUNGU akupe afya Inshaa, AlIa
@amanabdallah9745
@amanabdallah9745 5 жыл бұрын
Tatizo la waislamu waliowengi wana elimu ya dini ya kusikiliza kuliko kusoma, Tunagombania vitu visivyo na maana tunaacha vyenye maana. Utakuta mwislamu hafanyi vitu ambavyo hatuna hitilafu kama swala tano unakuta mtu anashupalia vitu visivyo na maana kama iddi,maulidi,na khitima
@ksmally1985
@ksmally1985 5 жыл бұрын
Umesema kweli sheikh Waislamu wengi hawajui dini yao
@aishasaid5702
@aishasaid5702 5 жыл бұрын
Kweli na ndomaana nguvu ya uislaam imepotea dunia nzima tunaonewa tunapigwa
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 5 жыл бұрын
Sheikh kaamua kujirudi ndo inavotakiwa mungu akusamehe makosa yako
@othersolutions8939
@othersolutions8939 5 жыл бұрын
Hajajirudi ameeleza jambo lilivyo tuacheni kufuatajambo kiushabik
@yassinmmbwera9273
@yassinmmbwera9273 5 жыл бұрын
"Mashambulizi" Sio neno zuri kwa Mtazamo Wang.
@mrangi4454
@mrangi4454 5 жыл бұрын
Tatizo masheikh bakwata wanawapangia kwa masilahi ya mfumo kristo
@kijhakhamisi5949
@kijhakhamisi5949 5 жыл бұрын
Bakwata sio hoja leteni hoja za kiilmu mkileta hoja hio hata saudia wapo chini ya wamarekani je wamerekani ni mfumo gani kama sio mfumo kristo acheni ushabiki wa kipumbavu.
@zamuraahhowai2558
@zamuraahhowai2558 5 жыл бұрын
Mwahawanya uslamu nyinyi ma shekheh mwapatiya watu faida
@doemusa9977
@doemusa9977 4 жыл бұрын
Asante shehe kilemile rip
@neemafatu7885
@neemafatu7885 5 жыл бұрын
Yani mashekhe mnapoteza muda kugombania misimamo mnaacha mambo muhimu na ya msingi mengi. mbona hamgombani kuhusu mashekhe wenzenu walioko magereza? Mnaogopa nini? Kazi yenu kuwapa mpenyo makafiri ili wajuwe hampo pamoja wakumalizeni vizuri.YAANI MNANIKERAAAAAA!
@ambrosiamlinga8402
@ambrosiamlinga8402 4 жыл бұрын
Kafiri ni nani
@allyarfaja9479
@allyarfaja9479 5 жыл бұрын
Mwanzo ulisema huu ndoukweli nasimuogopi yoyote Leo umeguswa kidog ndio wajua hayo
@uledihassan6065
@uledihassan6065 4 жыл бұрын
Bado yupo katika msimamo wake
@showfive4413
@showfive4413 5 жыл бұрын
LEO UMEPOOOOA KABISAAAA HUNA MUPYAAAA... WEWE ULIPOTOKA KUSOMA MAKKAH ULIPORUD TZ UKAMWAMBIA SHEIKH WAKO HUWEZ KURUD KWENYE MADRASA YAKE MAANA WEWE UNAJUA SANA KULIKO YEYE NA KAMA UTARUD KWAKE BAS UWE MKUU WA CHUO.. SHEIKH AYOUB AKAKUSHANGAA NA AKAKUPA MANENO MAGUMU NASASA EFFECT ZINAONEKANA
@muhsinmwambule9435
@muhsinmwambule9435 5 жыл бұрын
Ni kweli alidiriki kusema haya?
@saidiahamadi4410
@saidiahamadi4410 5 жыл бұрын
Bakwata wanatupotosha waislam hawaongei ukweli japo kuwa jambo wanalijua
@mifausnastij9227
@mifausnastij9227 5 жыл бұрын
Hivyo kakosea heshima mwalimu wake bali na radhi pia.
@rashidhemed1212
@rashidhemed1212 5 жыл бұрын
Unasema hayo baada kumsikia shekh mbaraka uwesu
@mohamedkilemile3058
@mohamedkilemile3058 5 жыл бұрын
She Awes ndo nani, Sheikh Kilemile anaongea maneno haya more than 20 years, labda wewe humjui vizuri
@centralzonetvtanzania7313
@centralzonetvtanzania7313 5 жыл бұрын
Ngoja tusubiri hiyo part two maana hadi sasa kaonyesha jinsi Imam qurtubi alivoonyesha kua kuna khilaf kwa mahujaj kufunga ama kutofunga hilo la wasio mahujaji kufuata makka bado sheikh hajaelezea ngoja tusubiri part two
@mwanawamrima6138
@mwanawamrima6138 5 жыл бұрын
Wewe kweli ni mwanafunzi mzuri Allah akubariki na akuzidishie fahamu inshallah.
@jamalbahdela524
@jamalbahdela524 5 жыл бұрын
Ikhtilafu ipo katika miandamo ya mwezi, ktk swaumu ya arafa hakuna ikhtilafu kwn wote mnajua kuwa swaumu ya arafa ilianza kabla ya hija na watu walifunga trh 9 Dhulhija kwa muandamo hakukuwa na watu wanaosimama uwanja wa arafa, rudini kwny mstari na huu ndio uadilifu Na ungejua ni jambo dogo usingeng'a ng'ania msimamo wako ambao si sahihi
@yassinmmbwera9273
@yassinmmbwera9273 5 жыл бұрын
Mimi naamini hakuna Sheikhe wakarne hii anayetunga. Hawa wote wananukuu kupitia Maimam mbali mbali. Mimi nafikiri sisi maamuma tusipanik.
@jumaakhalfan485
@jumaakhalfan485 5 жыл бұрын
Unamukhaalif shekh wako Mohamad Ayubu kwa matamanio ya Kilimwengu Mungu anakuona huna itofauti na mashekh wengine wa Kiwahabi
@TheIslam1681_
@TheIslam1681_ 5 жыл бұрын
Kumkhalifu shekhe na kumkhalifu Mtume Muhammad (swallallahu alayhi wasallam) yupi atakua ktk hatari ya kutumbukia ktk shimo la moto?
@humudmarhoon8044
@humudmarhoon8044 5 жыл бұрын
We kweli fala imam shafii alimukhalif imam maliki pia hivi vitu vipo... angalizo fala si tusi
@saidnyonzo850
@saidnyonzo850 5 жыл бұрын
HAPO KUNA KOSA KIDOGO SHEIKH WANGU UISLAM UNA MADH HAB MENGI, SIO MANNE KAMA ULIVYOSEMA
@othersolutions8939
@othersolutions8939 5 жыл бұрын
Tatizolako umesikiliza kiushabik ebusikiliza kwakumuelewa
@ahmadsalim4417
@ahmadsalim4417 4 жыл бұрын
Mue mnaskiliza kwafaida nasio kuskiliza kwakusubir mtu akosee ili mumkosoe ni wapi shekhe kasema madh'hab ni ma4 tuyh???? Kasema madh'hab ni mengi lkn yenye nguv kwa sasa ni ma4 acheni ushabiki dini haiend ivyo
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 5 жыл бұрын
Allah akuhidi
@fatmazenafzena917
@fatmazenafzena917 5 жыл бұрын
Ombi langu kwenu mashekh..kaeni chini pamoja mjadili kisha mkishaafikiana ndio mtoe hadharani....sbb hivyo mfanyavyo ni sawa na kushindana kila mmoja anajiona yy yupo sawa
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 5 жыл бұрын
majibu sahihi ya suala hili wanayo mmashekh waliosoma na wao wapo magerezani huko . mm nawashaur ninyi wenye elimu papatupapatu fanyen harakat kuwanusuru wenzetu huko magerezan vingnevyo Laana ya Mungu itawafkia sana tu hamtapata upatano hata mara moja juu ya suala hili. maana wezetu huko maabusu hatujui wanaomba dua gan zid yetıu Ebu weken mijadala ya namna gan ya kuwanusuru wenzetu huko maabusu / magerezan wakitoka hao tu majibu sahii ndo watayatoa vingne hakuna lokote 7b zhamuona mwenye majibu sahihii hapo
@athumanitanuke6795
@athumanitanuke6795 5 жыл бұрын
Viongozi kaeni pamoja na sio kutuyumbisha tu sis waaumin Dunia a Tanzania moja kwa nin Eid huwa mbili viongoz mjatafakari
@jumannejacksoni483
@jumannejacksoni483 5 жыл бұрын
Busara ni kuingia darasani ukasome ili usichanganywe
@maalimrajabu1634
@maalimrajabu1634 5 жыл бұрын
Masheikh zetu mnafeli wapi mbona wenyewe kwa wenyewe mnazozana?
@shahamzanda5857
@shahamzanda5857 5 жыл бұрын
Dini tunaigeuza kuwa hadithi badala ya kuitekeleza kama alivyoamrisha Allah taala. Ipo siku kila mmoja wetu atajibia alichokieleza kwa wengine
@zainabkhatib6509
@zainabkhatib6509 5 жыл бұрын
MashaaAllah
@jumaakhalfan485
@jumaakhalfan485 5 жыл бұрын
Kilemile unajichanganya hvi huoni hata unachosema hakielewek kwa sabab unakwenda vibaya na mashekh wako
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 5 жыл бұрын
Mche Allah pia rejea darasani
@omaryibrahim1504
@omaryibrahim1504 5 жыл бұрын
Shekh hunajipya majiyamewafikashingoni mpaka haujui unaxhokixema
@Rukaka_jr
@Rukaka_jr 4 жыл бұрын
Wasomi ambao Allah kawapa elim yenye manufaa na maneno yao yanaish ALLAH akurehem sheikh kilemile sio kama huyu abu iddi ni chizi hafai hata kuongoza watu yan anachuki zake binafsi na sheikh kishk
@abuutheymiin5498
@abuutheymiin5498 5 жыл бұрын
Jumaa khalfan jambo la dini msingi ni kufata quran na Sunnah na sio kumfata sheikh akhy, kwani Mtume na sheikh wako nani amepewa nafasi ya kuufundisha umma huu, acha ushabiki.
@kijhakhamisi5949
@kijhakhamisi5949 5 жыл бұрын
Kasome tena .
@abduhamzasungura1642
@abduhamzasungura1642 5 жыл бұрын
Arafa Zipo 3 Yakwanza Mwezi 9 Tunatakiwa kufunga Mwezi 9 Siyo Kisimamo Cha Mahujajai Aaa Tunatakiwa Sooote Ulimwenguni Bila Ya kujali Wapi Wala Wapi Maafam Katika Nchi Yako Ni Mwezi 9 Ndiyo Arafa Yako Ishafika Hiyo Kama Ilivyo Mwezi Kumi Na 11 Ashura ukifika Huulizi Misri Wala Saudi Alimradi Nchini Kwako Ni Mwezi 11 Ashura Fuga Na Malipo Yale Yale Na Arafa Ya 2 Mtume Mohamed S W A Kawaammbi Mahujaji Aliye Kwenda kuhiji Na hajafika Akwe Viwannja Vya Arafa Huyo Hana Hijja mfano Umekwenda Msikitini Kuswali Ijumaa Halafu Wakati Wa Swala Hujasimama Kuswali Unaondoka Zako Hapo Utahisabika Kwamba Umeswali Ijumaa Na Kupata Fadhila Za Ijumaa? Hupati Ndiyo Mtume Akawaambiya Mahujaji Lazima Wafike Viwannja Vya Arafa Ndiyo Ukamilifu Wa Ibada Yao Waliyo Itolea Mali Zao na Arafa Ya 3 Vile Viwannja Wanavyo Kwenda Kuhitimisha Ibada Yao Lahujaji Vinaitwa Ni Viwannja Vya Arafa Mfano Kama Kiwannja Vya Biafra Au Gaden Au Kwa Mkapa Taifa Au Mau Au Amani Znz Hivo Viwannja Ndiyo Vinaitwa Viwannja Vya Arafa Na Haruhusuwi Hujaji Kuingia Ila Wakati Maalum Mfano Kombe La Dunia Linachezwa Nch Fulani Na Kiwannja Fulani Lakini Kuna Muda Maalum Wakuingia Kwenye Kuwannja Hicho Kwahiyo Arafa Ni 3 Ya 1 Mwezi 9 Na Yapili Anaye Itwa Allhajj Lazima Awe Amefika Arafa Na Ya 3 Hivo Viwannja Vivyo Mpa Uhalali Wa Ushindi Wake Khujjaj Wa Kusamehewa Dhambi Zake Zote Na Kukabiziwa Kikombe Cha Ushindi Wa Mafanikio Yake Ya Khija Yake Aliyo Itolea Mali Yake Na Sisi Wa Mwezi Tuliofunga Mwezi 9 Tunatunukiwa Mwaka Mmoja Ulio Pita Tuna Futiwa Zambi Zote Na Mwaka mzima Mbele Tunafutiwa Dhambi Zote Haijalishi Umeamka Ukakuta Mahujaji Hawapo Viwannjani Maadam Ni Mwezi 9 Unasamehewa Tu Mbona Hamzozani Usiku Wa Cheo Usiku Unao Patikana Kumi La Mwisho Ka Ramadhani Usiku Wa Lailatull Qadiri Wengine Tumekesha Tuu Pate Wengine Mchana Kweupe Sisi Tunapambazuka Afajiri Tunakwenda Makwetu Kupumzika Baada Ya Mkesha Na Tunapongezana Kuupata Wenzetu Ndiyo Usiku Wanautafuta Sasa Hapo Nani Kaupata? Jibu Sote Tumeupata Na Allah Ndiyo Mlipaji Na Wala Siyo Mchoyo Amesema Niombeni Nitakupeni Walo Lala Wameupata Na Walio Amka Pia Wameupata Allah Karim
@kassimumnape3627
@kassimumnape3627 2 жыл бұрын
Hujitambui wewe
@mohamedalbaiti1423
@mohamedalbaiti1423 5 жыл бұрын
Maimam 4 wakubwa walikuwa na ikhtilaf sio kitu cha Leo ikhtilaf kwenye dini ni neema ikiwa tutafata atabu ya kutofuatiana mimi huyu sheikh ni Mara ya mwanza kumsikia mawaidha yake nimeyapenda na kama sikuyapenda nitayaacha na nitafuta mengine hio ndio neema ya kutofuatiana msiingie kuwatukana masheikh.
@akthammuhammad7844
@akthammuhammad7844 5 жыл бұрын
Sheikh Adabu munafaa mujue nyie mwanzo mkanyeni Parpet Nurdiin kishkii.
@saidimpako5186
@saidimpako5186 5 жыл бұрын
hauja jibu
@saidnyonzo850
@saidnyonzo850 5 жыл бұрын
Saidi mpako hana jibu àtajibu nini
@الزغويالزغوي-ض3ن
@الزغويالزغوي-ض3ن 5 жыл бұрын
NINACHO KISHUKURU NI KUTANGULIZA KUA : NI SUALA LA KHITILAFU NA KUONESHA KUWA KUMBE NI UONGO MKUBWA WALE WANAO SEMA KUWA HIZI KHITILAFU ZIMELETWA NI MABAKWATA KUMBE SIYO KWELI SHUKRAN
@hassanmambomambo8442
@hassanmambomambo8442 5 жыл бұрын
Shekh kilimile ata SHEKH wako Muhammed ayub anajuwa arafa kuna IKHTILAFU tatizo je tufate muandamo kama walivyo fata hao Mashekh wa karne ya sita au tufate wakrne hii? Hiyo ndio hoja muhimu ambayo mwanafunzi mwenzio shekh Muhammed idi
@allyathumani8991
@allyathumani8991 5 жыл бұрын
Msikilizeni vzr huyu shekhe wenu ! Hivi ni kweli waislam hawana mchango wowote wa kiuchumi kwenye Taifa hili ? Duh kweli tunao mashekhe
@shufaamnyoty5626
@shufaamnyoty5626 4 жыл бұрын
Hana maana kuwa hatuna mchango katika nchi hii ana maanisha nguvu nyingi tunatumia kubishana katika mambo madogo madogo tuangalie faida na hasara za mabishano hayo. Ni kweli tunalipa kodi basi hiyo inatosha kuwa tunachangia uchumi wa nchi?
@omaryramdhani9823
@omaryramdhani9823 Жыл бұрын
Huyu alibugi step kwa tamaa MUNGU amsamehe, kwani alimkiuka hata shekhele SHAYKH MUHAMMAD BNU AYYUUB ALKAMAADHIYYI bila hoja za msingi.
@mohamedsalim7220
@mohamedsalim7220 5 жыл бұрын
Kwa faida ya umoja na adabuk ikhtilaaf vitu viwili ahammaani
@amanabdallah9745
@amanabdallah9745 5 жыл бұрын
Bakwata liache kutaka kuwaamulia waislamu mambo yao, liwe kiunganishi kwa taasisi zote bila kujali huyu anatokea taasisi gani. Viongozi nadhani hawajajua lengo la kuanzishwa baraza,
@ramadhanimohamedi995
@ramadhanimohamedi995 5 жыл бұрын
We umesoma ilaunamsimamo ndotatizolako umuogopi yoyote ulisema sasa leounajisafisha kwanani
@mifausnastij9227
@mifausnastij9227 5 жыл бұрын
Amebadili msemo/kauli na hivyo anawababaisha wanafunzi wake.
@abdillahabdillah7850
@abdillahabdillah7850 5 жыл бұрын
Umekiri kwa kinywa chako kwa kusema (Alhaju Arafa sasa mbona tena unakubali ziko hitilafu ?
@aminruga429
@aminruga429 5 жыл бұрын
Abdillah abdillah ujielewi pole sana
@abdillahabdillah7850
@abdillahabdillah7850 5 жыл бұрын
@@aminruga429 uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo Mungu akusamehe
@aminruga429
@aminruga429 5 жыл бұрын
Mola akusamehe we we unaejitia majukumu ambayo siyako elmu una ukusoma then warekebisha MTU alosoma jiandae na maswala mbele ya mola kaka usione unasema yataisha APA APA unangojwa n mola ukaulizwe elmu yako kiwango chako n kipi mpaka ukajivisha taji LA kuwarekebisha mashekh zake
@abdillahabdillah7850
@abdillahabdillah7850 5 жыл бұрын
@@aminruga429 simrekebishi nashangazwa na kauli sake tata sasa kama wewe wamuona ni malaika usilazimishe watu kua na adabu japo kidogo
@aminruga429
@aminruga429 5 жыл бұрын
@@abdillahabdillah7850 tatizo waona lakini ujui wataza mini mana uyu shekhe amekopi kutoka kwa wanazuwoni tofauti kisha anapesti kwa you tube na akuna kauli take hatamoja apo yote amekopi ama umuoni anaangalia karatasini sasa utata umetoka wapi?ndo nakuambia elimu ya kuwarekebisha wanazuwoni huna na utokua nayo na akuna alonayo mana in watu wamepatiwa elimu na mola watufikishie Lakni najua tatizo lako wala untii tumbo joto ila jiandae na maswali kwa mola SKU ya kiama usione nsifaa kaka
@ahmadazubeir5112
@ahmadazubeir5112 5 жыл бұрын
Tatizo kubwa ni kujièlewa
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 5 жыл бұрын
kawela said ww ndo ıngefaaa sana kuwa shekh maana unaupeo mkubwa sana wa kifikra cıo ALAFA
@darweshilacha3019
@darweshilacha3019 5 жыл бұрын
Shekh hueleweki wew sindoulisema hamna arafa mbili unasema wanazuoni wa zama hizi wamekubaliana yakuwa arafa nimoja hamna khtilafu sasa leo mbona kama vile umetumwa kuja kutengua kauli yako? Mbona huna msimamo sasa tufuate lipi kutoka kwako?
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 5 жыл бұрын
Huyu ni njaa
@mugwegwe
@mugwegwe 4 жыл бұрын
Wewe Darweshi Lacha nikatika watu awana adabu kwa Ma Sheikh zetu . Yote anasema Sheikh Suleyman Kilemile ni sahih alafu kuwa makini saaaaaana na utovu wako wa adabu . Sheikh Suleyman Kilemile nikatika wanazuoni ambao wanaelimu saaaaaaaaaana
@tibakisunnahnaasili6250
@tibakisunnahnaasili6250 5 жыл бұрын
Kiboko yao
@khamissalum9285
@khamissalum9285 4 жыл бұрын
Kwann mashekhe hamupendani maana munatafuta umarufu aw nini hem jifunzen hekima
@abufauzan9417
@abufauzan9417 3 жыл бұрын
Umaarufu gani sasa wakati yy nimaarufu toka zamani aache kusema ukweli kisa tu sheikh wako unaempenda asikosolewe somadini
@jaffarmguwa5566
@jaffarmguwa5566 5 жыл бұрын
Tatizo bakwata wameshakumeza
@dullahkizigo4401
@dullahkizigo4401 5 жыл бұрын
Shekhe unaichukulia sunna ya kufunga siku ya arafa ni km kitu cha kipuuzi vile unavyosema hujui au umesahau km sunna hiyo fadhila zke unasamehewa madhambi ya mwaka mmoja na uliopita na utakao kuja,ninegundua unaongea ukiwa km na jazba sana au chuki ALLAH ATUPE MWISHO MWEMA
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 5 жыл бұрын
Sijaelewa
@abdulahirashid5545
@abdulahirashid5545 5 жыл бұрын
Naye anatumia hiyo kutojua kwa wasikizaji. Arafa haikufungwa kabla ya tarehe 9. Na shida hi ni mpya mloleta nyinyi
@abdulkipande6138
@abdulkipande6138 5 жыл бұрын
Jamani wakowapi wale wahadhir wanaopambana na wakristo njoon kwenye majukwaa jaman din yetu watu wanajichanganya uku huu ni wakat sasa wa wahadhiri wetu wa kiislamu kutoa fatua za masuala mazito kama haya ya miandamo ya miez na jalenda za dunia mazing, shafi, maulana, liko, sule, ibrahim, kishki, na wengine mi nawaelewa sana wakati ndo huu nyinyi waty wananguvu yakuwaelewa niny
@abouilysar5416
@abouilysar5416 5 жыл бұрын
We ao sio mashekhe wakutoa fatua unawaona mashekhe wakubwa sanaee
@mnokotah4182
@mnokotah4182 9 ай бұрын
Mashambulizi gani
@rishadimuhammad3238
@rishadimuhammad3238 5 жыл бұрын
Jihad ndio suluhisho
@salumkomba7682
@salumkomba7682 5 жыл бұрын
Sheikh Muhammad Idd ni msomi mkubwa kama wewe ila yeye mjuzi zaidi kakuzidi kitu... Na kwa hili limekushusha hishma yako, take care
@othmanramadan583
@othmanramadan583 5 жыл бұрын
viongozi wa kidini sio wanasiasa kuwa na adabu ndugu hawa c watu wa kuwaandikia maneno ya upuuzi
@humudmarhoon8044
@humudmarhoon8044 5 жыл бұрын
Kwa mtu mwenye elimu hawezi kukubaliana na abuu iddi ktk kukosoa kakosoa vibaya sana hata kama ila shekhe simkunali tena yule
@shahamzanda5857
@shahamzanda5857 5 жыл бұрын
Watu hawaswali, kwenye familia mke haswali watoto hawaswali, ama baba haswali unaanza kumwambia kufuta madhambi. Hayo madhambi wanayajua?
@deluxermahyono5290
@deluxermahyono5290 5 жыл бұрын
Yule mwingine yuko studio kashupaa mishipa ya pua km katumwa na wayahudi nakujifanya mjuzi wa ilimu
@mbaroukalmubarak182
@mbaroukalmubarak182 5 жыл бұрын
Deluxe R Mahyono اتق الله
@darweshilacha3019
@darweshilacha3019 5 жыл бұрын
Naona mwandishi umeamdika eti kilemile ajibu mashambulizi sasa mbona yeye ndoalisema hamna arafa mbili sasa cjui anasimamia wapi
@darweshilacha3019
@darweshilacha3019 5 жыл бұрын
Hiyo swaum inauzito mbona kama unaichukulia poa wala sio jambo dogo kama unavyosema
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 5 жыл бұрын
Muogope Allah na uelewe neno lako halianguki chini unaandikiwa utalikuta qiyama na litakuponza hill. Utamlipa na ni dhambi kumkejeli muumini. Allah anamlaani mtu anayemuudhi muumini. Tazama suratul ahzaab aya ya 57-58 نَّ الَّذِينَ يُؤْذُونَ اللَّهَ وَرَسُولَهُ لَعَنَهُمُ اللَّهُ فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ وَأَعَدَّ لَهُمْ عَذَابًا مُّهِينًا وَالَّذِينَ يُؤْذُونَ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ بِغَيْرِ مَا اكْتَسَبُوا فَقَدِ احْتَمَلُوا بُهْتَانًا وَإِثْمًا مُّبِينًا Kwa yakini wale wanaomwudhi Allah na Mtume Wake, Allahu Amewalaani katika dunia na Akhera, na Amewaandalia adhabu ifedheheshayo. 59. Na wale wanaowaudhi wanaume waumini na wanawake waumini pasipo wao kufanya kosa lo lote, bila shaka wamebeba masingizio na dhambi iliyo dhahiri.
@swalehejuma6611
@swalehejuma6611 5 жыл бұрын
@@darweshilacha3019 kwani kuna arafa zaidi ya moja!?
@mariamuhadi8958
@mariamuhadi8958 5 жыл бұрын
Ahsante shk ila ktk kiengereza cjafahamu hapo we are uniform maana yake nn!!!
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 5 жыл бұрын
Hapa waislamu ndipo tulipo ni migogoro na kuongeza wake
@libandaonline5358
@libandaonline5358 5 жыл бұрын
sheik unaposha watu buanaaaa ,,hata kama ibada ni ya sunna je fadhilla zake zikoje,,mbona unadharaj alichokipanga allah
@ahmadazubeir5112
@ahmadazubeir5112 5 жыл бұрын
Lakini mwanzo ulisema hakuna ikhtilaafu juu ya Arafa Mzeee
@imamkamna6659
@imamkamna6659 5 жыл бұрын
Dini yetu hii imekamilika hakuna jambo lolote laibada lenye ikhtklafu kisha likawa halina majibu mashekhe mnalakujibu mbele ya Allaah sw km hamkurejea ktk mstari wadini nakuacha matamanio ya kidunia Allaah awape taufiq namwisho mwema
@mifausnastij9227
@mifausnastij9227 5 жыл бұрын
Ndivo alivyo sema tena sasa namshangaa kusikia amebadili msemo (kauli). Ilikuwaje?
@hafidhnkya3339
@hafidhnkya3339 5 жыл бұрын
Mi nafikiri ifike mahali sasa masheikh wetu kuacha kutufarakanisha waislamu kwani wanadhima kubwa kwa Allah kama itafikia mahali waislamu tuakaanza kubaguana huyu Bakwata huyu sijui nani. Na kinachokera zaidi hawazumzi wao kama masheikh na kwajili ya kuondoa tofauti zai wanazungumza na waislamu kitu ambacho mimi naona nikutugawa makundi maana kila sheikh anasema kwenye msikiti wake anaongea na waumini wake mwatusaidia nini sisi waumini ukiwa sisi ni maamuma tu na tunawaamini ninyi? Mbona kwenye masuala ya uongozi masheikh mnafeli kuna tatizo gani? Mimi sijaelewa hata mmoja kati yenu niliosikiliza clip zenu zaidi ya kutugawa tu haya mambo mngee kaa huko kama shura ya masheikh,maimu na ma ustadhi mkaweka mezani hoja zenu mkaridhiana kwa tofauti zenu mkirudi kwenye misiskiti yenu mnatuunganisha tunakua wamoja lkn sio hivyo nikinyume chake kwakweli tunaumizwabsana na tofauti zenu acheni hili halina msaada kwetu sisi waumini maana mpaka sasa tumo baadhi yetu waislamu tuna baguana kwa sababu ya ubakwata na wengine. Ifike mahali muwawazie waumini wenu na namna mnavyotuweka njia panda kwasababu hata kama tutakua na elimu lkn ninyi mnatuzidi kwa dhamana ya uongozi. Asalaam alaykum warahmatullah.
@abdulahirashid5545
@abdulahirashid5545 5 жыл бұрын
Huyu shekhe anachanganya watu, mjadala haiko kuwepo kwa khilafu anayozungumzia. Swala ni, je tutaswali kufuata Makka au kwetu? Bahati mbaya nikuwa wingi wa wasikizaji hawa elewi shida iko wapi
@shahamzanda5857
@shahamzanda5857 5 жыл бұрын
Miaka yote mambo ni hayo hayo sio bure. Kuna kitu kinapatikana na hicho sio radhi za Allah ila Radhi za Kidunia... ipo siku akina shekh maslahi mtakutana na Allah subhannahu wataala
@khidmatulquran
@khidmatulquran 5 жыл бұрын
Usizuie elimu hata akizungunza kila siku watoto pia wanazaliwa kila siku elimu hufundishwa kila siku sio mara moja kwa miaka kumi kama unavotaka
@salehally8007
@salehally8007 4 жыл бұрын
Wengi tu hujiachia kwenye misimamo yao
@alakhisaalimabubakar8385
@alakhisaalimabubakar8385 5 жыл бұрын
Kilemile sijakuelewa hata kwa mbali...!! Why unawadhoofisha waislamu kwa fikra zako mgando.!? Eti arafah ni jambo Dogo weeeeh Then unasema sisi hatujashiriki Kwenye uchumi wa nchi au umesahau kwamba tunalipa kodi..!? Mche mola wako...!!
@mohammedmuya7532
@mohammedmuya7532 5 жыл бұрын
masheikh mkumbuke mtakuja ulizwa kwa mgawanyiko mnaouleta, hivi vikundi mnavyo viunda kwa mambo ambayo ingewezekana kukubaliana kwa maslah ya mshikamano itafika wakati yutajengeana uadui sisi kwa sisi, na nyie ndio mtakaoulizwa kwa uharibifu wa kielimu mnaoufanya.
@ramazubery8396
@ramazubery8396 5 жыл бұрын
Kwanini tusiwe namikutano yamashekhe yakila mwaka kuhusu dini yetu ss wote niwamoja mashekhe zetu iviwenzetu wahadhiri wakisikia situtakua tunawakatisha tamaa yakuwaleta watu ktk njia ya allah jamani?ndio maana sikuizi wamebaki kuwaombea watu dua wkt nikazi ya maostadh.waisilamu wa tz hatuna muelekeo tupotupo tu balaka yakupishana ktk imani.ikifika cku fulani inayo husu dini kilashekhe utamsikia bakwata kimya.kama tunakeleka nadini yetu turusheni kauli yakutaka mahakama yakadhi,ardhi zetu zirudishwe kama kweli nynyi mashekhe kweli.atupendi kuona tofauti zenu ktk mitandao yakijamii tena tunadhalilishana naizotofauti zenu aibu kubwa kwamashekhe zetu tunawaomba.
@DrAbdi-rv4hd
@DrAbdi-rv4hd 5 жыл бұрын
Muislam akikosa msimamo hata elimu yake hukosa nguvu na eshima yke pia hushuka Kama nisingejua kua upo tofauti na mwalimu wako ninge kueshim lkn kwa kwenda kinyume na bwana wako hata mi SIKUESHIMU na nakuahidi nawe jiandae kupingwa na wanafunz wako. (umepata wapi alisichonacho Mwalim wako) 😀😂
@husseinshaaban3518
@husseinshaaban3518 5 жыл бұрын
Dr. Abdi mwalimu wake ni nan?
@namelessnameless4868
@namelessnameless4868 5 жыл бұрын
@@husseinshaaban3518 Sheikh Mohammed Ayoub
@DrAbdi-rv4hd
@DrAbdi-rv4hd 5 жыл бұрын
Naam naona Hussein umejibiwa na Nameles apo na ukiskilza vzru clip y Abuu idd utaskia ukisema ilo
@hamadamaani2516
@hamadamaani2516 5 жыл бұрын
Kisha mtatetani
@hamadshein8272
@hamadshein8272 5 жыл бұрын
Iblisi aliulizwa hzi funguo kubwa kubwa za kina nani? Walio cma wanajua.
@namelessnameless4868
@namelessnameless4868 5 жыл бұрын
Kwanza Sheikh hujajibu hoja hataa moja pili mbona mbona unaonekana yale maneno yako ya mwanzo unayakana kwamba arafa ni moja na hautishwi na mtu yeyote ndo kusema dawa ya Sheikh Mohammed Iddy imekuingia?
@khalidihassan7560
@khalidihassan7560 5 жыл бұрын
Shekh ulisema arafa nimoja na humuogop yeyote mbon Leo unasema inakhitlaf tukueleje sasa
@mifausnastij9227
@mifausnastij9227 5 жыл бұрын
Ndicho alichosema sema alakini sasa naona kabadilisha fikra/msemo.
@abdulwakilranda5223
@abdulwakilranda5223 5 жыл бұрын
Acha kuandika caption za kishambenga ktk mambo ya dini usitafute viewers kwa kuandika caption za kipuuzi bwege wewe
@shafiisalum7279
@shafiisalum7279 5 жыл бұрын
Abdulwakil Randa ..tuwena heshima katika mitandao yajamii.bwege sineno zuri.nitusi.hilo nineno.lakihuni .kama nimuni tafadhali.enda kaungane nawa huni wenzako.usi changi ye mambo yadiini.dini hutetewa kihuja. Simatusi ndugu. Kama hujasoma rudi darasani.ukasome.shika adabu yako.sikutukana watu
@cassimshearer7916
@cassimshearer7916 5 жыл бұрын
Sasa mbona mwanzo hukusema hivyo. Ulingangania msimamo wako kama kwamba wengine wanakosea, na ukasema humuogopi mtu. Haya yalitakiwa uyaseme mwanzo. By the way nakuheshimu kama mwanachuoni.
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 5 жыл бұрын
Africa mashariki hakuna mwanawachuoni.
@cassimshearer7916
@cassimshearer7916 5 жыл бұрын
@@ibnhassan9980 duh? skua nikielewa hivyo.
@centralzonetvtanzania7313
@centralzonetvtanzania7313 5 жыл бұрын
Na dawa yenu ni mkutane masheikh wote wa pande zote mfanye mdahalo si mnataka umoja kama mnataka umoja mbona kila mtu anasema kivyake?
@mirajisalum7084
@mirajisalum7084 5 жыл бұрын
Wewe mzee unalana ya walimu wako
Sheikh Suleyman Kilemile (SEHEMU YA PILI)
16:44
BABDEO MILADU
Рет қаралды 28 М.
SHE  KILEMILE, SERIKALI INADANGANYWA
12:36
HAYATUL IIMAAN MAISHA YA KIIMANI
Рет қаралды 47 М.
«Жат бауыр» телехикаясы І 30 - бөлім | Соңғы бөлім
52:59
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 340 М.
Жездуха 42-серия
29:26
Million Show
Рет қаралды 2,6 МЛН
Every team from the Bracket Buster! Who ya got? 😏
0:53
FailArmy Shorts
Рет қаралды 13 МЛН
SHEIKH MUHAMMAD IDDI AWAJIBU TENA WAPOTOSHAJI KUHUSU ARAFA.
34:03
BABDEO MILADU
Рет қаралды 87 М.
Sheikh Amran Kilemile - Tafsiri Ya Quran Suratul Kahf Aya Ya 102 - 110
40:23
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 59 М.
Majibu Sahihi Dhidi ya Sheikh Ali Bahero | Part 2
11:58
ALI FAZA
Рет қаралды 20 М.
Umuhimu wa Subra katika Maisha ya Mwanadamu - Sheikh Kilemile
33:50
Rashid Dilunga
Рет қаралды 71 М.
MASWALA YA ARAFA | SHEIKH NIZAR BWANA
10:06
Al Ihsaan TV
Рет қаралды 29 М.
Shekh Waleed ajibu wanaomshambulia kutokana na Video yake kusambaa
20:43
«Жат бауыр» телехикаясы І 30 - бөлім | Соңғы бөлім
52:59
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 340 М.