Q Chief ft. Rapcha & Chidi Beenz - Malume

  Рет қаралды 86,955

QChief

QChief

Күн бұрын

Пікірлер: 336
@bashangegoogle6714
@bashangegoogle6714 Жыл бұрын
Tunahitaji Nyimbo kama hizi kujiponya dhidi ya dhiki, depression na kujitengenezea nguvu mpya kwaajili ya kesho. God bless you Q Chilla Rapcha & Chid Benz.
@melki-kabalu759
@melki-kabalu759 Жыл бұрын
Dah..powerful sana!!
@boukainan1002
@boukainan1002 Жыл бұрын
Agreed ✊🏾❤️‍🔥
@farijjmohammed7723
@farijjmohammed7723 Жыл бұрын
wazo nzuri sana
@modesigner1085
@modesigner1085 Жыл бұрын
Cheaf Rapcha Chidbeenz binladeen TONGWE RECORDS 🎙 👊🏿🙌
@hawaiddi5737
@hawaiddi5737 Жыл бұрын
Mkali wimbo
@josephatSwai
@josephatSwai Жыл бұрын
Kka Kwa nnii hii icwe staily yko mbona huku una Tisha sana wasanii WA Hip hop ukiwa shavuu
@stevemwachi254
@stevemwachi254 Жыл бұрын
Chidi ni chuma kisichoshika kutu siku zote,popote anapopita anakiwasha..KING KONG
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Goma limekuja na Baraka za kichifu
@Nigaboy-p4s
@Nigaboy-p4s Жыл бұрын
Yaan Chidi umeamua kumficha kabisa dogo,,,sidhani kama atarudia kuomba kolabo
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Hi ngoma aipiti Siku bila kucheki
@abdulrahmanhassan5998
@abdulrahmanhassan5998 Жыл бұрын
Binadamu hafai kuapa kwa Vitu vingine au kuapa kwa kiumbe nimakosa sana, mwenyezi mungu pekee ndiye anayeapa kwa Vitu mfano, kuapa kwa jua au mwezi na kadhalika, ila binadamu anapaswa kuapa kwa jina la mwenyezi mungu tuu , chidi Benz amekosea kuapa kwa ajili ya vitu na binadamu mwenzake, haya ndio madhara ya mtu kutoisoma vizuri imani yake ( DINI ) mungu amsamee.
@melki-kabalu759
@melki-kabalu759 9 ай бұрын
Wewe umeisoma vizuri sio?😂
@jonassenkoro177
@jonassenkoro177 8 күн бұрын
ni sanaa tu na ni maneno akimaanisha ni kosa
@rajabukimweri5893
@rajabukimweri5893 Жыл бұрын
Q chief ni kolas killer , Rapcha ame waelimisha mabishoo& ma brothermen wanao penda kulelewa wapambane CHID BENZ kaimba kwa hisia sana na fact tupu # Kazi nzuri wanangu Jah bless all
@africanmuzik4587
@africanmuzik4587 Жыл бұрын
ukizaliwa mwanaume unakula jasho lako maisha yote 🔥
@ElinajaMlaty-qg4sj
@ElinajaMlaty-qg4sj Жыл бұрын
Yenyewe chief
@MachoMidia
@MachoMidia Жыл бұрын
Shada munasema munataka ngoma izi ila munadanganywa na nyimbo za kisasa sapoti inapotia ktk ngoma kali
@Bahariseriestv
@Bahariseriestv Жыл бұрын
Making Making Tu 🎉🎉🎉Mkwaju Mkali Sana, I Swear Umempa Dogo Nauli Ya Kuja Mjini. Rapcha Usilale Tena Ninja Umesha Pewa Bless 🙌
@donalfa1850
@donalfa1850 Жыл бұрын
Rqpcha yupo mjini kitambo sema itamsogeza mahali lakini sio kwamba hii collabo ndo imemleta mjini
@AvansMbape-jq7ct
@AvansMbape-jq7ct Жыл бұрын
Ngoma kali sana
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Tuipeleke on trending jmn
@johnsolomon-g2k
@johnsolomon-g2k Жыл бұрын
Mafundi wamekutana kwa track moja. Big up sana chief
@Chida
@Chida Жыл бұрын
Q Chila unastahili Tuzo mzee uko poua sana. Salute kwa La Familiaaaaaaaa na dogo Rapcha
@ankolsimba7838
@ankolsimba7838 Жыл бұрын
mkongwe ni mkongwe tuu big up Savimbi nimeelewa alichoongea kingkong mpka sikio linatetemeka aseee....huyo benz sio wa planet hii bas tuuu
@mkonowafedha1318
@mkonowafedha1318 Жыл бұрын
Yaa sikia maisha nayakimbiza kila yakini pigachenga nihamkapo malume nakula kiapo mpaka mcho naona chenga lifu za asro mtoto wa kiume napambana kwa huku navuja jasho malume
@Malunpick5-rl8jz
@Malunpick5-rl8jz Жыл бұрын
Nahapa kwa jina la shida bila hata msaada 🙌......mah niggah chid🌵......ue kill it🚀🚀
@jamesnatai7430
@jamesnatai7430 Жыл бұрын
kwel chillah alisema usipomlipa anairudia na inakuwa kali kuliko ya mwanzo😂😂😂 CHID VERSE LA DUNIA🔥🔥🔥 malume
@africanmuzik4587
@africanmuzik4587 Жыл бұрын
Bin Laden ana deserve credits sana kwa kuweza kumerge feelings za hawa wote watatu pamoja tukapata huu wimbo wa kudumu
@vinny.morales
@vinny.morales Жыл бұрын
Kenyans dondosha likes hapa representing🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@LucasPastore-u5w
@LucasPastore-u5w Жыл бұрын
Chid Benzi kauwaa snaa kwenye hii ngoma Trust me
@josedorothea7939
@josedorothea7939 Жыл бұрын
Mziki umeniletea uchungu na ma brother Q chilla . Naenda kama Moni centrozone
@perermoshi9244
@perermoshi9244 Жыл бұрын
Mon Centrozone Atabaki Kuwa Juu🙏🙏
@josephatSwai
@josephatSwai Жыл бұрын
Naomba malume ziwe nyingii sana coz ni kali
@modesigner1085
@modesigner1085 Жыл бұрын
Umeua sana humu cheaf umesound ki namba moja 🙌👊🏿
@Nixx996
@Nixx996 Жыл бұрын
Q katoa bonge la corous Ukizaliwa mwanaume utakula kasho lako noma sana
@AkimanaKenny-y7j
@AkimanaKenny-y7j Жыл бұрын
eeeeeeh malume
@saljam82
@saljam82 Жыл бұрын
Straight to my playlist...Malume different versions 🔥 chiddi 🔥 🔥 🔥 wakuotea mbali🔥 🔥 🔥 Thanks sns simulizi na sauti akina esco, sky na baba mil. kwa update
@negodylan2634
@negodylan2634 Жыл бұрын
MALUMEE
@agreymbwilo5874
@agreymbwilo5874 Жыл бұрын
Chidy 🙌🙌🙌🙌🙌
@simbaedouardo8499
@simbaedouardo8499 Жыл бұрын
Chila hiyi kiukweli kali kabisa sinachakusem zaidiya motooooo
@amissisamley7398
@amissisamley7398 Жыл бұрын
Without doubt This song deserves more trophies this year, love you guys from Switzerland
@Monyo04
@Monyo04 Жыл бұрын
Switzerland ya nyokoo
@simbajumanne9718
@simbajumanne9718 Жыл бұрын
Nyimboo yenyewee mbayaaaa mnakaaaa mnagombania nyimboo acheni bangiii
@peterphilemon2096
@peterphilemon2096 Жыл бұрын
Ngoma flan hv uchoki kusikilza 🔥🙏💥
@CHAMPMEDIA212
@CHAMPMEDIA212 Жыл бұрын
RAPCHA AMEUA SANA HUMU BIG RESPECT
@zangamimi-pc2br
@zangamimi-pc2br Жыл бұрын
Wenye vipaji....the legends ones...big up brothers
@jumuucliff
@jumuucliff Жыл бұрын
nimekuja kusikiliza ngoma hii coz nimeambiwa ni kali na simuliziNasauti, kwel kali
@HamiskMatunguli
@HamiskMatunguli 5 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 chid benz
@titosimanjilo3023
@titosimanjilo3023 Жыл бұрын
Chid benziiiiii
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Njoooni team mziki mzuriiii
@thomaswilbert6431
@thomaswilbert6431 Жыл бұрын
Unatisha Ila umepoteza mashabiki kabisaaaaaaaa
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Nasikiliza Kila siku
@mohammedathman5816
@mohammedathman5816 Жыл бұрын
Mashallah song nikali kinyama big up Q..ch...umeuwa kwenye chorus... 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥
@Hashdough
@Hashdough Жыл бұрын
DAM THE VERSES THO.... THE FEELING INTO IT...CHID KUDADADEKIIIIII
@danielngotto9195
@danielngotto9195 Жыл бұрын
Chillah killed that chorus
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Htr
@RoolkayDrakedrizy-fg9sc
@RoolkayDrakedrizy-fg9sc Жыл бұрын
Hajawai kufeli kwenye chorus ase 👑
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Kbs
@africangirls482
@africangirls482 Жыл бұрын
Chila and chid 🔥🔥🔥
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Wataelewa tu
@tasukutechnologies2573
@tasukutechnologies2573 Жыл бұрын
Chief deserves to be a chief
@emanuelidivine4941
@emanuelidivine4941 Жыл бұрын
La familia boom🔥
@mosamossile9113
@mosamossile9113 Жыл бұрын
I like this combination yooh Chid benz on 🔥
@abdallahmakumbato6688
@abdallahmakumbato6688 Жыл бұрын
ngoma kali chidy umeuwa sana
@samboarnold611
@samboarnold611 Жыл бұрын
Chuuuma
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
I'm listening you q Chief uko vizuri bro
@JumaHassan-j1l
@JumaHassan-j1l Жыл бұрын
ngoma imweza.. but moni cetrozone agekua ingweza snaa bt smbya big up💪💪
@youngmeku5159
@youngmeku5159 11 ай бұрын
Chidi noma hatari fire ... Still *DarStandUp* ... 🔥feels great to hear his voice every now and then.
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 Жыл бұрын
Ngoma kali saaaaana
@teteboy2110
@teteboy2110 Жыл бұрын
Nawatambua wakuu salute from Kenya 👏 🙌
@petercharles7439
@petercharles7439 Жыл бұрын
Big up guys kazi nzuri
@masumbukomoussa977
@masumbukomoussa977 Жыл бұрын
Happy come back Brother achana na maneno sasa tupe muendelezo wa vitu vikali ila wallahi chidi kauwa sana kishenzi
@OmarDavix-ek5yw
@OmarDavix-ek5yw Жыл бұрын
Big up my brother chidy an chila
@ibrahimmazengo4689
@ibrahimmazengo4689 Жыл бұрын
Uchafu tyu ile ya MONI NI 🔥🔥🔥
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Unatombwa ww
@HerryMtachi
@HerryMtachi Жыл бұрын
Hii nyimbo wangeimba kwa kiingereza wange piga hela na ingekimbiza kama single again all in all ngoma NI nzuri
@revocatusmtahaba9955
@revocatusmtahaba9955 7 ай бұрын
La familia 💥💥
@heriluoga
@heriluoga Жыл бұрын
Q Chief kafanya unyama sana
@emmaculatewambua-ou9nu
@emmaculatewambua-ou9nu Жыл бұрын
Namkubali sana Chid benz its true game hawezi staafu
@martinmendrad3531
@martinmendrad3531 Жыл бұрын
Ila hili chid Benz ni basi tu ila likitulia linafunika madogo wote wa Leo na litakuwa linasikika lenyewe tu daaah , bonge la vocal flow kali daaah
@JamesJohn-u9w
@JamesJohn-u9w Жыл бұрын
You did it
@christopherchacha7944
@christopherchacha7944 Жыл бұрын
Oyaa challah mwamba sikudangany hili goma sio la nchi hi ,ni kali kinoma ww mwenyewe unetisha ,raptcha nae katisha ,king of dar es salaam chid benzi ndio kabisaaa ,what a song upewe maua yako broo❤❤❤
@mwaramundaabdallah9049
@mwaramundaabdallah9049 Жыл бұрын
Mziki mzuri chillah
@colehugo5055
@colehugo5055 Жыл бұрын
Chorus ya moni ilikuwa kali zaid hii chorus sio kali mzee
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Tanzania plz we suppose to support this man
@kelvinologypeter8667
@kelvinologypeter8667 Жыл бұрын
Sure
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Njoooni njoooni njoooni kukomenti
@thaariqfarrah1585
@thaariqfarrah1585 Жыл бұрын
Only 1 Q Chilla in Tz ... Cong's bro x Rapcha & Benzino maddeeeeeeeerrrrrrrrrrr
@daddyarfaksadi
@daddyarfaksadi Жыл бұрын
La moni ni kali kuliko hii...moni kafunika
@felixfanuel-z8d
@felixfanuel-z8d Жыл бұрын
MALUUME...qchila ft moni still on top💣💣
@EmanuelJulian-e1r
@EmanuelJulian-e1r Жыл бұрын
Nyimbo kali sana asee nimeikubali Big up wote mmetisha
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Nishadanlod my brothers
@farijjmohammed7723
@farijjmohammed7723 Жыл бұрын
Sidgani kama kuna rapa yeyote mwenye uwezo zaidi ya kingkong
@kigoseven9942
@kigoseven9942 Жыл бұрын
Q.....sauti yako bd inahitajika sn kwenye game bro.....Kigo seven hapa..
@SalimSalim-ec9jo
@SalimSalim-ec9jo Жыл бұрын
Chiller sauti yako wallah mzuka... Uko vizuri jembe
@amosratemo7958
@amosratemo7958 Жыл бұрын
Kali kwanza chidy kaua
@farijjmohammed7723
@farijjmohammed7723 Жыл бұрын
Napenda sana alivyokaa chidi kwenye bit ya bin laden
@JafarIsmaily-z4r
@JafarIsmaily-z4r Жыл бұрын
Atar sana
@rubazakennedy7441
@rubazakennedy7441 Жыл бұрын
God bless you guys 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@salehsp4362
@salehsp4362 Жыл бұрын
The Voice are recal bigup ❤
@DaudDizo
@DaudDizo Жыл бұрын
🙏
@Cococollege
@Cococollege Жыл бұрын
Kikonk malume mistar chuma chid lispect 🎶
@eliadaniel216
@eliadaniel216 Жыл бұрын
Mgoma mkuuubwa kudadeki ❤❤❤❤❤❤❤ mmeuwaaaaaaaaa kabisaaaaaaaaa
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 Жыл бұрын
Jamaa wameua sn ngoma n tam sn imekosa koras tu😂
@kassammwalo5663
@kassammwalo5663 Жыл бұрын
😂😂chorus ya nini mkuu kula chuma hicho
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 Жыл бұрын
Koras ipi unataka wakati q chief kapiga
@issackclayton3526
@issackclayton3526 Жыл бұрын
Ya posho city noma hii ni remix sio😂😂😂😂
@gwantadibusta
@gwantadibusta Жыл бұрын
Macho yangu ni mekundu lakini my vision is clear
@dvjmiloow2955
@dvjmiloow2955 Жыл бұрын
Mbona huku mbaya kuliko Ile nyingine 😂. Dah! Chuki humuumiza anae ihifadhi
@africanmuzik4587
@africanmuzik4587 Жыл бұрын
I can’t get enough of this song man 🙌🏾
@saidizuberiissa7286
@saidizuberiissa7286 Жыл бұрын
Ngoma kali kiukweli
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉ngoma kali sana"
@InnocentFredrick-o8e
@InnocentFredrick-o8e Жыл бұрын
Kazi nangono inamikosi rhyme iko hai sana
@Mchina001
@Mchina001 Жыл бұрын
Chid benz 🙆‍♂️
@mpinaclassic4073
@mpinaclassic4073 Жыл бұрын
Chuma cha pua Rashid makwiro respect broo
@lwanzodieumerci3029
@lwanzodieumerci3029 Жыл бұрын
Good message 💯👍
@TheAmadoni
@TheAmadoni Жыл бұрын
CHIDI BENZZZZZZ
Moni Centrozone Feat Chidi Benz _ Kovu /Haikuwa Sawa (Official Music)
3:03
Rapcha - To The Top Vol.1 (Special Edition) Full EP
22:38
Rapcha
Рет қаралды 68 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Moni Centrozone Ft Q Chief - Dr Malume (Official Music Video)
3:19
Moni Centrozone
Рет қаралды 102 М.
Dakika 10 Za Maangamizi  : Chid Benz | Planet Bongo
11:24
EastAfricaRadio
Рет қаралды 575 М.
M.H Temba And Q-Chilla (Amekoma)HQ
6:32
dancehallism
Рет қаралды 163 М.
Q chief   Papa God Official Video
3:13
QChief
Рет қаралды 36 М.
KWA MARA YA KWANZA ROMA MKATOLIKI AKITAJA RAPPERS WAKE WAKALI TANZANIA
24:49
Rapcha - Wait (Performance Visual)
3:09
Rapcha
Рет қаралды 189 М.
Roma Feat Chid Benz - Nasikia Harufu ( Official Video)REACTION
19:23
Dizasta Vina - Nobody is safe 5
6:07
Dizasta Vina
Рет қаралды 140 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН