Asalam Alekum warahmatulaah wabarakatul kusema la kweli hii eli yako huwa yanipe utulivu sana huwa napenda sana kuleta dhikir sana Allah akujaze kheri inshaallah
@SumaAbduly9 ай бұрын
Shekhe mimi naitwa Ismail Abdul niko bukoba kagera natamani sana kukuona natamani unifanyie dua mimi nahangaika sana najituma sana nasikiliza sana mawaidha yako lakini elim yangu ya dini ni ndongo maelekezo yako pengine nashindwa kufanya kwa sasababu ya elim ndogo shekhe nifanyie dua kwa kutumia majina yangu Allah atakulipa lakini mambo yakienda vizur nitakutafuta popote niludishe shukrani
@NoorPrince-v1v9 ай бұрын
Chukua namba huoini hapo juu
@zahraabdul96528 ай бұрын
Chukua number yake mtaongea vizuri sana ingawa kushika kwake simu sio rahisi lakini unajaribi mara kadhaa utapata
@zahraabdul96528 ай бұрын
Allah akuzidishie elmu na hekma yake na umri mrefu ili tuzidi kupata mazuri ya hekma inshallah Yarabby tujalie mapato ili tuwe watu wa kutoa zakay ,msaada kwa yatima ,kuchangia msikitini ipate kila kitu ndani na pia kwenda hijja wale tujaenda Yarabby 🤲 tujaalie mwisho wetu uwe bora 😢😢 ingawa Dunya ina mitihani allihamudulila 🤲
@Starshines-gc1fg8 ай бұрын
Mashallaah allah akufanyie wepesi juu elimu unayotoa
@GodfreyNyongesa-so1rz3 ай бұрын
Mashalla
@GodfreyNyongesa-so1rz3 ай бұрын
Naomba Dua yako Shekhe
@GodfreyNyongesa-so1rz3 ай бұрын
Naomba Dua yako Shekshe
@AishaHussein-xg5ph4 ай бұрын
Mashallah
@AishaHussein-xg5ph4 ай бұрын
Alhamdullilah
@khadijaali46578 ай бұрын
Assallam aleykum warahmatullahi wabarakatuh Shekh naomba nifanyie dua inshallah mm ni mkenya ila niko Saudiarabia na nina matatizo makubwa mno kutoka nyumbani kenya wabaya wanifata nikiwa huku Saudiarabia wallahi nina mitihani sana naomba dua sheikh 😔😔😔😔
@zuhurakarani80478 ай бұрын
Chukuwa number yake hapo juu umtext WhatsApp
@FatumaMwalimu-f6w8 ай бұрын
Insha,ALLAH nafarijika khutba MashaAllah,❤
@ChikiraKitojo8 ай бұрын
Sheikh Othman samahani nakuomba unifanyie dua mambo ya kimaisha yaende sawa kwa jina naitwa chikira jafar kitojo niombee kwa Allah in shaa allah nami niweze fanikiwa sheikh
@SwaumuHussen8 ай бұрын
Allah akupe afya njema shekhe Othman
@SalmaShabani-c7j8 ай бұрын
Natwa Salma shaban shekhe naomba Dua zako itawale ktk maisha yangu amina
@HabibaHared9 ай бұрын
Mashaallah mashaallah mola akuhifathy
@MwajumaShaibu8 ай бұрын
Maashsllah Allah akuhifsdhi
@JinaJuma-gy1us9 ай бұрын
Sheikh niembee dua niko mbali nchi za kiarabu näpata mitihani kila nikija huku inshaallah nikirudi biidhini iilahi nitakutafuta unifanyie dua naitwa Jina mzaliwa na salama Allah akubarki sheik wetu
@جزيرةعبدالله9 ай бұрын
Shekh naomba niombee ndua maan kunamambo yananisumbuw sn shukuran
@FatumaMwalimu-f6w8 ай бұрын
Nisamee but I really like you mashaala
@kamarhelo8 ай бұрын
🙄🙄🙄🙄
@SaumuZungufya8 ай бұрын
Manshaallah ❤❤❤❤
@TagirOmar9 ай бұрын
Allah akulinde shekhe, niombe mambo yangu yanakwama jina langu, Tagir Omar sumail
@jasminiIssa-y2q8 ай бұрын
Amiin yarabila alamiin 🤲 yarabiraalamin
@REHEMAKUNANI8 ай бұрын
Aminaaaaah rabbil alaaminaaah
@EstaWambi9 ай бұрын
Mashallaa shehe niombe niko na mitihan ming mno
@meowzna9 ай бұрын
Jazakallahu Kheir Sheikh🤲🙏
@Mundhiriawadhi8 ай бұрын
Allah akudumishe katikaimani
@MwajumaShaibu8 ай бұрын
Maashsllah
@salmaalkyumi60309 ай бұрын
Salallahu Alaihi Wasalam ❤❤❤❤❤
@AliWazir-o9n9 ай бұрын
Mashhallah baraka llahul-Kheyr
@FatumaMwalimu-f6w8 ай бұрын
Let me🎉
@AsnatiAmiri9 ай бұрын
Mashallah shekh wetu Allah akulipe ujira mwema
@AliWazir-o9n9 ай бұрын
Maashallah
@silviaamos-pl5lk8 ай бұрын
Salaam aleyku, shekhe naomba dua zako,kilaninapoishi nachukia na kilaninapofanya kazi nachukia na boss mpaka wafanyakazi wenzangu,naomba dua zako
@meowzna9 ай бұрын
Shukran👏
@WadhhatRasheed9 ай бұрын
Mashaallah Allah akuhifadh 🤲
@JinaJuma-gy1us9 ай бұрын
Mashaallah mashaallah mashaallah
@narutonaruto43039 ай бұрын
allah akuhifadh
@SalmaRashid-di1qz8 ай бұрын
Shekhe wangu naomba uniombee Dua risk zangu zifunguke
@narutonaruto43039 ай бұрын
yaaan mashallh
@mwanasomoali-d1e8 ай бұрын
Salam alaikum Sheikh mm naitwa mwanasomo kutoka Kenya Nina matatizo Maisha magumu niliachana mume Nina watoto mume wngu mlevi said napata tabu mwanagu Nae alinusurika Na kubakwa sijui Ni Nini hiki napitia
@kamarhelo8 ай бұрын
Allah akupe subla kipenzi pia jitahid kuswari kwa wakati uamke ucku umkabidhi mwenyezi mungu matatizo Yako yataisha tu
@FatumaMwalimu-f6w8 ай бұрын
Assalam alaikum😂
@Mwajuma-bm8om8 ай бұрын
Shekhe naomba uniombe 30:30
@SalmaShabani-c7j8 ай бұрын
Shekhe Nina matatizo ya ndoa naomba uniombee niolewe nikakae na mme wangu tufurahie maisha😅😅
@KhairathLwoga8 ай бұрын
Wakati wa kuomba ndoa omba Mungu akupe mume mwenye hofu ya Allah usisahau hyo