Kiswahili kinakuchanganya na kuwa na kichwa kikubwa haimaanishi unaakili
@PaschalKiteaKitea13 күн бұрын
Mwalimu MUNGU akubaliki, endelea kufunua siri za shetani zlizofichika kwenye uisram
@trusted77713 күн бұрын
@@PaschalKiteaKitea amen amen amen...tuzidi kuombea kazi ya Mungu iende mbele.
@yusuphhassan96198 күн бұрын
Amani ya mwenyezi Mungu iwe kwenu, Quran imeshuka kutoka ubao wa lauhmahafuudh ikiwa imekamilika mpaka mbingu ya dunia ndo ikawa inashuka kidogo kidogo kwa mtume Muhammad akawa anawasomea hao waandishi wanaandika
@0badiaMwasongwe-rt1wr4 күн бұрын
Anawasomea wakati hajui kusoma wala kuandikaa???
@OmaryMustapha-ho7bk4 күн бұрын
Siokila anaejiita mwalim ni mwalim kweli huyu Bado ni mwanafunzi anahitaji kujifunza
@karimuabdala32343 күн бұрын
@@OmaryMustapha-ho7bk yaani ajui lolote anakurupuka na kuropoka ropoka tu
@husseinkiruta17128 күн бұрын
Hujui kitu wewe
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl8 күн бұрын
Hukeli unauma sikuiz watu wanasoma msiishi kwa kukalili
@daudimichael73388 күн бұрын
Anachosema ni kutoka kwenye vitabu vyenu, labda useme anayosema hayapo.
@khamisijumamkoka91068 күн бұрын
AKILI NDOGO NI NYUMBA YA IBILISI. KUSHUKA NI UJUMBE SHIDA UNASOMA ELIMU NA CHUKI HUTAELEWA. MUNGU AKUSAIDIE
@daudimichael73388 күн бұрын
Quran ni maneno ya Muhammad bhana, hakuna cha kushuka kutoka sijui wapi, huo ni Uongo tu.
@DAVIDMAGHANGA10 күн бұрын
Majibu yako 2:97 quran inajibu
@daudimichael73388 күн бұрын
Yaani ijitolee majibu yenyewe halafu tuamini? Sikia, Quran yenyewe hatuiamini. Tutaaminije aya iliyomo ndani yake?
@karimuabdala32348 күн бұрын
@@daudimichael7338Wala aulazimishwi Qur'an sio bibilia mara kaiandika Paulo mara luka mara matayo aileweki 😅😅😅😅
@daudimichael73388 күн бұрын
Aliyekuwa ni adui wa Jibril ndiyo aliyeiteremsha Quran. Kwakuwa inaaminika kuwa Allah ndiye aliyeteremsha Quran. Naomba nijue adui wa Jibril ni nani? Je, ni Allah?
@0badiaMwasongwe-rt1wr4 күн бұрын
Uislamu ni mtihani sanaaa adui wa jublii ni SHETANI
@karimuabdala32348 күн бұрын
Sasa apo mbona umeshajijibu Qur'an imeshuka kwa Muhammad Muhammad ndio anawasomea wao waweka kumbu kumbu wewe aulazimishwi Qur'an imeteremshwa kwa mtume 😅😮😮😅😅😅
@0badiaMwasongwe-rt1wr4 күн бұрын
Muhammad alikuwa hajui kusomaa
@karimuabdala32343 күн бұрын
@0badiaMwasongwe-rt1wr ni kweli taja nabii au mtume mmoja tu ambae alikua anajua kusoma
@0badiaMwasongwe-rt1wr3 күн бұрын
@@karimuabdala3234 wotee akina musa walikuwa wanajua kusoma na kuandikaa ndomaana musa aliandika kwa mkono wake Torati vitabu vitano Daudi kwa mkono wake aliandika zaburi na wengine wengiiiii