RAADI YAKUUMIZA KWA MUHAMMAD BACHU NA KUTAKA UMARUFU SAUTI. ZA MA SHEIKH

  Рет қаралды 9,228

AL FAUZAN TV 958k views

AL FAUZAN TV 958k views

Күн бұрын

Пікірлер: 116
@maulidmnukwa3171
@maulidmnukwa3171 2 ай бұрын
Allah akuhifadh abultadhliy umeniponesha maradhi ya moyo wangu kwa maneno machache ya wanazuone "iyyaakum ani shuhra"... Allah akuzidishie na Allah akuinui na akufishe ukiwa muislamu na akufufue pamoja na watu wema...
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س 2 ай бұрын
Allah ameanza kubainisha wakweli nawaongo nabado
@abdurazaqiamisi1463
@abdurazaqiamisi1463 2 ай бұрын
Kasim mafuta anakauli nyingi na zote zimebainika ndio maana leo ameongea kwa upole
@RamadhanHamad-s3w
@RamadhanHamad-s3w 2 ай бұрын
Allah awatie nguvu masheikhe zetu katika da'wa hii salafiya maaduwi ni wengi mno
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 ай бұрын
Amyn yarabiaalamyn🤲
@iddimutua420
@iddimutua420 2 ай бұрын
A.aleikum Mimi sikusoma ila nakunasihi sheikh wangu Q.Mafuta ni juu yako kuirejesha Hadhi ya Dr sababu sheikh wangu kando na makosa mingi kwako kwa Dr njia ulio itumia kumradd si ya sawa kabisa. Allah Allah sheikh kabla mmoja kati yenu ajapatwa na umauti Allah awajaalie umri mrefu wenye kheir na nyinyi masheikh wetu.
@AbuuSiiriin
@AbuuSiiriin 2 ай бұрын
Kama hukusoma ulijuaje kwamba njia alio itumia sio sahihi
@AbuuSumayyah-rh7oi
@AbuuSumayyah-rh7oi 2 ай бұрын
Wewe kama hujasoma ilikupasa haqi kwako ni kunyamaza kuliko kuliingilia jambo halikuhusu maana hili jambo ni la kielimu na wewe ni mjinga sasa utapenya vp hapoo mche الله ndug yang kisha nyamaza kimya
@ramadhanjamali5761
@ramadhanjamali5761 2 ай бұрын
Huu mtihani mnoo yani mtu hakusoma kwamaana hajui katika ilmu halafu eti kaona makosa kwa shekhe eti nae anamnasihi shekhe twaenda wapi jamani Wamnasihi kwa ilmu gani ulio nayo yakuona kuwa shekhe hayupo sawa? Ruduud zipo katika dini Ruduud ni katika dini Wacha watu wapate Ruduud kwa Yale mazoe katika dini ya allah walio nayo
@iddimutua420
@iddimutua420 2 ай бұрын
@@ramadhanjamali5761 kwaivyo sheikh wenu amekamilika hakosei au neno sheikh umaanisha malaika hakosei hau mtu ambae hakusoma huwa hawezi kutafautisha Haki ,Baathwil na Dhulma basi hata kama sina ilmu but nayajua hayo mambo matatu. Sheikh Q.Mafuta amemdhulumu Dr.Islam baasi aombe msamaha. Alafu msisahau ukumbusho watoka pahala popote pale silazma aalim ndio akumbushe sote tu wapungufu uwe alim au vyovyote vile. Kindly note
@TalibHaji-ep5xo
@TalibHaji-ep5xo 2 ай бұрын
​@@ramadhanjamali57614:05
@AllyHamran
@AllyHamran 2 ай бұрын
Iyo mnamsingizia au mnamzania .lkn mkjibu hoja anazozitoa Bachu ndo mtakuwa mnafanya ibada mkipuuza hoja na kuanzamipasho mtakuwa hamna hoja.
@SALUMKHALFAN-z4f
@SALUMKHALFAN-z4f 23 күн бұрын
UKUTAKA KUWAJUA MAADUI WA ALLAH NA MTUME SAW INGIA UTUBE ANDIKA RVS SALA YA IJUMAA MASJID FATMA
@AbuufawzanaSalafiy
@AbuufawzanaSalafiy 2 ай бұрын
ماشاءاللہ
@Cherehanitanzania
@Cherehanitanzania 2 ай бұрын
Majadidah Wameelewa Zile nyundo Za Bachu Wamezielewa Ndomana Hata Kumtusi Wamepunguza Kila wakiradd Wanasema Twampa Nasaha Bachu Aache Kutafuta Umaarufu Mitandaoni😂
@IslamTv254
@IslamTv254 2 ай бұрын
Hapa nimefurahia sheikh
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 2 ай бұрын
Na uongo wa muft wa pongwe haujakufurahisha?
@IslamTv254
@IslamTv254 2 ай бұрын
@@hafidhwajina6718 wapigane wenyewe kwa wenyewe
@saidabdallah5448
@saidabdallah5448 2 ай бұрын
Bachu hamumuwezi ALLAH kamuinua
@mwinyimohamed9746
@mwinyimohamed9746 2 ай бұрын
Hizbi
@alfauzantv123
@alfauzantv123 2 ай бұрын
@@saidabdallah5448 HIZBI
@NassorHassan-no1cr
@NassorHassan-no1cr 2 ай бұрын
Hizb kassim mpka Leo hakutaraa kupeleka matangazo yake Radio ya kihizbi
@alfauzantv123
@alfauzantv123 2 ай бұрын
@@NassorHassan-no1cr UNAPO SEMA HAYO MANENO JUWA YA KWAMBA UTAULIZWA KWA ALLAH
@NassorHassan-no1cr
@NassorHassan-no1cr 2 ай бұрын
@@alfauzantv123 sasa mukisema nyie Allah hatawauliza?? Mbona munaleta ushamba nyie???
@HawaMohamedi-s4p
@HawaMohamedi-s4p 12 күн бұрын
We sheikh wako dr islamu usijafanye unamnasihi sheikh kassimu mafuta mnasihi Dr islamu
@JumaJuma-z3d
@JumaJuma-z3d 2 ай бұрын
Sheikh kassim mbona Mara nyingi hujibu hoja ? Na unakimbilia kumdhraulisha mtu kwa wafuatiliaji ?
@alwiyiynmission2820
@alwiyiynmission2820 2 ай бұрын
Bado Ajabu Iliyopo kwa Kasim Mafuta Picha kwake ni Haram kwanini Wanawaweka Wenzao kwenye Mtandao(PICHA ZAO) SASA HARAM NI KUPIGA PICHA TU,JE KUSAMBAZA SIO HARAMU.??? AU NDIO UJADIDA UNAOSEMWA?
@yahyarashid8038
@yahyarashid8038 2 ай бұрын
Ipo siku in shaa Allah Allah atawabainisha wakweli na waongo Wallahu aghalamu
@abdurazaqiamisi1463
@abdurazaqiamisi1463 2 ай бұрын
Kwasasa unaongea kwa upole kweli kweli vijana wamekunyosha ile sauti ya kufoka foka imepungua😂😂 ili jambo hamna leo sijasikia
@TariqAlhaj-r1p
@TariqAlhaj-r1p 2 ай бұрын
Fundisheni na makosa ya UWANACHAMA WA CCM MBONA MNAKWEPA JAMA NYIE MAHIZBIY
@abumaryam6909
@abumaryam6909 2 ай бұрын
Wameufungua mlango ambao haufungiki
@TariqAlhaj-r1p
@TariqAlhaj-r1p 2 ай бұрын
@@abumaryam6909 Wanaruka ruka tu mahizbiy
@abumaryam6909
@abumaryam6909 2 ай бұрын
Leo ductur atafuta umaarufu??? Mbona wamsingizia sheikh? Kama ni uhizbi aanza na nduguyo kwanza!!!
@HamadaZubeirTahir
@HamadaZubeirTahir 2 ай бұрын
Wasiogombana ni watu wa Twarika tu maana waohawana mbambambaaaa
@madulually5751
@madulually5751 2 ай бұрын
MAFUTA JIBU KITABU CHA DOCT ISLAM
@muddathirkassim2407
@muddathirkassim2407 2 ай бұрын
Hawezi kujibu kabisa hiko kitabu ywajipurukusha tuu,, Ameruka mada ywajifanya Atoa nasaha,,,lakin yeye aki Radd mtu kwake nsawa
@amasashikelly7899
@amasashikelly7899 2 ай бұрын
​@@muddathirkassim2407Wewe ushakisoma utueleze na ss, mihadhara ni kiswahili na kuteleza kwako kumebainishwa kiswahili, ss kuandika kitabu chenye vilio vingi ni nn, au ndio udoktor huo!! Wateni ushabiki, iangalieni haki iko wapi muifuate. Tusomeni jamaa, hii dini haipendi na yatukia uzukaaaaa!
@repentingservant4384
@repentingservant4384 2 ай бұрын
​@@amasashikelly7899 mwambie mafuta ajibu radd kwa kiarabu
@aljalilatiba9873
@aljalilatiba9873 2 ай бұрын
WAISLAMU TUMEMALIZWA KABISA YAANI KUGOMBANA SISI KWA SISI HUU NI MSIBA MKUBWA
@AbuuSumayyah-rh7oi
@AbuuSumayyah-rh7oi 2 ай бұрын
Ndugu hii haitwi kugombana hii ni kuelekezana mtu akitaka kuelewa الله atamuongoza huko laa akifanya kibri sheitwani anamsubiri ktk njia yake
@IsmailSanga
@IsmailSanga 2 ай бұрын
​@@AbuuSumayyah-rh7oiNdugu kama sikugimbana,Nini maan ya maneno haya,JADIDA,HIZBI!?
@SultaniHaruna
@SultaniHaruna 2 ай бұрын
Uyu mafuta ya taa aereweki ata ata kidogo
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 ай бұрын
Unaonakana ww mshabiki maandazi uwelewikitu.unafata upepotu.
@repentingservant4384
@repentingservant4384 2 ай бұрын
​@@HanifaOman-oo4pl😂😂😂 mafuta ya taa,mafuta ya petroli😂😂😂
@RamadanSemlingwa
@RamadanSemlingwa 2 ай бұрын
​@@repentingservant4384 hyo n chuku bnafsi tu
@MohammedBakari-pn9yg
@MohammedBakari-pn9yg 2 ай бұрын
Wakati dr islam anasoma hicho kitabu cha fauzan basi na qassim mafuta kasome vitabu vya suyuutwi ili mtupe faida ww na dr islam
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س 2 ай бұрын
Hoja umeamua kuiacha leo unatwambia alieletahoja waislam wapatefaida unasema kwamba ametafuta umarufu? ilimuyako😂 tumakua nashaka nayo ilanisawa mtanyamanzatu
@AbuuRayyan-j8x
@AbuuRayyan-j8x 2 ай бұрын
Kuna baadhi ya watu wanadhania hii rikod niya juzi na jana kwaiyo wameropokwa mengi humu ktk coment mimi nawaambia ivii wacheni upumbavu .
@maalimhamad1297
@maalimhamad1297 2 ай бұрын
Kama niyazamani mkaiwekaleo mwataka mini
@TRIPLE.3Rs
@TRIPLE.3Rs 2 ай бұрын
Ulijibiwa kuwa jee twaeza chukuwa ukweli jwa shetwani hata kama muongo..(elimu)
@AbuuSiiriin
@AbuuSiiriin 2 ай бұрын
Mahzibi hamjafungua nyoyozenu kupokea haqi ndio maana mwapata tabu buree mshaafeli
@muddathirkassim2407
@muddathirkassim2407 2 ай бұрын
​@@AbuuSiiriin wewe ulofungua nyoyoo jibu hapo nikwel ama sio kweli?? Huyo mafuta ndie wakwanza kutafuta ushabiki
@AbuuSumayyah-rh7oi
@AbuuSumayyah-rh7oi 2 ай бұрын
Humu ndani ya mitandao muna watu wanaakili mbovu kama hao mashekhe wao walivyo Shekh wetu mbora abl faadhil kassim ibn mafuta hajamtaja mtu ila kuna waheke washa jihukumu wenyewe pamoja na kuwatia mashekh wao kuwa wamelengwa wao hii yote inabainisha nikiasi gani hawa watu hawapo ktk usawa NAMUOMBA الله ALIYE JUU ATUPE AFYA NA SALAMA SISI PAMOJA NA WAO
@auroxenterprises8003
@auroxenterprises8003 2 ай бұрын
KASSIM leo kawa mmpole kajiradi mwenyewe leo kwenye umaarifuuuuuuuuu na kikundi chake cha ujadida kafanyiwa kisawa swasawa na docta islam wewe si ulikuwa una mdharau unamfanyia kibri sasa baaada ya kumdhalili kadhalilishwa yeye 😅😅😅😅 bachuuuuuuuu kichwa kimesha chomoza mkia tafuta pangaaaaa
@AbuuSiiriin
@AbuuSiiriin 2 ай бұрын
Akili huna hujui upambanuzi unaushabiki ulio kua nao
@mwinyimohamed9746
@mwinyimohamed9746 2 ай бұрын
Hujui chochote katika uisilamu maskini ww
@AhmadMohamad-ew8vo
@AhmadMohamad-ew8vo 2 ай бұрын
Qassim mafuta usilete janja janja ww uliporudi Madina mm nilikuwrpo pale Tangamano ulifanya Raddi nyingi kwa Barahiyaani je ulitaka umaarufu??????????
@AbuuSiiriin
@AbuuSiiriin 2 ай бұрын
Akili yako imefungwa bado haupo jitahidi urudi uliko endaa
@JumaJuma-z3d
@JumaJuma-z3d 2 ай бұрын
Mbona na wewe uko kwa mitandao unatafuta Nini huko ?Kama si umaarufu ?
@HamadaZubeirTahir
@HamadaZubeirTahir 2 ай бұрын
Ikiwa mtu ni mshabiki kwenye hija zake kunahaja ya kujibiwa maswala yake?
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 2 ай бұрын
Hivi nyinyi mashekhe mmesoma ili mje kuchambana kwenye mitandao au? Au kusomesha umma? mbona mnatumia muda mwingi na nguvu nyingi kuchambana jee hiyo ndiyo unavyosema uislamu? Nyinyi badala ya kuangalia jamii inapotea jamii inaangamia kwa maas, machafu yaliyotapakaa ktk jamii wanawake wanatembea uchi, zinaa imeenea kila mahali, matendo ya liwatwi yameenea, riba , kamari, pombe, khiyana ktk vipimo nyinyi hamna mnalolifanya zaidi kuchafuana na kuchambana kwenye mitandao, hebu ikoeni jamii kwa kufikisha ujumbe elekezeni nguvu ktk kuiokoa jamii kwa kuelimisha ubaya wa matendo machafu na mdaharq yake
@amasashikelly7899
@amasashikelly7899 2 ай бұрын
Hilo fanya ww unao ilona kwani kwako haijawa masulia, ss tuatia ndia hii
@jamalkishangu
@jamalkishangu 2 ай бұрын
Kweli kabisa. Sheikh Othman Maalimu anajitahidi kufundisha dini zaidi.
@Cherehanitanzania
@Cherehanitanzania 2 ай бұрын
Sheikh kitabu kimeandikwa kwa ajili yako sema basi kama hakizungumzi hakki mbona tena wakimbia kwenye umaarufu mbona haukir makosa yako yalobainishwa na Dr islam ktk kitabu Chake Aisee Mashikh Zetu Hawa Wanachanganya watu wengi sana Hata nabaadh ya Wanafunzi,
@AmirAmour-tx1ws
@AmirAmour-tx1ws 2 ай бұрын
hahahaha , kwisha habari , majadida hamkubali hakki mpaka iwe imetoka miongoni mwenu
@AbuuSiiriin
@AbuuSiiriin 2 ай бұрын
Akili huna huo ni ushabiki
@bacteria5184
@bacteria5184 2 ай бұрын
Usiwapangie watu vitu vya kusoma na sio kusoma hicho kitabu ndo kuwa mwanasunna,hizbu salafy kaeni na kundi lenu
@tayt4086
@tayt4086 2 ай бұрын
Mnapomesma dr islam nyie sio tatzo ila bachu anataka umarufu shida hi salafii
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 2 ай бұрын
ILA SHEKH HAPO UMETELEZA KAMA BNADAM NA MUOMBE RADHI SHEKH BACHU...HICHO UNACHOKIFANYA NI DHANA MBOVU DHIDI YAKE ETI ANATAFUTA UMAARUFU....WEWE UNA USHAHIDI GANI NA HILO? HALI YA KUWA WAISLAM TUMEHIMIZWA KUJIEPUSHA NA DHANA MBOVU DHIDI YA MUISLAM MWENZAKO!!
@AbuuSumayyah-rh7oi
@AbuuSumayyah-rh7oi 2 ай бұрын
Umeteleza wewe unae jishuku na kama ni kuomba radhi muombe wewe maana ndie uliolina kosa hapo
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 2 ай бұрын
@@AbuuSumayyah-rh7oi Wewe unafuata matamanio yako ya nafsi na kukwepa ukweli....hiyo ni dhana mbovu na isiyo na ushahidi dhidi ya Shkh Bachu
@amasashikelly7899
@amasashikelly7899 2 ай бұрын
​@@TwahirBurhanww una ushadi gani katika hiyo clip aalokusudiwa hapo ni Bachu, asema sheikh atowa naswaha hata ww pia umo na hii si ya dini tuu hata kwenye maisha ya kikawaida
@Mahir-12-qe
@Mahir-12-qe 2 ай бұрын
Acheni ujadida nyinyi
@alfauzantv123
@alfauzantv123 2 ай бұрын
@@Mahir-12-qe watu WA BACHU hawo
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 2 ай бұрын
Wewee sio salaf salaf gani wa weka picha ​@@alfauzantv123
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 2 ай бұрын
​@@alfauzantv123kumsema dr amedanganya watu ni ubachu huo Mbona usemi shekh kamdhurumu shekh
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂da Tumejua muft wa pongwe ni mtu wa namna gani isee UMEPOAAA ZILE MBWEMBWE ZOTE ZA KUSEMA ATEJE SHEKH MMOJA TU,MA HAKUNA MAHALA POPOTE , KUMBE BLABLA NA KUJIMWAMBAFAI 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AbuuSiiriin
@AbuuSiiriin 2 ай бұрын
Nasaha hizo niza muda mrefu vipande vimekatwa vimewekwa Bado umtajua likiisha vumbii
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 2 ай бұрын
@@AbuuSiiriin sawa muft
@masoudabdallah9878
@masoudabdallah9878 2 ай бұрын
kitu muhim ni kujib hoja hayo mambo kuw mtu antak umaaruf ni yeye na mola wake wala sisi hayatuhus …! jibuni hoja tu tupate faida
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary 2 ай бұрын
Sahihi kabisa ...maake naona watu wanajua mpaka yaliyopo ktk nyoyo za watu. Watu wajibu hoja, wallahu musta'añ
@nasirdinmohammed8741
@nasirdinmohammed8741 2 ай бұрын
​@@ShamsudeenOmary ukiona mtu anakaairika kwa nasaha zinazotolewa basi ujuwe hilo dowa analo yaani ulosema jamn watu waache ria afu ww unakasrika mamb ya Riya mtu na mola wake akhii basi kwanini zmekura Aya na hadith kukataza bila Shaka hata kama Sisi hatumjui yaliyo moyoni make ila huenda akazinduka yeye na mola wake ila kusema kwamba watu wasiambiwe hii no ishara hili jmbo lipo
@iddimutua420
@iddimutua420 2 ай бұрын
A.aleikum Q.Mafuta alipokua akimshusha hadhi Dr yeye akua akitafuta umaarufu lakini Allah alipo mdhalilishia mtu Dr ili kuirejesha hadhi yake nyie mnasema mtu huyo yuwatafuta umaarufu. Ikhwa kuweeni waadilifu mbele ya Allah na muwe waadilifu. ALAFU NAULIZA HAYO NDIO MAJIBU YENU KWA MASWALI MULIO ULIZWA,KUA MUULIZAJI YUWATAFUTA UMAARUFU??.
@nasirdinmohammed8741
@nasirdinmohammed8741 2 ай бұрын
@@iddimutua420 kwani sheikh kmtaja mtu mbona mnamakacriko na nasaha inachukuliwa kwa yeyeto maadam ni haqq
@iddimutua420
@iddimutua420 2 ай бұрын
@@nasirdinmohammed8741 Na je vipi kuhusu hadhi ya mtu Mwasemaje??
@muhammedaloufy4086
@muhammedaloufy4086 2 ай бұрын
Hakuna cha Usalafi nyie nyote mnatafute maslahi ya dunia ya umaarufu!
@Mbarkakombo
@Mbarkakombo 2 ай бұрын
nyote hamna adabu
@auroxenterprises8003
@auroxenterprises8003 2 ай бұрын
baaachuuuu kichwa kinatoka kidogo kidogoooo anajifanya leo yeye hakutafuta umaarufu na kiburichake mdigo huyuuuuu kawazulumu watu kibaooooo
@AbuuSiiriin
@AbuuSiiriin 2 ай бұрын
Poleee
@AbuuSiiriin
@AbuuSiiriin 2 ай бұрын
Asante hakimuuu
@AbuuSiiriin
@AbuuSiiriin 2 ай бұрын
Tumeona na wewe umo saw
@MohamedSaidi-lj9ei
@MohamedSaidi-lj9ei 2 ай бұрын
@@auroxenterprises8003 ila mashekhe Sam time huwaga hawafikir kabla sasa hayo ndio maneno gani anaongea Kwa waumini bachu ametoa elim binafsi nimepata faida kubwa tu kumtuhumu mtu Kwa asilolisema waziwazi ni ni Shubha huwendA ikawa kweli au umemzulia usuli ni kumuuliza makusudio na ata hao mashekhe wakifata mapito hayo mizozo itapungua Kwa kiasi kikubwa Sana bi idhni llah .
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 2 ай бұрын
SHEKH QASIMU VIPI RADD YA DR ISLAMU TUIPUUZE? ULIKUA HUJUI KAMA ILMU NI HAKK NA HAKK NI ILMU? VIPI SAUT YA SHEKH UTHAYMIN SI YAKE? VIPI MASHEIKH WALIOTAJWA KURUHUSU KUCHUKUA HAKK KWA YEYOTE NI UONGO? usichenji mada
@SultaniHaruna
@SultaniHaruna 2 ай бұрын
Uyu mafuta ya taa aereweki ata ata kidogo
@AllyKiduka
@AllyKiduka 2 ай бұрын
Kasimu wewe una matatizo kichwani kwako kwani ukikaa tu ukafundisha watu shida iko wapi?wewe unaipenda dunia
RADD UPOTEVU WA KISHKI, DR. SULLE, ABDUL ROGO |SHEIKH ABUL FADHL KASSIM MAFUTA
1:10:34
Ice Cream or Surprise Trip Around the World?
00:31
Hungry FAM
Рет қаралды 22 МЛН
Муж внезапно вернулся домой @Oscar_elteacher
00:43
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН
BACHU AMVAA SHEIKH OTHMAN MAALIM TUHUMA ZA UZUSHI VIGAWANYO VYA TAWHID
26:32
BACHU ARIPULIWA NA KITOTO CHA SHEIKH KUSOMA APIGWA ZA USO REJEA UKASOME VIZURI
29:14
USTADHI SHAFII APINGA UTATU MTAKATIFU, AWAUMBUA UST DANIEL MWANKEMWA NA MCH. NDACHA
26:09
Sijil Halal Genting | Khutbah Jumaat | Dr.Mohd.Rosdi
31:00
Kuliah Arab Mikro
Рет қаралды 33 М.
Ice Cream or Surprise Trip Around the World?
00:31
Hungry FAM
Рет қаралды 22 МЛН