Masha ALLAH. ALLAH amlinde na kila jicho baya amlinde na kila zito la dunia na akhera ALLAH amkuze na iman hii mpa hatma yake ❤
@ashrafMussa-p2qКүн бұрын
Mashaallah sina mengi ya kusema ila Allah akufanyie wepesi katika mafanikio yako ya duniani na akhera
@HajiAbu-eo2hp12 күн бұрын
Mashallah Allah akulinde na kila balaa mtoto wetu .MFUNDISHE HUYO BACHU
@jumA-th7rs3 күн бұрын
Mashaa Allwaa. Mola akulinde na Hasada za Bachu na wafuasi wake.
@HijaMussa-v5r16 күн бұрын
Mashallah, Katoto yuko vizuri sana, Mpe darasa Muhammad Bachu mana anadhani yeye anajua kila kitu katika dini.
@abdulqadirmaka665118 күн бұрын
Mashallah mashallah sheikh Mohammed kusoma umefnya kazi kubwaa inshallah mola amuhifadhi mtoto wetu na ww akuepushe na hasad
@sansasansa250416 күн бұрын
MashaAllah Allah akupe umri na akujaze elmu zaidi ufundishe kizazi kijacho kineemeke kwako Aamin
@IssaSalumFadhil6 күн бұрын
Masha Allah, Allah amzidishie elimu na amuondoshee mabishano ya misimamo isio na ushahid kwenye Quran kwa mtoto kama huyu anatakiwa asome kwanza kwa walimu tofauti tofauti ili apate elimu Zaid na sio asome misimamo ya masufi na masalafi hivo walimu wake wanapaswa Zaid kumsomesha Quran na hadithi za mtume (s.a.w) na Wala sio misimamo pia mfundisheni kua hao anaowataja sio watoto wenziwe kwaio aoneshe heshima anapowataja hao watu ni wenye elimu kumshinda yeye na wako na umri Zaid ya miaka 20 kumshinda yeye so nyinyi walimu mfundisheni huyu mtoto kua na heshima anapoongea kwenye mitandao ya kijamii mwisho nawatakia Kila la kheir
@kelvinmaina-si9mw5 күн бұрын
Vp kawagusaee.kaeni kwaku2lia ilimupate elewa na punguzeni zarau fyuuuu
@LabiloWabikongo18 күн бұрын
mashaallah jazkallah lkher allah sw akuzdishie elimu y manufaa ktk dunia na akher pia wazaz wko allah awajaz kila la kheri ❤
@znzmawaidh870218 күн бұрын
Mashaallah Allah amkinge na kila bala ampe elime na hekma na busara sheikh wetu mtarajiwa
@salumhassanallymkurdistan700618 күн бұрын
AMIN AMIN AMIN
@Fauziah-r5q17 күн бұрын
Amiin
@AbdallaSeif-pw2ur17 күн бұрын
9the to and including those to @@salumhassanallymkurdistan7006
@allycomm155314 күн бұрын
Hamjielewi nyinyi
@salamanyale222618 күн бұрын
Mashallah barakallah fiika ya Shekh km harosoma hpo cjui atakaj
@abdulmlawa588214 күн бұрын
Mungu akulinde na ubaya wa ibirisi na binadamu
@Bosezizunae18 күн бұрын
mashallah❤❤❤ Allah Amuinue huyu kijana shekh wa kesho
@hamilkali19616 күн бұрын
Maneno mazuri ya mtoto. Lkn ni vita kati ya waislam kwa waislam.Tuwaunde watoto hawa ktk mambo ya Jihadi kwani makafiri wote wa Nato na mayahudi wameungana sisi tumefarikiana Allah halitaki hilo.
@Fatma99-ve7ys6 күн бұрын
Mashallah tabarakallah Allah akuhifadh na maaduwi
@SwafiyaAlhussein10 күн бұрын
Allah akuhifadhi mtoto mwema Allah akuzidishie ilmu na fahamu mfundishe huo mwana wa bachu hana alijualo 😅
@AbuuimoroImoro4 күн бұрын
Shukrani Allah akuzidishie ufahamu
@SheikhkusomaTv18 күн бұрын
Nawashukuru wote wanao muombea mtoto huyu dua Mungu awajazi kher
@issamsunye188016 күн бұрын
Mungu amzidishie kheri nyingi na shekhe kusoma popote ilipo naitaji ikh-raswi 3 mungu anifungue niwe mwenye kujua dini ya allah kwa majina issa juma issa
@asiabaruani28010 күн бұрын
MashaAllsh,mtoto yuko vizuri Allah akulinde wanaokataa kusherehekea mazazi ya Mtume ni makafiri ndani ya Uislamu
@jabirinyoni8239 күн бұрын
Mashallah
@mbwanaskungfu11689 күн бұрын
Utabaki pekeako kwenye uislamu ambao wajiona ww uko sawa kila mmoja akiwa kafiri...mche Allah ewe Asia.. Hawo wasioshiriki mazazi ya mtume swalallahu alahyi wasalam wampenda sana na ukwelli wa kumpenda kuliko hao wanaosherehekea....
@mbwanaskungfu11689 күн бұрын
Hicho kitoto hakina elimu...kisome dini kiache ushabiki....
@musadzombo18 күн бұрын
Masha Allah Allah akuhifadh
@jumajuma132418 күн бұрын
Allah atuongoze katika njia ilio ya sawa
@salumzahor554615 күн бұрын
Mashaallah mungu akujaze kila la kheri
@LatifaAley11 күн бұрын
Tuamke Waislamu kosoaneni mfahamiane sio kwenye public nyinyi ni ndugu
@ismailisoloka-he4wb15 күн бұрын
Allah amlinde mtotohuyu na maadii
@swabirahaliazimio612716 күн бұрын
Mtume Muhammad s,a,w, alzaliwa siku ya jumatatu mwezi rabiuli awali akasheherekea siku yake yakuzaliwa kwa kufunga, so maulidi ni bidaa uzushi ni haraam Mimi kama alsuna aljamaa,
Mungu akuzidishie wewe nasisi shekhe kusoma ukiona sms naitaji ikhraswi 3 m/mungu anifungu niwe miongoni mwa wenyekuitambua dini ya allah kwa majina issa juma issa
@twahashehe190316 күн бұрын
ماشاء الله عليك من كل شيء
@HamduMasud-xw6qc18 күн бұрын
Masha allah barakallahufiik akiharibu hewani anarekebishiwa hewani ila bachu anapotupeleka sinui ni wap
@Idrismwanjama18 күн бұрын
Wachn kufananisha mwanachuon bachu n hyo mtoto wenu ambae hajielew amekramu vitu hta kuna vitu hasomi nyinyi hamuelw ndiomna mnaon yko swa n hvy vitabu n vya maulamaa wenu s wanachuoni w kisunna
@allyalhussainy121618 күн бұрын
Mwanachuoni? Unajua wanazuoni kweli wewe? Kama Bachu ni mwana Chuoni basi ilimu ya Dini imeisha na kiama kimekaribia@@Idrismwanjama
@@Idrismwanjama hujitambui km umamuweza nawe toka hewani umkosoe
@allyally515613 күн бұрын
@@Idrismwanjama ibn kathiry ,utaymin ,ibn likaym sindo mnaona wamaana hayo Sasa ..bachu sio mwanachuoni wahabi Elimu Yao ndogo
@MwajumaMrisho-n4d16 күн бұрын
Mashaallah ❤❤
@yussufkhatib5 күн бұрын
Mashaa Allah , tume waislam kinyume na ivo tutaburuzwa Muhammad Bachu ni mburuzaji na mfujaji ktk uislam Allah amuongoze afahamu nini uislam uisla sio fujo Bachu una fujo sio elimu.
@MaisaraIbrahim-i9b2 күн бұрын
Bachu anatumia mirungi sio mtu wa kumuamini kabisa
@SaId-y1y12 күн бұрын
Hizi nazo in dharau za kuwadharau mawahabi, kuwaonyesha elimu yao in ndogo kuliko haka katoto au mwamke wa watu wa maulidi, naona anaraddiwa sana na wanawake pamoja na watoto, hizizote dharahu
@SalehMabwella17 күн бұрын
ALLAH AKUHIFADHI KIJANA MDOGO.
@daarularqammkaku15316 күн бұрын
@@SalehMabwella aamiin
@qariabdulrahman64603 күн бұрын
Bachu hafai hata kuitwa Sheikh 😂😂😂hii Movie kali mno nasubiri Bachu nae aje abwachuke 😅😅😅
@ashaomari746518 күн бұрын
Mashaah Allah
@HusseynSingano16 күн бұрын
Jamani bachu akitaka munaqasha tumpe huyu mtoto
@abuuzahran964916 күн бұрын
Wallah naona raha kila watu wanapo chapana twapata faida nyingi sana
@saidmsigiti1417 күн бұрын
Akhasatm jazakum llaahu fiyka baraka llaahu fiyka huyu kijana kwetu ni hidaya ni zawadi Allah katukirim hafizwa llaahu fiyka
@MuhammadKibagai-u4k7 күн бұрын
الحكمة ضالة المؤمن أين ما وجدها أخذها
@abdulkrimalawi716511 күн бұрын
Allah amtoe kwenye giza la masufi huyu kijana
@MudathirOmar-hh5ow13 күн бұрын
Maa shaa Allah ❤❤❤❤
@FotonataMussa17 күн бұрын
Mashaallah
@SamakiMtumwa13 күн бұрын
Mtoke mseme kama mtoto au mtumzma lkn anachosema unaponukuu maliza maandiko na sio "ole wao wanaosali" halafu humalizii aya kisha unaambia watu mnaona waislamu mnao sali kumbe aya inamalizia "wale ambao wanapuuza sala zao"
Yawezekana kumsifu mtume bila twari na ala za muziki
@SHEIKHABOUBAKARY18 күн бұрын
Bachu kanyweshwa maji na dogo, bachu kakalia kufuga ndevu tu jibu Sasa tuone
@mussasaidhamad189112 күн бұрын
unaona sasa Allah anataka mdhalilisha Bachu hii inafanana na kisa cha Narudh kuangamizwa na mdudu mdogo mwisho akaangamia
@BinSultan-t5g7 күн бұрын
Uyu bachu anawaymiza vichwa sana mana kwa hoja hawamuwezi
@Khamishamadhamic17 күн бұрын
Mash llah
@sansasansa250416 күн бұрын
Usipo muelewa huna elmu labda ya ubishi
@AishaHamad-j9t10 сағат бұрын
Wewe mohammad ni ndugu yako au mwanao weka heshima kidgo bado ni mtoto wewe kua na hekma ayo simalezi halaf mtume hakua hivo mfate mwenyewe mkifanya hivo nyote wapotevu na ikiwa umefundishwa bora kasome kwanza tuache mabidaaa
@SalmaAli-g5m14 күн бұрын
Hao mashekh wote niwa nyangu 2
@AishaHamad-j9t10 сағат бұрын
Hakuna baraka yyte labda bidaaa tupu wazinifu wanapatikana hapo wanaotorosha wake za watu wanapromisiwa hapo wanawake wenyekujipamba wote wanapatikana hapo hiyo ndio ibada na kama ibada mbona haifanywi msikitini kwenye maulidi mpaka shubha za zinaa zinapatikana hapo rudi kwa aliyekupanga uzungumze mwambie akusomeshe kwanza
@ALIMOHAMED-h7j16 күн бұрын
Mwenye channel, babake huyo kijana na mwalimu wake mumepishwa
@HardramatYemen2 күн бұрын
Kama ww
@Sheikhmansooralsalimi7 күн бұрын
Mtoeni hpo hata hajui kutamka hilo jina la Mohammed
@HardramatYemen2 күн бұрын
Atoke mamako
@HardramatYemen2 күн бұрын
Tuliza kishundu jitokeze umradi bsi Wacha uhasidi
@Sheikhmansooralsalimi2 күн бұрын
@HardramatYemen siezi jionysha mm
@Sheikhmansooralsalimi2 күн бұрын
@HardramatYemen siezi kurdshia mtsi ila mungu ypo atalipia kwa hili
@NasibuJuma-e6u5 күн бұрын
Usufi shiriki kuabudu mayit
@abdallahkassim760218 күн бұрын
Huyo kijana ndio saizi yake bacho muache amtandike amfundulishe elmu
@KhamisHilali-p4d18 күн бұрын
EBWANA WEWEE MBWAA ATA UFUNGE KENGELE NA UMPAMBE MAPAMBO YA ZAHABU HAWEZ KUBADILIKA TABIA ,ASILI YAK NA JINA LAKE ATA BAKI KUWA JIBWA TU..DINI SIO NGOMA..NYINYI MNAABUDU ZUMARI TU NA NGOMA..HAYA .KIMALIZA WATOTO KUIPAMBA SUFFI TAFUTENI N WANYAMA WAONGE KM WALIVYOONGEA KWENYE WALE JAMAA ZENU WALIOSEMA WANYAMA WALIONGEA WAKIPEANA HABARI..MTUME AMEZALIWA
@mujahidibnimrani30589 күн бұрын
Huyu 2kimo bhana sio mtoto 😂😂 But what he says ana defend sheikh wake na madhihabu yake ya kisufi Kikubwa upande wangu nauliza kusherehekea maulid hayo ni waajibu au sunna?? Kama ni waajibu nani ameiwajibisha ibaada hiyo? Jambo la msingi kubwa ambalo kila muislam anatakiwa alijue km wampenda mtume kweli basi mfate kwa mafundisho yake tu Kila lenye kheri mtume alilifundisha na kila lenye Shari alilibainisha Kwaio Nasubiri jibu nlilouliza
@HassanAlly-k2p18 күн бұрын
جيد
@JamadaYusuf18 күн бұрын
Bachu, umepitiliza
@hamilkali19616 күн бұрын
misikiti mitukufu iko chini ya mayahudi
@suleymanomary66949 күн бұрын
Mummfundishe mtoto dini na wala msimfundishe misimamo na fitna
@faudhiayassini18 күн бұрын
Ww unataka kujua huy ni mtoto au unataka kujifunza
@hafidhseif963816 күн бұрын
Haya twambie nini maana ya sufi na usufi unatokea wapi, sio kufuata mwenendo wa mtume wetu ,je hao nibora kuliko mtume, kwanini tusifuate mtume?
@sansasansa250416 күн бұрын
Nini maana ya maulid?
@hafidhseif963816 күн бұрын
@sansasansa2504 kwa kizungu birthday, kiswahili siku ya kuzaliwa au uzaliwaji, au ww una maana nyengine
@ChudiOmi16 күн бұрын
Bila maulamaa... ww mtume ungemjua vip..?.... acha upuuzi
@ChudiOmi16 күн бұрын
Nikitoto ndio... ila kwabachu nimtu mzima... bachu usiifanyie dini hiana... tafuta elimu kwanza
@ChudiOmi16 күн бұрын
Subhana llah. ....Bachu ... hunanguo.... uko uchi
@zahbinatsuleyman443813 күн бұрын
Mm hata sielew
@HardramatYemen2 күн бұрын
Mambie mamako akueleweshe
@kautharjay586816 күн бұрын
Watu wengi hawajaelewa hii .huyo kijana ana tetea maulid ni halali kuifanya
@HusseinHussein-s3j15 күн бұрын
Wew ndio hujaelewa
@allyally515613 күн бұрын
Wewe unatetea utatu mtakatifu
@SabirHassan-b8b17 күн бұрын
Ilimu ndio huyo
@MaisaraIbrahim-i9b2 күн бұрын
Huyu Bachu ni kafiri tu hakuna sheikh hapo , Bachu ni Sheikh Kanzu Hana ilmu mpiga dili na mvuruga dini. Kwanza Bachu anakula mirungi sasa ni sheikh huyo? Akishakula mirungi usiku akili inavurugika akiamka asubuhi anaparamia mitandao na kutukana watu na kupinga maulid bila ilmu
@Kusag-i9z14 күн бұрын
We na bachu hamjielewi
@HardramatYemen2 күн бұрын
Na ww na punda ni wamoja
@hamadKhamis-p6k18 күн бұрын
Huyo ni mtu mzima
@HardramatYemen2 күн бұрын
Nenda wewe mtu nusu😂😂😂
@swabirahaliazimio612716 күн бұрын
Uyo mtoto pia yeye ni qurafi tu,
@IbnuNadhir-d9r11 күн бұрын
Khurafi ni mamako Hasbuna Allah wanemal wakil Hasidi wewe
@swabirahaliazimio612710 күн бұрын
@IbnuNadhir-d9r usinitukanie mama angu kuma wwe qafiri
@mujahidibnimrani30589 күн бұрын
Jameni nawaomba kwa ajili ya Allah futeni haya matusi mtandaoni Hayafai
@hidayaramadhani183316 күн бұрын
Huyu mwana wa bachu nizumbuu kuku asiejielewa mpuuzeni wenye kujuelewa
@masoud-d2n16 күн бұрын
mototo nenda kacheze rede Au kobole
@HardramatYemen2 күн бұрын
Hasbuna Allah wanemal wakil
@abouswaleh737518 күн бұрын
Mna uhakika HUYO ni mtoto???
@saidali925518 күн бұрын
Si mtoto bali ni mfupi..
@MWAMBAZanzibar18 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@timebakar18 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 loooo
@timebakar18 күн бұрын
@@saidali9255😂😂😂😂😂😂
@abouswaleh737518 күн бұрын
@@saidali9255 ATI WAO WASEMA MTOTO....HAHAHAAA HAWA JAMAA KUSOMA HAWAJUI HATA PICHA TU?
@ummuafifaafifa975312 күн бұрын
Mashaallah ❤❤❤
@AishaHamad-j9t10 сағат бұрын
Hakuna baraka yyte labda bidaaa tupu wazinifu wanapatikana hapo wanaotorosha wake za watu wanapromisiwa hapo wanawake wenyekujipamba wote wanapatikana hapo hiyo ndio ibada na kama ibada mbona haifanywi msikitini kwenye maulidi mpaka shubha za zinaa zinapatikana hapo rudi kwa aliyekupanga uzungumze mwambie akusomeshe kwanza
@AishaHamad-j9t10 сағат бұрын
Hakuna baraka yyte labda bidaaa tupu wazinifu wanapatikana hapo wanaotorosha wake za watu wanapromisiwa hapo wanawake wenyekujipamba wote wanapatikana hapo hiyo ndio ibada na kama ibada mbona haifanywi msikitini kwenye maulidi mpaka shubha za zinaa zinapatikana hapo rudi kwa aliyekupanga uzungumze mwambie akusomeshe kwanza
@AishaHamad-j9t10 сағат бұрын
Hakuna baraka yyte labda bidaaa tupu wazinifu wanapatikana hapo wanaotorosha wake za watu wanapromisiwa hapo wanawake wenyekujipamba wote wanapatikana hapo hiyo ndio ibada na kama ibada mbona haifanywi msikitini kwenye maulidi mpaka shubha za zinaa zinapatikana hapo rudi kwa aliyekupanga uzungumze mwambie akusomeshe kwanza
@AishaHamad-j9t10 сағат бұрын
Hakuna baraka yyte labda bidaaa tupu wazinifu wanapatikana hapo wanaotorosha wake za watu wanapromisiwa hapo wanawake wenyekujipamba wote wanapatikana hapo hiyo ndio ibada na kama ibada mbona haifanywi msikitini kwenye maulidi mpaka shubha za zinaa zinapatikana hapo rudi kwa aliyekupanga uzungumze mwambie akusomeshe kwanza
@AishaHamad-j9t10 сағат бұрын
Hakuna baraka yyte labda bidaaa tupu wazinifu wanapatikana hapo wanaotorosha wake za watu wanapromisiwa hapo wanawake wenyekujipamba wote wanapatikana hapo hiyo ndio ibada na kama ibada mbona haifanywi msikitini kwenye maulidi mpaka shubha za zinaa zinapatikana hapo rudi kwa aliyekupanga uzungumze mwambie akusomeshe kwanza