RADD NZITO NA FEDHEHA KWA QASSIM IBN MAFUTA IBN QASSIM.(هداه الله).

  Рет қаралды 11,146

Akhy

Akhy

Күн бұрын

Enyi mloshika dini,muogopeni manani,
Dunia mtihanini, asiwaghuri shetani,
Hi ni dini sio duni,na kwa mola rejeeni,
muzikamate sunani,kwa meno ya magegoni.
Salafy#. ⬇️⬇️⬇️
kwa radd zaidi hii ni link ya telegram..;
t.me/MANHAJUSS...
بارك الله فيكم،حياكم الله.

Пікірлер: 172
@ramadhanimtetu3656
@ramadhanimtetu3656 Жыл бұрын
Allah amuhifadhi Sheikh Kasim Mafuta
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Sisi tunamuelewa na kumsikiliza qassim Mafuta maashaallah Allah Amuifadhi Duniani na Ahella
@Heiswatching.
@Heiswatching. Жыл бұрын
Allaah(عز وجل)Anasema, "صُمٌّۢ بُكْمٌ عُمْىٌ فَهُمْ لَا يَعْقِلُونَ" Nyinyi hamuelewi mahizbiy watu wa qasimu mafuta.., Tunawahusia mumche Allaah.
@Heiswatching.
@Heiswatching. Жыл бұрын
Alie ni mtu wa sunna kabbisa na anaemuelewa qassim mafuta vyema basi hawezi msikiliza qassim Mafuta.
@ramadhanmbwana5718
@ramadhanmbwana5718 Жыл бұрын
​@@Heiswatching. Wewe ndio hujitambui kabisa hizbi wa kihajawira
@muhammadmjara6776
@muhammadmjara6776 Жыл бұрын
@@Heiswatching. hatuwaz kuacha kumsikiliz kasimu tuhamie kuwasikiliz mahajawera nikitu hakiwezekani Allah amwihivaz kasim
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 Жыл бұрын
@@Heiswatching. Sasa toka lini wewe HIZBI ukawa salaf
@wazirijarah
@wazirijarah Ай бұрын
Kelele za wafuwas wa qasimu mafuta juwa nyundo imewagonga vichwan mwao leten hoja sio maneno tu weka fatuwa nzito kutenguwa hoj hzo mahzibi
@ابونسيبالسلفي
@ابونسيبالسلفي 11 ай бұрын
Allah amuhifadh sheikh qassim mafuta kutokana na vitimbi na fitna za watu wa baatwil
@JumaShundi-tn9pf
@JumaShundi-tn9pf 4 ай бұрын
Aliteleza hapo Shekh Qasim, tusiwe na ushabik ss ni ahlussunna, Mtu akiteleza tuseme ukwel, Ndimi zetu zitaulizwa
@abuubakarshabanabuubakar5115
@abuubakarshabanabuubakar5115 Жыл бұрын
Qaasim bin mafuta ni Hizbi kwa hoja za kielim mwenye matamanio ndio anamtetea
@NAJMASAIDI-e6b
@NAJMASAIDI-e6b 2 ай бұрын
Masalaf wananjaa ya kichwa
@muhammadmjara6776
@muhammadmjara6776 Жыл бұрын
allahu amuhifaz kasimu mafut huwezi kuwalinganisha na hao waropokaji wangine wanaongea hata hawaeleweki kipi wanacho ongea kilele nyingi kama wavuta bangi
@lishp-us9sk
@lishp-us9sk Жыл бұрын
Allaah awatoe kwenye upofu mlonao. Mambo yapo wazi bado mnagaagaa. Duh,, Taqliidi ni mbaya sana,,na ta'assub ndio kabisa.
@ABUUSHURAIM
@ABUUSHURAIM 3 ай бұрын
@@muhammadmjara6776 ni ujahili tu ndio uliokujaa Sasa uyo qasim mtu wa maslahi sio dini na nimeshuhudia kwa macho yangu si kuambiwa yeye na taasisi yake no genge la wahun hata wafuas wake nilionao karbu weng madalali ni waongo mno nao wanajiita masaf iv unafkir usalaf kupeana majna tu usalaf vitendo sio maneno Allah awaifadh ma sheikh wote wakweli na awaongoze kina qasim na dawA yao iliopnda
@YahyaMchange
@YahyaMchange 5 ай бұрын
Shekhe Abuul fadhwl Allah akujaalie
@allyhassan9318
@allyhassan9318 Жыл бұрын
Shekh kaasimu allah akuhifadhi ibainishe hakii
@lishp-us9sk
@lishp-us9sk Жыл бұрын
Allaah awatoe kwenye upofu mlonao. Mambo yapo wazi bado mnagaagaa. Duh,, Taqliidi ni mbaya sana,,na ta'assub ndio kabisa.
@AbuuIshaqaMusa
@AbuuIshaqaMusa Жыл бұрын
@@lishp-us9sk yako wazi wapi na kabainisha nani
@abrahamansaidi8631
@abrahamansaidi8631 Жыл бұрын
Allah amuhifadhi Shekh Qassim Mafuta kiboko ya Mahizbi
@mohamednaimadam2690
@mohamednaimadam2690 Жыл бұрын
Yeye mwenye hizb kama alivyosema Sheikh Abdulkareem alhasany Allah amuhifadhi Siku nyingi tu kama Mafuta hakuwa Salafy huko nyuma wala ss
@lishp-us9sk
@lishp-us9sk Жыл бұрын
@@abrahamansaidi8631 ALLAAH AKUONGOZE.
@lishp-us9sk
@lishp-us9sk Жыл бұрын
@@abuubakarhuseni-hy8ii ni wafuasiwa Mtume (صلى الله عليه وسلم) Sio hajouri.
@user-ls3yu3oz4whgfxzzz
@user-ls3yu3oz4whgfxzzz Жыл бұрын
Na Mtume alipigwa vita na watu wengi ndiokwamaana masheikh wetu kuweni na subra dunia ni kiwanja cha mitihani Wenye ugonjwa Allah awaongoze kama haifai atawaongezea ugonjwa zaidi
@jumanneissa7118
@jumanneissa7118 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi shekh kassimu
@lishp-us9sk
@lishp-us9sk Жыл бұрын
Allaah awatoe kwenye upofu mlonao. Mambo yapo wazi bado mnagaagaa. Duh,, Taqliidi ni mbaya sana,,na ta'assub ndio kabisa. Allaahul musta'aan.
@oman7710
@oman7710 Жыл бұрын
Amiiin Yarabb
@BaroaniMasanga
@BaroaniMasanga 6 ай бұрын
Allah amuhifadhi SHEIKH mafuta, WATU Wana chuki nae tu,mbona WATU wanekosa ya kusema dhidi ya SHEIKH mafuta, wanataka kumchafua tu
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 7 ай бұрын
Jadida mafuta
@JumaabedNzota
@JumaabedNzota 10 ай бұрын
WaLLAH naapakwayule nafsi yangu iko mikononi mwake hutoweza kumchafuwa shekhe Qasim mafuta kamwe huwez kumtoa katika nyoyo zetu wala kumchafuwa utachafuka wewe hzbi mkubwa. Tunakuchukiya kwa ajili ya y
@JumaabedNzota
@JumaabedNzota 10 ай бұрын
Tunakuchukiya Kwa ajili ya ALLAH ewe hizb unae taka kuvuruga nyoyo zetu tunampenda shekhe wetu Qasim mafuta na waLLAH ndoto zetu nikuishi naye karbuu
@SugowFarah-up3db
@SugowFarah-up3db 7 ай бұрын
Abuu Haatim ni mwalimu wa ajabu sana na sio yeye tu bali yeye na walio mfano wake. Swali analopaswa kujiuliza ni hivi👇 Je hiyo taasisi unayoipiga vita kwa sauti ya juu ilipigwa vita kwa maafikiano ya wanazuoni wote wa da'awa salafiyyah au kuna ikhtilaaf ndani yake❓
@ABUUSHURAIM
@ABUUSHURAIM 4 ай бұрын
Kweli mmepinda Yan baada umpende Allah na mtume wake unampenda Qasm mafuta na unamuweka moyon badala ya Allah hapa nimeamin kweli baadh ya watu wanawafuata masheikh wao na wanawaona kma maasumun nilijuaga makhulaf tu kumbe ad kwa wale wanaojinasibisha na usalafy hapa nimeamin uyu qasim ni hizb na wanaomfuata
@ABUUSHURAIM
@ABUUSHURAIM 4 ай бұрын
​@@SugowFarah-up3dbabuu haatim yupo sawa nilikua nampnga lkn saiv namshukuru Allah hakk nimeijua yupo sawa sana Qasm kapinda leo nimeamin
@ABUUSHURAIM
@ABUUSHURAIM 4 ай бұрын
​@@SugowFarah-up3dbabuu haatim yupo sawa nilikua nampnga lkn saiv namshukuru Allah hakk nimeijua yupo sawa sana Qasm kapinda leo nimeamin
@nahjusalafonlinetv13
@nahjusalafonlinetv13 5 ай бұрын
Hajawira ni viumbe vya ovyo kabisa.. hamna mfano wao
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 7 ай бұрын
Mtajuwa tuuh! Nahiyo njia yenu hiyo ya new salafi saivi mmechanika chanika kila kikundi kinamtoa mwenzie katika njia subuhana llah Allah awaongoze majadida
@BaroaniMasanga
@BaroaniMasanga 6 ай бұрын
Haya ni mambo ya ikhyilaaf
@Abutwaibah001
@Abutwaibah001 Жыл бұрын
Nyie madakhila muna shida sana.
@Saalimmakasia
@Saalimmakasia 6 ай бұрын
Mahajaaawira mbon hamumchi allah mnakata kata vipande
@zuberibaharia7662
@zuberibaharia7662 Жыл бұрын
Sheikh qassim mafuta (allah amhifadhi) tumefahamu mambo mengi ya dini kupitia yeye
@SUNNAH0001
@SUNNAH0001 Жыл бұрын
Haijalishi. Wingi wa elimu sio dalili ya uongofu ndugu yangu.
@allyhassan9318
@allyhassan9318 Жыл бұрын
@@SUNNAH0001 wew hyo yakwako chache uongofu wake uko wapi
@allyhassan9318
@allyhassan9318 Жыл бұрын
@@SUNNAH0001 tunawajua bn nyie wababaishaj tuu hamn jpy ht
@lishp-us9sk
@lishp-us9sk Жыл бұрын
@@allyhassan9318 msikilize tena huyo sheikh wako wacha ujinga,Mbona hamswadiqishi kua anakosea hali makosa yake yapo wazi na bado mnadai kua Allaah amhifadhi na kuashiria kua yupo katika haqqi ma eti wanaomuelekeza ni waropokaji,?? Ndugu zangu muogopeni Allaah na muache Viherehere,ujinga,upumbavu na ushabiki HAUTOKUFAENI LOLOTE,TUFUATE HAQQI TUSIANGALIE MTU ANA MANZILA GANI,Hakuna mwenye wadhifa au mwenye daraja ilio juu ya HAQQI,MUOGOPENI ALLAAH NYINYI NA MUE WAADILIFU.
@saidali9255
@saidali9255 4 ай бұрын
​@@SUNNAH0001swadakta! Ndugu yangu!
@SharifaKhalfan-l8n
@SharifaKhalfan-l8n 3 күн бұрын
Qassimu MAFUTA ni mfitinishaji tu
@SUNNAH0001
@SUNNAH0001 3 күн бұрын
@@SharifaKhalfan-l8n kwanini?
@safarinisafari
@safarinisafari 3 ай бұрын
Masalafy wote waongo na katika laana yao ni wao kuzozana tu
@SUNNAH0001
@SUNNAH0001 3 ай бұрын
ALLAAH AKUONGOZE.
@bakarygumbo9370
@bakarygumbo9370 Жыл бұрын
Waislam tumekuwa na mtihan zama zetu hizi
@JafariMohamed-b6w
@JafariMohamed-b6w 4 ай бұрын
makhurafi na mahajaawira mrengo mmoja tuu hao
@XxxZzz-xm5vc
@XxxZzz-xm5vc 9 ай бұрын
@ABUUSHURAIM
@ABUUSHURAIM 4 ай бұрын
Qasim kadhaab wa kutupa hata kma nimesoma kwake ukweli usemwe
@Machapatize
@Machapatize 3 ай бұрын
Uongo wake uko wapi!??
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b 6 күн бұрын
Kweli jiongo limafuta
@ummukuluthumuqurantv7177
@ummukuluthumuqurantv7177 Жыл бұрын
Tafuteni sauti za sheikh khamiys ibn faraji Allah amuhifadhi zinazohusu kadhia ya taasisi mupate faida
@abufirdaus4254
@abufirdaus4254 Жыл бұрын
Wanachuoni wamebainisha hiyo mas-ala ya taasisi Kwa mizani ya Quraan na Sunnah... Hatuna haja na kelele za dharura za masheikh wakihizbi ....
@ummukuluthumuqurantv7177
@ummukuluthumuqurantv7177 Жыл бұрын
@@abufirdaus4254 kiwango chako Cha uelewa ni kidogo sana
@UmmulhabibaFaraj
@UmmulhabibaFaraj Ай бұрын
Jmn nini watu mumche allah,ogopa cku utakayosimamishwa mbele ya mola wako peke Ako ongea kilicho hakki allah atawaongoza pazur rahasivyo mtaangamia na kuangamiza watu
@mussamsuya8595
@mussamsuya8595 Жыл бұрын
Sheikh Qassim uyo ni habar ingine mwanazuon wa zama hiz
@abufirdaus4254
@abufirdaus4254 Жыл бұрын
We akili yako sio salama ...mafuta mwanachuoni? Huelewi unachokizungumza! Mwanachuoni hata umdatul Ahkaam hajahifadhi?
@arifali3942
@arifali3942 4 ай бұрын
Bor ni 😂😂😂😂😂
@AlfarooqMuma-c3x
@AlfarooqMuma-c3x 6 ай бұрын
Hahahaha Wew juma unajielewa kwel
@ybyb8657
@ybyb8657 Жыл бұрын
Abul fadhwil Yuko kuunganisha umma waislam turudi kama zamani umma zilizo pita sa nyie wanaasiasa 🇺🇸 ndomana mnataka kumzima sheykh qassim.
@SUNNAH0001
@SUNNAH0001 Жыл бұрын
Angalia vizuri nini umeongea hapo.
@Heiswatching.
@Heiswatching. Жыл бұрын
"QAASIM MAFUTA KADHAAB,DAJJAAL MUONGO" ABUU USAAMAH KHAMIS IBN AME(حفظه الله).
@تقواللهحسنالاخلقة
@تقواللهحسنالاخلقة Жыл бұрын
Acha ushabiki wa kijinga Akhy yani hayo maneno yako ni wazi kabisa yanaongozwa na matamanio ya nafsi yako, ushauri wa bure kwako kuwa mwenye kupenda kheri na usiwe mwenye kupenda fitna...sasa ukishasema Qasim Mafuta ni muongo na Khamis Ame ni mkweli au pia ukasema kinyume chake Ukisimamishwa siku ya Qiyama utaweza kutetea hoja yako Muogope Allah na jua kila usemalo laandikwa.
@mohamednaimadam2690
@mohamednaimadam2690 Жыл бұрын
Ni kweli hizb mafuta ni muongo sio kwa chuki tena UONGO wake ni ktk daawa zamani tulimpenda lakini baada ya kupinda tunamchukia kwa ajili Allahu
@AbuuIshaqaMusa
@AbuuIshaqaMusa Жыл бұрын
@@تقواللهحسنالاخلقة ttz lake hawa mahajawira akili zao zimechanganywa na mafua ndo wanakuwa waropokaji tu kusoma hawataki lkn fitna ndo wamezihifadhi vifuani mwao allaah awaongoze hawa
@user-ls3yu3oz4whgfxzzz
@user-ls3yu3oz4whgfxzzz Жыл бұрын
Kuna watu huwa wanaongozwa na pumzi zao Kuliko hata Akili basi eti dajjal kadhaab we utakua nini Allah hawezi kutufanya wanadamu Sisi quote waeleve ndo maana yasema ktk Surat Naam wanaoamiini niwale wanaosikia nakuskia pia Ni fadhla ya Allah
@zuberibaharia7662
@zuberibaharia7662 Жыл бұрын
Tumeelewa sasa hatupelekwi pelekwi na nyinyi mahajawira juzi sheikh wenu hayaha al hajuur ametangaza ukhawaarij (allah amuongeza) hadharani mbona hamkusema
@saidihaji3739
@saidihaji3739 Жыл бұрын
Zuberi Baharia Daah yaan uongo wote aliozungumza kassim mafuta ktk clip hii tu unajifanya kama hujauskia na unaanza kumshambulia yule aliemueka sawa ?? Muogope Allah na pana hatar ya kuandikwa na wew ktk waongo kwasbb ya kuwafikiana na nae ktk uongo wake. Acha ushabiki hii ni dini sio (( clabu wala chama cha siasa )) Mtu akisema uongo hutakiwi kumtetea ktk uongo wake . Na waongo wamelaaniwa na Allah . : (( فلعنة الله على الكاذبين ۝
@SUNNAH0001
@SUNNAH0001 Жыл бұрын
Mche Allaah.
@mohamednaimadam2690
@mohamednaimadam2690 Жыл бұрын
Baharia muogope Allahu wapi Sheikh Yahya Allahu amuhifadhi ametangaza ukhawarij Sheikh yahya Immam ktk maulamaa wa ahli sunna .Kihofiye kichwa chako nyama za wanuzuwoni ni sumu .lakini hatushangai hizo ndio njia za mahzib kuwasema vibaya watu wa haki
@abuuabdillaah8909
@abuuabdillaah8909 Жыл бұрын
Kama shekh yahya kamtukana mtume, mbona mnambidiisha hamumkufurishi? Hhhhhhh ima nyinyi ni wajinga hamujui kinacho mbidiisha mtu au mnazungumza kwa kuegemea matamanio ya nafsi. Allaah awaongoze Nyie Swa'aafiqah
@ABUUSHURAIM
@ABUUSHURAIM 4 ай бұрын
Yahya hajamtukana mtume akhy mche Allah kumbuka ipo cku tutaulizwa acha ushabiki angalia hakk abuu haatim yupo sawa
@MfaumeMvungi-dt3ge
@MfaumeMvungi-dt3ge Жыл бұрын
Mbona mambo yapo waz kauli za wanachuon Sasa nn kinatatiza ,hapo mapenz upofu usalafy haumfany mtu kumpenda shekh mpaka KWENYE makosa
@SUNNAH0001
@SUNNAH0001 Жыл бұрын
Alhamdulillaah, Sasa sjui wanaofanya hivyo ni usalafy wa aina gani ambao wanao,na kadhia sio kumpenda tu,wao hawako hivyo hadi kwenye makosa wananyamazia ..ni manhaj ya ki ikhwaani. والله المستعان
@mohamednaimadam2690
@mohamednaimadam2690 Жыл бұрын
Pindi mtu aliyepinda akimsema vibaya Sheikh Yahya basi (ajue kwamba ) watu wenye in swaaf watampa cheo na kumuheshimu.(Sheikh Yahya Alhajuury Allaah amuhifadhi na awaongoze wenye kumchukia bila haqq)
@mohamednaimadam2690
@mohamednaimadam2690 Жыл бұрын
Amesema Sheikh Yahya Allah amuhifadhi na amchunge baina yetu sisi na baina ya yule mwenye kutuzushia uongo yaan ( ktk hii daawatu assalafiya ) ni kitabu cha Allah na sunna za Mtume swaahu Alaihi wassallam na vile vile ni kisimamo mbele ya Allah
@HusseinTofikihussein
@HusseinTofikihussein Жыл бұрын
Wewe huwezi kumfikia shekh kassim ataukisoma miaka 30
@ABUUSHURAIM
@ABUUSHURAIM 4 ай бұрын
Acha ushabiki mbona wakawaida na fatwa zake za kugeukageuka mm namjua toka anapinga taasis leo anaunga mkono ukubwa huo wa elim ukuwap?elim yake ya kawaida sana uyo kma mwamed idd tu hawez kumfkia abuu haatim hata kidogo
@maytvonline3132
@maytvonline3132 2 жыл бұрын
Mahjawirah mnakwama wap
@SUNNAH0001
@SUNNAH0001 2 жыл бұрын
أعوذ بالله من الشيطان الرجيم) سَيَعْلَمُونَ غَدًا مَّنِ ٱلْكَذَّابُ ٱلْأَشِرُ. وَسَيَعْلَمُ ٱلَّذِينَ ظَلَمُوٓاْ أَىَّ مُنقَلَبٍۢ يَنقَلِبُونَ. فَسَتَذْكُرُونَ مَآ أَقُولُ لَكُمْ ۚ وَأُفَوِّضُ أَمْرِىٓ إِلَى ٱللَّهِ ۚ إِنَّ ٱللَّهَ بَصِيرٌۢ بِٱلْعِبَادِ. والله المستعان وعليه التكلان.
@muhammadmjara6776
@muhammadmjara6776 Жыл бұрын
@@SUNNAH0001 mahajawir mnakwama wapi na hajur wenu wapi mumekwama kuiacha haki kwakibur chenu nakuishik batwili
@lishp-us9sk
@lishp-us9sk Жыл бұрын
@@muhammadmjara6776 Allaah awatoe kwenye upofu mlonao. Mambo yapo wazi bado mnagaagaa. Duh,, Taqliidi ni mbaya sana,,na ta'assub ndio kabisa.
@Machapatize
@Machapatize 3 ай бұрын
​@@SUNNAH0001 tumesha mjua muongo hadi leo hii
@salimdena9802
@salimdena9802 Жыл бұрын
Mbone hujulikani, wewe nnani unaemzungumzia Sheikh Qassim Mafuta?
@ibnmandasalafy-zq3rk
@ibnmandasalafy-zq3rk Жыл бұрын
mahajawira tunawajua nyny n wahun wajanjawajanja tu na huyo hajur wenu hizbi
@mohamednaimadam2690
@mohamednaimadam2690 Жыл бұрын
Pindi mtu aliyepinda akimsema vibaya Sheikh Yahya basi (ajue kwamba ) watu wenye in swaaf watampa cheo na kumuheshimu.(Sheikh Yahya Alhajuury Allaah amuhifadhi na awaongoze wenye kumchukia bila haqq)
@mohamednaimadam2690
@mohamednaimadam2690 Жыл бұрын
Amesema Sheikh Yahya Allah amuhifadhi na amchunge baina yetu sisi na baina ya yule mwenye kutuzushia uongo yaan ( ktk hii daawatu assalafiya ) ni kitabu cha Allah na sunna za Mtume swaahu Alaihi wassallam na vile vile ni kisimamo mbele ya Allah
@mohamednaimadam2690
@mohamednaimadam2690 Жыл бұрын
أضل من حمار اهله
@abuuabdillaah8909
@abuuabdillaah8909 Жыл бұрын
Mnasema shekh yahya anamtukana mtume kisha mnasema ni hizbi,...hhhhhh hii ni dalili ya uwongo wa mabaramika
@fadhilimussa5067
@fadhilimussa5067 Жыл бұрын
Hawaa hajawira mtihani sana eti othman swahaba wa mtume kazua bidaa.kama wameweza kumsemaa swahaaba watashindwaa kumsema shekh wa wakaidaa?
@mohamednaimadam2690
@mohamednaimadam2690 Жыл бұрын
Wapi Sheikh Yahya Allahu amuhifadhi amesema Uthman رضى الله عنه kazua bidaa kama kweli ww ni mkweli lete ushahidi
@fadhilimussa5067
@fadhilimussa5067 Жыл бұрын
@@mohamednaimadam2690 sawa nakuletea Sauti yake kuongea kbsa .anasema othman kazua bidaa Bali yeye anasema hamuiiti.mtu wa bidaa ..yaaan nilikuwepo mayo hio Sauti ngojaa niitafute..usijali
@SUNNAH0001
@SUNNAH0001 Жыл бұрын
@@fadhilimussa5067 Usisahau na qauli ya swahaabiyyul jaliil Abdullah ibn Umar(Allaah amridhie), na yeye pia ueke link ya qauli yake kuhusu suala la adhana ya mwanzo ijumaa nani alieanzisha na ameongeleaje suala hilo. Baarakallaahu fiik.
@fadhilimussa5067
@fadhilimussa5067 Жыл бұрын
@@SUNNAH0001 alimktazaa?othman au alikaa.kimya mbele ya othman
@SUNNAH0001
@SUNNAH0001 Жыл бұрын
@@fadhilimussa5067 MIMI CJUI, WEWE WAJUA ALIFANYAJE AU ALICHOSEMA? YOTE YA YOTE ALIJITAHIDI NA AKAKOSEA NA SWAHABA IBN UMAR NA WENGI KATIKA SALAF WANANUKULIWA HIVYO NA TAMKO LA KUA AMEIZUSHA SWAHABA OTHMAAN(ALLAAH AMRIDHIE) KWA SWAHABA IBN UMAR(ALLAAH AMRIDHIE LIMETHIBITI. NA KWELI HAIKUEPO ZAMA ZA MTUME (SALA NA SALAMU ZIMUENDEE) NA MAKHALIFA WAWILI WA MWANZO WALA KWA SWAHABA ALIY (ALLAAH AMRIDHIE) BAADA YA YEYE KUFIKWA NA MAUTI(ALLAAH AMRIDHIE) BALI NI IJTIHADA YAKE NA ALIKUA AKIIADHINIA SOKONI. NA THAWABU ANAPATA NA SI MTU WA BID'AH.
@allyhassan9318
@allyhassan9318 Жыл бұрын
Kaeni mjifunze nyie hajawira siyo mnamfwata huyo kiongozi wenu kila mahali
@lishp-us9sk
@lishp-us9sk Жыл бұрын
Allaah awatoe kwenye upofu mlonao. Mambo yapo wazi bado mnagaagaa. Duh,, Taqliidi ni mbaya sana,,na ta'assub ndio kabisa.
@muhammadmjara6776
@muhammadmjara6776 Жыл бұрын
@@lishp-us9sk hajuri ametow fatuwa tuwavizie makocha wapir tuwauwe huo ndy usalaf unavyo elekez au huo nii khawarij
@lishp-us9sk
@lishp-us9sk Жыл бұрын
@@muhammadmjara6776 UONGO, na hio ndio miongoni mwa nguzi zenu mahizbi ni uongo mpaka,Ogopeni msije kuandikwa mbele ya Allaah kua ninyi ji makadhaab muogopeni Allaah.. Hio Fatwa ya wapi..?. Weka link tuskie.
@mohamednaimadam2690
@mohamednaimadam2690 Жыл бұрын
@@muhammadmjara6776 Moja miongoni mwa nguzo za mahzib ni uwongo i uwongo haufai muda wote tena ndani ya Ramadhani ! Allahul mustaan
@mohamednaimadam2690
@mohamednaimadam2690 Жыл бұрын
Ss kiongozi wetu ni Mtume صلى الله عليه وسلم
@jumanneissa7118
@jumanneissa7118 Жыл бұрын
Et raad hivi hiindo radd ya kielimu? Hivi
@abuusufian6506
@abuusufian6506 Жыл бұрын
Muhemko na ujinga
@DorcasMassawe-x9k
@DorcasMassawe-x9k 2 ай бұрын
Hhhhh
@Abutwaibah001
@Abutwaibah001 Жыл бұрын
Hamuna adabu hata kidogo nyie mwafika wapi kwa wapi na sheikh yahya al hajuri, ma mbwa wa motoni nyie musio kua na heshima.
@mohamednaimadam2690
@mohamednaimadam2690 Жыл бұрын
Allahul mustaan ! Muogope Allah ww ndio una una adabu unavuka mipaka kwa kukufurisha kwako Tubia kwa Allahu .Allahu akuongoze maskini hujitambui umekosa uadilifu na kuvuka kwko mipaka na chuki zimekujaa na upofu Alluhulmustaan
@mohamednaimadam2690
@mohamednaimadam2690 Жыл бұрын
قال الرسول الله صلى الله عليه وسلم -((من قال في مؤمنٍ ما ليس فيه أسكنه اللهُ رَدْغَةَ الخَبالِ حتَّى يخرُجَ ممَّا قال))
@ramadhanmussa673
@ramadhanmussa673 Жыл бұрын
Assalamuaikm nyinyi mlomkebehi shekhe kasim wallahi mtafute jibu zuri la kumjibu Allah
@jumanneissa7118
@jumanneissa7118 Жыл бұрын
Vipi kuhusu swahaba wanaxuzua bidaa kadhaab dajar hajawirah
@mohamednaimadam2690
@mohamednaimadam2690 Жыл бұрын
Amesema Sheikh Yahya Allah amuhifadhi na amchunge baina yetu sisi na baina ya yule mwenye kutuzushia uongo yaan ( ktk hii daawatu assalafiya ) ni kitabu cha Allah na sunna za Mtume swaahu Alaihi wassallam na vile vile ni kisimamo mbele ya Allah
@mohamednaimadam2690
@mohamednaimadam2690 Жыл бұрын
Pindi mtu aliyepinda akimsema vibaya Sheikh Yahya basi (ajue kwamba ) watu wenye in swaaf watampa cheo na kumuheshimu.(Sheikh Yahya Alhajuury Allaah amuhifadhi na awaongoze wenye kumchukia bila haqq)
@mohamednaimadam2690
@mohamednaimadam2690 Жыл бұрын
Muogope Allahu Sheikh yahya Salaf Immam ktk Maulamaa Ahli sunna waliosimama ktk haki na kuitetea hii dini Allahu amuhifadhi angalia nyama za wanazuoni ni sumu wapi sheikh amesema sahaba ni mtu wa bidaa!
@mohamednaimadam2690
@mohamednaimadam2690 Жыл бұрын
Mashia mpaka leo wanamuinda wamuue na maudui wa hii dini na daawa fahamu ww kijana usiwe wa kufuata mkumbo kama wa watu ngoma
@jumanneissa7118
@jumanneissa7118 Жыл бұрын
Hahaaa pole sana kijana ndivyo haqi ilivyo inachoma sana najua umeumia chukua kaida hii wewe mpende umpendavyo hajury alikua ulamaa mkubwa kweli lkn amepinda au wewe nijibu bc hoja yangu hii swahaba hua Wana bidaa? Achakufata matamanio ya nafsi kijana soma au sikiliza kwa makini hawaa za nafsi wengi wamepotea
@jumanneissa7118
@jumanneissa7118 Жыл бұрын
Hajawirah wewe mnaligania ktk milango ya jahamnam
@mohamednaimadam2690
@mohamednaimadam2690 Жыл бұрын
اضل من حمار اهله
@lishp-us9sk
@lishp-us9sk Жыл бұрын
Allaah awatoe kwenye upofu mlonao. Mambo yapo wazi bado mnagaagaa. Duh,, Taqliidi ni mbaya sana,,na ta'assub ndio kabisa.
@jumanneissa7118
@jumanneissa7118 Жыл бұрын
Hajawirah nikama mtu mwenda wazimu mwehu ushaonaona chizi ambae akivuka Barabara ya gar et akawa hajui kama kunakufa ? Hahaha Hawa ndio mahajawira habaki yenu kwisha wamebaki wale wafata mkumbo wajingajinga ambao hawajui mbele walanyuma mbumbu ikiwa shekh wao hajulikani vip hali ya wajinga wengne eti mtume pia amekosea sawa hivi mnaakili nyie kadhab Dajar
@abuuabdillaah8909
@abuuabdillaah8909 Жыл бұрын
Ni ipi hoja yako juu ya madai yako haya?hhhhhh يكون الصُّراخ علی قدر الألم
@abuurauzwat1006
@abuurauzwat1006 Жыл бұрын
Wee kama una mimba zaa . Shekh Kassim hakujibu lolote mpuuzi mkubwa wee.
@SUNNAH0001
@SUNNAH0001 Жыл бұрын
Huu ndio uslubu wa wanafunzi au wafuasi wa sheikh qasimi mafuta. Kijana muogope Allaah.
@mohamednaimadam2690
@mohamednaimadam2690 Жыл бұрын
Hizb mafuta Mzee wa midahalohawezi kumjibu sio Abu hatim tu Khamis Ame Abu rabiy na wengine ni kwa sbb hana hoja atawajibu hapo kina bachu masufi kazubaa namfano wake ambao hawana hoja
@muhammadmjara6776
@muhammadmjara6776 Жыл бұрын
@@SUNNAH0001 usulubu wa kihajawir nimatusitu mwanzo mwisho
@lishp-us9sk
@lishp-us9sk Жыл бұрын
@@muhammadmjara6776 WACHA UJINGA.
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq 7 ай бұрын
Kassim mafuta hizbi salafi
HISTORIA YA SHEIKH KASSIM MAFUTA -ALLAH AMUHIFADHI
30:04
Elimu sahihi
Рет қаралды 68 М.
UWONGO WA MUIBADHI, NA MANENO YAKE YA UKAFIRI, SHK, QASSIM MAFUTA.
13:54
ABDALLAH HUD - HUD (salafiy)
Рет қаралды 2,5 М.
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 3,4 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
CHANZO CHA UGOMVI WA QASSIM MAFUTA NA SHEIKH SALIM BARAHIYANI
25:36
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 2,5 М.
RAD KWA MUHAMMADAYIN shekh abuu usaamah khamis bin ame.. Allah amuifadh
12:17
RADDI KWA HUSSEIN SEMBE || Muhammad Bachu || 4 February 2025
49:13
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 12 М.
RADDI KWA QAASIM MAFUTA NA GENGE LAKE
14:23
FAWAAID za KIELIMU
Рет қаралды 8 М.
SHEIKH QASIM MAFUTA KAFUNGUKA LIVE HUYU HAPA🔴|WENGI HAMJUI KUJITETEA
10:21