RADD 《01》 KWA MBARAKA AHMED AWESO |Kwa kutetea Bid'aa na Watu wake |Sheikh Kassim Mafuta Kassim

  Рет қаралды 3,436

Wajawema Online TV

Wajawema Online TV

Күн бұрын

Pata faida kwa kuskiliza Durous Mbalimbali kupitia chanel yetu @wajawemaonlineTv
ili kuwa wakwanza kufaidika Usisahau ku subscribe ku like ku share pamoja na kutia maoni yako chini ya Video hii Ahsant
____

Пікірлер: 27
@baqirmkilindi9369
@baqirmkilindi9369 Жыл бұрын
Mwalim mfumo wa maisha yako yote unatakiwa uwe ndani ya sheria... Swali halipo sawa
@KomboShineni
@KomboShineni Жыл бұрын
naona comment nyingi tu paha ila nikwamba suali limetoka hilo tunaomba jibu lake
@fareedahmad6857
@fareedahmad6857 6 ай бұрын
Jibu hoja za SHEKH uwesu wapi amekosea wapi amesema uongo....
@ismailmsangule1380
@ismailmsangule1380 Жыл бұрын
Wewe kweli unaisraaf ya elimu yako Hujui unachokifanya
@abdulali753
@abdulali753 Жыл бұрын
Tushawajua nyinyi njaa ndio yawasumbua kwa kutukana mashekh
@khalifaahmed5232
@khalifaahmed5232 Жыл бұрын
😂😂Aweso 10yrs Azhar mistri ww 6month saudiaaaa inkua ww ndio msomi kuradd haimaanishi kua ww ndio mwenye haki Ila wasomi wanajua vzr Sanaa kunao wanavyuoni walokubali llte litaafikiana N sheria ni Sawa shida kubwa utako ww tuu iyo sheria ndio haki wengn motoni Dini haipelekwi kwa radd eti ndio haki
@adennurahuka402
@adennurahuka402 11 ай бұрын
Aweso ni khirafiii wakutupwa pipani,,,walahi anashubha nyingi,,,pia yy husema Allah hayuko juu,,eti yuko kila pahali
@adamjutto5849
@adamjutto5849 9 ай бұрын
Sheikh qaasim 6 months yemeni,15 yrs saudi,chunga babuu,huyo pia ana mar halaa ya doktooraah,siku ungekaa ukaskiliza wala darsa yake ya تدريب الراوي Ndo ungemjua nani qaasim Au darsa ya الأشباه والنظائر Sio tu hvyo,katafute ruduud zake akimjibu dr mubaarak aweso,ndo utajua sheikh qasim mafuta nanii.
@darajanida
@darajanida 8 ай бұрын
​@@adennurahuka402muongo wewe wapi dkt mubaraka kasema kuwa mungu yupo kila pahali itakadi ya kuwamungu yuko mbinguni nitakadi ya kikafir
@SULEIMANSALIM-sp2me
@SULEIMANSALIM-sp2me 3 ай бұрын
​@@adamjutto5849 hawamjui maskini shekh qaasim mafuta n nani Allah amhifadhi na masheikh woote wanaolingania ktk manhaji ya wema waliotangulia icipokua wao wamekaririshwa kua mawahabi hawajasoma dah!? Inasikitisha sana eti saudia miezi sita mh!!? Subhaanallaah
@KomboShineni
@KomboShineni Жыл бұрын
Mashekhe wakiongea maneno lazima uwe makini ndipo utaelewa na usiwe na msimamo angalia haki ipo wapi
@pembamusic3929
@pembamusic3929 5 ай бұрын
😂😂 katafte elimu mwnzo naona huelewki ata.pointi yko niip ?
@MkindiJujan
@MkindiJujan 7 ай бұрын
Misufi huchukua jambo pale linapokua na maslahi kwao likiwa kinyume na maslahi kwao hulileta nusunusu tena bila insaf huku wakijua hadhira kubwa ya waislam dini yao ni chenga hawasomi km wakiristo bali husubiri dini kutoka kwa mashekhe zao
@HuseniChina
@HuseniChina 5 ай бұрын
Jitahid kusoma
@MohammedAli-ud8so
@MohammedAli-ud8so Жыл бұрын
Halafu acheni kuuliza maswali pembeni mualikeni uwanjani aje ajibu maswali
@salimkhamis9406
@salimkhamis9406 Жыл бұрын
Hahahahhhh khatarrr Kazi ippo yaan unatuharbia mb zetu tuu cc tunajua unaongea lamaana aloo ebu mashekh tulien barazan na mamadrasah msomeshe maan naona maneno mengi wala hapana linalozngumzwa ha ww umeongea nn hpo ah hadi mnakera
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp Жыл бұрын
Ameongea kielimu na alietetea kielimu, hawezi kumfaham isipokua mwenye elimu, alietetea nadhan amemfaham
@salimkhamis9406
@salimkhamis9406 Жыл бұрын
@@AllyAhmad-zg2yp hyo elim ipo wp hpo iliyotmika hamuwez mkokota kila mtu
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp Жыл бұрын
@@salimkhamis9406 unakokotwa maana mnaambiwa maulid ni bidaa hakufanya mtume wala maswahaba, wala shafi wala malik, hambal wala abuu Khalifa lakini mnakubali tu kuambiwa ni ibada
@salimkhamis9406
@salimkhamis9406 Жыл бұрын
@@AllyAhmad-zg2yp kwnza ujue nn maana ya bidaa kisha ndio uje kusema Abuu khalifa yaan hjui madhehebi nini watu mnakokotwa tuu ha nan kasema ktk madheheb kitu kma shaf hjafnya ndio madheheb hyo ymekiktaa watu someni nyi msichezewe akili Hao ulotaja ni ma imamu wa madheheb ila ktk kila dheheb kuna malaki ya ma imamu na wanaskizwa na wao c kwmba aseme shafi tuu
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp Жыл бұрын
@@salimkhamis9406 nimrkusudia abuu Khalifa ndugu na wewe pia ktk mesej yako kuna makosa mengi , basi hebu niambie nn maana ya bidaa, maana mm nafaham ni ibada ambayo haikueepo wakati wa mtume na maswahaba na hakuifundisha wala hsikufanywa wakati wake akanyamazia, na haikuwepo wakati wa maimamu wakubwa wanaotegemewa ambao nimewataja, imamam malik, ahmad bin hambal, abuu khanifatunn numan bin thabit na muhammad bin idriss ashafi
@HemedAbdalla
@HemedAbdalla Жыл бұрын
Naona porojo tu
@KomboShineni
@KomboShineni Жыл бұрын
ss ambao tunajua misingi ya elimu tumeelewa na ndio mana tunasubria jibu
@fareedahmad6857
@fareedahmad6857 6 ай бұрын
acha porojo... Na falsafa nyiiingi Tuambie wapi kakosea.... Huwezi kulazimisha MASHEKHE WOOOTE wafuate ufahamu wako..... Wewe NANI.?..MTUME..? Acha kuuliza uliza kaulize mitaani kwenu huko au kapige goti darasani kwa shekh UWESU halafu uliza masuala yako
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
MALEZI - SHEIKH MBARAK AHMED AWES
31:24
Sheikh Mbarak Ahmed Awes
Рет қаралды 4 М.
Suala La Bid'a :: Ust. Mbarak Ahmed awes
41:04
Ahlusunnah Wal-Jama'a
Рет қаралды 56 М.
RADD KWA MBARAKA AWESO WA KENYA ///SHEIKH QASSIM MAFUTA QASSIM
25:19
Sabiilassalaf
Рет қаралды 1,2 М.
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН