Shekh Abul-faadhwil Qasim Mafuta Qasim. Allah akuhifadh na akuzidishie ufahamu coz tunapata faida sana kutoka kwako. Jazakallahukheyra
@salimmapande466811 ай бұрын
Sheykh Jazaakallahu khayran. Allah akuhifadhi na akupe umri mrefu wa 3amali njema. Asiyekuelewa anamatatizo
@abuuthauran993311 ай бұрын
Wale werevu wanamfahamu shekh vzr sana ila wale mashabiki watabaki na ushabiki wao.
@AmaniKepa-b7s2 ай бұрын
Sufi
@aboumuqbil2529 Жыл бұрын
Mi naomba raisi samiya huyu sheikh ampe ulinzi wa kimahakama aswaaa. Wallahi wazushi wanaumiya sana na majibu hayaaa
@faridsaid60 Жыл бұрын
Shekh mungu akueeke tuuilimishe sana walausichoke jazaa yako uliko kwa allah
@husseinihassani3541 Жыл бұрын
😭😭😭😭Maskini kuna watu sjui kwa allah watajibu nini kila siku kula nyama za wenziwe
@AmaniKepa-b7s2 ай бұрын
Huwezi elewa maana wewe pia huna unalojua katika dini yako
@jumamsangazi2872 Жыл бұрын
Mafuta anapaswa kuwa na Adabu na Walimu wake tena sana kwasababu hao ndio wamemfanya mpka kuwa na ujanja wa Ala..alonazo...na pili Mafuta hajajibu hoja hata moja kiilmu alozozitoa Fadhwiilat Al-allaamah Shaikh Samiir Bn Sadiiq
@yazidurashidi8443 Жыл бұрын
Kama ukiwa unasikiliza kwa kukopi tu huwezi ona hoja lakini kama unasikiliza kwa ilmu utajua hoja alizo zitoa shekh samir kua hazina nafasi
@abuuthauran993311 ай бұрын
Watu Wana hoja dhaifu sana, yaan hoja kavu hazina mashiko, eti udugu haupatikani ila kwenye maulid
@ayyamirubba5226 Жыл бұрын
Jazaaka llahu yaa amiyrusunnah
@Dr-ubaida965 Жыл бұрын
HUYU ABULFADHWL ANAPEWA WANAFUNZI WA SHEKH SAMIRI TOP TEN WANAMUHENYESHA.
@AmaniKepa-b7s2 ай бұрын
Sema hivi sheikh samiri aje asome kwa shekh Qassim
@SeifRupatu Жыл бұрын
Ninavyomjua sheikh samiri hawezijibu majibizano anayofosiwa mitandaooni alamtu akimfuata wakitaka kupewa elimu mtandaon live kwauwezo wamungu atapata hawamhawa masheikh hawanaelimu zamitandao elimu zao ni za live mtafteni live kamakweli mnamueza ila kama nataka mitandaooni watamijibu vijanawake tuu😊 ila msiombe mkamfuata live😊😊l
@abuuruwaydatvTz Жыл бұрын
Wewe hivi unasikiliza hojja izo au umekomenti tu Yani sheikh samir kajichanganya kuhusu sunna tarkiyya hapo hachomoki kwani wapo masheikh wengine wakisufy wanakubali jambo Hilo
@aboumuqbil2529 Жыл бұрын
Hili ndiyo tatizo la masheikh waliyokosa misingi ya Sunna wakafata elimu zao tuu. Hapa hakuna yoyote atakaeweza kumjibu sheikh Abdul fadhwil hafidhwahullahu alafu akawa katika haqqi
@abuuuyaynah8801 Жыл бұрын
Kwani huyo shekh ndio aloanza kuleta mipasho huko lushoto Lau angekaa kimya angesalimika kama walivyosalimika wengine
@abuurayaan3902 Жыл бұрын
Huyu ne anaonesha Shabiki 2 wa kijiweni hajui chochote katika Dini laiti ungekua unajua ni nani alieanza Basi usingeandika comment hii Sasa tulieni mufundishwe tena Alhamdhulilah Allah alijalie huyo mudiri wenu kujichanganya na kuingia Bahari ambayo hawezi ogelea Sasa Wacha aokilewe na sisi tupate fursa ya kuelemika zaidi Allah amhifadhi Abul fadhli
@alybinmana6197 Жыл бұрын
No za simu si wapeane wapige mdahalo
@IbrahimuLikolinji-ly2tp Жыл бұрын
Tupo tunaisubiri tupate faida insha Allah
@jumamsangazi2872 Жыл бұрын
Nimesikiza hoja za Mwlm wangu ,Shaikh wangu,mzee wangu....sijaona hoja ilojibiwa hata moja...Mafuta anawababaisha watu...ajibu hoja kama kweli nimsomi asibabaishe...kwakuwa hana majibu ya hoja za Al-allaamah Shaikh Samiir anyamaze kimya
@OmarAlly-iz8ot Жыл бұрын
Wewe nimzima lkn kichwani mwako? Au waya zime gusana kuna shoti kwenye ubongo wako??!!!
@muhamadberhe Жыл бұрын
Kuna kiziwi husikia
@abuunufaysah5328 Жыл бұрын
Shaikh wako kasoma wapi Akhiy?
@Abuu_Asfiya-Salafy11 ай бұрын
HAHAHA daaah wallah yaani shaykh abul fadhli pamoja na kuanzia mbaaali katika muqadima kueleza kiundani kabla hata ya mada yenyewe,, lakini anatokea mtu anasema hakuna hoja imejibiwa daaah kweli usufi ni kama funza wanakula ubongo hawaachi kitu... ta,asub itakumaliza kijana...lazimiana nakutafuta haqqi kisawasawa achana na mambo ya "shekh wangu" 'mwalimu wangu' ...shaykh wako si hojaa fungua akili yako ... huyo shaykh wako saiz anatafuta pakujifichia manake ametandikwa za uso kisawasawa
@Abuu_Asfiya-Salafy4 ай бұрын
@@OmarAlly-iz8ot HUYO WAYA ZITAKUA ZIMEGUSANA MAHALI
@MussaMakange-py3iu Жыл бұрын
Mafuta muogope mungu wakat shekhe yupo mbn hujayasema haya au ndio umeona leo
@Abuu_Asfiya-Salafy11 ай бұрын
kwani wewe umeona lini.,?? kwanza kwani lengo hapa ni kuona lin?? au lengo ni kusikia kama hoja zimejibiwa au hazijajibiwa???
@rashidsaid9409 Жыл бұрын
Eti shekh samir 😆🤣🤣🤣 kumbe pumba tu.kimejitia kuiga kuingia ktk maeneo ya kiumbe alieitwa na watu Abulfadhli.sasa samiri tutamjua kama mjinga. Bora angezungumza na haohao mashia watu wabidaa wenzake ukoo.
@yahayaidarusi Жыл бұрын
Wanajifanya wao ndo alimu sana kumbe wanafitnisha tu watu acha watu watumie elimu zao rad za nini
@jumamsangazi2872 Жыл бұрын
Nakawaida Mafuta anatafuta Laana...kwa mashekh Zake...Shaikh Samiir ni Mwlm wangu...Mzee wangu namjua kiilmu mafuta hamsogelei hata kidgo...awe na adabu...na Pili Shaikh Samiir hana kawaida yakuzozana na watu wanaojifanya wanailmu wakati hawana....
@abuunufaysah5328 Жыл бұрын
Sheikh wako unaedai elimu kasoma wapi Akhiy?
@Dr-ubaida965 Жыл бұрын
HUYU SHEKH TUNAMPATIA USTADH SAID TU AU 2ND ELEVEN. HAMUMSIKII TENA
@mbarakzaid2181 Жыл бұрын
Hii Dini sio siasa
@muhamadberhe Жыл бұрын
Nyinyi mwaona dini Ni ligi sio? Huyo Said mtumeni kwangu tuu
@Dr-ubaida965 Жыл бұрын
Ndo mmejua Leo kama dini si siasa Wala ligi?
@IsmailLangu Жыл бұрын
Nazile aya zinazosema mwenye kufanya mema anaenda pepon
@ilyasabdul-malik4571 Жыл бұрын
Ndio zipo aya izo kweli bali ibada ukiifanya kinyume na mafundisho kinyume na misingi ya dini au kinyume na maamrisho bac ibada hio huwa ni batwil (haiisabiwi) n ukiifanya jambo ktk dini ambalo mtume hakulifanya wala kulizungumzia au ukaongeza au kupundisha ktk yale yalofundisha ata kma ww utaona ni jambo jema bc ww utakuwa umezusha (na uzushi sio wema kwani ujuwe kuwa umekatazwa hilo) so haitakuw ibada njema io ata km ww utahisi jem coz ishatoka ktk sheria Hivyo ibada io hawezi kuingia ktk izo aya unozizungumz ww coz sio ibada zinotakiwa
@ashachitemo7816 Жыл бұрын
Naomba kuuliza! Je? nabii muhammad aliikusanya quran na kuiweka kwenye muonekano huu wa sasa,je? ni nani alianzisha adhana?je? Mtume aliweka mapambo kwenye misikiti?je? mtume alisujudu kwenye udongo au kwenye zuria?je? ni kweli Mohammed Abduli Wahab aliwaua waislamu wenzake pale maka na madina wakati akiwa na abdul azizi bin saud wakauangusha utawala wa kiislamu?
@أبوفيصل-د3ش Жыл бұрын
Hahahaaa jamaaa umebebeshwa shubuha. ila zinajibika ucjali na majib yapo kielimu si porojo.
@ashachitemo7816 Жыл бұрын
@@أبوفيصل-د3ش nijibu sheikh wangu nipate faida
@nassirhamad9407 Жыл бұрын
Wew ni mjinga mpaka unaonesha huruma kwa ujinga wakoooo.... Sikuwa nafkiria kama Kuna watu mpaka Leo Bado Wana ujinga huuu
@أبوفيصل-د3ش Жыл бұрын
Je,Mtume alikusanya Hii Quraan kwa muonekani huu tulio nao sasa? JAWABU HAKUKUSANYA,Aliacha kufnya hivyo kwa sababu Hakukuwepo sababu ya kufanya Jambo hilo.Zilipokuja sababu za kulifnya hilo Basi Waislam(Maswahaba) Waliikusanya Quraan baada ya Mahufadhwi wengi Walifariki ktk Vita.Pia Allah Alikuwa akizifuta Baadhi ya Aya na kuleta Zingne au Nzur zaid Kwan Surat Al Ahzaab ilikuwa ni ndefu kama Urefu wa Surat Baqarah.rejea Quraan aya inayosema ما ننسخ من ءاية....... Sasa kama ingekusanywa muda huu inakuja hii inafutwa Isingewezekana Kupatikana Quraan (Misahafu) yote ya Aina moja yenye Idadi ya sura sawa.Kama idadi hii ya sura 114 na Aya zake. Kadhalika pamoja wao maswahaba waliikusanya ila hawakuweka Vitone wa Harakaat...walipokuja Dola Fulani ndio ikaweka Vitone na kutia Harakat pale watu Walipokuwa wanahitajia Hivyo na Lau kama si kufnya hvyo bas Leo soote tusio na ujuzi wa Fani ya Lugha ya kiarabu ili tuweze Kuisoma hii Quraan tungechukua Muda Mrefu Zaid ya miaka 10 kuisoma Nahw,Balagha,Swarf,ushairi na ubobeee sana huko ndio tuweze kuisoma Fatiha na Sura nyngnezo. Kwan Hao waarabu wa mwanzo Wa enz za Mtume(Maqureysh) na Wengneo hizo Elim tyr wako nazo Kabla hata ya kutumwa Mtume mohammad kabla hata ya usilam.Mfano kina Abuu jahali au Abuu Lahabi Hatumshind Sisi Ktk Ufasaha wa Lugha na wala hakuhitajia Mfasiri Amtafsirie kile Anachokisema Mohammad Na Quraan inachosema. ila sisi Ndo wenye Kuhitaj kujua kwanza Ndo mana Twajifunza Hizo Ni Nyenzo. kwa hyo hazipingwi na wala Haziitwi Bidaa. kwan Aliacha Mtume Kwa sabab Hazikuwepo sabab zenye kupelekea kufnyika kwake. Nafumai nimeeeleweka ktk hili la ukusanyaji wa Quraan.
@أبوفيصل-د3ش Жыл бұрын
Swali lako La kuwa ni nan Aliyeanzsha Adhana.? Hapa cjakuelewa Unakusudia nn Kwan Hadith Zimekuja kutaja jambo hili na Fadhila zake sas inakuaje useme Aliyeanzsha!ilihali hadith zipo na Amri ya mtume ipo kuwa anawaelekeza Umma wake akimwambia Bilali Kuwa Afnye Shufaa ktk Adhana na afnye witri ktk IQaama.HEBU LIWEKE VZR UMEKUSUDIA NN HAPA.kwan Bidaa maanake hilo jambo halipo ktk Dini kwa Maana Quraan wala Hadith haijaja kutaja Jambo hilo
@islamseyffden7723 Жыл бұрын
M snemesema hawa mawahabi wana shobo sifa za kike kbsa😂😂wanamsem mwanaume mwenzake hizi sifa za aisha ase mafuta kesho sh walid piga radd kesho kutwa sh ponda wiki ijayo sh tena unaanzia na othman maalim usitoe elimu halaf tunakuchangia nmb njaa kali😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AminaAlly-r6j Жыл бұрын
Yaan we hujitambui Allah akuongoze,
@muhamadberhe Жыл бұрын
@@AminaAlly-r6jjazaakumullaahu khairan bro
@AbuubakarBakar-w3g Жыл бұрын
Huyo abulfaraj usifuate kauli yake hiyo tu bali ww fuata na kauli zake nyengine الله يلعنكم أيتها الوهابية
@muhamadberhe Жыл бұрын
Huo ndio ujinga uliopea , uliyemlaani Ni huyo wabiya sio ss masalafi