SHEIKH SAMIRI SIDICK (SUFIY) AINGIA KWENYE MIKONO YA SHEIKH QASIM MAFUTA حفظه اللـه

  Рет қаралды 14,362

ABUU RUWAYDA Tv

ABUU RUWAYDA Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 156
@abuuruwaydatvTz
@abuuruwaydatvTz 10 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/bJSxpomvjc9-aaM&si=_d20bPQjsHDNpYQM
@abuubakarihussein2664
@abuubakarihussein2664 Жыл бұрын
Shekh Qasim Mimi kwangu Alhamdulillaah Allah amjalie kheri sn na mashekh wote wa Sunna Kisha mfano wa mashekh wa Samiri Allah awajalie kuifaham Haki
@aliyabasi2058
@aliyabasi2058 11 ай бұрын
Maaa shaa Allah sheikh Allah akubarik.......
@Abuu_Asfiya-Salafy
@Abuu_Asfiya-Salafy 4 ай бұрын
ALLAH SUB'HAANAHU WATA'ALAA AMHIFADHI SHAYKH WETU ABUL FADHL. katika kuweka sawa upotofu mfano wa huu wa wazushi katika dini hii
@AbeidMdimu
@AbeidMdimu Ай бұрын
Mafuta ni pimbi
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot Жыл бұрын
Wallaahi mashekhe wa kisufi-wazushi-mbele ya Mashaayikh wa Ahlissunnati Wal-Athar, nikama watoto wadogo. Na mashekhe wa kisufi ni wavivu kweli na ndio mana hawawezi kutoa bayana za kielimu hata siku moja, sbb ala za kufanyia hivyo hawana. Allaah akubariki Shekh Qassim, na akuzidishie Elimu na ayatanuwe zaidi maarifa yako ktk Dini
@abukassim5645
@abukassim5645 7 ай бұрын
Alahudlilahi Sheikh Kassim mwenye kufahamu ata fahamu
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot Жыл бұрын
Umeongea kwa kutumia ala ulizo nazo, na maongezi yako yanaonesha wazi kua wewe ni msomi mwenye tafiti na tahqiiq ktk usomaji wako. Allaah akulipe kila lakheri
@SaidAbdallah-sm1ft
@SaidAbdallah-sm1ft Жыл бұрын
Hapo mudir samir hatoki atazima kama Muhammad iddi huyu shekhe Allah amuhifadhi na AMPE umri mrefu kwaajili ya uislam na waislam kwa kweli anawakaba wakuu wa masufi
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 Жыл бұрын
Kwani kasim mafuta alimaliza kujibu maswali ya abuu Idd? Fuatilia mambo acha ushabiki
@ankaldally2734
@ankaldally2734 Жыл бұрын
We. Ndio ufatilie utajua nan amekimbia ahhhhhhh abu idd kmya huyo ahh
@jabirhussein4180
@jabirhussein4180 Жыл бұрын
@@ankaldally2734 kasim mafuta hakumaliza kujibu maswali akapotea tu kimyaa mpaka leo
@jamalishoo3802
@jamalishoo3802 Жыл бұрын
Saida tumia akili haya ni mas ala ya kidini
@ilyasabdul-malik4571
@ilyasabdul-malik4571 Жыл бұрын
​ Ndugu Akili gani ya kutumia apo, kama hujamuelewa sheikh kassim Apo bc sijuwi upewe nini ili uelewe Na mas ala ya dini hutakiwi utumie akili zako
@kilengammbaga7125
@kilengammbaga7125 6 ай бұрын
Shekh Abufadhil Allah subhanahu wataala Akuhifadh masufi wameungana lakini hawana hoja wameangukia pua makhulafi wote
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp Жыл бұрын
Masha allah nimepata faida kubwa allah akulipe kheir abulfadhwil
@SalimAmir-ow1wj
@SalimAmir-ow1wj 6 ай бұрын
Maashaallah Allah akuhifadhi shekh wetu abul fadhli
@aboumuqbil2529
@aboumuqbil2529 Жыл бұрын
Ni kusema tu wallahi allah azidi kukupa busara na azidi kukuzinduwa maana Hawa wenzetu Wana Zima kubwa Kwa allah
@yazidumussa3144
@yazidumussa3144 Жыл бұрын
Ukweli sheikh wetu qaasim mafuta Allaah amuhifadh na amchunge aendelee kubaki ktk njia ya sawa,nimefuatilia kwa kina comments za watu humu,nlichogundua masufi wamekosa hujja kbsaa,na lau kama wangekua na hujja tungekoma humu,kilichobak ni matusi na maneno ya kinyaa amby hayana nafasi ktk elimu na dini kwa ujumla wake,ushindan wa mipira na miziki usiletwe kwny dini,haya ni mambo watu tutaulizwa kwa mola wetu
@MbaroukMuhammedMbarouk
@MbaroukMuhammedMbarouk 7 ай бұрын
Allha akuifadhi she he wetu abuu fadhil
@salumhamed5074
@salumhamed5074 Жыл бұрын
بارك الله فيك وجزاك الله خيرا
@JafariHassan-yi2vk
@JafariHassan-yi2vk Жыл бұрын
Barakallah fik sheikh wetu abullfadhil Allah akuzidishie ktk mizan yako
@tztanzania2262
@tztanzania2262 Жыл бұрын
Sheikh abulfadhwl Allah amuhifadh japo nadhan aliteleza kipind kile Cha kutoa radd kwa duktoor Islam wa kenya
@YusuphYahya-g9s
@YusuphYahya-g9s Жыл бұрын
Nilikua nafatilia sana darsa zako sheikh Qasim ila kwakushindwa kujibu hoja za sheikh Sameer na umebaki kurukaruka tu limenirudisha nyuma
@abdulmwalimu7111
@abdulmwalimu7111 Жыл бұрын
Masufi tunajua mnafatilia darsa za shekh kwaajili ya faida ila akianza kuradd upotoshaji wamashekh zenu mnaumia, Sasa embu taja hapa ni hoja gani haijajibiwa nikujibu hapa
@التوفيقمنالله-ك8ر
@التوفيقمنالله-ك8ر Жыл бұрын
@@abdulmwalimu7111 Akhy naomba unitumie linki ili nipate ruduud kwa mpangilio mzuri zaidi
@AdnanMohammed-l6i
@AdnanMohammed-l6i Жыл бұрын
Kutokuwa na ithbati kwako ndo ukarudi nyuma ww upo kama majani yanayo burutwa na mafuriko kushindwa kujibu shekh Qasim sio hoja yakujulisha kwamba ichokitu kilichoulizwa ni sahii au muulizaji ndo kashinda yupo katk hakki apana kuwa ktk hakki kitu chengine na kushinda nikitu chengine kushindwa kujibu hoja nikwamba elmuyako imefikiaapo ata maswahaba walikuwa wanashindwa jihad baadhiya mda je walikuwa hawapo ktk hakki akhy kuwa na akili alafu tumiya akilizako haki aiondoki kwa kushindwa mteteaji wala batwil haisimami kwa kushinda mteteziwake sawa
@salumhamed5074
@salumhamed5074 Жыл бұрын
May Allah bless you 🙌
@dennisajayi1785
@dennisajayi1785 11 ай бұрын
WACHA KUJIFICHA KAMA MWANAMWALI TOWA VIDEO UUONEKANE
@enockramadhani7065
@enockramadhani7065 5 ай бұрын
Unadhani kill mtu ni mpuuzi kama wewe
@enockramadhani7065
@enockramadhani7065 5 ай бұрын
Video za Nini unadhani sisi Ni wauza sura
@hashimiddy4142
@hashimiddy4142 Жыл бұрын
mashallah
@YusuphYahya-g9s
@YusuphYahya-g9s Жыл бұрын
Mnakera sana masheikh zetu mmekua na ushindani kama wa Simba na Yanga na hakika hamfanyi haya kwa ikhlaas bali nikutetea makundi yenu na matumbo yenu tu...achaneni masheikh na mabishano yasiokua na tija dah.
@ilyasabdul-malik4571
@ilyasabdul-malik4571 Жыл бұрын
Allah akuongoze ww ktk sunna swahihi na ututhibitishe na sisi pia, aamin Kaka tafuta sehemu sahihi ya kwenda kuchukuwa elimu sahihi, hayo maneno unoongea ww apo, ni dalili tosha ya kukosa elimu sahihi na mwenendo sahihi, chunga sanna nafc yako na mdogo wako, إياك وحذر
@Abuu_Asfiya-Salafy
@Abuu_Asfiya-Salafy 11 ай бұрын
huyu bwana anaonekana dhahiri hata isingi ya elimu hana. manake msomi hauwezi akaongea kama hivi @@ilyasabdul-malik4571
@abuubakarihussein2664
@abuubakarihussein2664 Жыл бұрын
Shekh Qasim wewe ulijipanga kweli kwajili ya umma Huwa nafaidika sn
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش Жыл бұрын
Maskini @SeifRupatu hata kuandika kiswahili hajui vizuri.Halafu anaparamia mambo makubwa yanayohitaji mwenye Elimu. Allah afungue fahamu zako. Allah amewajibu wapinzani wa hii Dini Mara nying sana ndani ya Quraan.rudi ukasome Japo Suurat Alla-habi.
@SeifRupatu
@SeifRupatu 9 ай бұрын
Wewe @user-qe8xp6ii1u. ndio huielewi Qur an. La da nikuulize swali dogo tu nduguyangu KUTOKANA na maneno yako KAMA ALLAH AMEWAJIBU WAPINZANI WA DINI KTK QUR AN. NISHEKHE GANI ALIE IPINGA DINI HII!! MPAKA NYINYII MAWAHABI MKAAMUA KUWASEMAA?
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش 9 ай бұрын
@@SeifRupatu Ruduud zipo nyingi tu.Nenda kasome Na ukileta Habari za masheikh unakosea hapa.Huku ni kulazimisha na lau hao masheik wako wa kileo wangekuwepo Enz hizo wangesemwa na kujibiwa pia.Rejea kauli yake Allah inayosema ولا تقولن لشيء إني فاعل ذلك غدا.... Au ولو أنهم صبروا حتى تخرج إليهم لكان خيرا لهم..... Je hii sio raddi??? Ruduud zimegawangika sana Hata kwa watu Wa haqq nao huraddiwa ili Dini ibaki salama kama ilivyokuja. Rejea Maneno Ya Al imaam Maalik Aliposema كل منا يأخذ ويرد.....إلا صاحب 👈هذا القبر.
@HajiHaji-r6n
@HajiHaji-r6n Жыл бұрын
Jamani huyo yule bachu ndogo ni sheikh mwenye tawadhui kubwa sana , hebu sikiliza uo utanangulizi tu ni dua aongea vitu Kwa elimu habahtishi tunamuomba Allah amuhifadhi .
@التوفيقمنالله-ك8ر
@التوفيقمنالله-ك8ر Жыл бұрын
Assalam alaykum warahmatullah Akhy tunaomba link za WhatsApp au telegram ili tupate hizi ruduud kwa mfululizo mzuri barakallahu fiika
@وزيرهالوزير-ذ8س
@وزيرهالوزير-ذ8س 3 ай бұрын
Huu kasim mafuta aache uzandaqa tumishambain
@AbdulkarimMohamed-og7mx
@AbdulkarimMohamed-og7mx Жыл бұрын
Kawaida ya mtu hasidi 😊😊😊😊😊😊
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 Жыл бұрын
Mitandao ya kijamii hasa utube imepokewa tofauti na masheikh walio wengi..!!Badala ilete manufaa kwa Waislamu inaleta mifarakano😢😢😢😢
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
JAMBO LOLOTE LA BIDA'A HUWA HALINA KHERI, BIDA'A YA UTUBE NI MBAYA SANA, BIDA'A YA KUTIZAMA MWEZI KWENYE VYOMBO VYA HABARI NI FITNA KUBWA. HIZI BIDA'A MBAYA SANA
@Abuu_Asfiya-Salafy
@Abuu_Asfiya-Salafy 11 ай бұрын
unataka manufaa gani zaidi ya haya?? au unataka mashaykh wajirecord katika mitandao ya kijamii wanapiga madufu na vinanda huku wakicheza ???
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 11 ай бұрын
@@Abuu_Asfiya-Salafy BORA WASOMESHE TAWHEED TATU KAMA WASABATO. NDIO ANAVYOTAKA
@badilamu
@badilamu 11 ай бұрын
Hata kama ingekuwa ni bid'ah aloleta Umar ra nyinyi ni nani muwe muna haki yakuanzisha bid'ah ninani mwenye kima cha kuzua. Watu wa bid'ah niwatu wapuzi wasioo na mizani. Kidha hizo bid'ah zenu kheri iko wapi. Na mmekuwa wazito katika ilmu madrasa zenu nyimbo nyingi badala ya kuhifadhi ilmu
@mohamedswalehe4442
@mohamedswalehe4442 Жыл бұрын
UWAHABI NA USALAFI NIKAFIRI ULIOWAZI
@saidishekalaghe3496
@saidishekalaghe3496 Жыл бұрын
Hata kukusanya watu na kushindana kusoma Quran hakukuwepo kipindi cha Mtume Muhammad s. a.w , lakin watu wanafanya je wanapata dhambi. Kumsifu Mtume kwa wingi mkiwa mmekusanyika hakukiwepo kipindi cha Mtume Muhammad s a w , Je tukiifanya sasahivi twapata Dhambi? Think and deep your thought. JIBU NI KIWA SI KILA KILICHOANZISHWA BAADA YA MTUME NI HARAMU , TATIZO LUGHA YA KIARABI IMEKUWA MTIHANI MKUBWA SANA KWA NDUGU ZETU HAWA. LAKIN INSHAALLAH MBELE YA SAFARI WATAELEWA TU. KWA SASA MAULID YAMEPATA NGUVU SANA BAADA YA WATU KUDAI MIJADALA KILA KONA. MIMI MWENYEWE NATAKA NIANZISHE MAULIDI MTUME ATAKWE KILA KONA YA DUNIA. KUMTAKIA REHEMAMTUME WENGINE WANAUMIA KINACHOWAUMA NINI?
@ilyasabdul-malik4571
@ilyasabdul-malik4571 Жыл бұрын
إتق الله
@KomboShineni
@KomboShineni Жыл бұрын
nakama angefatwa shekhe nae aka rekebishwa kimya kimya sisi je tunge pata faida wapi kwayale alio zusha shekhe?
@rashidothman-w9q
@rashidothman-w9q 5 ай бұрын
mimi naomba kujua kutoka kwenu mashekh. madhehebu nini? je, wakati wa mtume ( S.A.W) kulikuwa na madhehebu?
@SaidAbdallah-sm1ft
@SaidAbdallah-sm1ft Жыл бұрын
Sijawahi kuona shekhe yeyote aliye jadiliyana na sh kasim akatoka ktk hoja Bali anashinwa kujibu masuwali anayo ulizwa Sasa acha tumuone Samira
@abuuruwaydatvTz
@abuuruwaydatvTz Жыл бұрын
Kajichanganya vibaya manake wapo masheikh wakisufy wanakubali jambo hili Sasa sijui atatokaje
@tanzaniaonmzamiloon8627
@tanzaniaonmzamiloon8627 Жыл бұрын
Akili anazo ashawahi kuweka mnakasha wakata kukakatazwa mshindi?
@jamalishoo3802
@jamalishoo3802 Жыл бұрын
Kwann umemuita Samira badala ya samiri Kama kweli mpo kwenye haki mbona mpaka mtukane?
@Abuu_Asfiya-Salafy
@Abuu_Asfiya-Salafy 11 ай бұрын
​@@jamalishoo3802typin error.. msianze kuleta talbis mnatafuta pakutokea
@SeifRupatu
@SeifRupatu Жыл бұрын
Sheekh mwamed bakari Alisema mwenyehoja Ajeee mkawakimyaa kafaa ndioomnakujaa achenikuwasemavibaya watu wema waliotanguli fanyeniyenu yatakayo kusaidieni kwamolawenu
@AbuuBakar1
@AbuuBakar1 Жыл бұрын
Jibu hoja sasa
@adamjutto5849
@adamjutto5849 Жыл бұрын
Shekhe bakari ni mwalimu wa sheikh qaasim,sasa angejibizana nae kipindi anasoma,ntie sasa mlie muelewa sheikh bakari mjibieni,au mwataka mkamfufue aje kuwajibia😂?
@KomboShineni
@KomboShineni Жыл бұрын
twembie baba seif au hoja zimefika
@allyjaffar7072
@allyjaffar7072 Жыл бұрын
NJOONI KATIKA USALAFI...Kuifanyia kazi Quran na Sunnah kwa ufaham wa wema waliotangulia ndio MFUMO WETU Alhamdulillaah
@taurehassan7399
@taurehassan7399 Жыл бұрын
Hv ni kweli cc salafi twafanya bid'aa km vile kuweka mashindano ya Qur'an kla mwaka na kutoa zawadi mblimbl kw mshnd na kufanya dua ya kuhitimisha Qur'an ndn ya swla ktk mwez wa ramadh ktk swala ya taraweih ktk mwez wa 27 au 29 eti ni kweli mtu hakufanya?embu twaonba utusaidie fatwa ostdh
@allyjaffar7072
@allyjaffar7072 Жыл бұрын
@@taurehassan7399 Fuatilia vzr duruus za Mashekh wa kisalaf utakut fataw hizo...na majibu yako wazi WALILLAAHILHAMDU ila humu (kweny comments) sio sehem sahihi ya kujibiw Fat'wa ukaelewa,Allaah atuhifadhi
@jangwambwana3837
@jangwambwana3837 11 ай бұрын
Hanalolote huyo azunguka HUMO humotu kuwatatiza bwanena huyo NI muk thiru huyo anamaneno mengi azunguka HUMO humo wala hajamuelewa Sheikh SAMIIR bado amskilize vizur iliaelewe
@SoudSanawari
@SoudSanawari Жыл бұрын
Huyu Jamaa kwanini anaficha Sura
@salumhamed5074
@salumhamed5074 Жыл бұрын
Samer ameisha butu
@omarimamboleo2634
@omarimamboleo2634 Жыл бұрын
Msitoe ufahamu shekh muda wa kujadiliyana na huyu mropokaji hana nawala huyu si msomi nimpenda sifa kama yule.mwenzie aliyekinajisi kiti Kwa taarifa yenu huyu ameshapewa wanafunzi wenzie wajadiyane naye nawalikuja pongwe kwenye hadhara ya ust jambia akaambiwa hayo maswali yake atafute.mahala popote watu wajadiliyane nakama hana gharama za vibali pia aseme vijana wenzie watalisimamia hilo naakaulizwa baadhi ya maswali mpka leo hajatoa jibu.lolote halafu nyie wapambe wake mnampromot Huyo anatafuta pesa kupitia online tv na umaarufu tu Jamaa keshapiga mahesabu yambali anajua kwa kumtumia shekh sameer atapiga hela ndefu kwenye online tv Kama nihayo majibu anayoyataka Shekh Muhammad kesha yatoa tokea miaka ya 80 wengine hamjazawa Chamsingi mwambieni huyo mtaka sifa awe na adabu na mshekhe na baba wa watu wengine kwani elimu ni adabu sio kuwatusi watu
@khamseysagrado7547
@khamseysagrado7547 Жыл бұрын
Unayo hoja sheikh qasimu kuhusu tarku......,tusubiri majibu kotoka kwa sheikh wetu samir
@taurehassan7399
@taurehassan7399 Жыл бұрын
Hii Sunnah imethibitishwa na wanazuoni c na mtume lkn wanazuoni haohao wakiwatumia hao munaowatuhumu wafanya bid'aa hamutaki hv hyo ndio njia ya uwadlifu?
@taurehassan7399
@taurehassan7399 Жыл бұрын
Je hakuna wanazuoni wanaofanya maulid au kuyakubali maulid au mpka aseme ibn jauz'ii?tuweni na insaafu jamn
@taurehassan7399
@taurehassan7399 Жыл бұрын
Kwhyo na cc hatuna 7bu ya kufnya maulid au kumtangaza mtume?ikiwa 7bu z kuleta adhan zilikuwepo je wanaofanya mambo hya hawana 7bu?
@ilyasabdul-malik4571
@ilyasabdul-malik4571 Жыл бұрын
Hakuna hoja juu ya hilo halifai na halina asli na io bidaa unoitaka ww ya maulidi, mtume, maswahaba, tabiina maimamu wakubwa wote na maimamu wa kisunna vile vile wamelikataa hilo kwa kuwa halina asli na halikufanywa n uzuri, (na awo maulamaa wachache sna alosaupport hilo jambo ni wachache sanna than hana hoja wala dalili juu ya hilo so halina mashiko)
@ilyasabdul-malik4571
@ilyasabdul-malik4571 Жыл бұрын
Ni mila za kisufi tu
@ilyasabdul-malik4571
@ilyasabdul-malik4571 Жыл бұрын
Na kitwariqa bc
@mohamedswalehe4442
@mohamedswalehe4442 Жыл бұрын
HAKUNA CHOCHOTE KAZI YENU NIKUNUKUU VIPANDE MANAVYOVIPENDA MSIVYOVIPENDA HAMVINUKUU LENGO LENU NIKUIFICHA HAKI
@huseinmaulidi7346
@huseinmaulidi7346 Жыл бұрын
Ukimsikiliza vizur huyu bwana utagundua kuwa hamu yake ni kiki kupitia sheikh samir
@huseinmaulidi7346
@huseinmaulidi7346 Жыл бұрын
Eti mtume aliacha adhana ktk swala ya maiti , kuacha kitu maana yake ulikuwa unakitenda sasa mtume kwani aliwahi kuadhini mpaka wasema aliacha adhana, sheikh mafuta wazungumzana watu wenye akili bhana
@KomboShineni
@KomboShineni Жыл бұрын
ww nadhani umuelwa usijifanye husikii haki inapo semwa
@jamalishoo3802
@jamalishoo3802 Жыл бұрын
Acha uoga Mtatafute uongee naye ana kwa ana
@abdulmwalimu7111
@abdulmwalimu7111 Жыл бұрын
Yeye mbona hajamtafuta shekh au ndo aanzae hajulikani!
@Sheikhkazuba
@Sheikhkazuba Жыл бұрын
Faida huwa ni faida tu. hiyo sunnatu tar-kiyatu. hii mimi nilikua sijui kua kuna sunnatu tar-kiyatu. lakini kajieleza vizuri kua amefanya bah-thi yake ndio kagundua hilo. sasa ambaye hajamuelewa mtu huyo ana matatizo.nadhani hata Sheikh Samiri atakua kamuelewa vizuri kua zile ala za Nahaw usulul-fiq-hi swar-faa na balagha na ala nyinginezo ndizo alizotumia yeye mpaka akagundua kumbe Sunnah sio kile alichofanya mtume wala maneno yake tu wala taq-riiri zake tu bali hata Tarkiyaat zake ni sunnatu tar-kiyatu. na kasema wazi kua sunna sio hivyo vigawanyo vitatu wala vinne, bali vinaweza kufika vigawanyo vingi viano mpaka hata ishirini. na akasema hizi ni istwilaahi tu za wanachuoni. hivyo acheni uvivu jamanini fanyeni bah-thi kwa fani mlizojaaliwa mtavumbua na kugunduwa vigawanyo vingi tu. Duuuh hicho kidume kweli. hebu tuona kama wanaojiita wenye elimu hii Sunnatu tar-kiyatu wataitolea maelezo gani. Mimi binafsi nimekuelewa saaaana tu.
@mnefusatajiri
@mnefusatajiri Жыл бұрын
Allah atufahamishe sote
@shadadiswalehe3997
@shadadiswalehe3997 10 ай бұрын
Kichwa hicho wanabidia hawakiwezi huyo sio muhammadi bachu huyu kabobea kwenyeelim ana digree
@athumankalua501
@athumankalua501 Жыл бұрын
Ww Kama unaelim mbonaa she abdulmajid tu alikutoaa kamasi
@adamjutto5849
@adamjutto5849 Жыл бұрын
Asa huyo si kichaa,anasoma ibara za kiarabu kama anakabwa,abdul majidi nae sheee😂
@Dr-ubaida965
@Dr-ubaida965 Жыл бұрын
Abuufadhwil tunataka mnaqasha na wee na ustadh said au na shekh lake Ustadh fadhil shirazz HATUNA MUDA WA KUMINYANA KWENYE AUDIO KILA SIKU
@abuuruwaydatvTz
@abuuruwaydatvTz Жыл бұрын
Acha kifananisha mwenye elimu na mjinga Yani huyo said bado mtoto sana Kwa sheikh Abul FAADHWIL QASIM MAFUTA حفظه اللـه تعالـى ورعاه
@Dr-ubaida965
@Dr-ubaida965 Жыл бұрын
@@abuuruwaydatvTz NDIO NI MDOGO LAKINI ANAUWEZO MKUBWA WA KUMBANA ABUUFADWL KTK HOJA. KAMA HUAMINI MWAMBIENI ATAKE MUNAQASHA ALAFU MTANAMBIA.
@Dr-ubaida965
@Dr-ubaida965 Жыл бұрын
​@@abuuruwaydatvTzUjinga wa ustadh said ndo ulomfanya abuulfadhl ajibu "wée Baki na tée Yako"
@abuujibriltv5233
@abuujibriltv5233 Жыл бұрын
Hivi mafuta kwanini uki ongea una legeza sauti?. Yaani hadi hausikiki vizuri. Ungea kama mwanaume bwana. Khalafu hautoagi majibu ya kielimu una poroja tu. Una ulizwa swali sekunde kumi unajibu masaa mawili
@abuuruwaydatvTz
@abuuruwaydatvTz Жыл бұрын
AFYA YA AKILI HUNA
@Abuu_Asfiya-Salafy
@Abuu_Asfiya-Salafy 4 ай бұрын
@@abuuruwaydatvTz afya ya akili ni tatizo kubwa kwa masufi, watu wa maulid
@ر.ج.ب
@ر.ج.ب Жыл бұрын
Usufi ni ungonjwa kuliko kisukari
@abdallahsiraji9919
@abdallahsiraji9919 Жыл бұрын
Inna lillah wainnaa ilaihi Raajiuun... Muigope sana Allah.na itazame vizuri Aqida yako... Wayahudi wanafurahi sana kujigawa na kuchukiana waislamu kwa kigezo cha Madhehebu... Allah akupe hekma ujitafakari In sha Allah...
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
HIO KITABU AU SUNNA? 😁
@jamalishoo3802
@jamalishoo3802 Жыл бұрын
Uwahabi ni kama Ukimwi
@aliyabasi2058
@aliyabasi2058 11 ай бұрын
Sheikh samir twaomba majibu kwa hayo maswali uliyoulizwa au utaingia miti kama abu eid hhhhhhha
@KomboShineni
@KomboShineni Жыл бұрын
kama hujaelewa kitu gan kemepingwa ww simtu wa dini Bado
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 Жыл бұрын
Naomba kuuliza,je? adhana ilianzishwa na nani?
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Жыл бұрын
Ilianzishwa mbinguni
@IdighamuMashombo
@IdighamuMashombo Жыл бұрын
Kweli huyu ana chosema hakieli kasimu ana jitangaza kabisa kwamba hana ilimu inategemea wanaokuambia wewe nishehe nimajahili wezako
@SeifRupatu
@SeifRupatu Жыл бұрын
Sijaelewa kitu gani umepinga
@MansurSaide-ui9ij
@MansurSaide-ui9ij 3 ай бұрын
@mohamedswalehe we njinga usio jijuwa Kama wewe njinga
@hamisimkulu6571
@hamisimkulu6571 Жыл бұрын
Kaka mafuta kama unailimu andika kitabu chako kwalugha yakiarabu tukukague kwenye qawaaid kama unaweza tukukague kwenye fani achakusoma vyawezakotu unajisifia elimu andika kitabu kamahutakutwa namakosa mia 8
@sheikhabuusakakin3243
@sheikhabuusakakin3243 Жыл бұрын
Sheikh amendika vitabu vingitu kama unahitaji utajiwe majina ❤
@mnefusatajiri
@mnefusatajiri Жыл бұрын
alie andika hii post bado yuko mbali sana na elimu kwani akiandika kitabu hizo dalili atazitoa wa kama sio katka vitabu vya wanachuon..
@alybinmana6197
@alybinmana6197 11 ай бұрын
Mbna kashaandika sana tyu
@KomboShineni
@KomboShineni Жыл бұрын
sio hoja kufuatwa shekhe hoja dalili ndizo na kama sio ww njoo hewan watu wakuone una kataaje Kwa dalilizipi
@alphanathumantv2049
@alphanathumantv2049 Жыл бұрын
Haonekani ila anakutandika unakaa sawa je akionekana?
@ibnsuleyman4140
@ibnsuleyman4140 Жыл бұрын
Mafuta mtafiti 😂😂😂 dahhh umetuona mafala sanaa sawa baba tupeleke unaavyotaka ila hakuna kitu kinaitwa sunnatu tarkiyya
@yazidumussa3144
@yazidumussa3144 Жыл бұрын
Halaf hii ni dini ya kufuata na si kuanzisha lako,mtu ana comment kua mafuta kama una elimu andika kitabu chako kama hatujakutoa makosa 800,kama mkimtoa makosa 800 ndo nini?maulid yatakua si bida'a,sunnah tarqiyyah haitokuwepo?
@tanzaniaonmzamiloon8627
@tanzaniaonmzamiloon8627 Жыл бұрын
Huna hoja kelele tu sasa hapo umejenga hoja gani
@YusuphYahya-g9s
@YusuphYahya-g9s Жыл бұрын
Unatoa mfano wa kitabu cha sheikh wa kishafii na unachukua ibara unayotaka wewe tu wakati Alihsitami kaongelea bidaa nzuri zipo na anazikubali na kagawanya bidaa hasana na madhmuumat...
@selengu
@selengu Жыл бұрын
Leo AYA NA HADITHI HUNA Ila wenzio unawakanyagia wakikupa dalili nje ya Aya na hadithi.... Adhana umekubali kwa kuwa Kuna kalimatu tawhiid, kuwaita watu kwenye kheri japo etie unasema Sio bidaa na wakat mara zote unasema kilichokuja after Mtume SAW ni bidaa Wenzio wakikupa dalili za maulid kwa utaratibu huo huo ulioleta wewe unamkanyagia.. Leo unazungumza mambo ambayo hakufanya Mtume SAW kipindi hcho kama hakukuwa na hitaji Ila ukiwa na hitaji lazima lifanywe na HUWEZI kusema bidaa.. Jana wenzio wamekupa sababu kama hiyo kwenye jambo Lao unawakanyagia. NYIE ni WATU WAROPOKAJI MNARUKA MKOJO mnakanya MAVI.. Ebu kaeni KIMYA katika mambo yenye khilafu Kila mtu afuate analoliamini na dalili yake sio mnashinda kutafuta maegemeo ya wenzenu na kupiga miluzi tu mitandaoni NENDA MAMBRUI mmeitwa mawahabi yeyote Kila kitu utalipiwa HAYO MAMBO MEKAMALIZE sio unapweka pweka tu nyuma ya camera na mtandaoni.
@alakhy9448
@alakhy9448 Жыл бұрын
Kaka mimi nimekuwa nahudhuria darsa za kisalafi tokea mtoto mdogo kwa zaidi ya miaka 26 nimekulia katika usunni. Ila nilipopata akili nikagundua kwamba huu usalafi na hawa masalafi akina mafuta na akina humeyd ni wabababishaji,hawana hoja za msingi. Masalafi wenzangu wananiona nimepinda ila nikijaribu kuwaelezea uhalisia ninaouona huwa wanabaki kushhangaa na hawana hoja za kunipinga. Nilivhojifunza kwenye dini hapataki ushabiki kwamba mimi ni dhehebu fulani. Kila dhehebu lina hoja zake zenye nguvu sana ambazo hoja hizo ndio zinawafanya watu wa dhehebu hilo kuwepo. SALAFI wao hujiona wako sahihi kwa kila kitu jambo ambalo sios awa. Kwa masikitiko makubwa sana nasema kwamba Salafi ndio dhehebu lenye makosa mengi lakini ndio hujiona wako sahihi kiko wengine
@mnefusatajiri
@mnefusatajiri Жыл бұрын
we usilete ushabiki kaa kisha sikiliza hiz mada vizur kuna faida nying utapata ila usifanye kwa ushabiki fanya kwa kutaka kujua haqi
@selengu
@selengu Жыл бұрын
@@mnefusatajiri Na wewe ukikaa ukisikiliza kwa kuondoa ushabiki na chuki basi utagundua yale mambo ambayo mnayafanya kwa kutokuwa na Aya wala hadithi Ila kwa faida fulani na wenzenu ndio hvyo HVYO.. Sasa Kwann kwnu salafy ifae kwa wengine isifae.. Au hii dini nyie ndio mmezaliwa nayo na pepo ni yenu wengine upande wa pili???
@mnefusatajiri
@mnefusatajiri Жыл бұрын
@@selengu cjajua kama masalafi kuna jambo hata moja wanalifanya bila ya kua na mafundisho kutoka kwa mtume au maswahaba labda wew uniambie ni jambo gani hilo???
@IdighamuMashombo
@IdighamuMashombo Жыл бұрын
Watakawo mulewa niwanjinga Wezake mtualisoma Anajua huyu nimropokaji Kasimu tangu mdogo anakiburi sisi hapapongwe tuna mjua Uma unamshangaa wasiwasi mwingine muangalini nasabu ikosahii waulizeni wazewetu wapongwe huyu jamaa kwaza kitu kicho msumbua ukumbu sioelimu kwasa babu ilimuyake nimatusi nakutofahamu
@MohamedSwaleh-cv7wx
@MohamedSwaleh-cv7wx Жыл бұрын
Wemwaga povu tu naujinga ulionao
@mohamedhashim3235
@mohamedhashim3235 Жыл бұрын
Mafuta Huna Hoja? Sasa nakuuliza Swali Dogo unijibu VP mtume kashawahi kutumia Utube??? Na kama bado ww watumia Utube Kwa Dalili IP? Tupe Hadith.. Yani waona kuweka picha haifai lkn Kutumia kinacho wekwa picha Yafaa? Huu ni Msiba.
@selengu
@selengu Жыл бұрын
Sio kutumia Utube tu Bali wanatumia kama ku earn money kwa kutunza Familia zao. Wanaitumia kama Ibada coz wanapata thawabu na unachopata thawabu ni Ibada. Wanafanya Bidaa ambazo wanaziba macho na masikio Ila wanachungua ya wenzao
@jailaniramadhan1788
@jailaniramadhan1788 Жыл бұрын
upumbavu tu wa kiwahab
@mnefusatajiri
@mnefusatajiri Жыл бұрын
kaa tafakar usichukie bila kufikiri huenda upo katika giza lakin huoni kutokana na upofu wako.Allah atuongoze sote
@IsmailLangu
@IsmailLangu Жыл бұрын
Hiyo sunnah unayoisema umetumia akili yako sinna zimegawanyika sehem tatu
@ilyasabdul-malik4571
@ilyasabdul-malik4571 Жыл бұрын
Ndugu rudi kwa watu wa dini ya sawa ukasome utafaham, saivi inaonekana ule ushahidi wote ulozungumzwa ww umekupenya kulio ukatoka kishoto 7bu huna misingi ya elimu ya sawa sawa, Allah atuongoze
@Dr-ubaida965
@Dr-ubaida965 Жыл бұрын
Shekh ulisema" kipindi cha mtume hakukua na bidaa bali vilivyofanywa na maswahaba kisha mtume akavikubali ni sunnah takrir'" Sunnah takrir ni baada ya mtume kukubali ndio ikaitwa sunnah takrir Suali: Je kabla ya mtume kuvikubali hukumu yake ilikuwa ni ipi?
@mnefusatajiri
@mnefusatajiri Жыл бұрын
kabla ya kufanywa vilikua havijulikani na hukmu ya kitu kisicho julikana ni (majhuli) haijulikani
@Dr-ubaida965
@Dr-ubaida965 Жыл бұрын
Shekh wako akijibu njoo uchukue hela😂
@mnefusatajiri
@mnefusatajiri Жыл бұрын
@@Dr-ubaida965 wew hujakaa kufikiria hilo swali lako ni kichekesho si swali la kielimu ni ujinga mtupu na shekhe hahangaiki na ujinga kama huo
@mnefusatajiri
@mnefusatajiri Жыл бұрын
@@Dr-ubaida965 hilo sio swali la kielimu ni swali la kitoto hata ukiwauliza hao mashekh zako watakucheka ..sunna zimegawanyika katka vipengele mfani 1.sunnatu fiiliyya 2.sunnatu qauliyya 3.sunnatu taktiririyya 4.sunnatu tarkiyya.#kaa ufikir kisha uliza swali
@Dr-ubaida965
@Dr-ubaida965 Жыл бұрын
SIKU HIZI WAHABI WAKIULIZWA MASWALI WAKIWA HAWANA MAJIBU UTASIKIA OOH SWALI LAKO SI LA KIELIMU MARA OOH SWALI LA KITOTO... SUB-HANALLAH HUU WOTE NI UJANJA WA KUKIMBIA SWALI.... NMEULIZA SWALI HIVYO NATAKA MAJIBU SITAKI JANJA JANJA
@fadhilimusa9732
@fadhilimusa9732 Жыл бұрын
Wewe mafuta kichwa chenyewe mafuta wamkosoa nani wewe jahili
@IdighamuMashombo
@IdighamuMashombo Жыл бұрын
Kasimu nimtoto wafitina kasimu amejaa kiburi kasimu ana tafuta umaarufu katugombanisha Huku mtwara nafamilia zetu watu hatasalamu hawapeani jiepusheni namtoto wafitina hana kazinyingine zaidi yakutukana watu ete mashehe hawana ilimu etiyeye anailimu tofauti nawezake yeye nimtu wamakelele Kama mbwa wanyumbani wezake nisimba wametulizana
@JumaRajabu-ri9rc
@JumaRajabu-ri9rc Жыл бұрын
Hahaaaaaaaa jaman mafutaa unajikanyaga nenda kwapige goti kwa sheikh samir usome huyo unae jaribu kufanyia ruduud ni aalimu humuingiii hata kidogo
@mohamedsaid1804
@mohamedsaid1804 9 ай бұрын
Akasome kwa Khurafi? @@JumaRajabu-ri9rc
@SeifRupatu
@SeifRupatu Жыл бұрын
Mbona wewe hutoimaidhayako kilasiku unakosoa watu waliolelewa kielimu ambao hawapendikuzozana kamakweli unawaweza wafuate usokwauso usiletemzozo Wa mitandaooni ukiwahujibiwi naweukapa KICHWA Waite mjadili Ana kwaana
@AbuuBakar1
@AbuuBakar1 Жыл бұрын
Pole baba lakini radd ni Katika kuamrishana mema na kukataza mabaya
@mussamsuya8595
@mussamsuya8595 Жыл бұрын
Haa
@abuutamiimattanzaaniy8676
@abuutamiimattanzaaniy8676 Жыл бұрын
@SeifRupatu kwani husikii sauti hapo ya huyo shekh kaanza yeye kuleta hoja? Sasa mzozo uko wapi, kubainisha ubovu wa hoja za shekh wako tayari ni hasadi?
@abuutamiimattanzaaniy8676
@abuutamiimattanzaaniy8676 Жыл бұрын
Na unasema amwendee ana kwa ana, mbona huyo shekh wako alivyoanza kuleta hoja hakumfata shekh qasim akajadiliana nae kimyakimya?
@abuutamiimattanzaaniy8676
@abuutamiimattanzaaniy8676 Жыл бұрын
Na unasema "hatoi mawaidha yake" SI KWELI KAKA, jitahidi kufuatilia vizuri kabla ya kusema, shekh anadurusisha sana vitabu vya kielimu, hata kama upo mbali na markaz zinatumwa audio za darsa zake mitandaoni, wewe upo dunia gani kaka? ACHA KUANDIKA JAMBO AMBALO HAUJALITAFITI VIZURI, HII NI DINI SIO VYAMA VYA SIASA
RADD SEHEMU YA PILI KWA SHEIKH SAMEER SIDICK KUHUSU MANENO YAKE
1:40:19
ABUU RUWAYDA Tv
Рет қаралды 6 М.
RADDI KWA DIWANI NA WAGANGA WENZAKE || SHEIKH MUHAMMAD IS-HAQ.
36:53
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 8 М.
RAADD KWA MUDILU WA ANSWAR SUNNAH SALIMU BARAHIYANI |Sheikh Qasim Mafuta
41:32