MATUSI YA SHEKH QASSIM MAFUTA NA MUULIZENI PICHA KAZIPIGA WAPI?

  Рет қаралды 12,069

Manhaj Salaf Zanzibarقناة الدعوة السلفية في زنجبار

Manhaj Salaf Zanzibarقناة الدعوة السلفية في زنجبار

Күн бұрын

Пікірлер
@ahmadabdu2998
@ahmadabdu2998 21 күн бұрын
Qasim mafuta umewakosea adabu kwa kuwafedhehi mashekhe wengi sanaa na sshv unafedheheka vibaya snaa...
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 Ай бұрын
Wallahi Rudud ni nzuri mimi mwenyewe zina nichomachoma navumilia na kufanya bidii ya kujirekebisha katika kupinda pinda kwangu na subra ya kikakamavuu, Rudud ziendeleee
@leonardmbonea4117
@leonardmbonea4117 Ай бұрын
Bora umeelewa ni radi hapa naona kuna mijitu yenyewe ishaaanza kusema huyo mafuta watu wataenda kumlipa ,hakuna hoja kwa mahizbi
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Ай бұрын
Bwana mafuta mara hii kakutana na kisiki cha mpingo Asante abuu nuaym Mtandike mpaka aseme kwa nn akapiga picha Na hali ya kuwa anaharamisha
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Ай бұрын
Leteni hizo picha na mseme mlipozitoa.. Yani huu mzozo ungekuw ushaisha... sasa sijui mnaogopa nini... 😂😂😂 Mana nimesikia za chinichini kuwa huwenda Abuu Umeir ndo kamtumia Abuu Nuaym eti kisa haelewan na Abul Fadhwil 😂😂😂
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h Ай бұрын
Shabiki wa kijinga Jiulize kwa nini mkaziedit hizo picha baada ya kuzipata ikiwa nyinyi ni wa kweli?
@mkhandihealthcare5106
@mkhandihealthcare5106 Ай бұрын
Na wewe ni MJINGA KWELI KWELI yaani shekhe ahangaike na MROPOKAJI??? Hutokaa umuone ANAHANGAIKA na MROPOKAJI kama huyu!!
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Ай бұрын
​@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xmimi. Sina ushabiki. Na upande wwte ila. Ili niamini. Atume. Hizo. Picha zingine. .na sina. Ushabiki na yeyote kama vijana wengi. Wanaojinasbisha. Na hii manhajj ya haqq niwashabiki. Mno. Kwa mashekh yale. Mapenzi. Yanakaribia. Usufini
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Ай бұрын
@abbaspaziaog2188 Naam! atume hizo picha halafu aseme kazipata wapi ili tuamini kweli hazijaeditiwa na hizo na ikiwezekana aweke kiapo halafu tuhitimishe kuwa Abul Fadhwil kajipiga selfie halafu mambo mengine yaendelee... hahahah! 😂
@ngalamenoherbal6955
@ngalamenoherbal6955 Ай бұрын
Shekh wangu Abul'faadhwil Allah akulinde na chuki na hasadi za watu, acha wapige kelele we endelea kutusomesha, ALLAH HUWANYANYUA DARJA WALE WALIOAMINI NA WALE WALIOIBEBA ILM wa kukushusha ni Allah na sio maneno ya majungu, Allah akubarik shaekh wangu Abul'fadhwil.
@JumaMhina-w3d
@JumaMhina-w3d Ай бұрын
Allah amuhifadhi sheikh kutokama na Kila fitna na hakika ya Allah ndiye mwenye nguvu
@abuuthauran9933
@abuuthauran9933 Ай бұрын
Allah amuhifadhi shekh wetu Abul-faadhil kwa haki anayoibainisha, watu wa Zanzibar walitaka kumuua shekh wetu kwa kumrushia bomu likamkosa nakudhuru watu wengine. So tunawajua nyinyi mnaubaguzi wa waz waz.
@OmarJuma-f2o
@OmarJuma-f2o Ай бұрын
Ulimuona uyo aliepiga bomu
@mailacamillius
@mailacamillius Ай бұрын
😂😂Alikoswakoswa lini na bomu??
@AbuufawzaanHamimu
@AbuufawzaanHamimu 27 күн бұрын
Shekhe Abul fadhli Allah akuhifadhi na haya matatizo yaliyoko mtandaon kuhusu hii picha ilio dhihir
@leotena8456
@leotena8456 Ай бұрын
ALLAH AMUHIFADHI SHEIKH ABUL FADHIL! Aaamin
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Ай бұрын
@@leotena8456 Aamiyn
@assadaboubakar740
@assadaboubakar740 Ай бұрын
Ungeanza kwanza kusema Allah amsamehe Kisha amuhifadhi
@MgazaMhina
@MgazaMhina Ай бұрын
⁠@@assadaboubakar740sasa kwenye kuhifadhi si ndio kunabeba msamaha
@NassifSuleiman
@NassifSuleiman Ай бұрын
​@@assadaboubakar740 tunajua sio maasum lkn yupo ktk haqqi Allah amhifadhi ktk haqqi hiyo
@assadaboubakar740
@assadaboubakar740 Ай бұрын
@@NassifSuleiman mbona masheikh wengine wakipgwa raddi hamusemi wahifadhiwe na wao
@mullydeshoo3276
@mullydeshoo3276 Ай бұрын
Allah Akuhifadhi sheikh Qassim
@aminabdalla7824
@aminabdalla7824 Ай бұрын
Ya☝️ Allah tuongoze katika dini yako.. Allah humma Ameen 🤲
@HatibuAmir-hq9nh
@HatibuAmir-hq9nh Ай бұрын
Allah amhifadhi shehe watu kassim mafuta
@AbdulRama-u7d
@AbdulRama-u7d Ай бұрын
ALLAAH AMUHIFADHI SHEIKH KASSIM MAFUTA
@HarunaNduwimana
@HarunaNduwimana Ай бұрын
Allah Akuhifadh mwalim wang
@HassanMrisho-j2i
@HassanMrisho-j2i Ай бұрын
Allah amuhifadhi Abuu Nuaim
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Ай бұрын
Allaah amvunje mgongo abuu nuaym na allaah mazalilishe kwa chuki zake na hasadi zake na uwadui wake na daawah salafiiyin
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Ай бұрын
Kama anavyo mzalilisha sheikh wetu qaasim mafuta na yeye allaah amdhalilishe amfanye awe mtu duni wa chini kabisa
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b Ай бұрын
Nawewe akuvunje kichwa chako jiovu wewe unamtetea kichwa Cha fitna kaasim mafuta
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b Ай бұрын
​Nawewe akufedheheshe akufanye chini kuliko mbwa,wewe ciunawaombeya mashekhe wa kisuna duwa mbaya nawewe uwe hivyohivyo mijitu ya bida'a mijadida nyie na hatukani kimya tunaendelea kubainisha uwovu wenu inshaa'allaah,
@yunusramadhan2546
@yunusramadhan2546 24 күн бұрын
Allah amrehemu sheikh wangu Abu ismaili lenad
@mansurahmed4750
@mansurahmed4750 Ай бұрын
Allaah Awahifadhi Masheekh zetu na Awape ikhlaas
@suleimanmasudi3851
@suleimanmasudi3851 Ай бұрын
Allah amuhifadhi sheikh wetu Abulfadhil kasim mafuta kasim, litapita tuu ili
@MahfudhAbdu
@MahfudhAbdu Ай бұрын
Shekh wetu Kassim Mafuta Allah akuhifadh Hawa usishughulikenae.maana yapomengi yakushughulikanayo ktk Dini achananao wakuja kukulipa mbele za Allah.
@MarkazIbnBaaz-itigi
@MarkazIbnBaaz-itigi Ай бұрын
Wallaahi huyu kadri anavyozungumza ndio kheri inakuwa kubwa zaidi kwa Sheikh wetu Abul Fadhl kuombewa Du'aa kupitia comments. Allāh awahifadhi masheikh zetu wa Kisalaf..
@abuusufian6506
@abuusufian6506 Ай бұрын
Amiin Amiin
@rashidhasni2112
@rashidhasni2112 Ай бұрын
Aaaaaamiiiin aaaaaamiiiin aaaaaamiiiin aaaaaamiiiin aaaaaamiiiin Ni kweli ndugu yangu mimi mwenyewe mapenzi yamezidi kuongezeka kwa shekhe
@NassifSuleiman
@NassifSuleiman Ай бұрын
Aaamin Aaamin
@MohammediLulenje
@MohammediLulenje Ай бұрын
Ameeen
@luqmanomary3558
@luqmanomary3558 Ай бұрын
Kila kundi litavutia kwake lakin nan anajua yupi yu sahihi ni Allah subhaana wataala
@HusseinRajabu-h5g
@HusseinRajabu-h5g Ай бұрын
Allah amhifadhi shekh qaasm kwasababu maadui niwengi sana 🙏
@MohammediLulenje
@MohammediLulenje Ай бұрын
Allah amuhifadhi asheikhu abul fadhiri
@AbrahamanSaidi-uf1dw
@AbrahamanSaidi-uf1dw Ай бұрын
Allah amuhifadhi Sheikh Qasimu Mafuta acha mmbwa koko waendelee kubweka na safari unaendelea
@assadaboubakar740
@assadaboubakar740 Ай бұрын
Ungeanza kwanza kusema Allah amsamehe Kisha amuhifadhi
@AbrahamanSaidi-uf1dw
@AbrahamanSaidi-uf1dw Ай бұрын
@assadaboubakar740 Hhhhh poleni sana inawauma sana mnavyomchafua mtu halafu hachafuliki
@KaitaKatema
@KaitaKatema Ай бұрын
Mbwa koko?
@assadaboubakar740
@assadaboubakar740 Ай бұрын
@@KaitaKatema 😂😂 manhaj matusi
@0stadhyMohamed
@0stadhyMohamed Ай бұрын
Nikweli kassim mafuta amewatukana wengi sana ktk masheikh hana hekma pepo agawa yeye moto agawa yeye
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 Ай бұрын
Mimi na fatilia masalafi .... Nikaona Tatizo si jina . Tatizo ni Binaadamu ...
@ERLY1234-z9r
@ERLY1234-z9r Ай бұрын
Allah awahifadhi masheikh zetu wapendwa kina sheikh Qasim mafuta, Sheikh Abdallah Humeid , sheikh Abuu Hashim , sheikh abuu Musa Kiza , sheikh abuu khaulah, sheikh abuu nufaidah na masheikh wote wanaofanya juhudi kubwa katika daawah sahihi ya salaf
@hemedahmed3094
@hemedahmed3094 Ай бұрын
Ayo ndio malipo ya hao masheikh zenu wao c ndo kaz yao kufedhehesha masheikh wengn wa kisunna ss tulien dawa iwaingie
@ERLY1234-z9r
@ERLY1234-z9r Ай бұрын
@hemedahmed3094 waongelea malipo gani ww au watafta majibizano tu
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Ай бұрын
AAMIYN
@SaidJuma-ru7vm
@SaidJuma-ru7vm Ай бұрын
Mawahabi mavi 😂
@ERLY1234-z9r
@ERLY1234-z9r Ай бұрын
@@SaidJuma-ru7vm watarajia ntakutusi lakini pole yako, sawa nyie ndo keki
@swalehmohamed4849
@swalehmohamed4849 Ай бұрын
Lamu walikataa kuomba msamaha kwasheikh Nurein walivamia mskiti wake bila taarifa Qasim na Abuu hashim wakiwa hotek wakasema afadhali wavue samaki kibri ni kitu kibaya
@mansurahmed4750
@mansurahmed4750 Ай бұрын
اَلسَلامُ عَلَيْكُم وَرَحْمَةُ اَللهِ وَبَرَكاتُهُ‎ kwa hakika haya yote mnayoyaendeleza hayaleti faida zozote katika Diini na hata kwa Waislaamu wengine sana sana tunajichafua mbele za maadui wapenye vizuri iko haja kuchukua mifano ya wanachuoni wetu waliopita walisuluhisha mambo yao taratibu alikokosea mmoja wao na sio kutaka mmoja aonekane mbaya mwingine mzuri zaidi ukiwafuatilia sana wote walifagiliana ibn baaz,uthaymiin na ujumla wao mifano ni mingi hapo ni shaytaan amechukua nafasi na sisi tumemkubalia hayana faida yoyote katika Daawa bali shaytaan anapulizia ili Daawa hii tukufu ife tutahadhari sana.
@aljabrsaleh4378
@aljabrsaleh4378 Ай бұрын
Kwa farqa kweli mi mwenyewe nakili ameleta farqa maana miii mwenyewe nilikuwa mwanaharakati nikafarkiana na uharakati nikaingia ktk usalaf hii farqa sababu ni sheikh Qaasim hafidhwahullah
@rashidhasni2112
@rashidhasni2112 Ай бұрын
Rudi kwenye harakati zako nani kakuzuia
@NassifSuleiman
@NassifSuleiman Ай бұрын
Itakua umeingia kwenye uhajawira wewe sio usalafi
@ngalamenoherbal6955
@ngalamenoherbal6955 Ай бұрын
Na mimi nilikuwa kwenye usufi nikafarikiana nao, Alhamdulilla Alla amhifadhi shekh wetu
@MuhammadiMbwana
@MuhammadiMbwana 24 күн бұрын
Allah anawazalilisha masafi feki
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 Ай бұрын
Masalaf wengi wa Zanzibar wamejazwa chuki, kumchikia sheikh KASIMU mafuta Allah AMUHIFADHI
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty Ай бұрын
Hujachunguza ata channel Zao zina Malizia na Zanzibar da'awa yao ni kuradi maeneo.
@NassifSuleiman
@NassifSuleiman Ай бұрын
Mie naamin aliyepandishwa na Allah hakuna wakumshusha, wapo masheikh wengi wakisalafi wana Elmu na ni fasaha zaid kuliko sheikh Qasim lkn Allah akamnyanyua zaid Sheikh Qasim na hili ndilo linalowatia wazimu Mahizbi na Masufi wanataka kumuangusha Abadan mpk Allah atake mwenyewe sio kwa matakwa yao.
@AbdallahAlly-b5m
@AbdallahAlly-b5m Ай бұрын
Hao hatuwatumbui kuwa ni masalafi,sababu wanampiga vita sheikh wetu aliejiegemeza na kitabu na sunna,na sio kuropoka kama waropokavyo hawa viumbe wenye chuki na hasad dhidi ya sheikh wetu
@Tandalesse
@Tandalesse Ай бұрын
@@NassifSuleimanmbona hata huyu Sheikh pia ni "hizb" na ndugu yake mpaka anamiliki na kuilipia malipo ya kila mwaka kadi ya "sisiemu".Yaani ni mwanademokrasia halisi.
@jaafarmustafa4987
@jaafarmustafa4987 Ай бұрын
Hakuna chuki hapo kasimu mafuta ilichofanyiwa ni matokeo ya kuwafedhehesha watu Kasimu mafuta alishawafedhei watu wengi Sasa zamu yake kufedheheka
@Muhammadabujaabir
@Muhammadabujaabir Ай бұрын
Hawa mapuzi tu Allah awaongoze na atuongoze sote,hawana kazi waje tunazo kazi tuwape Alhamdulilah
@OmarSalum-y9c
@OmarSalum-y9c Ай бұрын
Mimi sh qassim nilikua namkubali sana lakini baada ya abuu rajab na yeye kumzungumza vibaya sh hassan awadh (abuu muawiyyah) ah sikua namkubali tena
@mbaroukbakar572
@mbaroukbakar572 Ай бұрын
Wafuasi wa kasimu mafuta wanaamini sheikh wao hawezi kukosea
@MB-yq3ty
@MB-yq3ty Ай бұрын
Hatuna hayo unayoyasema hakuna asiyekosea ila wao hawana da'awa ila ni kufanya ujasusi kwa Qasim
@islaminmyheart9348
@islaminmyheart9348 Ай бұрын
Lete ushahidi wako ikiwa wewe unasema kweli
@UthaiminKhamisi
@UthaiminKhamisi Ай бұрын
كذبت فإننا لا نؤن هكذا، بل نؤمن على أن دعاة السلفية كلهم ليسوا بمعسومين.
@KhamisiMulusi
@KhamisiMulusi Ай бұрын
Thibitisha kidogo madai yako
@NassifSuleiman
@NassifSuleiman Ай бұрын
Hayo unayoyaandika hapa ipo siku utayajutia sana km hutorekebisha mapema maneno yako
@hldysnlk
@hldysnlk Ай бұрын
Fundisheni watu ilmu huko kwenye misikiti yenu maana naona kama hamna kazi za kufanya Mwapoteza muda kumdondosha mtu aliyewekwa ktk manzila na Allah.. Allah amhifadhi shekhe Abulfadhil na hasad za wenye kuhusudu
@assadaboubakar740
@assadaboubakar740 Ай бұрын
Ungeanza kwanza kusema Allah amsamehe Kisha amuhifadhi
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Ай бұрын
​@@assadaboubakar740 Ni sharti?
@yahyarashid8038
@yahyarashid8038 Ай бұрын
Mm ambacho kimeniumiza mpaka mpaka nitakufa ni masalaf wa tanzania kukataaa suluhu baina yao na abuu muaawiya Allah amrahamu sh wetu wakae wakijua walicho kifanya wekwenda kinyume na qur an na sunna kwasababu ndugu yako akikufuata musanye suluhu uka kataa nikwamba ww kwanza una kibri na umeshapinga aya za qur an na sunna sasa wacha tuone Allah mwenyewe atakavo wabainisha wa kwel na waongo WALLAHU AGHALAMU
@islaminmyheart9348
@islaminmyheart9348 Ай бұрын
Allaah akuhurumie Yahya, Allaah akuongoze Yahya. Usiache kuomba uongofu ukiwa peke yako usiku Allaah atakuongoza.
@HajiDibwa-n2f
@HajiDibwa-n2f Ай бұрын
Allah amuhifadhi sheikh abul fadhil Qassimu mafuta Qassimu na ampe mwisho mwema
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Ай бұрын
AAMIYN
@assadaboubakar740
@assadaboubakar740 Ай бұрын
Ungeanza kwanza kusema Allah amsamehe Kisha amuhifadhi
@KARIMUSEFU-sx9tq
@KARIMUSEFU-sx9tq Ай бұрын
Alahuma ameenah
@UthaiminKhamisi
@UthaiminKhamisi Ай бұрын
آمين
@why-ir8zl
@why-ir8zl Ай бұрын
Mmewatukana masheikh wakubwa waliowafanya babu na baba zenu wasilimu leo hiii mnarudiana wenyewe!
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 Ай бұрын
Katika dini huwezi kumsimanga mtu hadharani tena kwa kumtaja jina , kama unakosoa kitendo cha mtu kosoa kitu hicho kwa ujumla wake na usimtaje mtu jina kufanya hivyo ni kumkashifu na kuzua fitna baina ya watu. Ukitaka kumkosoa mtu binafsi mkabili mwenyewe bila kuwepo na wengine. Kila mtu anamakosa yako na tunakatazwa kuyaanika mapungufu ya wengine hadharani.
@AbuuZakaria-f2w
@AbuuZakaria-f2w Ай бұрын
Huyu Abuu Nuaymi mfano wa kahaba piga kelele kufeni na hasadi zenu mbwa wapige kelele msafara unasonga mbele,
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 Ай бұрын
Mnaamini Hawezi kukosea ndio shida
@ABUUSHURAIM
@ABUUSHURAIM Ай бұрын
@@AbuuZakaria-f2w kwakauli izo afu mnajiita masalaf ivi usalafy mnafikir ni chama Cha siasa ama?maana mnatoa mineno michafu kwaajili ya qasim Tena michafu kwaajili ya kumtetea qasim mafuta afu mnajiita masalaf Kwan masalaf ndio walikua na maneno michafu kma nyie mm naona mpo mbali na usalafy jiiten ahlu qasim mafuta sawa mtakua mmeendana na jina na maana
@Tandalesse
@Tandalesse Ай бұрын
@@ibrahimjumaa538 hiyo ndiyo shida ya majadiyda kuwaona masheikh wao ni ma'asumini.
@Tandalesse
@Tandalesse Ай бұрын
@@ABUUSHURAIM hao ndiyo majadiyda kama ulikuwa huwafahamu,akikosea mwingine midomo wanaichonga na kumtoa kwenye manhajis Salafy na kumpachika "uhizb" lakini miongoni mwa ndugu zao kinasaba wamo mpaka "wanachama wa vyama vya ukafiri wa demokrasia(sisiemu,kafu,chade,n.k)" lakini wapo kimya ukiwauliza mbona huyu "hamumhizibishi" majibu yao "ooh, hayo ni masuala yake binafsi" sasa sijui siku hizi demokrasi ni alama katika alama za Usalafi(waweza ukawa sheikh pia diwani).
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 Ай бұрын
@@Tandalesse 😂😂😂 huu usalafia ucharwa ni mtihani Sana Wallah, Wanaamini ukimuunga mkono Sheikh wao ndio ukamilifu wa Sunnah upo hapo, ! Ukiwa na tofauti nae ni Hizbi
@rajabodhuman1300
@rajabodhuman1300 Ай бұрын
Ukifaatiliya hapa nikwamba hakuna ikhlaaswi ila nikwamba kila mtu anatafuta kiki na kujulikanwa na watu kuwa yy anaelimu kubwa kumbe hamna ikhlaaswi namwisho wa siku mtajikuta mnaingiya ktk moto wa jahannamu fal iyaadhubillah,lakini hawa wote hawakusudii kheri ila nikujulikanwa tu,sii abulfadhil wala abuu nuaym wala huyo cha upepo wote Allah awaongoze wao nasisi ktk haqqi.
@AllyHamran
@AllyHamran Ай бұрын
Mafuta kwa wanfunzi wake ni nabii ama malaika .Hakosei maana ana maovu mengi ikiwem kusema uongo.Alimzukia moja ya hawarij wa Mwanza kuwa anavuta bangi kadai mali za urithi mahakamani na yte sio kweli.
@KaitaKatema
@KaitaKatema Ай бұрын
Alimtukana sana Sheikh Jaabir Yussuf Katura
@OmarSalum-y9c
@OmarSalum-y9c Ай бұрын
Hawa watu wanao mtetea sh qassim hata uwape dalili hua hawakubali mpaka liwakute ndio wanakubali
@ALLYMOHAMMED-ge2cs
@ALLYMOHAMMED-ge2cs Ай бұрын
Shekh Abul Fadhli hajakataliwa na wala hajaanguka Zanzibar aseme tu kaanguka ktk kijikundi chao sisi bado tunampenda sana na siku Allah akimpa tawfiqi ya kuja mtashuhudia wenyewe
@adamjutto5849
@adamjutto5849 Ай бұрын
Pigeeni keleleee,lkn tunataka tuzione na nyinyi duruus zenu mnazofundisha vitabu vya kielimu😂
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Ай бұрын
Hahahahaha! Sasa Abuu Nuaym atafundisha nini...!!! Nashangaa anamkejeli Abdallah Humeid wakati vitabu alivyofundisha Abdallah Humeid, Abuu Nuaym hajawahi kufika hata robo yake! Ni kama tone la oil kweny maji ya bahari... Litamezwa tu! Hawa akina Abuu Nuaym watamezwa na Duruus za Masalafy Tanzania... na watafutika kama Vumbi lenye kupeperushwa na upepo na hawatosikika kama mahajaawirah tu!
@Ibrahim-f9o
@Ibrahim-f9o Ай бұрын
Nyinyi wote wanafki alafu mwajitiya mwaongeya haki inge kuwa haki uchafu ungezidi katika miji mtume s.w.aliondosha uchafu katika miji Nyinyi mmefanya nini
@abdelazizmuombwa4714
@abdelazizmuombwa4714 6 күн бұрын
Sisi tumekuelewa,wahenga wamesema ukitaka kumuua mbwa basi mwite jina baya.
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Ай бұрын
Jazaakum Allahu khayran kwao wao kila wakikosea linakuwa cıo kosa ila wengne ndıo kosa sasa Tunataka waseme 1- Muhammad mafuta ana kadi ya ccm ( tunataka kusıkıa raadı) 2- Picha kapiga wapi( tunataka raddi) 3- Jee pasoort size sıo pichaa??( tunaraka raddi)
@islaminmyheart9348
@islaminmyheart9348 Ай бұрын
Akhiy baaraka llahu fiyk. Samahani Akhiy, Allaah akuhurumie. Ni kwamba Mtume wa Allaah Swalla llahu alayhi wasallam anasema " ubainifu (bayana) ni kwa anae dai, na kuapa (yamini) ni kwa anae kanusha" Hadith Hasan Ameipokea Imam Baihaqi. Kwahivyo Akhiy samahani naomba umwambie Abuu nuaym alete bayana ya madai yake mkumbushe na hii Hadith ya ibn Abbas Allaah amridhie, Hadith hii ipo Katika Hadith 40 za Imam Nawawi Allaah amrehemu. Baaraka llahu fiykum
@zanzibaronlytv3470
@zanzibaronlytv3470 Ай бұрын
Ww ni mjinga Allah atatufanyia wepesi
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b Ай бұрын
​Unataka bayana Gani baada ya hii hivi nyinyi mnajielewa kweli?kweli majadida mbele ya kaasim mafuta nikama maiti bele ya muoshaji,abuu nuaym kauliza swali muulizeni mafuta murjifu kwanini kapiga picha huyo mafuta halafu kazitoa mpaka wamezipata wengi e?halafu wewe unataka bayana!!😮😮
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b Ай бұрын
Hatushangai mahaddadiyyat matusi kwao ni kama soda😂
@suleimanmasudi3851
@suleimanmasudi3851 Ай бұрын
Kumbe shida siyo picha , shida ni chuki mbaya dhidi ya sheikh kassim,
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Ай бұрын
SHIDA Ni PICHA kwahiyo shekh Abul FADHWIL alivyosema Abuu muawiya hassan awadh amefanana. Tabia mbaya na mama yake. Shida ilikua nini . Na Abuu musa.ab .amekamatwa na kimada. Shida ilikua nini . Naomba uni jibu. Kiuadilifu. Ukiachana. Na ushabiki na umche ALLAH
@farajithabiti8359
@farajithabiti8359 Ай бұрын
Abuu fadhwil alisema au Abuu muawiya mwenyewe ndio alisema kuwa hawezi kuacha uongo na kwamba anadhani amerithi kutoka kwa mama yake sasa hapo kasema yeye kanukuu... mambo ya Abuu musa'b yalikuwa wazi wala hayahitaji maelezo labda kama unashida ya uelewa kichwani na maradhi kama husda kwa Sheikh
@islaminmyheart9348
@islaminmyheart9348 Ай бұрын
​@@abbaspaziaog2188 kwahivyo mwalipa kisasi? Allaahu Akbar. Allaah akuongoze Abbas
@OthmanJuma-e8s
@OthmanJuma-e8s 22 күн бұрын
Upuuzi picha inakuondoa ibada wanazuoni wetu .Wal jununu fununu
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 Ай бұрын
Tusameane Mwezi mtukufu wa Ramadhan bado miezi miwili, Radd ziendelee kwa amani na inswafu
@AbdulRama-u7d
@AbdulRama-u7d Ай бұрын
MBONA WEWE UMEKEJELI MWANZO WA MADA UMESEMA CHAWA ABDALLAH DILELE
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Ай бұрын
Sio kumuita CHAWA tu bali kamkejeli kuwa kasoma miezi6 jambo ambalo ashalikanusha mwenyewe! Hivi utasoma dini miezi6 halafu ufundishe vitabu zaidi ya 40?! Huyo Abuu Nuaym ambaye kasoma miaka mingi atuoneshe kafundisha vitabu vingap tuone kama hata 10 vinafika😂😂😂 Na huwenda huyo anayemkejeli akawa na kheri kubwa mbele ya Allah kwa elimu anayotusambazia kuliko haka ka kifaranga!
@AbdulRama-u7d
@AbdulRama-u7d Ай бұрын
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x hhhhhhh Hana hoja
@zanzibaronlytv3470
@zanzibaronlytv3470 Ай бұрын
Sisi tuna kesi ya picha umepata wapi ktk kizimba tumekuweka ,vip unalete kesi ujibiwe ambazo hata ukijibiwa hazisababishi Sisi kujua tunalokuuliza ,swali wapi umepata picha hatuitaki kesi nyengne
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b Ай бұрын
Muulize murjifu kassim mafuta kwanini kapiga picha?kabla ya kuuliza umezitoawa wapi! Hamuwezi kumuuliza mnamuogopa kama ukoma😂😂
@OthumanHamisi
@OthumanHamisi Ай бұрын
Vilaza mko wengi sana tanzanian hamna as Kili timamu mtu niusalama bado mna mpendatu mulijiya watazaniya mnamtihan poleni sana vijana watazaniya kwakumpta shekhe muongo mulijiya wazama zetu
@Ismailfawzan
@Ismailfawzan 18 күн бұрын
Kaaah nawew nae nikichaa huna akili
@abulqassimashirazy-mv8ee
@abulqassimashirazy-mv8ee Ай бұрын
لو يعطا الناس بدعواهم لدعى رجال أموال قوم ودماأهم لاكن البينة على المدعى واليمين على من أنكرا. Wewe ndio ulitakiwa kutowa ubainifu picha umezitowa wapi mbona hubainishi?
@islaminmyheart9348
@islaminmyheart9348 Ай бұрын
حديث حسن رواه البيهقي عن إبن عباس رضي الله تعلى عنهما
@husseinmbarouk
@husseinmbarouk Ай бұрын
swa mnjua kiarabi tufundisheni na sis
@islaminmyheart9348
@islaminmyheart9348 Ай бұрын
@husseinmbarouk Amesema Mtume wa Allaah Swalla llahu alayhi wasallam " Lau watu (wangekubaliwa) wangepewa kwa madai yao wangeli dai watu Mali za watu na damu zao, lakini ubainifu (bayana) ni kwa anae dai na kuapa (yamini) ni kwa anae kanusha" Hadith Hasan Ameipokea Imam Baihaqi.
@RashidBakar-d2v
@RashidBakar-d2v Ай бұрын
Huyu nigonjwa wa akili maan haeleweki wameshidwa kujibu hojo ndio wakaamua kumuharibia shekhe wetu kwekwel allah ampe subra kwenye huu mtihani
@shaabansulaymaan4478
@shaabansulaymaan4478 Ай бұрын
Tunaomba dalili lutoka kwa mtume juu ya huu mtindo/njia ya ninyi na huyo mafuta mwnyw nae juu kuraddiana,kutukanana,kuvunja heshima za watu,MTUME JE ALIENDA NA MWENDO HUU WA KWENU??
@ahmadimaulidi5106
@ahmadimaulidi5106 Ай бұрын
Allah mustaani hali hauko sawa
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b Ай бұрын
Kassim mafuta sasa umeanza kuvuna ulichopanda😂uliwatusi na kuwadhalilisha mashekhe wa kisuna leo ni zamuyako((كما تدن تدان)) utendavyo ndivyo utakavyo tendewa😮
@yusuphkijangwa3147
@yusuphkijangwa3147 Ай бұрын
Waislamu tunaudhalilisha uislamu na kudhalilishana wenyewe hii dini tunaipeleka wapi? Kesho tutakwenda kumjibu nini Allah? Masheikh wetu mnakoelekea Sasa ni kubaya waumini wengi tunahitaji ilmu kutoka kwenu lkn nyinyi ni kusemana tu, hebu acheni kuwachanganya waumini. Binafsi nashauri waumini wa dini ya kiislamu tuwe macho na tuwe makini kwani tukikurupuka kwa mambo kama haya yanayoendelea tutakuja kujutia hapa duniani na kesho aakhera kwani huenda Kuna sehemu baadhi ya viongozi wetu wa dini wanafeli hivyo tuweni makini ktk kadhia kama hizi.
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Ай бұрын
Hakuna anaeudhalilisha uisilam wanajifhalilisha wenyewe mana uisilam umekamilika na mwenye kuutaka ukweli atausoma aufahamu na kuwatoa thamani
@jumamasoud1188
@jumamasoud1188 Ай бұрын
Mnakazi sana mnaojinasibisha na Usalafi.
@MAHAQUBANEEN
@MAHAQUBANEEN Ай бұрын
Akram mavespaaa
@ahmadimaulidi5106
@ahmadimaulidi5106 Ай бұрын
Allah mustaani
@udu-abdissamy
@udu-abdissamy 29 күн бұрын
Kasmu mafuta na genge lake ni washenzi wa tabia
@HannatKhamis-k7c
@HannatKhamis-k7c Ай бұрын
Alikosea sheikh kassim mafuta
@Tandalesse
@Tandalesse Ай бұрын
Hivi kwani hawa "majadiyda(masalafi uchwara)" ni "ndugu kinasaba?. Maana wanafanana tabia kwa kila unayemsikia,wote "wanafanya mipasho" badala ya kuhubiri Uislam. Ukimsikiliza "Mpongwe",ukimsikiliza "Mmombasa",ukisoma "comments" za vijifuasi vyao humu mitandaoni ni "mipasho tuuuuuuuu" na kuzungumzia maisha binafsi ya watu.
@AllyHamran
@AllyHamran Ай бұрын
Kassim anasema uongo atashindwa kuoiga oicha.
@BinMuru-y2p
@BinMuru-y2p Ай бұрын
Dah kweli si wakujibiwa
@abuuthauran9933
@abuuthauran9933 Ай бұрын
Kumbe vijana wenu wakizanzibar wanasoma kwa shekh Qasim alafu nyinyi mnawatumia kutoa hbr za pale chuoni hamuoni km mnataka nawao wafukuzwe
@RashidBakar-d2v
@RashidBakar-d2v Ай бұрын
Na hata ufanye nini hata umchafue ww mchafue ti lakin kwa mtu mwenye akili timaru na alie bainikiwa na haqi hawezi kupotezwa na watu wasio na akili kam huyu mjinga
@allymohamad9577
@allymohamad9577 Ай бұрын
Ukitaka kujua kama hii Daawa ni mfumo wa ki katoliki angalia wanavyo Pigana wao kwa wao !!!
@abduwahabi7019
@abduwahabi7019 Ай бұрын
Abuu nuaymi ameona watu tunavyo mpenda shekhe qasimu, kwa coments zetu akafunga kucomenti, maana lengo lake, ilikuwa watu wamchukie shekhe lkn kakuta ndio anazidi kumpandisha daraja, sema msemavyo lkn sie tuko pamoja na shekhe qaasimu.
@hemedahmed3094
@hemedahmed3094 Ай бұрын
Mnampenda nyny vipof wa mioyo
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Ай бұрын
Kwahiyo hata akipinda. Maan walipinda wengi wanazuoni.wenye elimu zao . Kama yahya al hajour. Mtapinda nae. Sindio. Ebu acheni mapenzi. Yakijinga
@abduwahabi7019
@abduwahabi7019 Ай бұрын
@abbaspaziaog2188 sisi hatujakuona kupinda kwake,sie tunachokiona nihasadi na chuki, kutoka kwenu ama ikizokea kapinda ijapokuwa hatumuombei hivyo hatuwezi kuebdelea kuwa nae,
@abdullatifmnyamis372
@abdullatifmnyamis372 Ай бұрын
We huoni kupinda kwake ? Akili Yako ndogo​@@abduwahabi7019
@IbrahimuMgeni-gz5vx
@IbrahimuMgeni-gz5vx Ай бұрын
Jino kwa jino
@NasriSaidi-s4h
@NasriSaidi-s4h Ай бұрын
HUYU NI CHIZI YEYE NDO ASEME KAZIPATAJE KWASABABU SHEKHE ANAWEZA KUSEMA HAKUPIGA PICHA CHIZI HUYU
@HajiDibwa-n2f
@HajiDibwa-n2f Ай бұрын
Hajaanguka labda uanguke ww Allah amuhifadhi abul fadhil Qassimu mafuta Qassimu na Ampe mwisho mwema
@udu-abdissamy
@udu-abdissamy 29 күн бұрын
Kasimu hana usheikhe jaman musipate tabu ni mtu matusi tu mchafuzi wa dini
@AbuIbrahim-v8h
@AbuIbrahim-v8h Ай бұрын
Je kweli kakutwa na kimada huo
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Ай бұрын
Kasikilize audio zipo telegram kweny Maktabah ya Abul Fadhwil Ni za zamani lakin!
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Ай бұрын
Kweli. Amekutwa ila ABul FADHWIL amekosea. Kwa kumtangaza. Kama. Shekh wakisalafi. Hufai. Kuleta. Taharuki kama. Anavyolaumia. Abuu nuaym. Anaambiwa alete. Picha zingine anasema mpaka ABul FADHWIL amjibu. .mimi sioni. Ulazma. Wakujibiwa na ABul FADHWIL. Ulazma ni picha. Zingine zitumwe.?? Ndiyo tuamini
@ZimamMbaruk
@ZimamMbaruk Ай бұрын
Mbona bado, Tena bado sana laana zitawasibu sana kwa kudharau Masheikh walio watoa kizani, Si nyinyi muna vuburi?, Eti mumesoma, Sawa mumesoma lakini hamuna hekima hata ndogo, Viburi vyenu vinawadhuru
@ZuwenaSalumu-e5i
@ZuwenaSalumu-e5i Ай бұрын
Mimi hata sielewi..... Sasa hii ina tofauti gan na ile kusengenya jamani? Mbona msitufundshe dini jaman mnaongelea tu watu kwanmsirekebishane kwa kupigiana sim moja kwa moja jaman
@SalimAbdulla-q7m
@SalimAbdulla-q7m Ай бұрын
Usiseme watu wa zanzibar..sema baadhi ya watu wa zanzibar wanaubaguzi..na ubaguzi ni duniani kote wako wabaguzi..tafadhali omba samahani kabla hujakutana na mola wako.
@ShafighuShabani
@ShafighuShabani Ай бұрын
Afe nachuk zip acha kijana aseme kweli maana atakacho sema mafuta ni manhaji akisema mwengine ni uhizbi acheni ufala enyi mashangingi WA fata mkia Wala so dalili
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Ай бұрын
UFALA au sio😂 ila mahizbi bana😂
@islaminmyheart9348
@islaminmyheart9348 Ай бұрын
Allaah akuongoze shafighu shabani. Sema Aamiin
@ShafighuShabani
@ShafighuShabani Ай бұрын
@islaminmyheart9348 we ndo Allah akuongoze nawengineo lengo nidini nadini so Kwa mafuta tu dini IPO kwakila mtu ila tunachotaka ni dalili sokifataa mikumbo akhy zinduka Allah kakupa akili angalia wazitumiaje mi nashukuru Allah Kwa Dua Yako Amin Allah ameniongoza na anidumishe kwenye usawa
@HassanIddy-v1b
@HassanIddy-v1b Ай бұрын
​Umefundishwa matusi na hizbi mafuta mpaka haya imekuondokea😢
@NasriSaidi-s4h
@NasriSaidi-s4h Ай бұрын
SASA WEWE SIMUYAKE ALIKUPA UKAKUTA PICHA CHIZI WEWE
@NassifSuleiman
@NassifSuleiman Ай бұрын
Allahul Mustaan, Yaani huyu Abuu Nuaym huenda chuki zake dhidi ya Sheikh Qasim zimemfanya hata asijue anachokisema, mwenyewe ulisema kwamba Sheikh Qasim kasema kaviziwa na kupigwa picha baadae ikagundulika kumbe walitumia Pasport size yake. Sasa weye unayeshadidia awe amepiga picha ndio ujibu ulichoulizwa na watu kuwa picha zake umezipata wapi hilo ndio litatatua kila kitu weka wazi mambo. Laa sivyo utaadhirika
@adamjutto5849
@adamjutto5849 Ай бұрын
Eti qasim mafuta kamtukania mtu mama ake😂😂😂,wakati kanukuu,huyu abuu nuaym si mzima jamaanii,anachuki na mtuu mpka sasa anatoa hojjah za kitoto
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Ай бұрын
Hahahahahaha! Namimi hapo nimeshangaa kweli
@shaibamran5419
@shaibamran5419 Ай бұрын
Allahul mustaan vishubha vyembamba vibovu yani kama vile alivokuja navo abu muawiya kumtetea dr islam Allah amsameh makosa yake
@auroxenterprises8003
@auroxenterprises8003 Ай бұрын
​@@ABUUBAAZNYUNGU-j4xbadoo hujashangaa nipe namba zako nikutumie picha ya dongo wazi ya shekhe tena anatoka kwa kimada nilikuambia zamani😂😂😂
@islaminmyheart9348
@islaminmyheart9348 Ай бұрын
​@@auroxenterprises8003 kama unadhani kuwa Allaah hatowanusuru watu wa Sunnah basi tundika kamba Juu ya dari iweke shingoni kisha uikate uone Je hivyo vitimbi vyako vitaondosha hayo yanayo kuchukiza ?
@selemtumba8390
@selemtumba8390 Ай бұрын
shkh kasim fundish watu acha waongee mpk waache
@ABUUSHURAIM
@ABUUSHURAIM Ай бұрын
Qasim mafuta kadhaab inafahamika nawafuas wake weng ni watu wa Dunia sio dinn tunao uku
@nahlaaasidee1848
@nahlaaasidee1848 Ай бұрын
Wewe ni mpumbavu!!! Umezaliwa ndani ya ndoa wewe? Jaahili mkubwa ww!!!
@ABUUSHURAIM
@ABUUSHURAIM Ай бұрын
@nahlaaasidee1848 niliposema wafuas wake nawajua nadhani hapa nimeeleweka unaona ulivolipuka et umezaliwa ndani ya ndoa kweli? Afu mnajiita masalafy ivi hao masalaf gan aliokua wanatumia lugha kama zako huu ni uthibitisho kua mpo mbali na usalafy
@sharifumussa6846
@sharifumussa6846 Ай бұрын
Salaf hutakiw kuongea ulichoongea umekosea tubia na acha matusi​@@nahlaaasidee1848
@NurdiniSaid
@NurdiniSaid Ай бұрын
Mbona waeka sekunde 2 afu watoa
@OmarSalum-y9c
@OmarSalum-y9c Ай бұрын
Umezieka watu wanasema yeye c maasum lakini wengine hawawapi udhuru cjui vipi hawa jamaa
@AliAli-lu7or
@AliAli-lu7or Ай бұрын
Mahizb wanaelekea kwenye unafik
@ashanamulya9556
@ashanamulya9556 Ай бұрын
Kasimu mafuta allah amuhifadhi
@omarbaabad2706
@omarbaabad2706 Ай бұрын
Siyo kweli Hana tatizo lolote lakisaikolojia Yuko vizuri sana
@KARIMUSEFU-sx9tq
@KARIMUSEFU-sx9tq Ай бұрын
Kaka ww tu ety
@AliAli-lu7or
@AliAli-lu7or Ай бұрын
Mumezipata wapi tutawashitaki mutasema
@maase2023
@maase2023 Ай бұрын
Hivi kweli waislam wamjadili kasim mafuta ambae hana elimu na kupoteza muda tu!
@JamalAbdallah-t1y
@JamalAbdallah-t1y Ай бұрын
Kimeumana, mawahabi mtasema mpk siri za posho mlizodhulumiana
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Ай бұрын
lengo la huyu mpuuzi ni kutaka sheikh qaasim aanguke Lengo lake sio kulingania wala sio picha ya sheikh lengo lake ni kumvunjia heshima sheikh wetu mbora qaasim mafut allaah amhifadhi na masheikh wote wa kislafi utaanguka wewe mjinga lakin sheikh hawezi kudongoka kwa kupitia kinywa chako kichafu kinacho nuka uvundo
@shazilumnalima9708
@shazilumnalima9708 Ай бұрын
Mbona ushahidi wenu kuhusu mlikozitoa picha haujakamilika??, pia mmeulizwa mambo mjibie munamrukia Qaasim mafuta kila jambo. Mbona majawabu yenu hayakinaishi.
@hemedismail9373
@hemedismail9373 Ай бұрын
Sioni hoja ya msingi, nguvu kubwa imetumika kutafuta hoja dhaifu zisizo na mashiko. Labda kama una yako ya binafsi Kwa sheikh abul fadhwl na sio kwenye da'awah
@rashidsaid6015
@rashidsaid6015 Ай бұрын
Uislamu hapa ulipofika kazi ipo
@abulqassimashirazy-mv8ee
@abulqassimashirazy-mv8ee Ай бұрын
Ajabu mtu amwambia mwiziwe kapiga picha alaf eti yeye ndio abainishe..sasa wewe unaficha nini kama ni hakki si useme umezipata wapi Naona unazungukaaa alafu swali uliloulizwa hujajib . Usluub wa kukwepa😂
@AbdillahiFaki-x7s
@AbdillahiFaki-x7s Ай бұрын
Ww kijana wa uamsho kapike urojo basi huna elim
@abubakarilugina-zw4gt
@abubakarilugina-zw4gt Ай бұрын
Hii channel ni ya kihizbi masalafi ipuuzeni
MUHAMMAD MAFUTA AKIMTUKANA SHEKH NASSOR BACHOU KUWA KAVAA ISBAAL#العلم_والحكمة #fypシ゚vira #sub
22:03
Manhaj Salaf Zanzibarقناة الدعوة السلفية في زنجبار
Рет қаралды 2,9 М.
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
TUNASUBIRIA AUDIO WALIOIFUTA YA SHEKH QASSIM  KUHUSU PICHA  #العلم_والحكمة #fypシ゚vira #subscribe
26:30
Manhaj Salaf Zanzibarقناة الدعوة السلفية في زنجبار
Рет қаралды 6 М.
RADDI KWA CHAWA WA KASIM MAFUTA ABDALLAH HUMEYDI: AL AKHY ABU NU'AYM AKRAM RASHIDI
44:09
ABU NU'AYM AKRAM AL_ZENJIBAARY
Рет қаралды 409
🔥RADDI FUPI KWA KASUKU WA KIZANZIBARI (MUHAMAD BACHU)
11:05
ATtwabary online
Рет қаралды 3,8 М.
KWANI SHEKH QASSIM MAFUTA NI MTUME ? ATA ASIKOSOLEWE MSINUNE #muhadhara #حكمة #مواعظ #subscribe
16:01
Manhaj Salaf Zanzibarقناة الدعوة السلفية في زنجبار
Рет қаралды 2,1 М.
SHEKH HUSSEYN SEMBE KUONDOKA MARKAZ PONGWE .NAMENGNE MENGI SKILIZA UTAJUA#العلم#fypシ゚vira #sub
22:04
Manhaj Salaf Zanzibarقناة الدعوة السلفية في زنجبار
Рет қаралды 14 М.
MKASA WA PICHA ZA KASIMU MAFUTA ULIPOFIKIA NA BAYANA
23:59
RAMIYA WETU TV
Рет қаралды 9 М.
RADDI KWA ABUU NUAYM PICHA ZA SHEIKH KASSIM MAFUTA UMEZITOA WAPI OMBA MSAMAHA
25:19
UPANGA MKALI UMEWAKATA MASALAFIY ZANZIBAR ( FITNA)#العلم_والحكمة #fypシ゚vira #muhadhara #subscribe .
1:11:20
Manhaj Salaf Zanzibarقناة الدعوة السلفية في زنجبار
Рет қаралды 2,3 М.