ALLAH ATUDUMISHE KATIKA SUNNA NA ATUEPUSHE NA UKHORAFI. AMIN
@SaidAbdallah-sm1ft6 ай бұрын
Wallahi nasaha mzuri sana kama mwenye kinasihia yupo na Imani na apenda dini
@nabiljumaothman59126 ай бұрын
Diwani na Sule sawa sawa wote ni waganga wa kienyeji
@OmanOma-xi3hm6 ай бұрын
Hawa waganga wamechanganyikiea akili na kufuga majini 😀
@KhalfanMassoud6 ай бұрын
Maashallah sheikh wetu bachu hawa ndio masheikh wa kuwasikiliza wala hawachoshi maskini, lakinu kuna masheikh tunasikiliza dakika moja tu unaondoa chap maana hawaongei kielmu.
@sheikhabuusakakin32436 ай бұрын
Jazaaka Allaahu khayran
@habibasalim30926 ай бұрын
Yes, Mimi huwaambia shukran kwa kutuita mawahabi ndio mumetusogeza kukurubia wahabi Sifa njema
@jamalijamali68206 ай бұрын
Safi sana
@kassimbitogwa69926 ай бұрын
Assalamu alaykum warahmatullah wabarakatuh Shekhe Muhammad tunaomba uzungumzie kuhusiana na watu kutumia majini maana hii ni fitna iloingia sasaiv
@NeemaSaleh-um5hd6 ай бұрын
Hakik n fitna kubwa n uislam unachafuliw n wat wachach😂😂
@mfalmenajjash21286 ай бұрын
Balaalotehili limekuja baada kushambuliwa maulidi yaani hili limewauma vibayasana lilobaki nikurukarukatu lakini kurukaruka kwa maharage ndo kuiva kwake hiki nikitanzi hachomoki diwani
@habibasalim30926 ай бұрын
Subhanallah 😢
@OmaryMikui-v6pАй бұрын
Kweli mxhasau mnawaita wenzen washirikina leo mmeitwa wakatilik mnalalamik
@salimkinabo58976 ай бұрын
Mbona hilo jina ni la Mwenyezi Mungu
@hamadali32316 ай бұрын
Yussuf diwan anasumbuliwa na njaaa kali
@ameirameir43496 ай бұрын
Yusuf Diwani ni mshirikina mpiga ramli
@shabaniumande6 ай бұрын
Uyo yusuf diwani mpiga vipande mushrikina Yusuf diwani amefunga comment asiambiwe kusikana Na utapeli wa yusuf diwani
@MariamUmande6 ай бұрын
Uyu mnganga wa kienyeji mpinga vipande Yusuf diwani ni mjinga ajuwi kama Saudia wapo mashia Anachukuwa vitabu vya Kishia eti ni muandishi ni msaudia mtu wa siasa Ajuwi kama Saudia wapo mashia
@badrudinsalum31396 ай бұрын
Wakatoliki wanaimba kwaya na wanafanya sherehe ya kuzaliwa kwa Yesu na masufi wanapiga midufu na wanafanya sherehe ya kuzaliwa mtume Muhammad, sasa lipi ni tawi la katoliki Kati ya mawahabi na masufi? Bila shaka huyo diwani ni wa kupelekwa milembe
@idisaidi2876 ай бұрын
Bado watapinga tu masufi akili zao mbovu kabisa
@5ffGg-uy7mf6 ай бұрын
Nyie mashek kumbe killa mmoja Anaangalia na kutetea Alilokuwa nalo yy . Maana uhabi ulivu unasibisha kwenye jina lamungu . Mh . Ilojina lipo kwei ila uwahabi haunasibishwi ivo.. usikute ajishekhe mwengine Asime shafiiyu. Atafute jina lamungu nae Apambe .mh
@shabanabdullaziz99346 ай бұрын
We kichwa kibovu - usifikiri huu ni mpira. Hii ni dini, tafuta elimu ya sawa usome uepuke ujinga. Hiyo comment yako inaonesha Kuwa WEWE NI MWEUPEEEE KULIKO KARATAS. Tafuta elimu ndugu yangu uache ushabiki.
@mohagurey22146 ай бұрын
Mnatarajia Yusuf Diwan kukiri makosa na kutubu😂😂😂
@HashimJuma-en8je6 ай бұрын
sbuhanalla
@وزيرهالوزير-ذ8س5 ай бұрын
Yusufu diwani kawaita wa islam kwamba niwakatoliki kwakua hatusherehekei kuzaliwa kwamtu au hatuabudu sanam wala hatuabudu wamungu wa3 tulikua tukimuona wamana kumbe hafai hatuwez kumfat mtu kamahuu
@hassanmitayo18756 ай бұрын
Nyie kila siku kubishana tu, fundisheni na mambo mengine
@successpathnetwork6 ай бұрын
Usiwe mzito wa kupokea elimu na kukejeli viongozi wa dini wanaokemea upuuzi unapojitokeza. Ni muhimu sana kusikiliza na kutafuta ukweli lakini si tabia nzuri kufanya malumbano tena kutaka kutetea upuuzi au uovu.
@hassanmitayo18756 ай бұрын
@@successpathnetwork unajua upana wa Dini au umekaririshwa na kufungwa kifikra?, hakuna ukoloni kwenye uislamu, waislamu wanazidi kuwa na uchumi mbaya mjini na vijijini hamfundishi uchumi wa kiislaam mnabishania maulid na kujifanya mnatekeleza Sunnah hali ya kuwa mnaacha faradhi na mambo muhimu
@hassanmitayo18756 ай бұрын
@@successpathnetwork mie sio kilaza kama unavyodhani miaka 25 sasa nusu ya umri wangu wa kuzaliwa ninasaidia harakati na maandiko miradi ya taasisi na vikundi vya baadhi ya waislaam mpaka ujenzi wa shule, mwisho wanaishia kugombana kwa tofauti hizo za huyu Sunnah huyu hafati, na tamaa, wasomi mpo shule zinakosa huduma zinafungwa au kubinafsishwa kinyemela halafu unajifanya unakwenda kielimu zaid!,
@Yussuf-b3b6 ай бұрын
Hii pia ni elimu tunapata kwasababu shekh anakosowa na analitaja kosa ,na anatowa ushahidi wa vitabu juu wa upotofu aliouleta mgannga yussuf diwani
@saidimkwinzu91066 ай бұрын
Huyu yusufu diwani ana njaa anauza dini Kwa ajili ya tumbo lake anatetea uganga vile vile nadhan ana mashetani huyu sio Bure
@mohamedutaly19076 ай бұрын
Hivi mbona huyu Diwani amezuia comment katika channel yake
@rashidjuma91696 ай бұрын
Je malikiya
@IsmailSanga6 ай бұрын
KwaNi
@ameirameir43496 ай бұрын
Huyo Yusuf Diwani hata Aya za Quran akisoma anakosea
@kaidiSaid-ot9nl6 ай бұрын
Maoni yangu mashekhe zetu wrote hamfundishi dini Bali mnafarakisha waislam ,mnachofanya ni ria ilimfanye biashara mtandaoni walahakuna dalili ya nyinyi kua watakasa dini
@giltaemi40176 ай бұрын
Nawewe una uwezo wa kutambua nia ya mtu hata kama hajakuambia......????? Au umejuaje kama ni ria. Usiwachunguze chunguze watu angalia wanachokifanya ni sahihi katika dini......???? Kama sahihi kaa kimya. Kama sio sahihi Kosoa kwa kueleza usahihi.
@hassanmohamedlaizer5696 ай бұрын
Hii ni wiki ya ruduud
@AlhajiShabani-rq9vm6 ай бұрын
diwani amesoma
@Nuru_ya_sunnah.official6 ай бұрын
😂😂😂 sasa naona RUDUUD zimeanza skilizia masufi watakavo piga kelele kia tu RADDI zinatoka kwa al akhy BACHUحفطه الله
@fazirachafimamisse90796 ай бұрын
@@darajanidawajinga? Sababu?
@Fumbaakida5 ай бұрын
UWONGO NA UZUSHI DHAMBI
@maryamtanzania97436 ай бұрын
Hivi kwa nini wasimtafute uthimani maalimu huenda ana dalili ya maulidi kwa sababu mbona ni mwalimu mzuri tu jamani yusufu diwani nikalopoka tu bila kutegemea
@OmarShela-p2z6 ай бұрын
Mawahabi ni wakristo no 2
@yousuphnzira32096 ай бұрын
Wewe ni Kafiri no 1
@saidimkwinzu91066 ай бұрын
Ninyi ndio waganga wa Kila siku vichwa vyenu vimejaa oili haya leta ushahidi wa madai Yako hayo tujadili Mimi na ww
@OmarShela-p2z6 ай бұрын
@@yousuphnzira3209.... Mimi natamka shahada na kuswali na namuamini Allah mmoja bila kumfananisha na viumbe halaf unaniita kafiri?
@OmarShela-p2z6 ай бұрын
@@saidimkwinzu9106.... Madai gani? Au hii kusema km mawahabi ni wakristo no 2?
@saidimkwinzu91066 ай бұрын
@@OmarShela-p2z toa ushihid wa dalili zinazofanya wewe kusema mawahabi ni wakiristo no2 toa dalili usibwabwaje
@rashidjuma91696 ай бұрын
Bacho pia alikuwa ajui kuwa maliki nijina la mwenyezimungu .
@5ffGg-uy7mf6 ай бұрын
Eeee kam ivo
@OmarAlly-iz8ot6 ай бұрын
Masufi lengo lao sio kuinusuru Dini, bali ni kulinda shirki zao na bidaa zao, ndiomana hawana mipango imara ya kufanya raddi kuwafanyia mawahabi kama wanavyo waita............. Ujanja mwingiiiiiiiki krosi nyingiiiiiiiiiiii. Sasa aje hewani na vithibitisho vya kutosha kua uwahabi ni ukatoliki, tuone kitacho mkuta waganga wenzie wote watajifunza kupitia yeye
@hilalalhabsi20476 ай бұрын
YAANI MAMBO YOTE ALIOONGEA DIWANI HAMJAYAONA KUHUSU UWAHABIA. MMEONA HILO MOJA TU LA KUTAFTIA CHOCHORO YA KUKIMBILIA 😂. HII NI AIBU KWA MAWAHABI. MBONA MSIJIBU HOJA ZAKE ALIZOKUPENI
@MB-yq3ty6 ай бұрын
Wewe unaungana nae katika kufru yake?
@KhalfanMassoud6 ай бұрын
Acha upumbavu ndugu yangu. Usifanye ushabiki katika dini. Haliyakua ww ni kichwa mchungwa. Kama vipi em tufanyie mpango upinge alichokisema sheikh hapo juu. Nadhani haujaisikiliza vizuri kaa tena usikilize, au pinga kauli yake usiropoke ropoke poyoyo ww.
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Huyu diwani ajui alichokitenda ni madhambi makubwa na asipotubia hilo dhambi mpk anakufa Allah atamhukumu kwa kule kuwakufurisha waislamu wenzake kuwaita katoliki arudi kufanya touba kama alivyotangaza lasivyo hana uoga na allah na ukifikia imani ya kutomuogopa Allah ni hatari kweli
@hilalalhabsi20476 ай бұрын
@@AbdulIssa-o7e HAKUNA DHAMBI YOYOTE ALIOTENDA DIWANI KUHUSU HILI. SIKILIZENI TOKEA MWANZO. KWANZA AL WAHABIYA NI DHEHEBU LINALONASIBISHWA NA MUHAMMAD IBN ABDUL WAHABI. SAWA SAWA NA MUHAMMAD IBN IDRISA SHAFI, DHEHEBU LIKAITWA SHAFYIYA. HUYO MUHAMMAD IS HAKA WENU NI MPUUZI NGONJERA TELEEEE HAJUI ATA ASEMALO. NA WASKILIZAJI NAONA NI WAJINGA ZAIDI. PILI. MADHEHEBU YA KIWAHABIYA MBONA HATA MASHEKHE ZENU WA KIWAHABI WANAYAJUA HAYO MADHEHEBU الوهابية NA HILO NI DHEHEBU JIPYA MBONA LINA JULIKANA KAMA NYIE VIFUU TUNDU HAMLIJUI. WALA HAINA MAANA NI WAUNGU KAMA ASEMAVYO HUYO MJINGA WA LUGHA🤣. IS HAKA ANAKUPUMBAZENI MAWAHABI. NA MADHEHEBU YA KIWAHABIYA YANASEMWA NI UKATOLIKI AU UKIRISTO B KWASABABU TAWHEED ZA KIWAHABI NI SAWA NA TAWHEED ZA UKATOLIKI ZOTE NI TAWHEED TATU 1) ULUHIA ( MUNGU BABA) 2) RUBUBIA ( RABI WAWILI AU MUNGU NA MWANA) 3) ASMAU WASWIFATI ( MUNGU SIFA YAANI ROHO MTAKATIFU) ☝️NI UTATU KWA UMOJA. QUR-AN NIKASEMA. # WALAA TAQUULUU THALAATHAT# YAANI WALA MSISEME TAWHEED TATU (USABATO NA UNASWARA). SASA DIWANI AMEKOSEA LIPI HAPO?
@hilalalhabsi20476 ай бұрын
@@MB-yq3ty chochoro aliokimbilia muhammad izhaka MWAMBIENI bado haja fanya kitu kwasababu pia kajizonga tu kwenye elimu NA akili. MWAMBIENI arudie tena maana kajikanyaga tu
@makameally19626 ай бұрын
Nimegundua kwamba mawahabby hamna elimu Yoyote aliyo eleza Shekh Yusuf diwani hamuyapingi. Na hii Ina maanisha kwenye vitabu ni kweli kuhusu yaliyo ongelewa Mmekuja kuweka mjadala kuhusu jina la wahaby mwenye akili hawezi akaiacha haki ukafuata upotevu wenu kwani mnacho kijadili mtoto hawezi kuhadili ni ufahamu wenu mbo'vu Mnataka kudanganya watu tu Mmeona mmetajiwa uozo wenu kwenye vitabu vyenu sasa hivi mnataka kumtia Shekh makosani mwenye ufahamu wake hawez fata uozo wenu mnazunguusha watu kama vile wakristo wakibanwa wanapo ambiwa yesu sio mungu au wakiambiwa yesu sio mwana wa mungu wao hutafuta namna nyengine za kugeuza jambo lao kwa maslahi yao ndio hivyo hivyo mlivyo mawahabby wote Allah Atuongoze kwenye Hakki
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Wapi kitabu cha wahabi kinasema uwahabi ni katoliki usiongee kufata mkumbo ninyi masufi, mnaposema wahabi makatoliki mnazidi kukufuru kwanza kosa la kwanza mnalitumia vibaya jina la mwenyezi mungu sabu wahabi si tunajuwa ni Allah katika majina yake 99 moja wapo ni Allah kwahiyo mnazidi kuchanganyikiwa ninyi mnaongeza makosa juu ya kosa uwahabi ni katoliki kitabu hiko tunakijuwa ni cha kishia kama walivyo mashia ndo kampeni zenu hizo mijitu ya bidaa na upotevu ndo zenu hizo na mishekhe yenu mwiganga ya kienyeji kazi kupiga maramli na kuja kufuga majini na kuvaa mapete wamewatupia majini hawo ndomana akili zenu finyu kama maziwa ya mgando yaliyoganda diwani akikuambia mimi ni mtume mtakubali arudi kutubia diwani wenu Ayubu adharani hiyo kauli yake bila kutubia itampekeka kubaya Akifa na msimamo huwo Allah ndo anayajuwa yaliyoopo baina yetu na baina yenu nani yupo kwenye hakki na kumuita mtu alotamka laila ila llah muhammad rassulu laah umuite mkatoliki hivyo vitabu vya kutunga tunga tuuu sijui anaviokota kwa mashia huko aja kuwakufurisha watu tubieni kwa Allah niynyi masufi la sivyo na ninyi mnaomuunga mkono mnaingia kwenye hatari ninyi machawa wahuyo diwani kueneza hii kufru mungu so wenu na dini so yenu
@KoyoKoyo-z6b3 ай бұрын
Sasa muitwaje watu WA twarika Ni Sunna wal jamaa nyinyi kina nan
@OmarShela-p2z6 ай бұрын
Je hutaki uthibitisho wa tauhiid 3? Je hutaki uthibitisho wa ijtimaii? Au hayo aliyafanya mtume? Nakunasihi sheikh utoke kwenye ukristo wa kiwahabi njoo kwenye uislam huko kwa Allah kuna adhabu
@shabanabdullaziz99346 ай бұрын
Someni acheni ujinga wenu. Yakupasa kwanza ujifunze ujue nini maana ya Tauhiid. Tauhiid maana yake ni kumuabudia Allah na kumpwekesha yeye PEKEE pasi na kumshirikisha na viumbe ama kumdogosha ktk Uungu wake na Kumthibitishia sifa zake bila kuleta taawil. Ahlulilmu wakafafanua kutoka ktk msingi wa Quran na sunna uchambuzi uliokuwa sawia ya kuwa ktk kumuabudia na kumpwekesha Allah ktk upekee wake basi lazima utakuwa upo ndani ya vifungu vitatu 1. Kumpwekesha ktk Uumbaji (Tauhiid Rubuubiyya) Tawhidi ya vitendo vya Mwenyezi Mungu (S.W) nayo ni kuitakidi ya kuwa Mwenyezi Mungu (S.W) ndie muumbaji na muendeshaji wa mambo ya viumbe vyake. 2. Kumpwekesha ktk Kumuelekezea Ibada (Tauhiid Uluuhiyya) kumpwekesha Mwenyezi Mungu katika Ibada,nayo ni Kuitakidi ya kuwa Mwenyezi Mungu peke yake ndie anae stahiki kuabudiwa, wala hafai kushirikishwa na yoyote. 3. Kumpwekesha ktk majina yake mazuri na sifa zake (Tauhiid asmaai wasswifaat) Ni kuitakidi ktk Kumpwekesha Mwenyezi Mungu katika majina yake,na sifa zake,nayo ni kuitakidi kuwa Mwenyezi Mungu Yuko na majina Matukufu na Sifa zake, hafanani na yoyote katika sifa zake,wala majina yake. Na kumthibitishia Mwenyezi Mungu Sifa na Majina yote yalio kuja katika Qur’ani tukufu, na Sunna za Bwana Mtume bila ya kumfananisha wala kuyabadilisha. Haya sasa ukatoliki uko wapi?!
@idisaidi2876 ай бұрын
Acha kwanza bidaa ndo uje kulinganiya watu
@rashidjuma91696 ай бұрын
Dalili ni nyingi kuwa nyinyi ni wakatoliki,kwa sababu kifo cha raisi wa Irani watu wote dunia nzima walihuzunika kasoro mayaudi na wakatoliki wa kiwahabi.
@abuubilal26466 ай бұрын
Iran ni shia na shia ni makafiri
@rashidjuma91696 ай бұрын
Na mawahabi ni tawi la kikatoliki
@mussamalekela21076 ай бұрын
@@rashidjuma9169kila anaewapinga Ahlu sunnah hao mnaowaita mawahaabi yupo ktk moja makundi matu..imma atakuwa shia-sufi au khaariji, nayote hayo ni makundi ya baatwil watetezi wa shirki bidaa na mambo yote ya hovyo!
@idisaidi2876 ай бұрын
Sas tuhuzunike kwa mtu anawakufurisha maswahaba ?
@idisaidi2876 ай бұрын
Kwa hiyo na kanisani wanaswali swala 5 na kutowa zakat na zingine nguzo wanatimiza ? Masufi kazi yenu ni kupotosha tu kila siku
Mazezeta wa mitandaon wapumavu, wote mkoTz kwann mtukanizane mitandaon mazezeta nyie
@josephissa-y3u6 ай бұрын
Kama ww ni muislamu chunga kauli yako na kama unahitaji pinga kwa hoja kutoka kwenye quran na Sunnah ya mtume Muhammad s.a.w
@habibasalim30926 ай бұрын
Kumtakfeer mtu ni ijahili, yaani sisi tunaofata uislamu vizuri ndio wanatuita majina na ku takfeer ,May Allaah's curse and his Engels and all the human kind be on him fir making takfeer to us
@rashidjuma91696 ай бұрын
Achani kelele mazayuni nyinyi
@rashidjuma91696 ай бұрын
Bacho na huyu wote ni wakatoliki
@idisaidi2876 ай бұрын
Na wew je ? Maulidi + Christmas = ??
@Ibunmaulanashirazy-sn5ui6 ай бұрын
MZEE UMEKOSA RADHI ZA SHEKHE WAKO NDOMAANA UNAZEEKA VIBAYA YAN KWAUMRI WAKO UNASHINDANA NA VIJANA
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Alokwambia kuzuia maovu ni vijana tuu nani kasome dini haitaki ushabiki ww kama simba na yanga tumia akili kutafakali hakki na batili na huwezi juwa kama hukusoma dini utakuwa mshaniki tuu
@hassanmohamedlaizer5696 ай бұрын
@@AbdulIssa-o7emalizia maisha yake yoooote😂
@abuujamsheed23455 ай бұрын
Allah ataend kukuuliza kesh uandae majibu una uhakika ana radhi za mwalimu wake
@rashidjuma91696 ай бұрын
Dalili nyengine kuwa mawahabi ni tawi la kikatoliki mawahabi wansema afadhali kutombana kuliko maulidi,mtu akatobwe baa afadhali kuliko maulidi na wakatoliki nao wanasema watu watombanetomvane.
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Ww usiropoke kama mwendawazimu ninyi na shekhe wenu huyo mtaenda kujibu mbele ya allah mnamanisha mtume muhammad alikuja kufundisha ukatoliki mana mtu katamka laila ila llah ni katoliki mtajibu ninyi ninyi shakieni jambo la dinni so kumfanyia mizaha na ushabiki arudi atubue huyo diwani atubie mbe ya umma niliwaita waislamu wenzangu makafiri kuwa ni katoliki ninyi watu mmeishiwa sela kweli
@rashidjuma91696 ай бұрын
Vipi wewe ukusikia mashekhe wako wakisema afadhali kutombana kuliko maulidi si ni nyinyi Kila siku mnawachokoza watu wa maulidi mjinga nenda kwa mayaudi wakakutombe
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
@@rashidjuma9169 hivi ww ni muislamu kweli au mvuta sigara na bangi maongezi yako tuu yanaonesha hata dini hujui na muhuni fulani laiti ungesoma dini ungefunzwa adabu inaonekana naongea na jahili asoelewa kitu ukitaka ushabiki wa matusi nenda kwa kwenye comment za simba na yanga maana si kwa mdomo huo yawezekana hata hofu na allah huna ndo wanavyowafunza mashekhe zenu kinadiwani hao,jitihidi ukasome dini umjue mwenyezi mungu na mtume wake utakuwa na adabu za kuongea dini aitaki ushabiki kama wako au kawashabikie wanamuziki ndo utukane huku tunaenda kwa dalili za kitabu na sunna ni hojja Tiwa hojja ujibiww so kutukana matusi basi kama hivuti bangi utakuwa unamatatizo kidogo ya akili mtu mzima hawezi kuwa muongeaji ovyo kama ww hasa pale mnapomjadili Allah na mtume
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
@@rashidjuma9169 ww unamatatizo ya ubongo mwezi mchanga sijui, dini haitaki jazba towa hojja ya kiilimu nami nikujibu kutukana kunatusibitishia ww so mcha mungu muhuni tuu umevamia gari la watu lugha kama hizo kazitoe kwa wavuta bangi wenzio na kwenye mabishano ya wanamuziki hilo ndo genge la wahuni hujui dinni nyamaza kachangie hoja na mabishano kwa kina Diamond na Alikiba huku kunataka hikma na watu wastaarabu
@AbdinuurSaid-fr8dx6 ай бұрын
😂😂😂 mawahabi bana wao wachukia kuambiwa ukweli kazi ya ni ubishi tu mambo ya kielimu ni sifuri
@OmarShela-p2z6 ай бұрын
Wewe huna akili vizuri kaka vyenginevo mbona wafuasi wa Al imam Maliki wanaitwa mamaliki na Maliki ni jina la Allah?
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Kuna majina ya mwenyezi mungu kulingana na sifa zake huwezi muita mtu kama maliki hata mtu aitwa hata malaika yupo aitwa maliki hata watu wapo wanaitwa maliki lakini kuna majina ya Allah miongoni mwake huwezi muita mtu kuna vipingamizi tokana na sifa alotumia mfano huwezi muita mwanao Allah watu hilo ni jina lililokamilika kwa sifaa zake pekee, huwezi muita mtu
@OmarShela-p2z6 ай бұрын
@@AbdulIssa-o7e.... Nasema wafuasi wa Al imam Maliki wanaitwa mamaliki sass je hili ni kosa? Km ni kosa okay lkn km si kosa sasa vipi iwe kosa wafuasi wa Al imam wahabi kuitwa mawahabi?
@idisaidi2876 ай бұрын
Mtume S.A.W ndo aliwaita mamaliki ao Ma Sheikh zako wa kisufi ndo walipanga ilo jina ?
@OmarShela-p2z6 ай бұрын
@@idisaidi287... Wewe ufaham wako mdogo na huwezi kufahaham kwa sababu hufati uislamu unafata ukristo
@idisaidi2876 ай бұрын
@@OmarShela-p2z kwa ushahidi wa ayyat , hadith mim sio muislam ? Ao ni maneno yako ya kisufi ?
@salimoachirafe68346 ай бұрын
Quer dizer que, concorem para o título de sheikh para rebaixar os outros nos vossos vídeos?😢
@fazirachafimamisse90796 ай бұрын
Mas sabe do que se trata?
@silimakhamis70886 ай бұрын
Mhu,Sasa wafuasi wa imamu Maliki tuwaite vip? Wakati aao no wafuasi wa imam Malik na malik ni jina la Allaah ,Nyie nj mawahabi kwa maana wafuasi wa Muhammad bin Abdul wahabi
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Sasa kwanini umuite hivyo mtu uwahabi ni dhehebu au dini?? Mliona mkiwaita muhammadi mtawanasibisha na mtume kwahiyo mkatumia wahabi mkijuwa kutakuwa jina baya kumbe mnapigwa teke katika uislamu kutumia jina wahab ni jina la Allah katika majina 99 na kuna majina ya Allah huwezi muita mtu yule akuitwa wahabi ni muhammadi Abdul wahabii yey jina lake muhamndi jina Abdul wahabi ni jina la baba yake sasa ninyi mkisema wahabi pekee huwezi ita hivyo ni makosa lazima kuwe na Abdul wahabi mja wa mwenyezi mungu limekuja hivyo hasa Abdu mmetowa mmebakiza wahabi ambayo ni makosa kuita hivyo kumnasibisha na mungu,vitu vingine mnaweza mkajikuta mnakufuru bila kujuwa unakufuru sabu ninyi mnaitakidi kuita wahabi ndo tunawakejeli kumbe mnaunguza cd wenyewe
@silimakhamis70886 ай бұрын
@@AbdulIssa-o7e Kijana fahamu swali langu Madh-hebu ya imam Maliki tuwaitaje????
@silimakhamis70886 ай бұрын
@@AbdulIssa-o7e Ukisema huyu NI mmaliki,maana yake Nini,je,nimekufuru? Hivyo hivyo ukisema huyu NI muwahabi!! Ukitaka kwa kiarahu utasema وهابي Kiswahili wahabi Kama ilivyi maswahaba,utasemaصحابيkwa kiswahili swahaba
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
@@silimakhamis7088 jiulize kwanini mtu anaweza muita mwanae maliki si wapo watoto wetu tunawaita hivyo uliona mtu anazaa mtoto anampa jina Allah au wahabi tafuta unipe jibu kama kunakiumbe kaitwa wahab ila utasiki Abdul wahabi uwezi katika jina ukaita wahabi tuu utakuwa hujaleta sifa nzuri so inabidi Abdul wahabi mja wa mwenyezi mungu sasa nikitoa Abdu nikaita wahabi tu nitaingia kwenye makosa apa nacho kiona mnalazimisha hili jina mnajuwa waita kimakosa ila wapo wasojuwa wao waimba kama kasuku nao na wapo wanao juwa lakini wafanya kusudi, kuna majina ya Allah hawezi kimililo kiumbe mfano Abdul rahaman huwezi muita rahamani nyuma lazima lije jina ila waweza muita rahimu mwanao sawa.so rahmani huyu mnae muita wahabi ni makosa yeye akuitwa hivyo yey aliitwa Abdul wahabi na so jina lake ni jina la ubini yemwenyeww aitwa muhammadi
@mussamalekela21076 ай бұрын
@@silimakhamis7088kuna tofauti kati ya majina hayo! Maliki linatumika bila kuunga lakini wahaab halitumiki bila kuunga lazima usemeعبد الوهاب