Huyo stepmother amekalia baba chapati na yuko against Wanjala,may God see you through Wanjala
@user-cg3vf2bl6b4 күн бұрын
Sipendi kusikia mambo ya mama kambo,yani wanaharibu kila kitu kwa boma
@jackieshamim31627 күн бұрын
Wanjala ako right. Hi ni maisha watoto wangu wamepitia.lakini mungu yuko.hawa wamama wakambo na uchawi zao na ushirikina.zitarudi kwa vizazi vyao.wanjala jisimamihe maisha yako.ukipata 150k enda mumias nunua kashamba.
@MagdalineAtieno-x9u6 күн бұрын
Kwani Mumias kuna shamba ya 150k😂, mbona sijawahi ona, ama iko upande gani pliz nahitaji a piece of land there
@fausto91357 күн бұрын
Haya mambo yanatokea juu ya Mali ya dunia chums cha huyu mama kiko motoni mam wa mambo si mama 😢
@b.39408 күн бұрын
Sasa mbona huyo Mama wa Kambo aliweka mazingaombwe na wanganga kwa kichwa cha Wanjala? Wabukusu haki mnanichekesha.
@user-cg3vf2bl6b4 күн бұрын
Lakini kusema ukweli gidi hakuna jamii imeshikilia hii patanishio kaa bukusu,si uwape taji lao jamemi