Hongera sana. Mungu azidi kuwa pamoja nawe katika Utume wako wa kueneza neno la Mungu Kwa njia mbalimbali. Tunakuombea mafanikio mema katika safari yako. Asante sana 🙏🙏
@altogosbertluhikula908323 сағат бұрын
Shukurani sana Frt. A Kaijage kwa kwa tafakari nzuri
@Antelius-ew6it21 сағат бұрын
Amina asante sana kwa mafundisho mazuri daima Mungu akusaidie kutimiza kusudio la moyo wako🙏
@SaraAlex-o4lКүн бұрын
Ubarikiwe sana kaka 🙏
@MusebeniFr9 сағат бұрын
Asante sana baba frt
@jackyshirima-z5dКүн бұрын
Safi, u mwl mzuri Frate
@ElviusRwehumbizaКүн бұрын
Asante frt.Anterius Kwa kipindi kizuri katika maisha ya binadamu