Wanataka kushawishi wazazi kwamba wanafunzi wanafanya vizuri kumbe syo kabisa !!!
@sophiemsuya65073 күн бұрын
Huku kwetu udanganyifu sio mitihani tu, Kuna ndoa, biashara, hata chaguzi.Mungu uepushe na hizi laana za udanganyifu ili tuweze kuiona mbingu😭🙏
@noelmbosa27364 күн бұрын
hatari sana Yawe atusaidie
@AnjelicaBayyone2 күн бұрын
Udanganyifu unaanzia kwenye uchaguzi jiangalieni. Sana rushwa nk nk hii ni tabia chafu
@alfoncejohn21043 күн бұрын
Private sectors ndio chanzo Cha RUSHWA na uzembe wa wafanyakazi setekalini. SHULE,ZAHANATI,VYUO VYA UDEREVA NK.SERELALI ICHUNGUZE NGOS ZOTE na private sectors Labda wanashindwa sababu ni ZAO