Lyrics: Kuna yule aliyenipenda Si kwa ajili ya mali Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu Akanionyesha upendo ambao sijaona kwa wengine Huyu halali wala hasizinzii Hata leo hajawai kunichoka x3 Sikumtafuta ni yeye aliyekuja kwangu Ningawazaje makosa yangu Yesu alinipenda wa kwanza Nikamwamini yeye kanisamehe dhambi Upendo wake Yesu yeye wanishangaza x2 Yesu huyu Yesu rafiki mwema Yesu huyu Yesu ninamupenda Yesu huyu Yesu rafiki mwema Yesu huyu Yesu ninamupenda Yesu kristo Bwana wangu ni rafiki mwema Yesu kristo Bwana wangu ni rafiki mwema Yesu kristo Bwana wangu ni rafiki mwema Yesu huyu Yesu rafiki mwema Yesu huyu Yesu ninakupenda Yesu huyu Yesu rafiki mwema Yesu huyu Yesu ninakupenda
@roycollinskariuki2004 Жыл бұрын
Thank you🙏
@marselinadena76189 ай бұрын
❤❤
@sylviamukabwa68048 ай бұрын
❤❤❤
@JescaMaboto6 ай бұрын
❤❤
@carolitermsupa22352 ай бұрын
❤
@rabut.j.849Ай бұрын
Who is here today this morning reminding herself of himself that He has a friend that has never leave them or be sake them😢😢it’s only Jesus 😢
@vee_sweetpie326Ай бұрын
Me
@judithanthony269027 күн бұрын
'Am here! Glory be to God
@CesiliaJackson-f9w3 күн бұрын
❤
@mercymessy7589 Жыл бұрын
I was in deportation centre in Saudi Arabia, i prayed day and night for me to come home safe and God heard my prayers i stayed there for 3 weeks because it was Christmas season and the embassy was no working during that time..But my visa was quick and all people there were shocked how i got my visa quickly ....This song was my song on that journey till today i listen to it ❤and it gives me hope for a better tomorrow
@ed4Jesus Жыл бұрын
We thank God - we have midnight prayers with Rev Lydia Kahiga(Map Media), we equally intercede for our Kenyan brothers & sisters without our borders🙏
@josephinedenis20728 ай бұрын
❤❤❤😊
@MASUBIBULULA15 ай бұрын
thanks
@NeigeChing-dz6xkАй бұрын
Au-travers de ce chant je reçois mon mariage.Aout 2025 au nom puissant de JÉSUS CHRIST de NAZARETH amen sa tombe sur ma tête depuis mon Pays le GABON à LIBREVILLE 🇬🇦🇬🇦🇬🇦🇬🇦amen merci SEIGNEUR
@elynekubai1068 Жыл бұрын
Sikumtafuta but with all the sins,Jesus still reached out for me.Yes me.I am amazed by his great love.Thank you Jesus
@mercykanini7132 Жыл бұрын
He is a good good God
@sakrdc64655 ай бұрын
Kweli, Mungu ndiye Rafiki mwema sababu mwanadamu yeyote hata wazazi wala watoto wako wanaweza kukukatala alakini Yesu ndio Rafiki Mwenye hajali Na uzaifu wangu Na ananichukua katika hali yangu. Mungu usifiwe saana. ubariki Pia hawa wana wako wanao kuimbia namna hivi.
@jentrixgongai24834 ай бұрын
Still here in 2024 It was ringing in my head at 3:20am and decided to listen to it I feel I sin everyday and God's voice keeps saying to me he stills loves me no matter how many times I backslide
@topresearchpro3 ай бұрын
study the word of God and meditate. You keep backsliding when you dont apply the word of God in situations that befall you. But if you apply the word of God in your situations, then you will stand. The house falls because it is built on poor foundation.... not because of storm, rain, or floods. *Psalm 119:9 How can a young man keep his way pure? By living according to your word*
@samwelmwaijumba60183 жыл бұрын
Kuna yule aliyenipenda si kwa ajili ya mali alinipenda wala hakujali udhaifu wangu.....akanionyesha upendo ambao sijaona kwa wengine.....asante Yesu ulikuja kunitafuta ningali mwenye dhambi.....sifai wala sisitahili mbele zako.....asante kunisamehe dhambi makosa na maovu yangu hakika Yesu Wewe ni rafiki mwema.....uhimidiwe Yahweee....
@mariawanyosh88782 жыл бұрын
Wóoow amazing!!
@victoriamkaya1504 Жыл бұрын
🙏🙏
@RoyceNicodem-he3qs Жыл бұрын
Hakka MUNGU n mwema maishan mwagu lait angeangalia nilivo nisingelifka hapa nilipo. Asant Mungu kwa UPENDO wako
@kennesomusiqtv8012 Жыл бұрын
Noma sana
@kipronobenard6406 Жыл бұрын
❤
@ZakiaWaziri-x7d Жыл бұрын
Amen amen nabarikiwa sana na kufunguliwa Kila nisikiapo nyimbo hii nanyi barikiweni sana wapendwa wangu
@irenejomo55104 ай бұрын
2024 brides nyimbo ndio hii
@ManassehDivine3 ай бұрын
You like my comment I come here to watch again God is faithful 🙏🙌😭 I'm a living testimony
@IsayaJoseph-f7kАй бұрын
Alinipenda Bure jaman nampenda Yesu n Baba wawote wenye mwili I love jesus❤❤❤❤
@Bridgetug9 ай бұрын
Sijaona rafiki kama wewe baba yangu your daughter is here to say thank you for everything 🙏🙏👏
@learnadlugora52992 жыл бұрын
PATRICK MUNGU, KASHA INUA KARAMA YAKO, TUNSJUIMBEA UZIDI KUDUM MILELE NA MILELE, TUOMBEE NA SISI KARAMA ZETU ZIINUKE NA FAMILIA YANGU. MUNGU, ANA TUPENDA SITE AMINA.
@kabuyakazadiantoine919 Жыл бұрын
Que Dieu vous bénisse
@heritierkayembe6503 Жыл бұрын
Rafiki wa kweli ni yesu peke yake tu
@richardmwamba-7365 Жыл бұрын
Patrick Kubuya and Prince Mulindwa.
@richardmwamba-7365 Жыл бұрын
Un chant inspiré. Gloire à Dieu.
@totallysalvationtvАй бұрын
..........,.........wala hasinziii japo mm nasinzia ila yeye hunitazama usiku kucha ahsanteh YESU(wimbo unanipatumaina la kesho yangu regardless of the situation i face)
@AimeeMaombi-i1zАй бұрын
❤❤❤alipenda nikweli sikumtafuta Bali yeye ndiye , yesu ninamupenda, Mungu awabariki sana 5:55 5:57 5:58 5:59
@electineomutekete3801 Жыл бұрын
Kuna ule aliyenipenda ....alinionyesha upendo na yeye akaniwacha 🙌,,Kuna yesu aliyenipenda tangu utotoni hata kabla nizalie na yeye hajainiwacha hadi sasa ..huyu yesu rafiki mwema Nakupenda sanaa 🙏🔥
@nidahmutheu4309 Жыл бұрын
Amen!
@bonifaceanthony12304 ай бұрын
Still here 2024.. God is so good to me
@irenemwangi95314 ай бұрын
Am here
@bonifaceanthony12304 ай бұрын
@@irenemwangi9531 be blessed
@owanotabitha7935 Жыл бұрын
May God's favour shine upon anyone reading this comment
@ferdinandmusongiela8952 Жыл бұрын
Vraiment Jésus Christ mon véritable ami Mungu wa mbingu awajaliye nehema kubwa kwa wimbo huu
@Ishycodes Жыл бұрын
It is the "sikumtafuta, ni yeye alikuja kwangu" part for me. This came fully made!
@madinandayisaba9962 Жыл бұрын
Alinipenda wala hakujali uzaifu wangu2023
@linnetmbotto7212 Жыл бұрын
*udhaifu
@Dolly_Mukami Жыл бұрын
Nous n'avons pas un autre ami comme Jésus... Sikumtafuta ni yeye aliyekuja kwangu🙌🏽 This is the testimony of my life.
@nidahmutheu4309 Жыл бұрын
Jamani amenipenda bure!!!! hajali udahifu, anatupenda tu!!! I love Jesus ❤ I pray that someone who is longing for His love that they would experience it !
@winniewangari4406 Жыл бұрын
I don't understand how I feel when I listen to this music. Jesus is soooooo gooood🙏 Lots of love from Kenya💝
@evagatwiri7145 Жыл бұрын
When everyone abandon you remember there's God in heaven who will always be by your side,kneel and talk to Him.
@maxwelladundo7268 Жыл бұрын
my favorite song it is, although am a pagan i just pray to God that i will one day walk to the right church because i have never find the bestchurch to go.
@ed4Jesus Жыл бұрын
Hey Max, this is such a wonderful desire, however on this side of the sun, there isn't a perfect church. A perfect case is the church birthed after the outpouring of the Holy Spirit in the Book of Acts - during apostle Paul days, 💥 yet if you read a good chunk of his epistles to these churches, he's pleading with them on how to live Godly lives and in love - and so does Jesus Christ Himself in the opening chapters of the book of Revelation. Also, you shouldn't call thyself a pagan if you believe in our God, the Creator of all the seen and unseen, and in His son Jesus Christ and His saving power and Grace. You can tag in to - it'll do you good. 🙏
@nathanielotieno3333 Жыл бұрын
Bro....how can I find you so that we can talk about Christ? You do not need to find a church to have faith in him. Give me details of your Facebook so that we can chat
@labamba344811 ай бұрын
Celui qui croiras et qui saira batisé saira sauvé... Marc 16:16.
@lindawakecu90069 ай бұрын
Father God... You who knows eachbof us by name, you who sees our secret parts n knows every heartfelt desire... behold your child. In only a way your Spirit can... find and minister your saving grace to this your child. As you have done since the dawn of time.. speak to this spirit. Reveal yourself... and allow this prayer be answered. When this Soul gets to finally find the way and truth... Glory and honour shall once again be given to you. I pray this believing and trusting in your precious name, Jesus. Amen
@tuyishimejohn15913 жыл бұрын
You can't understand how this song makes me feel I'm directly with Jesus! Amen. Jesus is my friend.... Go ahead dears!!!! ,❤️
@esperancemoise1332 Жыл бұрын
say that again 👌👌👌 A goosebump song
@mariamatieno5802 Жыл бұрын
I feel happy today listening to this song after winning a court case over land ..this song inspired me from the beginning of my case
@MarionLusegaАй бұрын
.I used to hear this song In my mind,,I was like I have heard it before but I wasn't sure so I went online and looked for it.i I got it and it was the exact song,, that's 2 years ago,,from there I listen to it almost daily.
@pendogiz806 Жыл бұрын
Kabisa Yesu ndo rafiki mwema kwangu sijawahi kuona rafiki zaidi yake ariye nipenda nakunierewa bira kujari uzaifu wangu Yesu kristo pekeee namupenda Sana ❤
@FabriceSelas Жыл бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢 Dieu nous aime malgré nos faiblesse et il ne peut jamais nous abandonner. Jésus n'est pas comme les gens de ce Monde 😢😢😢😢😢😢
@TamaryMbashaАй бұрын
🙏Asntee yesu kwa kunipenda
@baraniprimary3 күн бұрын
Yeye halal wala hasinzii hta Leo hajawai kuniacha ...kweli Yesu rafiki mwema
Here for the a millionth time because my heart is fulfilled singing along to this.. huyu yesu huyu yesu tu..
@peternjora63462 жыл бұрын
Upendo ambao sijaona kwa wengine🙌🙏
@nyemosaimon89912 жыл бұрын
Alinipenda na madhaifu yangu hakujali hali yangu yy pendo lake kwangu ni la ajabu ❤❤
@delabliss13559 ай бұрын
Thank you Jesus for always being there for me 😭😭😭🙏
@janetshao6423 Жыл бұрын
Yesuuu,, huyu Yesu,, rafiki mwema
@LeahElia-n5u9 ай бұрын
Thank God for everything in my life 🙏🙏🙏 nabarikiwa Sana na huu wimbo
@neemaisaackmdoe6733Ай бұрын
Sikumtafuta ni yeye aliyekuja kwangu.🙏🏼 upendo wake wanishangaza. YESU❤
@Eastxtremoz5 ай бұрын
Ni rafiki mwema....Nimeuona uwepo wake kwa maisha yangu....Alinipenda nikiwa mwenye thambi...
@MunezeroParfait-hx4ch Жыл бұрын
Amen balikiwa sana waimbaji kuna yule alienipenda
@lydiaayuma3855 Жыл бұрын
2023❤am still here .ni wewe tu yesu.
@sarahwoga2601 Жыл бұрын
Thank You Jesus for loving me!!!....... powerful song God bless the singers
@favourgrace97452 ай бұрын
Atukuzwe Mungu Baba fadhili zake ni za kudumu namhimidi Mungu kwa upendo wake wa dhati maishani mwangu nazidi kumwamini kuwa atanitendea mambo mema na maku AMEN❤ Mzidishiwe neema ya kumtumikia Yesu Rafiki mwema HALLELUJAH 🙌 🙌 🙌 3:15AM EAT 27/9/24
@sifasafi5928Ай бұрын
The way this song gives me joy and hope 😢. Yesu huyu yesu ninaku penda😊
@bonnymwamba8828 Жыл бұрын
Amen this sing has the power in Jesus christ I confirme
@DouglasZaluke-d8oКүн бұрын
Merci pour l'amour inconditionnel m'y saviour praise the Lord !
@moisebandjile88709 ай бұрын
Manifestons l'amour de Dieu a tous sans tenir compte de sa beauté ,sa position, ni sont niveau d'études ni .... Mais parce qu'il nous a aimé tous sans intérêt jésus christ de Nazareth
@gloriamiriti691 Жыл бұрын
Sikumtafuta ni yy aliyekuja kwangu ingawaje dhambi ,makosa yangu yesu alinipenda wa kwanza oh my Goood😢😢😢❤❤❤
@Queen-gv8otАй бұрын
What a joye in the house of the lord, im so so happy to be saved bay God
@fredmumo Жыл бұрын
Yesu huyu Yesu rafiki mwema..Yesu huyu Yesu ninampendaa
@Blessingsdivi5 ай бұрын
Ohh Mungu awabariki sana kwaiyi wimbo inatujenga siku zote ❤😊❤Yesu ni rafiki mwema sana kwetu 😢
@NaomiWanyama-u6e7 ай бұрын
No one is like you God..... your name is above all other names ...we worshiped you and glorified your name 🙏🙏🙏🙏
@mariamagenda149 Жыл бұрын
Na bado ananipenda adi milele
@GeorgeWonder-v3i Жыл бұрын
Huenda ndo wimbo Bora no_1 kwangu.Baba wa Mbinguni Wabariki Kundi Hili🙏
@Dinnahsimion Жыл бұрын
😭😭💔💔 Asantee Yesu nimeuona mkono wako wa Rehema❤❤🙏🙏🙏
@bernardoloo202310 ай бұрын
The first part of the song when this lady is singing really blesses me..that anointed husky voice
@haggaikapambwe7091 Жыл бұрын
More blessings, the song content more powerful words I'm really blessed by it
@motorstreetkenya Жыл бұрын
Yesu Rafiki mwema 💯. Thankyou for loving me and taking me to places only you could.. Today I cant get enough of this song❤!
@Jennifer-yl4mt Жыл бұрын
He is the only true friend. He will never leave us nor forsake us.
@judyokumu8439 Жыл бұрын
True Gospel inspired by the Holy spirit!❤
@wakotokkee10 ай бұрын
Sikutafuta ni yeye alikuja kwangu Ningawazaje makosa yangu Yesu alinipenda wa kwanza Nikamwamini yeye kanisamehe dhambi Upendo wake Yesu yeye wanishangaza Yesu huyu Yesu rafiki mwema Yesu huyu Yesu ninakupenda Yesu huyu Yesu rafiki mwema Yesu huyu Yesu ninakupenda Hallelujah!
@elneemaaloyce9 ай бұрын
HUU UMENITOA NILIKO..NAMSHUKURU SANA MUNGU
@elneemaaloyce9 ай бұрын
Yesu ni rafiki mwema
@glorymassawe362 ай бұрын
Sikumtafuta ni yeye aliekuja kwangu,nikawacha dhambi......Upendo wake Yesu wanishangaza...!!!!
@En_Diel11 ай бұрын
Nyimbo tamu sana
@monicahjames7308 Жыл бұрын
YESU UPENDO WAKO KWANGU NI WAAJABU 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙏🙏
@NATACIARAPHAEL-iz8kr11 ай бұрын
Nyimbo imenibariki sana pia napenda mlivyovaa wanawake hamujava suruali
@SarahIrakoze-c6v Жыл бұрын
Inyimbo nayipenda sana nataka nijuwe aliye andika iyiwimbo please
@FranckKisulaАй бұрын
I like so much this song that blesses my soul 😌
@yvettembavu9306Ай бұрын
Amen Amen Amen Asante kwa nyimbo iyi hata 20 fois nayisikika par jour. Inaningiza kimoyomoyo
@gracesifa90892 ай бұрын
Love u Jésus ❤🎉 rafiki mwena 😍😍😍😍😍
@lydiamatala Жыл бұрын
Aki tu yesu peke yake njo rafiki Mweme tena wa karibu sija kuona mwenye upendo kama yeye
@EddieSaid-l4x3 ай бұрын
Upendo wake Yesu wanishangaza2024
@yannmputu8670 Жыл бұрын
❤️😭😭❤️Yesu ananipenda sana licha ya dhambi zangu 🙏🏾🙌🏾😭
@sylviotochi257611 ай бұрын
This song heals me always when my heart is in turmoil
@teachergodfreypeter9052 Жыл бұрын
Yesu ni rafiki mwema 🙏
@edithkambo3930 Жыл бұрын
Yesu Kristo Bwana Wangu ni rafiki mwema tena wa karibu
@mwambafils98458 ай бұрын
Un chant inspiré du Saint-Esprit.
@gabrielsimasi77913 жыл бұрын
Upendo wake wanishangaza
@dianagervas-gg9xz9 ай бұрын
Akanionyesha upendo
@davidmatheri86282 жыл бұрын
it's the lead voice for me... Takes me away. I listen to Chandelier de Gloire's songs over and over in a day.
@Wambuto10 ай бұрын
I listened to another version, where that brother was not present. It didnt have the flavor
@aliceinnocent590811 ай бұрын
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌this voice 😢😢😢😢 Asante Mungu
@sheillahnorah6890 Жыл бұрын
I can listen to this song more than 10 times in day
@EdaEzekielAdrian2 ай бұрын
Wimbo huu naupenda sana unabariki nafsi yangu .2024
@EdwardMdoe-e4d15 сағат бұрын
Ananipenda ameniokoa kwenye mapito mengi yaani hajawahi kuniacha
@darleneNininahazwe-tv1xr9 ай бұрын
Sikumtafuta ni yeye aliekuja kwangu🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
@willymutwiri9165Ай бұрын
This song❤❤ just love every word.... All day ringing in my head. God hear me
@joycelanda8987 Жыл бұрын
Hakika Yesu anatupenda upeo!upendo wa wanadamu unahesabu makosa!
@labamba344811 ай бұрын
Maisha bila Yesu ni bure. Yesu ni mambo yote ndani ya yote. Ukimupata Yesu umepata vyote.
@monicahjames7308 Жыл бұрын
YESU NI RAFIKI MWEMA 🙌🙌🙌🙌 YESU NAKUPENDA ❤❤❤🙏🙏
@sarahnyambura11812 ай бұрын
Huyu yesu ninampenda...no optiom hanging on God's promises..
@victoriandile98284 ай бұрын
He leaves the 99 sheep in search of the 1 lost sheep ...Yesu ni rafiki mwema kwa kweli❤
@sophiahatibu1435 Жыл бұрын
Glory to God,ipo siku nitatoa ushuhuda,naamni Mungu halali wala hasinziii