Ni kweli Dr,niliwahi kuachana na mtu,maana Kuna mtu alieingia Kati nakututengenisha,nikapata mtu mwingine ambae ninzuri zaidi yayule wakwanza,kumbe niliumia lakini ilikua nimpango was Mungu aliniletea mtu sahihi
@husnawaziri951510 ай бұрын
❤
@markkenneth39372 жыл бұрын
Mafunzo ya kujenga asante sana dr Elly God bless you
@deejulesdonatha41072 жыл бұрын
1. Tunamtegemea kwasb Anastahili Kutegemewa 2. Kibaya tunaweka nukta katika maisha 3. Usiweke nukta kwa mambo hujaanzisjha wewe Shikamooo Dr Elly
@maryschroeder5212 жыл бұрын
Am always very happy to see you both 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@sofiarugoye792911 ай бұрын
Asante Sana Dr.
@eliofootz65192 жыл бұрын
Thank you
@brigittemapendotendere76232 жыл бұрын
I like this men,in French wanasema il est tellement cultivé!
@fauziyaomar7090 Жыл бұрын
Napenda sn
@blandinamyinga94892 жыл бұрын
this made me smile frm deep within.
@georgekweyamba55692 жыл бұрын
Good lesson 👀
@elizajuma56162 жыл бұрын
Nilikuwa naiona swali la kawaida sana, Lakin napanuka kifikra kwa vile jinsi doc anavyolielezea
@deejulesdonatha41072 жыл бұрын
Huyu baba kiboko🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@chance07092 ай бұрын
Ulizo yamwisho inafaa sana
@melvinnakhungu25042 жыл бұрын
I love you dada.
@zimanigervas72812 жыл бұрын
WISDOM🙌🙌🙌
@mkiniponsiano50592 жыл бұрын
This interview is Hot.
@wachabially21102 жыл бұрын
Nice
@ashrafdior28292 жыл бұрын
Kwali kbs
@adamusamson52792 жыл бұрын
LEO MASWALI YOTE MAWILI YANANIHUSU MOJA KWA MOJA. SWALI #1 LILISHANITOKEA #2 NDO HALI NINAYOPITIA KWASASA.