RAHA NA KARAHA ZA KUOA UGHAIBUNI

  Рет қаралды 21,318

Official Dating Assistance

Official Dating Assistance

Күн бұрын

Пікірлер: 247
@minachamiago33
@minachamiago33 4 ай бұрын
Hii interview nimeipenda ,sababu @Richie nae kapata chance ya kuwa interviewer kwa @Sister 😂❤
@janethhipolite1774
@janethhipolite1774 Жыл бұрын
Huyu kaka arudi tena anaongea wazi wazi hafichi
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Ahsante Nitamleta tena.. he is awesome
@elimwemamodaha3483
@elimwemamodaha3483 Жыл бұрын
Watching form German but i love tz so much. ....😘
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Ahsante sana 🙏 me too 🥰
@ajmagowaajetha
@ajmagowaajetha Жыл бұрын
​@@OfficialDatingAssistance hi, ujermani mji gani.?
@hamisamadimpozi5923
@hamisamadimpozi5923 8 ай бұрын
Kaha umeongea vzr sana ❤nimekupenda bure
@dinocastico8495
@dinocastico8495 Жыл бұрын
Dah jamani rich kiumbe kwel kwel hee lini uliowa ndugu yangu rich nakuona unavyo toa vyeti vyako vyeusi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wallah nimecheka leo mpaka😂😂😂😂😂
@homeandaway2811
@homeandaway2811 Жыл бұрын
Huyu kaka muombe aje tena ana nondo za hatari na yuko wazi anatoa mifano halisi kabisa.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
I will, yani kaka anatusanua kweli kweli
@betricemainoya4176
@betricemainoya4176 9 ай бұрын
Best intaview arudi Tena atuambie makorokoro yoote yaliyopo huko sio la umbwa tuu mambo mengi tunaomba arudi tena
@upendokihunrwa3427
@upendokihunrwa3427 Жыл бұрын
Jamani mimi siwezi wazoea wazungu uuuwi 😢napenda Blac men uuuwi nakufaaaaaa nikiona mkaka mweny mwil na color zetu.....sasa white men siwez ata kuwa sexually active kwakweli😢😢😢
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Ni kawaida kabisa… kila mwanadamu na kitu anachopenda na matamanio yake. Uko sahihi kabisa
@valenakomba9218
@valenakomba9218 11 ай бұрын
Kwa kusema kweli, kila anayetafuta mzungu , Nia hasa ni kwenda nnje, na matumaini ya kupata maisha mazuri.
@nahlahassan-fd6le
@nahlahassan-fd6le 11 ай бұрын
​@@valenakomba9218sio kweli
@amanimanase8798
@amanimanase8798 10 ай бұрын
​@@valenakomba9218nakuunga mkono ndg yani IPO ivyo in case of maisha mazuri na kutaka kuishi nje that's real
@user-ul8uf5ee3p
@user-ul8uf5ee3p 9 ай бұрын
umeona mama yani mimi ndio hata mshituko wa hio rangi mimi ninalengo la kufika huko lakini sio kuwa na mahusiano na hio rangi loo
@shalibrutsch-vlog
@shalibrutsch-vlog Жыл бұрын
Wow. Kaka kaongea yote. Mwenye skio na asikie 🙌🏾.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Sana na mwenye akili aelewe.. kaka kasema kwa uwazi sana
@RachelRachel-zx6dx
@RachelRachel-zx6dx Жыл бұрын
😅😅😅😅😅umenifurahisha kuoga shuhuli
@RachelRachel-zx6dx
@RachelRachel-zx6dx Жыл бұрын
Swali kwakaka amesema alikuwa namzungu badae wameachana sababu yakuachana nini pia nahuyo aliyekuwa naye Sasa yuko tz au yupo hukohuko ulaya😅
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 Жыл бұрын
Uyu kaka ki ukweli nimempenda sanaa anavyojieleza
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
He is amazing
@upendokihunrwa3427
@upendokihunrwa3427 Жыл бұрын
Mwenzangu wakaka wa bongo kama hawa mi ndo wanafanya nsitake wazungu ata nipigwe😂
@HopePally-my9mx
@HopePally-my9mx Жыл бұрын
Eee richie kawa mwalimu leo😂😂😂
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Tena mwalimu amazing 😁
@pulikisia7963
@pulikisia7963 Жыл бұрын
Yaani!! Kha!!
@Witnessvlog
@Witnessvlog Жыл бұрын
Swala la kuoga kwakweli ni changamoto. Hata mtoto machanga huku hawaogeshwi kila siku. Et Mara moja kwa wiki.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Hahaha Mara moja kwa Wiki ?
@Witnessvlog
@Witnessvlog Жыл бұрын
@@OfficialDatingAssistance EEh watoto wakizungu hawaogeshwi kila siku chunguza
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Ukiwaendekeza kwa hilo, kweli mtanukishana vikwapa. Mimi nilikataa kabisa mpaka aka give up. Mwanangu alioga kwakujinafasi.😅
@MsLightness
@MsLightness Жыл бұрын
Nimempenda bure Richie,kaongea kwa uwazi sana #harakati za kutumika😂😂
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Richie is amazing with rich heart
@bevinshango6036
@bevinshango6036 8 ай бұрын
Hi
@sophiamasawe4309
@sophiamasawe4309 Жыл бұрын
Daa kaka pole ndio safar ya maisha
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
😁
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 Жыл бұрын
Mlete Rich tena hapa you tub tafadhali sana ❤
@barakamazigo4840
@barakamazigo4840 7 ай бұрын
Interview Zur nmekubar
@dn.n4983
@dn.n4983 Жыл бұрын
Darasa tujifunze be bless
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Thank you 🙏
@janethkomba4485
@janethkomba4485 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂Ila sio siri hi rangi kutawaza kuoga changamoto🔥wawo wanapenda tishu mix kubadirisha nguo basi🙆
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
🤣🤣 hii kali
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
😂😂😂
@nishamwenendi-vh4wk
@nishamwenendi-vh4wk 4 ай бұрын
Yani kwenye kuoga rangi nyeupe ni kipengele kwakweli pia wengi wamejiekea kuoga ni usiku tu asubuhi changamoto 😂😂
@Witnessvlog
@Witnessvlog Жыл бұрын
Live za KZbin ni nzuri sana kuliko za Ig. Big up Shena. Hii video Ina mengi sana ya kujifunza
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Kweli hata mimi nimeona.. kwanza zinakua na utulivu kweli
@sarah-hy7gz
@sarah-hy7gz Жыл бұрын
Umeona ee Dada witness vlog napenda Sana yn nibora niangali huku najifuza vitu vingi Sana hususan juu ya mahusiano yambali kwass tuliyo mbali siku nikipata mweza nitakuwa najua wapoje
@sarah-hy7gz
@sarah-hy7gz Жыл бұрын
Asante Sana kaka yetu
@sarah-hy7gz
@sarah-hy7gz Жыл бұрын
Tumezoeya Sana kukaa ndani huku ugaibuni nikawaida
@user-mn2li8jn4m
@user-mn2li8jn4m 8 ай бұрын
​@@OfficialDatingAssistance hi sheena
@shamimhayat7637
@shamimhayat7637 Жыл бұрын
The best interview ever
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Thank you 🙏
@sarah-hy7gz
@sarah-hy7gz Жыл бұрын
Kunaavitu vyakuvumilia
@PtransJulius
@PtransJulius 5 ай бұрын
Nawapata vizuri kutoka south Africa.
@subiratembo3033
@subiratembo3033 Жыл бұрын
Kaka yupo sahihi kabisa ulaya hakuna Shangazi mjomba Wala bibi au Babu na hakuna kusema Kuna muda wa kwenda kupiga soga kwa Jirani.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Ahsante kwa comment nzuri
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
Bf wangu ni Mtu wa SA ila mwafrika tu Usemcho ni kweli hawana muda na story na mtu Kila 1 na familia yake
@mckazaura3005
@mckazaura3005 Жыл бұрын
Mimi ndo mara ya kwanza nasikiliza kipindi nimependa sana....naamini ntajifunza mambo mengi
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Ahsante sana Karibu
@marthamlove1342
@marthamlove1342 Жыл бұрын
Wow nimependa channel yako my dear sister kuna mengi ya kujifunza
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Ahsante sana shukran 🙏
@salumufabien1786
@salumufabien1786 7 ай бұрын
Kwann hawaonesh wapenzi wao
@Beautiful-Place
@Beautiful-Place Жыл бұрын
Nice one 👍
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
🙏
@Witnessvlog
@Witnessvlog Жыл бұрын
Weee Shena kumbe hadi Pete ulivaaa. Asante sana kwa Ku share story yako
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Na harusi ilipangwa nikaivunja.. nyieeee 😁
@shalibrutsch-vlog
@shalibrutsch-vlog Жыл бұрын
SHENA sio mwenzako na akamtema Mzungu wa watu 😂😂
@Witnessvlog
@Witnessvlog Жыл бұрын
@@OfficialDatingAssistance 🤣🤣wew ni legend. Una courage sana. Wengi wameogopa kufanya maamuzi magumu wakajuta mbele
@marrypius576
@marrypius576 Жыл бұрын
Duh Mungu nipe na mim mzungu haya mapenzi ya bongo nitakufa kabla ya wakati wangu 😢😢😢
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Pole sana na amen to that
@beatriceemanuel1098
@beatriceemanuel1098 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 the same to me
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
😂😂😂😂 Pole dear
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
😂😂😂
@viktamade
@viktamade Жыл бұрын
Arusha kuna baridi lakini kuoga ni muhimu..sema nimegundua kitu ndo maana video(sinema) zao nyingi wao ni kupiga mswaki kuvaa na kusepa
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Hahaha
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🙌🙌
@PureSoul-rf4xd
@PureSoul-rf4xd Жыл бұрын
😅😅😅
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 Жыл бұрын
Sio wote hao ni wale walala hoi tuu wazungu ni wasafi sana hata mazingira ya kwao ninmasafi sana
@RhodaMgella
@RhodaMgella Жыл бұрын
Nimefurahi sana Richard wadada wengi wanafanya interview lakini hawasemi Hilo swala lu kuto kuoga, au lipo kwa wanawake tuu?
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Hahaha sasa Richie kaongea na anayokutana nayo Na sisi wadada tunaongea tunayokutana nayo Ukiona hawasemi ujue sio changamoto yao hiyo 🤣
@simonsmithajax
@simonsmithajax Жыл бұрын
😂😂😂 uko sahihi bro
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Sana
@nemesjosephat5612
@nemesjosephat5612 Жыл бұрын
Noma sana
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Hatari
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Hapo kwa uchawi haupandi ndege nimecheka sana. Kuna jamaa mkamba alisema hawa wazungu hawamjui Mungu wala shetani, kwa hiyo wakirogwa hawarogeki😂😂😂
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Hahaha 🤣🤣🤣
@PureSoul-rf4xd
@PureSoul-rf4xd Жыл бұрын
😂😂😂
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 11 ай бұрын
Wajerumami wanajua uchawi
@MartinaMsimbe-qk8ug
@MartinaMsimbe-qk8ug 4 ай бұрын
Nimependa anavyongea
@saidizuber8831
@saidizuber8831 Жыл бұрын
kaka nimekukubali sana kwa muongozo wake natamani sana nimpate mzungu
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Kijana kaongea ukweli wote. Big up Rich
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Rich is amazing 🔥
@sarah-hy7gz
@sarah-hy7gz Жыл бұрын
Dada asee mwananyamara asee mtaawa haya
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 6 ай бұрын
Yaani nimecheka mpaka basi mwanamke kulala bila kuoga mtiani jamani maajabu
@Mushidebb
@Mushidebb 11 ай бұрын
Hio kuibiana wanawake nimeiona kwa ndugu yangu mmoja alimtoa mwanamke africa akaja kuishi nae ulaya na rafiki yake akamchukua mkewe karudi mwinyewe bongooo 😂😂😂😂😂
@ankaah1230
@ankaah1230 Жыл бұрын
Apo kwenye kuoga kweli kabisa, mimi nipo nasoma South Korea, Roomate wangu ni raia wa Finland, zinaweza pita siku 2 hadi tatu simuoni akienda kuoga, mkavu anaenda zake darasani. 😅
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Hahaha hii Kali
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 Жыл бұрын
😂😂😂
@jasminyabdully499
@jasminyabdully499 Жыл бұрын
Kipind kizury sana hiki❤❤
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Ahsante sana
@KadeejaKadeeja-ej4bu
@KadeejaKadeeja-ej4bu 7 ай бұрын
Nimependa kipindi vizuri
@homeandaway2811
@homeandaway2811 Жыл бұрын
😂😂😂😂 umesema kweli kabisa, wapo mbwa wana wivu kabisa 😅😮 ukiona hivyo ujue mume mwenzio 😅
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
😄 na wivu juu ?
@homeandaway2811
@homeandaway2811 Жыл бұрын
​@@OfficialDatingAssistance yes akiona uko close na mdada anakuwa mkorofi ,restless yani anaonyesha wazi hakukubali.
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
​@homeandaway2811 Nakumbuka kuna news nilisoma mbwa wa familia alimuuma new born baby, kwa vile alijihisi mapenzi yamehamishiwa kwa mtoto. Hawa mbwa huku wanapendwa kupitiliza.
@chiekhthiam980
@chiekhthiam980 Жыл бұрын
Menifurahisha sana yani mimi nipo na mzungu imepita miezi mitano hajaoga😂
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Uwiiiii 🤦🏾‍♀️
@elizabethmkude9452
@elizabethmkude9452 Жыл бұрын
Nimechekaje eti ajaoga miezi mitano mmwagie maji harafu unajifanya bahati mbaya
@chiekhthiam980
@chiekhthiam980 Жыл бұрын
@@elizabethmkude9452 ndio hivyo cha muhim mwisho wa mwezi unapata mshahara mzuri na maisha yanaendelea
@marklusweti5698
@marklusweti5698 2 ай бұрын
Wewe Kaka uko na umama sana
@betricedavid2412
@betricedavid2412 Жыл бұрын
Siku nikija ulaya nitakuja na kopo langu la kutekea maji na kujihamba😅😅😅😅😅😅😅
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Hahahaha
@hamidasaba1557
@hamidasaba1557 Жыл бұрын
Sio kweli maisha ya sasaivi ni kusaidiana kwenye maisha
@kevinmary7129
@kevinmary7129 6 ай бұрын
Mwanzoni uliza jina, anatoka wap Tanzania? Yupo nchi gan kwa miaka migapi, anaogea Anatoka Mombasa au zanzibar, interview iwe organised and informal to be sweet
@furahayabwana6127
@furahayabwana6127 Жыл бұрын
MIMI NAPENDA TAMADUNI ZA WAZUNGU HAKUNA KUKANDAMIZANA JAPO MIMI NIMWANAMKE ILA HATA 50/50 NAITOA KWA AMANI NA FURAHA.😊
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Hongera sana
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 Жыл бұрын
Hongera sana
@suntzu8959
@suntzu8959 Жыл бұрын
Kumbe hawaogagi😅 wavumilivu kaka zetu
@usindemdamo5299
@usindemdamo5299 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅
@siashao169
@siashao169 4 ай бұрын
Tujue basi umetokea sehemu gani na ilikuwaje mpaka umeamua kuoa mzungu!
@safiam5338
@safiam5338 4 ай бұрын
Duuu i see swali la kukogalimenishangaza😮
@joejoshua7791
@joejoshua7791 Жыл бұрын
Nigerian ndio wametuharibia sana waafrica huko ulaya kwa kutapeli wanawake wa kizungu
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Kumbe …
@joejoshua7791
@joejoshua7791 Жыл бұрын
@@OfficialDatingAssistance kaa nao mbali sio watu wazuri
@Witnessvlog
@Witnessvlog Жыл бұрын
🤣🤣🤣Et chizi sio chizi, mzima sio mzima ni kweli. Divorce huku ni fasta. Nimeiangalia video yote. Hakika rich ni mkweli na ameongea vingi. Ningependa umlete tena
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Yani anamadini hatari Ametusaua sana..
@homeandaway2811
@homeandaway2811 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 Жыл бұрын
Nimempenda pia katufunza vingi sanaaa
@Hamad10Salafi
@Hamad10Salafi 7 ай бұрын
Sasa Shena n mtandao gani ambao ni rahisi kupata mtu I'm interested
@mickeyraymond8007
@mickeyraymond8007 4 ай бұрын
Ni wewe tu na nyota yako 1.afrointroduction 2.tinder Kunawatu wanapata within a week, month hata within a year na wengine ninwakongwe mfn da shena alikaa 5yrs
@mckazaura3005
@mckazaura3005 Жыл бұрын
Mimi napenda kuwa na wazungu ila upande wakufanya kazi ....sababu kipindi cha nyuma nimewahi kufanya kazi na wakorea kusini hivyo nawish tena kufanya kazi nao wazungu kwa sehemu nilifahamu yaliyosahihi kwao nayasio sahihi pia(binafsi nimeolewa tayari uku nyumbani Tz
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Hongera sana kwa exposure nzuri
@aminaabdulghanim8256
@aminaabdulghanim8256 4 ай бұрын
Siri nzito za injee
@juliethswai4263
@juliethswai4263 Жыл бұрын
bora dada umeamua kwenda zako huko..sometimes mapenzi bongo yanavunja moyo..kwanza bongo kuna ukabila sana.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Weee usiniambie
@sophiakassim6784
@sophiakassim6784 Жыл бұрын
Kuhusu ukabila sina hakika ila uongo mwingi sanaa jamani mapenzi ya bongo uongo jamaniii khaaa me nishachoka sio siri tukapambane na hao machizi tu
@user-mn2li8jn4m
@user-mn2li8jn4m 8 ай бұрын
Sheena. Hi
@user-mn2li8jn4m
@user-mn2li8jn4m 6 ай бұрын
Hi
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Wanajali kusafisha nywele kuliko sehemu nyingine
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Omg Grace uko kwa nchi gani ?
@MartinaMsimbe-qk8ug
@MartinaMsimbe-qk8ug 4 ай бұрын
Umenichekesha kua mbwa anakaa sit ya mbele,yani mbwa Ana umuhimu kuliko mpenzi😅😅😅
@yesuanikumbukejanuary8363
@yesuanikumbukejanuary8363 Жыл бұрын
hapo kwenye mama yako mzazi haana.😂😂
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
🤷‍♀️
@abdidima1171
@abdidima1171 Ай бұрын
Uwii mm ninashinda kumbwa ya mwanaume msaada jmn
@abdidima1171
@abdidima1171 Ай бұрын
Plss ukiona hii plss nakuomba sana unijibu ombi
@roseeuphrase3853
@roseeuphrase3853 8 ай бұрын
Hawapendi kuoga kwa sababu ya ku serve bills za maji.
@KadeejaKadeeja-ej4bu
@KadeejaKadeeja-ej4bu 7 ай бұрын
Na mm nimependa sana mwambie uyo kaka anitafule Mzungu mmoja❤
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Hata mimi sipendi mwanaume mzembe bora nimpe mtaji mimi lakini afanye kazi
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Raha ya mume kujituma
@amneriyami2409
@amneriyami2409 11 ай бұрын
A/alaykum ananondo kali sana
@elieshishamy9902
@elieshishamy9902 Жыл бұрын
Me nna hasira sana spendi dharau so sitamani kwenda ulaya hata kidogo ,nitasuguana na wabongo wenzangu kiroho safi na kufanya kazi kwa bidii tu hakuna ulaya wala ughaibuni ,utavyojiweka wewe hata bongo mali safi
@Trey2k365days
@Trey2k365days Жыл бұрын
Facts
@AishaIbrahim-q3j
@AishaIbrahim-q3j 21 күн бұрын
Hi
@martinkarokia8150
@martinkarokia8150 3 ай бұрын
Mambo vipi hena ujamb
@asmaafamau8307
@asmaafamau8307 10 ай бұрын
Kijana kaongea ukweli kabisa
@hassankhamis344
@hassankhamis344 5 ай бұрын
Dada habari napenda sana program zako namimi nataka kuchangiya chochote lakini sijuwi nianziye wapi
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 5 ай бұрын
Namba zangu kaka +4367764790884
@annamussa185
@annamussa185 Жыл бұрын
Nimeipenda hii😂
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Karibu
@amedegabri4435
@amedegabri4435 6 ай бұрын
Mbona sipati video zako za jana 19 na 18 mwezi huu wa 2..... Jamani mbona Facebook dating mm sipati hapa Tanzania
@Lizzyktd
@Lizzyktd Жыл бұрын
Mweeeh 😂😂😂😂😂
@ameirhemed210
@ameirhemed210 Жыл бұрын
HABARI YAKO
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Salama karibu
@suntzu8959
@suntzu8959 Жыл бұрын
Ulishea na German Shepherd 😅
@joramnunu1449
@joramnunu1449 Жыл бұрын
Rich aludi tena
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
InshaAllah atarudi
@annamussa185
@annamussa185 Жыл бұрын
Hata choo zao akimaliza ku pupu anatumia wipe hakuna maji hapo sasa yani😅
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Maji kwa bafu tu 🤣
@mariamdimosso621
@mariamdimosso621 Жыл бұрын
Wengine wanatumia maji
@annakalinga8432
@annakalinga8432 Жыл бұрын
Na vipi Kama mtu hajui lugha ya kiingereza ànajua kiswahili na anataka mzungu
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Ni vizuri kujifunza japo cha kuombea maji
@user-yp1if8qm5s
@user-yp1if8qm5s Жыл бұрын
​@@OfficialDatingAssistanceSasa ukijifunza kiingereza ca kuomba maji utaongea vipi na mzungu maana mzungu amenitesti nigakosa chakujibu 😢😢😂msada kwa Hilo jamani🙏🙏🙏
@FatumaMuya
@FatumaMuya Жыл бұрын
@@user-yp1if8qm5s ❤️😂😂
@ninjaisma7983
@ninjaisma7983 5 ай бұрын
Bro umebonga point kubwa sana kuhusu dadazetu wanafura vichwa sana wanajiona ndio washafika...yeye dada anataka story za kuongelea wazungu but waafrika pia wanoko mno ulaya
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 5 ай бұрын
It’s not about wazungu tu… Hapa tunaongelea mahusiano na maisha abroad So hata wewe unakaribishwa kutoa Experience yako ya wabongo wenzio abroad
@ngowibeatrice1701
@ngowibeatrice1701 11 ай бұрын
Nimeona huku kaka zetu wameowa wazungu awana aman. Wamekuwa house girl huyu kaka ajasema bado mpaka aseme kaka zetu huku wanaburuzwa huku
@mckazaura3005
@mckazaura3005 Жыл бұрын
Hello dada shena
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Habari, Karibu
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j 4 ай бұрын
Na warabu awaogi looo ngozi nyeupe ndoo tabia yao
@kelvindaniford1525
@kelvindaniford1525 10 ай бұрын
Kaka ameongea ukweli mimi naishi Italy mwaka wa tatu sasa
@petrokija9497
@petrokija9497 Жыл бұрын
Dada kajieleza vizuri, hapendi Black man, Sjui wazazi wake ni wadhunguu au ni Black man🤭 Kama wazazi wako ni Blacks, kazi unayo wewe ni mtumwa, ndoa yako ndo kwaanza ina mwaka mmoja. Days coming, utakuja kuwapigia magoti hao Black mamba unaowaona hawana thamani saivi.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Kwani kuna dhambi mtu kuchagua aina ya mwanamke au mwanaume amtakae ? Tena na chumvi umejua kuongeza sio kwa black mamba hiyo lol 😂🤣
@EmmyMshana
@EmmyMshana Жыл бұрын
Nikweli Wazungu hawapendi kuoga, Mimi nilidate na mzungu kipindi nipo Texas Marekani ni anafanya kusafisha makwapa tu tena after 3 days
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Uwiiiii 🤣
@fatoomhola1317
@fatoomhola1317 10 ай бұрын
Sio wazungu tuu hata warabu hawapendi kuoga
@Fofo-511F
@Fofo-511F 10 ай бұрын
Kaongea ukweli kabisa huyu kaka
@mashaali6519
@mashaali6519 Жыл бұрын
Shida ya richie ayupogo serious 😂😂😂
@magrethpeter6049
@magrethpeter6049 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂polisi
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
😆
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 Жыл бұрын
Mwanangu nilimwogesha mbona
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
🤣
@martinkarokia8150
@martinkarokia8150 3 ай бұрын
2:49 Mambo vipi 3:19
@ameirhemed210
@ameirhemed210 Жыл бұрын
Dada
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Kaka Ameir
@safianamani1375
@safianamani1375 Жыл бұрын
Gold digger😂😂the truth brother
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 Жыл бұрын
Ila wazungu wengine waongo kama waswahili mm mme wangu hapendi watu anachagua ila Austria 🇦🇹 sheria zao nzuri mwanamke hunyanyashwi huyu kaka kaongea ukweli mnaotaka wazungu mjifunze
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Katoa elimu kubwa, mume wako anatokea Austria ?
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 Жыл бұрын
@@OfficialDatingAssistance ndio mme wangu mtu wa Austria 🇦🇹 miaka 10 sasa ila ndoa yako bado changa wana stress hawa watu hawajui tu 🙏🙏
@pandmlekwajecha8765
@pandmlekwajecha8765 Жыл бұрын
Amina kawawa Bado hadi Leo upo na kusema " wa Swahili" ni waongo Vip na wewe NI ( MWARABU au ni MCHINA)? 😂 Tuseme UKWELI tu Mke mzungu ni MATESO na Mume Mzungu ni MATESO
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 Жыл бұрын
@@pandmlekwajecha8765 mie mme wangu hanitesi sema wivu hataki nitoe mguu nje huo ndio mie sipendi kubanwa
@moshiharuna2709
@moshiharuna2709 Жыл бұрын
Kaka upo vizuri saana umegusa kilakona
@sarah-hy7gz
@sarah-hy7gz Жыл бұрын
Ukifungua Chanel ya you tube utapata tu wadau
@alliepeppino8883
@alliepeppino8883 6 ай бұрын
Upo wapi dadake
@annamussa185
@annamussa185 Жыл бұрын
My dear wewe una experience na haw a watu Kuna vitu naomba kuuliza nina mahusiano na mzungu lakini Kuna vitu nikiongea naye nakuwa sielewi kabisa lakini najuwa ninachokita kutoka kwake
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Karibu dear Unaweza ni dm kwa Instagram Page yetu nitakijibu
@tecratzmwakyambomwakyambo7243
@tecratzmwakyambomwakyambo7243 Жыл бұрын
​@@OfficialDatingAssistance unatumia jina gani istar dada
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
official_datingasaistance
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele Жыл бұрын
Watu wanachotaka kwa wazungu ni kwenda kuishi Ulaya period
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Weeee usiniambie ?
@naomiwambua7183
@naomiwambua7183 3 ай бұрын
Na kma ujapata kzi kwanza
ALINIAMBIA TUKO WAWILI NA HAJUI AMCHAGUE YUPI
25:51
Official Dating Assistance
Рет қаралды 9 М.
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 185 МЛН
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17
How Strong is Tin Foil? 💪
00:26
Preston
Рет қаралды 60 МЛН
NILINYIMWA VISA NA NDOA YANGU MKONONI | CHANGAMOTO NILIZOPITIA NA NAMNA NILIVYOZIKABILI
1:04:45
#KUTOKAUGHAIBUNI SEASON 3 / TAMKO KWA UMMA NA MASHABIKI ZETU
4:59
KUTOKA UGHAIBUNI
Рет қаралды 2,4 М.
NILIPATA MZUNGU MVUTA BANGI | HELA YA MZUNGU NI NGUMU | WALITAKA MAHARI MIL 5
38:11
Official Dating Assistance
Рет қаралды 16 М.
Maisha ya ugaibuni sehemu ya 1  kingo
55:52
BAB SEIF
Рет қаралды 7 М.
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 185 МЛН