Unajua kuchamua kweli mm ninyumbu 😂😂😂🎉nisamehee,,,👍👍👍🙏🙏🙏🙏nilijua uislamu mbere
@kijitamfyomi5598Күн бұрын
Hongera zako Ibra Allah akupe umri mrefu tuweze kunufaika na uchambuzi wako
@kijitamfyomi5598Күн бұрын
Mchambuzi mahiri wa siasa za mashariki ya kati hongera Ibrahim
@aliabdallah4233Күн бұрын
Rahbi ww upewe mauwa yako❤
@binseify4615Күн бұрын
Kaka kwa hakika unajua kuchambua vizuri
@ShehaHaji-k8tКүн бұрын
Dah Ibrahim Rahby master of all facts.
@yahayaannu3663Күн бұрын
Asnte kwa madini kaka 🎉
@XkluzivDonnieКүн бұрын
Iran itabaki kuwa taifa pekee la kweli katika bara arabu lisilo na unafiki unafiki kama waarabu ona sasa kilicho mkuta bashar al Assad anajuta kuwakumbatiwa waarabu 😢
@binseify4615Күн бұрын
Kumbe waarabu wenyewe ndio waliompindua Assad
@aryan_simba19 сағат бұрын
Uchambuzi umeshiba✊🏻
@ShehaHaji-k8tКүн бұрын
Na uyu mchambuzi kichwa sna habakishi kitu Tanzania cjui tumpe cheo gni
@nasseralhatmi1762Күн бұрын
Waziri wa Habari
@binseify4615Күн бұрын
Hio HTS ni kikundi kilichoundwa na Marekani na ni kibaraka wao
@WAHUJILLCOMATКүн бұрын
Ok safi ibrah
@issadullah2074Күн бұрын
Kazi kwel kwel
@kafwimbimilambo8556Күн бұрын
Duu!
@ibrahimprido3844Күн бұрын
Sijawahi ona mchambuzi makini kama huyu, huyu jamaa anajua
@IsayaNgoivaКүн бұрын
mh israeli inacheza mchezo kamili yaaan anawavuruga wote waliopamoja ili kila moja alinde kwake aanze kutoa moja baada mwingine ❤❤❤❤❤ ogopa netanyau
@binseify4615Күн бұрын
Kafiri Izrail mbaya
@binseify4615Күн бұрын
Marekani ni wizi wa mali za waarabu
@AmusedCatfish-hd8wo14 сағат бұрын
Africa hayupo ??
@tumpaleakim825Күн бұрын
Du
@MailesSezero-l4cКүн бұрын
Me kuna kitu sikielewi, uturuki na Israel hawajawah kuwa marafiki hata kidogo. Hvo sitak kuamini Israel ilimpanguvu hts
@ahmedmayosa5375Күн бұрын
Tatizo si kutoelewana kila taifa lina faida na anguko la Asad