Na waliopatwa majanga ungewapa kifuta machozi mama yetu ili waweze kuanza upya hata kama 10mil kwa kila mmoja ingetosha kabisa tukumbuke hawa ni walipakodi wazuri na wamechangia Sana kwny sector ya uchumi wetu
@ManaseBuhanza-cl1lc2 ай бұрын
Serkali ya Dk samia. Inawaona walio pata majanga na itaifanyia kazi jamaani
@MrA24G2 ай бұрын
Anaebidi kutoa kifuta machozi ni huyooo mwenye jengo.Serekali imefanya jitihada sanaaa.Ahsante mama Samia na Waziri mkuu na serekali yote na wote,vyombo vya ulinzi na usalama mliojitoa.Mungu awabariki sanaaaa.Haikuwa rahisi.
@ManaseBuhanza-cl1lc2 ай бұрын
Kilicho tokea kaliakoo mwaka wa majanga tena benk ya Amana kigoma mjini usiku wa kuamukia Leo grofa tarehe21/11 /2024 majanga vifo vyatawara kigoma tena