Rais Magufuli achangisha fedha Kanisani, kujenga Msikiti.

  Рет қаралды 37,865

ITV Tanzania

ITV Tanzania

Күн бұрын

Пікірлер: 64
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 3 жыл бұрын
Uwende salama mzee wetu JPM R.I.P The legend of AFRICA
@EbrahimTarzz
@EbrahimTarzz 3 жыл бұрын
Mungu Amrahamu Mh. JPM
@ramahusomore1374
@ramahusomore1374 3 жыл бұрын
May God have sympathy along your ways,you are a true leader who can change AFRICA.
@evanstum5032
@evanstum5032 Жыл бұрын
Indeed he was humble
@UmayaHaji
@UmayaHaji 8 ай бұрын
Allah atakulipa mzee baba wew ndiomtanzania bora
@zamzamhassan4159
@zamzamhassan4159 3 жыл бұрын
Hatutapata rais km wewe Mungu akuondolee adhabu yakaburi Hakika wewe Ni mwanamaendeleo
@rukiahussein7690
@rukiahussein7690 3 жыл бұрын
Allah n mjuzi wa kila jambo
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 3 жыл бұрын
Hongera baba Wewe peponi moja kwa moja ubarikiwa sana 🇹🇿🤝🕊️
@UmayaHaji
@UmayaHaji 8 ай бұрын
Safi
@philipopaulo7784
@philipopaulo7784 4 жыл бұрын
MAGUFULI baba angu unafanya kazi kweli kwann nchi usiongoze Tama miaka 80 mbele kiukweli RAIS wngu unafanya kazi kweli..nakupenda RAIS wngu
@cuteworld2269
@cuteworld2269 3 жыл бұрын
Nimekumiss baba yangu dah
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 2 жыл бұрын
Mungu pekeeeee mangineyo ndoyanafuatia mkweli ktk uongeaji wako Allah hakujalie uko ulipo..
@youandyouyouandyou81
@youandyouyouandyou81 3 жыл бұрын
😢😢😢
@biaysha8553
@biaysha8553 3 жыл бұрын
😭😭😭😭
@ramadhanmwandambotuntufye5972
@ramadhanmwandambotuntufye5972 4 жыл бұрын
Misikiti kama hii mtume aliamrisha ichomwe moto
@adijahmunyasia1449
@adijahmunyasia1449 4 жыл бұрын
Ukweli kabisa haifai maanake tunachokiabudu sisi waislamu sio wanacho kiabudu wakristo...waislamu wasikubali hizo fedha
@dr.djshigongo4927
@dr.djshigongo4927 4 жыл бұрын
Mbona mimi ni mkristo na kila mara hupitishwa forms za kuchangia misikiti na ninatoa,kwa nini hii iwe haram?hongera JPM
@Ndesaproducts
@Ndesaproducts 4 жыл бұрын
Tunaambiwa tusiongee tusichokuwa na elmu nacho. Rid darasan uelewe nn maana ya elmu na soma omary alifanya nn ungali bado hajaslim
@adijahmunyasia1449
@adijahmunyasia1449 4 жыл бұрын
@@Ndesaproducts ww sasa ndio hujui elimu kabisa! Vipi pesa zichangishwe kanisani zijenge misikiti? Watu wa kanisani wanamuabudu nn ama wanakiabudu nn? Iwapo muislamu haruhusiwi kuchangisha pesa zozote kwa lengo la kusaidia kujenga kanisa, sembuse hayo unayoya halalisha ww? Hizo pesa ni haramu zisikubalike ama raisi akitaka kusaidia kujenga msikiti basi na pesa zichangishiwe msikitini au nje uwanjani!!!
@rashdhamdun
@rashdhamdun 4 жыл бұрын
@@adijahmunyasia1449 Adija sio haram
@fatmaalaufi9073
@fatmaalaufi9073 4 жыл бұрын
Mmh pesa za kanisani tena kujengea msikiti mbona makubwa
@emmysam1510
@emmysam1510 3 жыл бұрын
Yote hii ni kwa ajili ya watu wasali wamrejee muumba wao
@petromtakati2975
@petromtakati2975 2 жыл бұрын
Udini sometimes unarudisha maendeleo nyuma kama mnajiweza si mkajenge sasa
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 Жыл бұрын
@@petromtakati2975 Shida ya haw watu niwabaguzi sana na ndicho kinachowafelisha katika maendeleo yao
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 Жыл бұрын
Msikiti uko pale mbona hamji kuutia moto? 🤔🤣🤣🤣🤣Na mama akiwa chamwino anaswali tu 🤣🤣🤣🤣🤣 Yani hamjielewi
@Ericklamecksimu
@Ericklamecksimu 4 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@adijahmunyasia1449
@adijahmunyasia1449 4 жыл бұрын
Hakuna cha mashaallah hapo my dear...huo msikiti yafaa kuvunjwa maanake hizo ni pesa za haram!
@aleyabra8005
@aleyabra8005 4 жыл бұрын
Haya ndo yale alozngumza marehem iman petro ndugu zngu waislam tembeleen video z iman petro utube mtaelewa
@adijahmunyasia1449
@adijahmunyasia1449 4 жыл бұрын
Haifai kabisa waislamu wakatae hizo fedha ni kwa nn asichangishie msikitini ama uwanjani?
@emmadora7848
@emmadora7848 3 жыл бұрын
@@adijahmunyasia1449 walikataaa au walipokea?
@sikitu8957
@sikitu8957 3 жыл бұрын
Uo ni upumbavu kwani kuchangisha pesa kujenga msikiti ni kosa ?
@aminaomar9675
@aminaomar9675 4 жыл бұрын
Mhh pesa hizo hazifai kujengea mskiti nizaharam
@singamichael8130
@singamichael8130 4 жыл бұрын
Weunaeongea halamu unalana wewe we unaona mweshimiwa raisi kakosea katoa namfano kabisa kuwa kwenye hilo kanisa kuna wsislam wslicha hapo nandomaana kamua kufanya ivo
@rashdhamdun
@rashdhamdun 4 жыл бұрын
Sio haram
@emmadora7848
@emmadora7848 3 жыл бұрын
Wewe ndio haramu
@stugleman7275
@stugleman7275 3 жыл бұрын
@@emmadora7848 wewe ndo haram
@emmysam1510
@emmysam1510 3 жыл бұрын
Mbona wakristo na waislam tunaoana?usilete utengano
@catherinechifebe5800
@catherinechifebe5800 4 жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI RAISI MAGUFULI..KUTHAMINIA KATIKA DINI HUKOLEZA AMANI NA KUMLETA MUNGU MBELE YA WATU..ASANTE RAISI WANGU
@adijahmunyasia1449
@adijahmunyasia1449 4 жыл бұрын
Haifai pesa za Kanisani kujenga msikiti wowote popote pale maanake anachokiabudu mkristo sio anachokiabudu muislamu...magufuli akitaka kuchangisha pesa za kujenga msikiti achangishie msikitini ama uwanjani!
@catherinechifebe5800
@catherinechifebe5800 4 жыл бұрын
@@adijahmunyasia1449 DADA UNADHANI NJIA ZA MUNGU UMESHAZIJUA ZOTE?HIZO SIO PESA ZA KANISANI..NIPESA ZILIZOCHANGWA NA WAKRISTU..NI PESA ZAO..WAMEFUNZWA UPENDO NA KUTHAMINI DINI...HIVYO SI VIBAYA WALIVYO FANYA
@sarahabdulatif7391
@sarahabdulatif7391 4 жыл бұрын
Ukiona hao mashehe bado wapo mageredhani siwamungu mana kina petro kina paulo milango ilifunguka wenyew wakatolewa magerezani waache tu huko mpaka siku Wakiri Kuwa Yesu nimwana waMungu naalikufa nakufufuka ikiwa hawana yesu namuhamad mpaka leo hajawatowa mnabakia ndani yauisilamu waachieni majini dini yao
@masala8099
@masala8099 2 жыл бұрын
akili ndogo
@abuasya2595
@abuasya2595 4 жыл бұрын
wasemao kuwa hicho ni kitendo cha haramu, tafadhalini sikilizeni hii video mufaidike kzbin.info/www/bejne/o4OXk6aad9N8d6M
@amosmoses7800
@amosmoses7800 4 жыл бұрын
USIWABABAISHE WAISLAMU. WAISLAMU INCHI NZIMA HAWAKUTAKI.NI MUFTI TU NA MASHEHE SHEHENA AKINA KISHIKI. KAMA UNGELIKUWA MWEMA KWA WAISLAMU.MBONA ULITOA MISAMAHA YA KUWATOA WAHALIFU WALIOUWA HUKO GELEZANI. UKASHINDWA KUWATOA MASHEHE WA UAMSHO WASIO NA HATIA. KWASABABU TU ZA KISISIASA. WALITETEA HAKI ZA WAZANZIBAR.
@catherinechifebe5800
@catherinechifebe5800 4 жыл бұрын
WEWE SIO MKRISTU.....ACHA ..KUJUMUISHA WAISLAMU WOTE KWENYE CHUKI YAKO...NA YOTE YALIYO KWAKO
@Ndesaproducts
@Ndesaproducts 4 жыл бұрын
Weeee Kama nani unatusemea waislam ww. Asiyemtaka nan. Unajua makubwa aliyoyutendea yeye ungali kikwete alikuwa mwislam na hakuweza kitusaidia. Hebu acha fitna bwana
@geroldjacob9845
@geroldjacob9845 2 жыл бұрын
Dad umenena ukwel mungu akubariki sana
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
JPM Awabana Mawaziri, Askofu 'Njooni Hapa Mchangie Msikiti'
14:14
Global TV Online
Рет қаралды 403 М.
RAIS MAGUFULI ALIVYOSHTUKIZA KINONDONI KUKAGUA MSIKITI, AIOMBEA CORONA...
8:22
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 747 М.
HAYA NDIYO ALIYOYASEMA SHEIKH KISHK KABLA YA RAIS MAGUFULI KUZIKWA
13:02
Kishki Online TV
Рет қаралды 897 М.
Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA
27:07
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН