Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli leo ametuma salamu kwa watanzania wanaotoa fedha katika benki mbalimbli na kuzificha majumbani mwao kwamba anaweza kuchukua hatua ya kubadilisha noti ikawa hasara kwao
Пікірлер: 18
@nassoromangi35975 жыл бұрын
ongea ukweli rais wetu
@aduanobella46718 жыл бұрын
NIKWELI, DEAL ZILIKUWA HAZINA MWISHO!
@godsonima78268 жыл бұрын
iko powa mh raisi fedha ibadiliswe
@ruqaiyaibrahim18658 жыл бұрын
unajitahid rais wetu mungu atakupa kheri zako
@athumanomary14385 жыл бұрын
Ewe mwenyez MUNGU enderea kumuongoz vyema raisi wetu
@ambrosemaisa6856 Жыл бұрын
Rest easy mkuu..
@petermakaumutuku91508 жыл бұрын
He is quick at sacking people from their Jobs but he is slow at attending conferences that will create employment and development to Tanzanians.He was the only president of Africa who never attended TICAD conference in KICC Nairobi.He is a sadist.A president who generates more heat than light.He is happy when people are sad.
@Oska.baddest7 жыл бұрын
aki badilisha Mia hiwe miambili
@africachulla43615 жыл бұрын
I love my president
@emilyibraimo50324 жыл бұрын
Wengine wanapija macofi ya uzushi
@TheProVocalist8 жыл бұрын
duh hiyo kiboko
@sinyalemwanshinga80518 жыл бұрын
Hahahaaaa
@nasriallie96828 жыл бұрын
hahaha nan wakulaumiwa
@salehlofy42517 жыл бұрын
Hii inashangaza mbona kpndi cha dili maisha mazuri na wewe unaebana matupz maisha magumu hio kubana matumizi kunasaidia nn! au unataka maisha mazuri yawe kwako tu wengine kama unavosema wabebe misalaba yao inamaana gani ya kua Raisi