"Tulitumiliwa" anasema Katibu Mkuu wa Kwanza wa BLM juu ya Zanzibar kuingia kwenye Muungano

  Рет қаралды 7,132

Gumzo la Ghassani

Gumzo la Ghassani

Күн бұрын

Sheikh Salim Said Rashid ndiye Katibu Mkuu wa Kwanza wa Baraza la Mapinduzi la Zanzibar na anakiri hapa kwamba yeye na wenzake walijikuta wakitumiliwa tu na Mwalimu Julius Nyerere katika suala zima la kuiingiza Zanzibar kwenye Muungano.

Пікірлер: 55
@rastafare878
@rastafare878 2 жыл бұрын
Tutatetea Zanzibar yetu mpaka dakika za mwisho Kwa uwezo wa Allah , In'shaa'Allah
@mwatumsaidi5104
@mwatumsaidi5104 2 жыл бұрын
LAANATULLAH nyerere huko aliko kwa roho za wazanzibari alizozizulumu na hatutowacha kusema hatutaki muungano kabisa
@111dudi
@111dudi 2 жыл бұрын
Kulaani haisaidii
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 2 жыл бұрын
huyu mzee mashallah Ana mengi. umhetafuta mda ukamfata haswa kwa mahojiano zaidi, nasi tukaelewa
@saheedali7467
@saheedali7467 2 жыл бұрын
Itabaki kua story tu Sasa Hakuna liwalo tumeingia ngamani kama kibua kilichooza.
@kassim1262
@kassim1262 3 ай бұрын
Aaah we mungu mkubwa yni mungu hajawahi kumuacha mja wke anaedhulumiwa ykitaka kuamini hilo em tujiulize wtnganyika wnapanga mengi kwznzb wnaishia kufariki mmoja mmoja znzb wnaiyacha iviivi
@zahorsalum4976
@zahorsalum4976 2 жыл бұрын
Jamanii jamanii watanganyika .tuwatoe ktk.nchii yetu mpaka leo wanatuua sn nakutumaliza .
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 жыл бұрын
Watanganyika tafuteni kiti chenu UN Tuachieeni kiti chetu sawa Hatutaki muungano
@sleyumalgheithy3268
@sleyumalgheithy3268 2 жыл бұрын
Ishakua wameua na kuthulumu kwa watu wasousika matokeo nchi imezama na wamewaondoa wasomi halafu wao wanasema serikali ya wakwezi na wakulima ndo hayo matokeo take Zanzibar hakuwahi kutawaliwa vibaya kama inavyotawaliwaa na Tanganyika
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 жыл бұрын
Sisi wananchi wa zanzibar Muungano zanzibar hatuutakii
@111dudi
@111dudi 2 жыл бұрын
Nimefaham kuwa Znz haikuwa na jeshi,na kama nchi italindwa na jeshi la nchi nyingine,inakuwa haina uhuru. Waznz walikiklmbilia kutawala badala ya kujenga jeshi. Ujumbe wa muungano aliuleta Kawawa toka kwa Nyerere mwaka 1959. Kazi nzuri Muhammed
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 2 жыл бұрын
@Abusagar.Lengo la Watanganyika kuitawala Zanzibar liliandikwa RASMI na Mtoro Rehani Kingo kabla ya Nyerere kuunda Afro-Shirazi Party (1957) kama alivyoambiwa wa Makaburu wa Kiingereza. Baada ya Mapinduzi Matukufu (Holy Crusade) Mtoro Rehani, Mtanganyika akawa Meya wa Mji wa Zanzibar.
@111dudi
@111dudi 2 жыл бұрын
@@khatibal-zinjibari6956 Tatizo kubwa lililoyafanya mapinduzi kuwa myepesi ni serikali kuwa haina jeshi, mapinduzi hayakupata pingamizi la kijeshi kabisa. Waliopindua ni watu kidogo sana, kama serikali ingekuwa na jeshi hata ka watu 100, lingerie mapinduzi. Huu ni uzembe wa serikali iliyochukua uhuru. Waliharakia kujipa vyeo.Na hali kadhalika muungano. Karume alipewa amri tuu, na akaitii, kwa sbb hakuwa na jeshi lake. maneno haya anayasema Salum Rashid
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 2 жыл бұрын
@@111dudi Moja kati ya matatizo ni kuwa Kutawaliwa ni sawa na Utumwa. Mtawaliwa na Mtumwa hawana Haki au Sauti mpaka wapate Uhuru. Baada ya Uhuru, walikimbilia kutawala badala ya kujenga jeshi kwa sababu huwezi kujenga nchi bila ya kujitawala. Tatizo jengine ni kuwa Tanganyika, Kenya, Uganda na Zanzibar zilipata Uhuru kwa Muingereza lakini, Zanzibar ilidhulumiwa zaidi kabla na baada ya Uhuru. Waingereza hawakuwaruhusu Wazanzibari kujiunga na polisi seuse jeshi kwa kisingizio ya kuwa ni wafupi, wembamba na hawatishi. Walioajiriwa ni kutoka Tanganyika, Kenya na Nyasaland, zote zilikuwa Koloni za Uingereza. Wengi walijiunga na Afro-Shirazi Party kwa sababu asili yake ni African Immigrant Workers Association (AIWA), Raisi alikuwa Herbart Barnabas, Mkatoliki wa Moshi. Kabla ya Mapinduzi Matukufu (Holy Crusade) Muingereza Thorn, Mkuu wa Kikosi Maalum Cha Polisi Cha Ziwani alimuajiri rafiki yake Edington Kisasi, Makatoliki wa Moshi kuwa Inspecta wa Polisi na Mshikaji wa Funguo za Kituo Cha Polisi Cha Ziwani. Hii ilisaidia kutopata pingamizi wakati wa Mapinduzi. Na baada ya Mapinduzi Edington Kisasi akawa Kamishna wa Polisi. Rais Hussein Ali alimteuwa Awadhi Juma kutoka Tanganyika Kamishna wa Polisi wa Zanzibar. Zama hizo, Wakuu wa Polisi ambao ni Wazanzibari ni Sulayman Said Kharusi na Muhammad Sketty. Siku ya Mapinduzi, Kamishna Mgereza wa Polisi J. M. Sullivan aliwapeleka Sulayman Said Kharusi Uroa na Muhammed Skety Makunduchi ili kuondosha pingamizi za Mapinduzi. Siku hiyo hiyo ya Mapinduzi kila askari wa Kituo Cha Polisi alipewa risasi tano lakini usiku yake Mgereza Superintendent wa Polisi Durham alizitoa risasi kwenye bunduki kuondoa pingamizi wakati wa Mapinduzi. Kuna nyimbo: "BUNDUKI ISO RISASI ITAUWA NAMNA GANI?"
@111dudi
@111dudi 2 жыл бұрын
@@khatibal-zinjibari6956 shukran
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 2 жыл бұрын
@@111dudi AFUWAN
@gangmore9091
@gangmore9091 2 жыл бұрын
Tamaa za kidunia zimewapoza kwa dhulma waliofanya kwa Mauwaji adi leo Zanzibar ipo kwa Tanganyika wao wamekosa kumiliki zanzibar n wameuliwa n nyerere malipo hapa hapa duniani
@misscoast3174
@misscoast3174 2 жыл бұрын
Na bado hawajifunzi
@gojvon116
@gojvon116 2 жыл бұрын
huyu Mzee ndio katika wale waliokuwa wakisema hawawataki warabu na wao walijisahau kwamba wao ni warabu sasa naona anababaika tu hata hafaham anasema nini , wamekosa mtoto na maji ya moto
@salimmasoud1253
@salimmasoud1253 2 жыл бұрын
uyu mzee inaonesha alikua akiupiga ndo mana akatamka maneno hayo na saiv anajuta.
@salimmasoud1253
@salimmasoud1253 2 жыл бұрын
uyu mzee inaonesha alikua akiupiga ndo mana akatamka maneno hayo na saiv anajuta.
@mohammedjabir6128
@mohammedjabir6128 2 жыл бұрын
Hakuna tija ya mwenye kudhulumu isipokuwa ni hasara! Anamumunya tu huyu mzee!
@asilclub
@asilclub 2 жыл бұрын
NYOTE MLIKUA MNATAFUTA KUPATA MADARAKA NA CHEO TU HUWEZI KUTOROKA SASA NA KUJIFICHA NA KUSEMA TULIKUA TUNAKHUDUMIKA TU NA HATUNAUWEZO WOWOTE HAMNA KITU USEME MLILAZIMISHEA NA MCHENZI NYERERE NA KARUME NYIE MLISHIRIKIANA NA MAJAMBAZI NYERERE NA KARUME INAKUHUSU NINI KUPIGANA NA UKOMBOZI WA AFRICA NA ZANZIBAR EMETEKWA KATIBU MKUU WA TAIFA NI MKIRISTO HAMTAPATA UHURU KABISA ILA KWA SHARTI MOJA KUPATANA NA WARAABU WA ZANZIBAR NA KURUDISHA MALI NA MASHAMBA NA DHULMA YOTE SIKU HIYO MTAPATA UHURU WENU NA MTAMFUKUZA MTANZANIA NA WACHENZI WINGINE WALYO INGIA NA KUIBA WAZANZIBARI
@fatmahamdoun74
@fatmahamdoun74 2 жыл бұрын
Kumekucha
@Zanzibar-LandOfBlacks
@Zanzibar-LandOfBlacks 2 жыл бұрын
kaka Ghassani tusisahau kuwakumbusha hawa wazee wetu wamtake msamaha Allah(S.W) kwa walioyafanya, wakamkute mola wao salama na amani. mzee ana miaka 80 huyo, hapana umri tena hapo, ya dunia yashamuishia huyo, tumtengezee ya akhera yake.
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 жыл бұрын
Toba inasukuma ya kabla yake mzee anajuta lakini hakuingea kwa shirk arudi kwa mola wake mungu atampokea
@azizamri1522
@azizamri1522 2 жыл бұрын
Mchonga meno, bingwa wa kubomowa Afrika
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 жыл бұрын
Huku mwisho kama akili zimetoka kidogo
@masudbasra566
@masudbasra566 6 ай бұрын
Tatizo ni dini hapo
@salyali7807
@salyali7807 2 жыл бұрын
Huyu anaeulizwa maskini hata hajiwezi tena
@ramadhandiwani3410
@ramadhandiwani3410 27 күн бұрын
Umechagua mada nzuri Hakuna njia nzuri la kuzungumzia ya kileo unapandikiza mambo mabaya
@fatmahamdoun74
@fatmahamdoun74 2 жыл бұрын
Mambo mazuri kajibu uzuri mependa
@misscoast3174
@misscoast3174 2 жыл бұрын
Kumekucha 🤔
@kamanyolabilajasho3833
@kamanyolabilajasho3833 2 жыл бұрын
Ingependeza kama kipindi live ana kwa ana..
@sayidabdillah8505
@sayidabdillah8505 2 жыл бұрын
Asalam alykum Hatar sana Allah sw airudishe Zanzibar kwenye himaya yake Anakuja Nyerere kuwalazimisha muungano hii ilikuwa sifahamu kwanini mukubali Hilo ndio swali langu
@ahmedissa7882
@ahmedissa7882 2 жыл бұрын
Huu ndio ni ukweli
@asilclub
@asilclub 2 жыл бұрын
🤩🤩 بسم الله الرحمن الرحيم اترككم مع نبذة بسيطة من الويكيبيديا عن الامامين الجليلين ناصر بن مرشد اليعربي وسلطان بن سيف اليعربي قيد الارض وقع الإختيار على شخص اسمه : ناصر بن مرشد اليعربي وهو أول إمام من أئمة دولة اليعاربة .. وجد الإمام ناصر نفسه أمام تحديات كبيرة داخلية منها و خارجية و عليه فلا بد من توحيد البلاد أولا و إخضاعها لحكمه قبل أن يتفرغ لمحاربة المحتل البرتغالي و الذي بدا تواجده في البلاد منذ العام 1508 مسيطرا على أجزاء هامة في كبرى المدن الساحلية و فارضا الرسوم على أهل عمان أثناء سفرهم بحرا ناهيك عن التواجد الفارسي في أجزاء أخرى من عمان و هو إحتلال آخر منذ منتصف القرن الثالث عشر الميلادي . قام الامام ناصر بحملات داخلية لاخضاع القبائل الداخلية لحكمه و دخل في حروب داخلية متعددة من أهمها محاصرة قلعة الرستاق التي كان يحكمها ابن عمه مالك بن أبي العرب فاحتلها ثم تقدم نحو مدينة نخل و التي كان يحكمها ابن عمه الآخر سلطان بن أبي العرب فاحتلها ثم تقدم إلى مدينة سمائل ثم مدينة نزوى ثم مدينة منح ثم أرسل جيشا إلى مدينة سمد الشأن و هكذا حقق الإمام ناصر بن مرشد الانتصارات الداخلية بتعاون أهل تلك المدن معه و بفضل تأييد العلماء العمانيين له من مدرستي ( الرستاق و نزوى ) حتى دانت أغلب المدن له في عام 1634 بإستثناء مدينة صحار و مسقط حيث كانتا تحت الاحتلال البرتغالي . و في عام 1644 دخلت قوات الإمام ناصر في حرب مع البرتغاليين بشكل متقطع لم تستطع القوات العمانية من إجتياز السور العالي الذي بناه البرتغاليين حول مسقط و بنوا في داخلها قلعتي الجلالي و الميراني ثم في عام 1648 قامت القوات العمانية بفرض حصار على مسقط من أجل تحريرها و في سبتمبر من هذا العام و بعد حصار استمر منذ أغسطس وقع الامام ناصر إتفاقية مع البرتغاليين من خمسة بنود أهمها إلغاء القانون المتعلق بالضريبة على العمانيين . كان هذا الإتفاق هو أول إتفاق تفرضه قوة وطنية على المستعمرين و هنا لجأ البرتغالييون إلى قادتهم في الهند من أجل التسريع في طلب المعونة للقضاء على الإمام ناصر بن مرشد حيث أستشعروا بخطورة هذه القوة الصاعدة التي من الممكن أن تطردهم ليس من عمان فقط بل من الخليج العربي الذي كان يحتلون جزءا كبيرا منه . و في العام 1649 توفي الإمام ناصر بن مرشد بعد أن قام بتوحيد البلاد تحت رايه واحدة و حاول طرد البرتغاليين و نجح في العديد من المدن بإستثناء مسقط و صحار . الإمام سلطان بن سيف اليعربي بطل من أبطال الأمة العربية، إن لم يكن من أبرز قادتها العسكريين، فهو الذي حرر مسقط من حكم البرتغاليين، وأوقع شر هزيمة بهم، وطردهم من مطرح، وقاتلهم في البر والبحر، فحرر منهم أرض عُمان وإمارة ساحل عمان، بل أراضي الخليج العربية إلى مدينة البصرة في العراق. كما أنه حارب البرتغاليين بنجاح في شرق أفريقيا، فقد استطاع الإمام سلطان أن ينقذ مسقط من أيدي البرتغاليين حيث استولى قائده سعيد بن خليفة على قلعة الميراني المشهورة في مسقط. وعلى عهده قويت الدولة العمانية كثيراً حتى إنها شنت هجوماً على منطقة ديو قرب خليج بومباي بالهند، وقام ببناء قلعة نزوى الشهيرة التي موَّل بناءها من الغنائم التي حملتها القوات العمانية من معركة ديو، وقد دام بناؤها حوالي 12 سنة. وهي تعدّ من أروع وأضخم المآثر الحضارية والتاريخية في عمان التي قام ببنائها الإمام سلطان بن سيف بن مالك اليعربي (1059هـ - 1649م) واستغرق بناؤها اثني عشر سنه ، وانفق الإمام على بنائها ما غنمه من إحدى غزواته التاريخية المعروفة بــ(ديو) وتعدّ ديو أحد أكبر المراكز البرتغالية البحرية في الشرق . وتتميز قلعة نزوى بعلوها وحصانتها وموقعها الفريد حيث تتوسط مدينة نزوى وملاصقه لمركزها القديم. واستطاع أن يسترد سواحل عمان من الغاصبين ما بين جلفار (رأس الخيمة )وظفار. ففي عام( 1060هـ / 1650م) قام العمانيون بمهاجمة البرتغاليين في قاعدة ارتكازهم مسقط وبعد معركة بطولية بقيادة الإمام سلطان بن سيف اليعربي (1649-1679) وفر من نجا منهم إلي سفنهم بعد أن أسر 700 بحار برتغالي، ومما لاشك فيه أن هذا النصر الحاسم قد ألهب حماسة العمانيين وأدي إلي خلق حالة من الاندفاع والثقة في النفس لم تتمثل في التصدي للبرتغاليين بحرا فحس كان من نتيجتها ترنح البرتغاليين ( سادة البحار الشرقية طوال أكثر من قرن من الزمن) وانهيارهم وفقدانهم لقواعدهم الواحدة تلو الأخرى، وبروز عمان كدولة بحرية قوية غرب المحيط الهندي، وساعد العمانيون في ذلك تسلحهم بنوع جديد من السفن الحربية الحديثة، وزيادة عدد وقوة المدافع فيها، وتخلوا إلي حد كبير عن سفنهم التقليدية واستخدموا سفنا كبيرة الحجم من الطراز الأوروبي، بني معظمها في الهند. وزودت بالمدفعية الحديثة. ومن اراد المزيد ادعوكم لمشاهدة مقاطع الفيديوا عمان وطرد البرتغاليين من الخليج العربي وأثار التواجد العماني في تنزانيا وزنجبار kzbin.info/www/bejne/qKiWZ2h-n7Nkjrs kzbin.info/www/bejne/r6fHZGuXl85kmK8 kzbin.info/www/bejne/mp6ZlGmFr56shKs kzbin.info/www/bejne/i3SadGiAj7lge9E kzbin.info/www/bejne/kGGXYnuJetqkgpo kzbin.info/www/bejne/ioCWfqeZnK57msU kzbin.info/www/bejne/qmK3YWeoja51ndE kzbin.info/www/bejne/r2qQkmqqfbB9gbM kzbin.info/www/bejne/iWjIq2mnlqigeac kzbin.info/www/bejne/nIbTamOClLKtrLs kzbin.info/www/bejne/nICreIRtqLZjrJI kzbin.info/www/bejne/qmK3YWeoja51ndE kzbin.info/www/bejne/jHiTl3mtYpKqe7s kzbin.info/www/bejne/hJWZXpmHg5KhY9k kzbin.info/www/bejne/hYasnoNjid-Ybc0 kzbin.info/www/bejne/aKLSlptur6mAl6c kzbin.info/www/bejne/kKLKfWxjjZKUmbM kzbin.info/www/bejne/l2eyiJR9epuefck kzbin.info/www/bejne/i5eshqxuhZhrock kzbin.info/www/bejne/l4DcmX2ZmqiIq7M kzbin.info/www/bejne/gp2taYevhL-irMU kzbin.info/www/bejne/jpOYfKCfeM6DoNU kzbin.info/www/bejne/mmnGZaqji7qjfqc kzbin.info/www/bejne/l2eyiJR9epuefck kzbin.info/www/bejne/kIGtmaWcdrKUrK8 kzbin.info/www/bejne/iJfHZYKerLeBgrc
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 жыл бұрын
Huyu mzee ni hazina maalumu iliyopo zanzibar Inapaswa itunzwe kwani ana mambo mengi sana uyu Na nachelea mimi kuja kuwekwa huyu mzee katika kizuizi
@oscarezekiel1826
@oscarezekiel1826 2 жыл бұрын
Mahojiano mazuri na muhimu lkn mawasuliano mabivu dah!
@ashamohammed3612
@ashamohammed3612 2 жыл бұрын
Jamani habari ya Muungano. huu ni Muungano wa kitendawili . Basi. Hawa. Watu. Waliwafanyia. Ujanjauja tu.
@gangmore9091
@gangmore9091 2 жыл бұрын
Brother Ghassan tuwekeo mazungumzo yote
@mwamba2004
@mwamba2004 2 жыл бұрын
He was not a decision maker ktk hayo masuala. Atasema je kalazimishwa? Tafuteni mijadala ya umuhimu wa muungano pia sio kila siku mnaleta mijadala hasi tu.
@alhamdulillahalhamdulillah7529
@alhamdulillahalhamdulillah7529 2 жыл бұрын
Zimebaki stori tu wakati umeshapita Zanzibar sasa ni yawatalii ni ufuska kwenda mbele tu
@sayidabdillah8505
@sayidabdillah8505 2 жыл бұрын
Kuanzia jemshud Abdallah, Mohammed shamte na wenzake walikuwa wazembe sana,unapewa nchi ndani mwezi unashindwa kufanya jitihada za makusudi za kuilinda nchi,pamoja na karume wote wameuza nchi na utu wetu kwa pamoja,mtu hawezi kutoka bara akaja Zanzibar Bali muliuza nchi
@salyali7807
@salyali7807 2 жыл бұрын
Usisahau dola kubwa ndio zilizotaka iondoke kwahivyo wasingeweza kupigana na ulimwengu... bora tuyaache tu 😥
@w4058
@w4058 2 жыл бұрын
@@salyali7807 Kwani hajafahamu huyo Ila nao naona hasira zimemshinda kuthibiti maandishi yake
@w4058
@w4058 2 жыл бұрын
Maana kila siku hayo yanasemwa kuwa Waingereza na wamerekani wamewatumilia Watanganyika kufanya hayo yaliofanyika vipi awataje watu wenye heshima zao hata Bwana imemshind na yeye angezidiwa nguvu angefanya nini tusipende tu kulaumu kila kitu Walifanya bidii ya kutaka majeshi pia haikuwezekana yeye anafika kuvuka mipaka haifa sikiliza kwa makini
@asilclub
@asilclub 2 жыл бұрын
KATIBU MKUU WA TAIFA NI MKIRISTO HAMTAPATA UHURU KABISA ILA KWA SHARTI MOJA KUPATANA NA WARAABU WA ZANZIBAR NA KURUDISHA MALI NA MASHAMBA NA DHULMA YOTE SIKU HIYO MTAPATA UHURU WENU NA MTAMFUKUZA MTANZANIA NA WACHENZI WINGINE WALYO INGIA NA KUIBA WAZANZIBARI
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 2 МЛН
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 24 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 21 МЛН
Hadithi ya familia ya Said, kijana aliyeuawa mwaka 2020 | GG Podcast
14:22
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 3,1 М.
DCMA Taarab & Kidumbaki Ensemble
29:34
Dhow Countries Music Academy
Рет қаралды 82 М.
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 59 М.
19 Kisa cha Hanga 2
14:10
MzeeBarwani
Рет қаралды 39 М.
KAMISHNA WA POLISI ZANZIBAR AWAFUATA WAHALIFU MACHIMBONI MWAO
9:37
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 15 М.
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 2 МЛН