No video

RAIS MWINYI AINADI ZANZIBAR KWA WABUNGE USA

  Рет қаралды 207

Daily News Digital

Daily News Digital

Күн бұрын

Rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema zanzibar ina fursa nyingi za uwekezaji hivyo amewataka wawekezaji kutoka marekani wazitumie fursa hizo kwa kuekeza zanzibar.
Dkt. Mwinyi ameyasema hayo huko ikulu wakati alipotembelewa na wabunge wa bunge la senate la marekani, amesema serikali imeipa kipaumbele sekta ya uchumi wa buluu kwani ni moja ya eneo linatoa fursa nyingi za ajira kwa jamii Rais Mwinyi amewaeleza wabunge hao kuwa zanzibar ina mipango mikakati ya kuimarisha sekta ya viwanda ili kupunguza gharama ya uagizaji bidhaa kutoka nje ya nchi, pia kutoa nafasi kusafirisha bidhaa za zanzibar nje ya nchi.
AidhaDdkt. Mwinyi ametoa ufafanuzi kuhusu serikali inavyopambana na suala la ukosefu wa ajira kwa kutoa elimu ya vitendo kwa vijana ikiwa na lengo la kuwaandaa kuweza kujiajira wenyewe.
Katika maelezo yake Dkt. Mwinyi amesema ujio wa wageni hao utatoa nafasi ya kuendeleza mashirikiano yaliopo baina ya nchi mbili hizo.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: ....
SpotiLeo: ....
TWITTER;
Twitter HabariLeo: Ha...

Пікірлер
MAAGIZO YA RAIS SAMIA KWA MASHIRIKA YA UMMA
10:20
Daily News Digital
Рет қаралды 134
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 48 МЛН
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 54 МЛН
HUYU NDIE NASSOR AHMED MAZRUI
22:40
Marhaba Online TV
Рет қаралды 3,9 М.
HUYU NDIYE NDUGULILE BOSI MPYA WA WHO KANDA YA AFRIKA
4:02
Daily News Digital
Рет қаралды 209
YALIYOJIRI ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI KENYA
2:53
Daily News Digital
Рет қаралды 1,5 М.
managed to catch #tiktok
00:16
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 48 МЛН