Hongereni sana kwa kutimiza Sheria ya kuwajengea Marais Wastaafu..Hakika ni jambo jema..
@marwaabdalla93064 жыл бұрын
Musihau tu nyumba ya kaburini wizi nyie, maghufuli yeye kesha jijengea kiwanja cha ndege kwao, sijui nyumba yake, bolioni moja nukta moja , duu noma wizi hawa Mungu akutie mbaroni
@salmaathuman91564 жыл бұрын
@@marwaabdalla9306 we nae utakufa masikini.kwa roho yako chafu kiwanja cha chato kimewauma sana na wewe kajenge nyumbani kwako kiwanja cha ndege hiyo ni sheria na hako ya kwa mafao waliyotumikia nchi hii we vp MAISHA yamekupiga stress zako unakuja kumalizia mitandaoni 😂😂😂😂kagombee urais na wewe upate nyumba naona moyo wako unavuja dam kwa roho mbaya
@marwaabdalla93064 жыл бұрын
@@salmaathuman9156 wewe mshenzi ambae Allah kapiga muhuri ndani ya moyo wako, kwahiyo wewe ni kiziwi, kipofu kwahiyo una macho huoni , una masikio husikii mnafiki tu
@salmaathuman91564 жыл бұрын
@@marwaabdalla9306 wewe Mmbwa koko kumanyoko zako unaweza kufungua domo lako Kama shimo la choo kuniambia mshezg fala wewe tena koma kabisa msange wewe ukweli ndo acha roho mbaya bwege wewe utakufa masikini nguruwe pori tena shika adabu Mmbwa wewe njaa zako peleke huko paka shume wewe nyumba zimejengwa kwa mujibu wa sheria wewe unalalamika mara chato kumejengwa uwanja wa ndege ulitaka wakajenge kwa baba ako pusi wewe
@rosetreffert67274 жыл бұрын
@@marwaabdalla9306 wivu utakuua wanastahili hiyo asante uongozi sio ndogo
@jacklinethomas1104 жыл бұрын
Nimejifunza menqi duniani ,ewe mwenyezi munqu tunaishi maisha maqumu duniani,lakini wenqine wanafanya kufuru kwakodi zawanchi masikini,mwenyezi munqu tulinde waja wako,nakuomba mwenyezi munqu unijaalie mwisho mwema amina.
@umiashamzee97014 жыл бұрын
mashalah jazakalah lkheir/Allah akulipe mazuri rais wetu mh . magufuli na team yakoI . Amin Amin barikiwa sana
@aludomakori42304 жыл бұрын
Huku ni kumuenzi,uongozi c kazi rahisi, ahsante JPM Kwa kukamilisha Hilo pia
@husseinally55504 жыл бұрын
RAISI WETU HANA ROHO MBAYA.Ahsante Rais Magufuli
@hopesteven97324 жыл бұрын
Hongera sana Mh Rais JPM Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu ulifikishe gurudumu la maendeleo salama
@adammwita31504 жыл бұрын
Hongera kwa kazi nzuri Mkuu 👍
@azizabdallah5854 жыл бұрын
Asante Serikali ya Tanzania na Rais JPM kwa kutimiza kikamilifu ahadi ya kumjengea Rais Mstaafu Mzee Mwinyi nyumba.
@suleimansalym75374 жыл бұрын
Sio ahad ni sheria
@azizabdallah5854 жыл бұрын
@@suleimansalym7537 Sio sheria (kwa MzeeMwinyi) Shekh Suleiman. Sheria hiyo ilipitishwa baada ya Rais mstaafu Mwinyi kuondoka madarakani...kwa madaraka alionayo Rais JPM akaona ni uungwana amwingize pia Mzee Mwinyi... Sheria ilishamwacha Mzee Mwinyi na ilianza kutumika kwa Mzee Mkapa.
@rosetreffert67274 жыл бұрын
Wanastahili jamani kazi uongozi ni ngumu shida zote za nchi anabeba matusi yote kwao jamani acha aghalao wafutwe machozi kwa hilo
@benedictmrisho23614 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana. Serikali kwa kumuenzi mpendwa wetu Mzee Rais Ali Hassan Mwinyi. Hekima hii ni fahari kwa wapendwa wastaafu Marais wetu na hata viongozi wengine waandamizi kwa kuenziwa pia. Huu ndio uafrika wetu . Pongezi pia Mzee Mwinyi kwa umri mrefu uliojaliwa na Mwenyezi Mungh. Watz tusiwasaha hata wajane wa viongozi wastaafu.
@hamulimajeshi15124 жыл бұрын
Ni jambo jema kuwajengea marais wastaafu nyumba.... big up.... baada ya kulitumikia taifa...
@ambasonkalenga20474 жыл бұрын
Hujitambui rafiki waliotuibia matirioni wanajengewa watoto wetu wanakosa mikopo ya elimu ya juu wanamajumba uharabuni. Masikini wanakufa kwamaradhi yanayotibika wamekosa hata bima 70000 tu rais Wa wanyonge au wamatajiri?
@starlonejadamskp82244 жыл бұрын
Ahsante JPM Mungu akutunze miaka mingi 🤝🇹🇿
@ivankulola58473 жыл бұрын
da
@kalufunyangenyakinyungu50874 жыл бұрын
😂😂😂 Kama namuona Lisu akiongeza speed ya kuedit nyomi mikutanoni. Kumbe ndo maana kanabishaga na visivyobishika. Anyway pambania kombe mzee baba,Ikulu patamu mno,mnoo,mnoooo..😂😂😂But JPM 5 AGAIN.
Ikulu sio wodi. Mtu anaelalamika risasi mda wote hatufai.aende muimbili
@gospelvibestv39144 жыл бұрын
Hongera sana baba angu mwinyi na serikali yangu ya awamu ya tano👏🏻👏🏻
@catherinechifebe58004 жыл бұрын
RAISI MAGUFULI ASANTE SANA....
@severnymlowe63764 жыл бұрын
Kiukweri Magufuri hongera mzee wangu unajitahidi Sana mh mungu awe nawe daima ila ustusahau NJOMBE yetu imelala mh
@mwanajumaomahundumla65044 жыл бұрын
Mashallah ❤
@rajabugoa23444 жыл бұрын
Mwaj mambo
@mwanajumaomahundumla65044 жыл бұрын
@@rajabugoa2344 poa kabisa
@ericapingi83544 жыл бұрын
Mzee mstaarabu. Nampenda na anastahili.
@peterchuwa58804 жыл бұрын
Daaa nyumba nzuri kuzidi ikulu aiseeee 😳😳😳😳😳😳
@ivankulola58473 жыл бұрын
ana haki yakukaaa
@iammarwa4 жыл бұрын
Hongera kutoka Kenya 🇰🇪
@joshuamwangomo26153 жыл бұрын
Babu mwinyi was very humble president ever
@josephmalisa29874 жыл бұрын
Splendid hiyo ndio kuheshimiana na kuenzi viongozi wetu haswa wale wasio wadokozi. Hongera Tanzania
@felisterchimtunga70114 жыл бұрын
I wish baba yangu angekua raisi😜😜😜😜😜😜😜😜 maana nyumba za kupanga hizi kunguni tupu manina🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
@burundishallsmile1day1094 жыл бұрын
Mzee wa Ruksa✊🏾🇧🇮
@joasitz95594 жыл бұрын
Asante JPM, waache wanaokubeza na kukuona hufai ipo siku watakukumbuka. Hakuna chama bora chenye kupika viongozi Kama CCM.
@ambasonkalenga20474 жыл бұрын
Pole kwakutojitambu angejenga madarasa ya shule engesomesha watoto maskini angetengemneza barabara za vijijini angetoa mikopo ya elimu angekuwa vizuri zaidi kwasasababu hao wastaafu wanalipwa mamilioni kila mwezi nawalikomba matirion wakiwa madarakani kama kujenga walishajenga mag hora fa ya kutisha watoto wao wanavyeo vikubwa serikalini wengine wamegomnea hata urais 😱😱😱😱😱😱
@davidjovinary46964 жыл бұрын
Acheni siasa kwenye jambo hilo limekaa kisiasa zaidi. Msimamo wa kumchagua LISSU upo palepale. Ni yeye!
@maulakaroli83234 жыл бұрын
@@ambasonkalenga2047 roho zenu mbaya hata kama angejenga na kwenu lazima mngechonga tuu shame on u.
@maulakaroli83234 жыл бұрын
@@davidjovinary4696 kura yako haitoshi kumpa uraisi huyo mpuuzi bro si wote usitusemee.
@joasitz95594 жыл бұрын
@@maulakaroli8323 kabisa wabongo Wana roho mbaya Sana na hicho ndio kinawauma naona.
@rachelkibaya85374 жыл бұрын
Yaani nyumba nzuri hii daaaa
@japhrystar25974 жыл бұрын
SIPATI PICHA LISSU AKIMJENGEA MH.MAGUFULI 🙏
@GloryMarwa10 ай бұрын
Safi sana hii ni heshima kwa Taifa
@rahmahersi65844 жыл бұрын
Ndugu Abdallah hayo ni Maoni sahihi.. watoto Yatima hata wazee wasio Na ndugu wa kuwasitiri. Dunia hii ni mapito. Shukran
@kemmymugele3504 жыл бұрын
Duuh hata kama ni sheria😳😳😳
@sakinaamri95294 жыл бұрын
Watu wenye roho za korosho watanung'unika tu
@aliakida18314 жыл бұрын
Lazm tunungunike kw sabab sio sahih n kher wenge jeng shule ingekuwa n bora zaidi
@stevek83184 жыл бұрын
Mshahara wa nini basi??
@acrestv33774 жыл бұрын
Mwenye nacho anaongezewa. Haya uliyosema Yesu ndo haya yanatendeka. Maneno yako Yesu hayabadiliki. Itoshe tu kusema Yesu nipe wimbo wa sifa na mm. Hata kodi ya chumba sina. Ila bado nna imani
@ibel4lf4 жыл бұрын
Magufuli acha nikupende tuuu
@givenkwayu4234 жыл бұрын
Umpendee wakatii watu wengne wanaumia na shida tupuu wengine nyumba ya bati hawana mwinyi Ana nyumba nyingi
@luhanyamipawantobi68884 жыл бұрын
@@givenkwayu423 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hivi unakijua cheo kikubwa kuliko vyote duniani wewe!!!! ?? Kwa hiyo mjengewe wote
@ibel4lf4 жыл бұрын
GIVEN KWAYU usifosi tufanane
@J4UPro4 жыл бұрын
@@givenkwayu423 unataka ujengewe na wewe! Gombea urais ushinde halafu usitaafu ndiyo Sheria ikufanyie hicho alichofanyiwa mwinyi
@givenkwayu4234 жыл бұрын
Mkumbo wa kudanganywa na kutotumia akili kufikiri ndo umetufikisha hapa watanzania shame on us.....
@meddymushimaz49984 жыл бұрын
Mtu hajachaguliwa kaishawafanya wanachama wenzake mashoga nakaishaweka rasilimali zanchi rehani akichukua nchi inakuwaje japo najua haiwezekani,,,viongozi wazuri wanatoka CCM
@davidkaguru95114 жыл бұрын
Unafirwa wewe
@HASASON4 жыл бұрын
@@davidkaguru9511 Lisu ndio anafirwa na wazungu na atakufiria ubeberuni sio Tanzania
@mgawerevocatus85824 жыл бұрын
JKT wana uwezo mkubwa wa kukamilisha miradi kwa wakati wapewe miradi yote ya serikali, Wengine ni wababaishaji tu mtu amestaafu miaka 25 iliyopita nyumba anapewa leo? Hongera JPM kwa kuona umuhimu wa wastaafu. 2020 Chagua Magufuli na kazi iendelee
@lucasjacob97334 жыл бұрын
Mnazambi nyinyi hakuna maji madalasa mungu anawaona
@habibaathman79534 жыл бұрын
Babu Mwinyi nakupenda sana..una busara kama zotee
@prosperkullaya45294 жыл бұрын
Mzeee ruksa ana busara sana
@thisiszai20454 жыл бұрын
Kazi nzuri sana.
@petermushy98834 жыл бұрын
Tushukuru sisi watoa Kodi mzee wetu
@lovenessmahsen34334 жыл бұрын
Mungu akutunze Rais wetu magufuli....
@chingychingy20664 жыл бұрын
Wamjengeee na mama Anna Mkapa kwa niaba ya rais Mkapa
@HASASON4 жыл бұрын
Lupaso alipozikwa nyumba ilijengwa na serikali
@francejoseph4544 жыл бұрын
Nyumba ya braza mwinyii
@saidrashid59724 жыл бұрын
Munapotea Jamani Nyumba ni ya Akhera ni bora mwengempa hizo hela akatoa sadaka na akasaidia maskini na mayatima. Akhera ndio maisha ya milele na milele. Sayyidna Alliy alimwambia tajiri mmoja ambae alitaka kujenga nyumba siku hizo kua maisha yako hapa duniani ni mafupi sana kajenge nyumba yako ya milele kwani maisha ya huko ni mazito sana
@auntdorah91414 жыл бұрын
Mzee wetu...Mungu azidi kukutunza
@manungda99554 жыл бұрын
Kuuliza haimanishi una roho mbaya zaidi ya kutaka kujua. Kwani hao marais wetu wastafu hawana nyumba nzuri au anajengewa nzuri zaidi kuliko yake. Mzee Ruksa unastahili kabisa
@ambasonkalenga20474 жыл бұрын
Vijana hamjui kilichokuwa kwa Mzee ruksa akiwa rais kamuulizani mrema akiwa waziri Wa mambo ya ndani alikamata mzigo Wa dhahabu uwanja wa ndege akaambiwa Wa Mzee ukitoroshwa kwenda nje ya nchi. Hamjui hata maana yakuitwa Mzee ruksa mnasifia tu poleni sana kwakulogwa😿😿😿
@Saidykj4 жыл бұрын
Wizi wanazidi kutumaliza watanzania
@alirashid32394 жыл бұрын
Ingelikuwa utakwenda nayo mbele ya Allah ingelikuwa raha sana lakini huko ni ww na matendo yako tu mema yaaraby tujaalie tuzijenge vyema nyumba zetu za akhera ambazo ni za milele kuliko za kidunia za mpito.aamin
@tumainijohn43464 жыл бұрын
Ameni
@abdulibatenga72814 жыл бұрын
Wanajengewa watu wasiohitaji nyumba hv kweli mwinyi hawezi kujenga nyumba kwa pension yake kweli? mtoto wake amekuwa waziri wa ulinzi mda leo tz kuna watu wanakosa pa kulala leo ajengewa mstaafu
@claudianusmlokozi74174 жыл бұрын
Awa wanatubuluza kaa mingombe kuna watu ela ya chumba elf 40 kwa mwezi kipengele, wao wanapeana tu
@lelekilele24 жыл бұрын
@@claudianusmlokozi7417 mwanaume mzima mwezi mzima unakosa 40,000 njoo upige debe mjjni uone ka unakosa kodi..nyie ndo wazembe hii nchi PIGA KAZI
@abelzablon59774 жыл бұрын
Mwinyi mwenyewe kawa waziri kabla hajawa rais huu ni wizi
@lelekilele24 жыл бұрын
@@abelzablon5977 umekatazwa kutafuta hela zako??
@Davistoto19494 жыл бұрын
Kweli nikiona utu wa president wa Tanzania naisi African ingekua na uyu mzee magufuli kama president wa African yote ikiwemo Kenya yangu hakika hata wazungu wangetii
@abdalahfarida20744 жыл бұрын
WATU WANASOMBWA NA MAFURIKO NYIE MNAHONGANA NYUMA CCM SASA BASI.WATANZANIA JIONEENI KWA NINI CCM HAWATAKI KUTOKA MADARAKANI. MAGUFULI JIMBONI KWAKE HATA MAJI HAKUNA MASIFA TU.
@godfreykitebo73824 жыл бұрын
Chato maji yapo mengi tu mbona ipo chawasa na mradi mwingine mkubwa unakuja kwa hiyo sisi maji tunayo bro
@mohammedmnasi32284 жыл бұрын
Ukitaka kuongea kitu fanya utafiti kwanza sio kulopoka kama malaya CHATO maji yapo mpaka basi adi taa za barabani kila kona chezea jpm wew kaa mbali.
@lelekilele24 жыл бұрын
Acha chuki ukute hujawahi atafika chato
@zulfaomar81854 жыл бұрын
Waswahili husema "nyongeza huenda kwenye fungu"... Tafuteni maana ya huu msemo kwa aliekua hajaelew.
@frankjoseph66094 жыл бұрын
Nafikiri humaanisha aliye nacho ndo huongezewa huwezi ongeza pasipo na kitu
@amnaalshabani27774 жыл бұрын
Mungu akupe afya JPM
@aishasmoni58814 жыл бұрын
Masha Allah
@marwaabdalla93064 жыл бұрын
mgonjwa ww mashallah tena, wizi hawa , maghufuli mwenyeww kujenga kiwanja cha ndege chake mwenyewe, Ali Hassan hana shida ya nyumba wizi nyie, kaburi ndio nyumba ya kudumu
@aishasmoni58814 жыл бұрын
Alhamdulillah sikujaliwakaulimbaya katikamudomowangu nigekutukana lakin niboratuh nikuombee dua MUNGU akusamehemakosayako insha Allah
@marwaabdalla93064 жыл бұрын
@@aishasmoni5881 tukana tu mshenzi wewe Allah akufufue na madhalimu kama maghufuli na wezi wenziwe siku ya kiama
@jamessilwamba28624 жыл бұрын
ni Jambo zuri sana sana na mafao kwa wastaafu wa serikarini nayo yaboreshwe yanaendane na wakati
@farhatfarhat38164 жыл бұрын
Yataboreshwa tu
@kiazikitamu39854 жыл бұрын
Hongereni, hii nyumba ukoo mzima unaweza kaa hapo duh
@daslamonline46654 жыл бұрын
Acha tuuwane uongozi mtamu jamani hapo anapoishi muda huu penyewe pakishua : hashimu rungwe pambana ndugu yangu .
@hamiskengwa58694 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌duh kwel kwel
@missangela67204 жыл бұрын
Dah hata kama hutaki kucheka, yaani lazima tu wee mkaka mmh
@estermathias83544 жыл бұрын
😂😂😂😂
@khadeejaabdullah70834 жыл бұрын
Hahahaaaa
@robertempire95424 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@joycesalvatory77684 жыл бұрын
Hekima yafaa kuongoza, Mungu akubariki Rais wetu kwa kumuenzi Mzee Mwinyi, msemo wake wa viatu alivyoviweka begani akitembea kwa miguu, tunalo la kujifunza
@husseinshabani95224 жыл бұрын
Kweli nimeamini Mungu Akitupa Uzima tutakuja kulipwa Mishahara kama sio Wajukuu zetu.basi vitukuu vyetu.
@maisaalawi53994 жыл бұрын
Very good
@Nedjadist4 жыл бұрын
Yaani ukiwa rais Tanzania, ukoo wako wote ni marais!
@petit10784 жыл бұрын
Na wote watajengewa nyumba,Daah!😀😀😀
@kiulajoshua60294 жыл бұрын
Duuuh kuna baadhi ya maeneo hamn maji,shule wa hosteli za wanafunz hususani wa kike
@mohammedmnasi32284 жыл бұрын
Nenda ukawajengee na wew sii mtanazania
@maulakaroli83234 жыл бұрын
Kajenge na wewe! Unaishi kwa SHEMEJI yako hafu unalalamika maisha ngamia kabisa wewe!
@nyotanjemaingarayo53844 жыл бұрын
Yote Yana umuhimu wake
@erickchitumbi13084 жыл бұрын
Kuna kila haja kuipongeza serikali kwa kutambua juhudi na jitihada za hawa wastaafu wetu.Mungu awape afya njema wazee wetu.
@abelzablon59774 жыл бұрын
Yaani wanalipana fadhila hela za masikini
@goddytarime16264 жыл бұрын
Sawa mungu awabariki Ila j ;p:m hatumtakiiiii
@mossymtwana64224 жыл бұрын
Sema wewe humtaki sio watanzania woote unatukusea wengine
@mbarikiwambarikiwa39884 жыл бұрын
Ee Mwenyezi MUNGU nakuomba na Mimi Fungu langu likawe kubwa mbele zako
@Nedjadist4 жыл бұрын
Halafu mnashangaa! Wajuao mambo, jee kuna nchi nyingine duniani (hasa maskini) yenye sheria kama hii?
@lelekilele24 жыл бұрын
Maskini wewe nani sisi wa uchumi wakati kama maskini wewe pambana na hali yako
@patricknanyaro63914 жыл бұрын
Urais bwana,mtam kweli
@safiyatheonlything78484 жыл бұрын
Mashallha safi sana ila muangalie na jicho la tatu kuhusu wa gonjwa wa siyo jiweza wanakufa kisa pesa za matibabu hawana aswa wa gonjwa wa Kansa naupenda tz na mpenda magufuri mitano tena
@H-moneybags4 жыл бұрын
Magufuli ana ubinadamu hacha yule tundu makelele tu
@nak34774 жыл бұрын
Jinga ww...kwan ni pesa zake...jielewe
@luhanyamipawantobi68884 жыл бұрын
@@nak3477 nyoko zako kwani hizo pesa zako angeamua kuzitia mfukon kwake ungeziona??? Mbona wengine hawakufanya??? Muwe mnakubali TU SAA ingine mamae nyie😏
@H-moneybags4 жыл бұрын
@@nak3477 asante sana lakini unajua magufuli amelifutailia na kulitilia mkazo ilo jambo hadi kufikia mzee mwinyi kuiona nyumba yake wengine bila ubinadamu ange puuzia tu hata wakifa mwishoe wapige mnada
@nak34774 жыл бұрын
@@H-moneybags sisi wananch wa kawaida tunanufaika na nn.....😪😫😪 hujui kuwa kuna watu tz hawana maji saf na salama na hospital hakuna madawa
@H-moneybags4 жыл бұрын
@@nak3477 hakuna nchi isiyo na tatizo la madawa usidanganywe ati tundu akija ndio dawa zitakuwepo kama magufuli angekuwa rais mtapeli mfisadi lile bomba la mafuta la Uganda museveni angelipitisha kwa kutumia kenya ila magufuli ni kiboko kwa kenya sisi tunaona
@shukrankifyasi15004 жыл бұрын
Safi
@sadakhamis66844 жыл бұрын
💯👌🔥✅
@lucksonkaleshi5394 жыл бұрын
This is money wastage. Mtu ana zaidi ya umry wa miaka 75 mnamjenjea li mantion la namna hiyo, kwanini asijengewe Tu nyumba nzuri ya kawaida? Kwani atapungukiwa nini, after all huyo mstaafu ana nyumba na mali nyingi za kutosha. God help us kabisa.
@lucksonkaleshi5394 жыл бұрын
Na hapa sio kwamba napinga alichofanyiwa maana watu wenye akili za uchama wataanza matusi yao Kwa sababu walisha zoea matusi. Maraisi wastaafu wajengewe nyumba nzuri za kawaida za kuwatosha jamani, na pesa zingine ziingie kwenye maendeleo ya maji haswa.
@mtoto_wa_Mfalme124 жыл бұрын
Hahahahahahahahahaaaa Mzee Mwinyi Bwana. Kwamba nilale pale nikilala ndani nitaivuruga
@hafidhothman45884 жыл бұрын
Hahahaah uneliona hilo
@maridadi84 жыл бұрын
Kwa nini marahisi wengine kabla ya MAGUFULI walishindwa kujenga nyuma ya Mwinyi mapema? Where was pesa ya serikali?
@ashrafumohammedi50784 жыл бұрын
Hata nyerere pia nakumbuka pale mwitongo nyumba yake kajengewa na serikali ya awamubyapili natatu vilke sinakumbukumbu vizuri nipale butiama nawakatibanafariki ulikuwa bado inaendelea kujengwa kuongezaongeza.
@muhammadkifakara25734 жыл бұрын
DUH !!!, JPM UNAWATHAMINI WAZEE WATANGULIZI WAKO, NI ZAIDI YA HESHIMA YA MTOTO KWA BABA YAKE. HEBU TAFAKARI UPANA WA NENO LA HUYO MZEE MWINYI AKWAMBIA *AHSANTE HAISHI* !!!. KUMBE NINI TENA ?,..........
@karloladislaus454 жыл бұрын
Kwahiyo Rais wetu mwadilifu kuliko wote Mwl.Nyerere hakuna nyumba ubora kama hii alio jengewa??
@saidimoshi12764 жыл бұрын
Nyerere alijengewa nyumba na jeshi kabla hata sheria ya kuwajengea maraisi wastaafu haijapitishwa na alichagua mwenyewe aina anayotaka na sehemu anayotaka akachagua butiama
@HASASON4 жыл бұрын
Alikataa nyumba kubwa kwamba yeye sio tembo
@ambasonkalenga20474 жыл бұрын
Nyerere alikuwa mzalendo hawa wapiga dili matumbo yao hayajai wanajitungia sheria zakuwanufaisha wao badala ya wtz tunaowachagua
@christophermwanilwa70744 жыл бұрын
Mnaifahamu Nyumba ya Mwalimu pale Mikocheni? Nadhani aliyejengewa
@Skomi-0nedayyes4 жыл бұрын
Nyerere alikataa kujengewa nyumba na mwisho akajengewa kwa kwa razima na serikali nyumba ya mikocheni, so nijambo zuri lakini lakini serikali ikumbuke pia kuwa jengea nyumba wananchi maskini wasio na makazi maana serikali ya afrika kusini inajengea nyumba wananchi wake kwa kila raia anapofikia utuuzima wa miaka 60 anapewa nyumba bure ya kuishi.
@saheedali74674 жыл бұрын
Hamjui kukinai ila mnasahau kua Kuna umauti pale mnapo pongezwa kwa kuzidishiwa Mali na kusahau wale ambayo Hawana kabisa. Mwendo ni kuondoka na Sanda tu na wa2 kugawana vilivo vyako.
@rahmahersi65844 жыл бұрын
Hongera serikali ya Tanzania Kwa zawaidi ya nyumba Kubwa nzuri.. nimependa Plan take. Mwenyeezi Mungu Awape upendo na amani Tanzania.
@rahmahersi65844 жыл бұрын
Zawaidi nzuri kwa mstaafu Rais Mwnyi na familia yake Inshaallah afya. Ameen.
@abdallahabdu81944 жыл бұрын
Ile ya msasani naomba wakae watoto yatima basi
@suzanasimon11694 жыл бұрын
Mnapofanya hayo ya kifahari,kumbukeni na wagonjwa wa Kansa watibiwe bure kwani wanapata shida.
@HASASON4 жыл бұрын
Mbona wagonjwa wa kansa wanatibiwa bure toka Magufuli aingie? Nenda ocean road
@micamathew25954 жыл бұрын
Aise hata mimi nashukuru sana
@mtukwao31954 жыл бұрын
Wapo ambao hawana hata pakuwekea mguguu. Kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa.
@jacklinemshana95954 жыл бұрын
Kweli kabisa
@petermachondo82854 жыл бұрын
Hahaha... Wivu 😂 pole sana
@HASASON4 жыл бұрын
Fanya kazi acha wivu, masikini wapo na matajiri wapo toka dunia imekuwepo
@noahmwagisa77554 жыл бұрын
Daaah sijui sisi wapiga kura watatujengea lini mwee tunakaaga juani mda mrefuu bila faida yoyote hawatupi hata sahani ya wali bora rungwe achaguliwe
@peterkabambala25274 жыл бұрын
Good ,,,
@mohammedally9774 жыл бұрын
Jee wale mafukara wanaoshii kule jangwani huwahitaji nyumba
@mulikatvonleni53394 жыл бұрын
Duh wanazo ishi azitosh had za Bilion 🙌🙌🙌🙌😬yaan mie sijawahi pata hata milioni moja duh ngoja tupambane ila nikod zetu hizo😯😯
@anointingupako25034 жыл бұрын
Fanya kazi bwege wewe
@ismailhassan56624 жыл бұрын
Huu niufisadi mkubwa sana mana hawa wazee wanauwezo sana aisee yan Afrika laana zinawatafuna mwenyenacho huongezewa maskini unyang'anywa.
@mwanzandaki7864 жыл бұрын
Ndivyo maandiko yanavyosema sasa unapingana nayo shekh?
@iddijumaali71924 жыл бұрын
Kuharibu pesa za umna
@wiganschilima95334 жыл бұрын
Hongera Rais
@shamilabakari73344 жыл бұрын
Daah bonge nyumba jaman kwa uyu sitoacha kumpa kula yangu buleee anastaili kbs we love you mzee jpm
@sanchezfashiontz57504 жыл бұрын
Unafulahia nyumb anayo jengewa mwenzio huku ww mama yako anakufa hosipitali kwa sababu ya bei za matibabu watanzania tuache ujinga hizo hela siwangenunulia madawa mahosptalin na kuwasaidia watu wasio jiweza dah hakika mchawi Alie tuloga alituloga pabaya
@shamilabakari73344 жыл бұрын
@@sanchezfashiontz5750 kikubwa kupambana tu hata akipita uyo unaemtaka ww hawezi kumsaidia akatibiwa bule tatizo kutojiongeza tu
@sharulchenja21674 жыл бұрын
Dah kweli iyo ndo sababu..??? Yote kheri, Allah anakuona lakini
@ibrahimmussa16004 жыл бұрын
Hahaha nakubar
@massoudsultan39264 жыл бұрын
Na zile tablet za KUONGEZA umri tuwapatie waishi 200
@kalumbugideon41594 жыл бұрын
Asanteni Sana....
@kasimujumannekipemba37324 жыл бұрын
Good
@benedictmrisho23614 жыл бұрын
Wazee ni dawa. Huwezi kusahau dawa. Waundiwe baraza lao la taifa la ushauri wa taifa Tumebahatika kuwa nao na tunashukuru wakienziwa na waliopo na watakaokuja madarakani. Hongera awamu ya 5 kumjali Mzee Mwinyi.
@josephatjordan21504 жыл бұрын
Na mkapa ajengewe waishi hata ndugu zao!!!!Pasu kwa Pasu hata kama hayupo!!Kama ipo sawa ila lupaso tumepaona
@roseberryhamoud65424 жыл бұрын
Hukusikia au? Mkapa kajengewa kabla ya Mwinyi
@abbyadams86914 жыл бұрын
Ngoja na mimi nijiandae 2025 niwe Rais kumbe Urais raha sana😜😜
@muradiseifhumoud78804 жыл бұрын
Wananchi wa Tanzania wana njaa mnapeana nyumba si bora Hashim Rungwe anawasaidia watu anawapa ubwabwa
@godmremi35584 жыл бұрын
Wale Wa Kimara Uliwavunjia Nyumba Zao Mbona Huwapi Fidia Zao?
@zeralucyntazimila66004 жыл бұрын
Waulize vizuri hakuna mtu ambaye hakulipwa
@fahamnitwahir92494 жыл бұрын
@@zeralucyntazimila6600 ww ndio ulikuwa mlipaji?
@bableeyzabdalla5314 жыл бұрын
@@zeralucyntazimila6600 muongo hakuna alielipwa hule mradi ulikuwa ni ufadhili WA world bank barabara na flyover serikali ikaambiwe wawalipe kwanza kikwete akashindwa pesa zilikuwa nyingi akaachana nayo magufuli kwa kutaka kujionesha ndio akawavunjia barabara haikujengwa wafadhili wakajenga flyover
@volcano-channel4714.4 жыл бұрын
@@fahamnitwahir9249 nyumba zipi hazijalipwa fidia hebu mtaje
@fahamnitwahir92494 жыл бұрын
@@volcano-channel4714. wewe kweli kilaza niwataje ili iweje? Km ingkuwa wamelipwa watu wangellmika? Au hukumbuki mnyika mbele ya rais alilizungumzia hilo kuhusu watu kulipwa
@chifupromise95754 жыл бұрын
vizur inapendeza ila msisaau uku kuna shule azina ata milango wala madilisha
@husseinshabani95224 жыл бұрын
Wapi?.
@jevinjacob54394 жыл бұрын
Hussein Shabani chato
@mwajumabakari37304 жыл бұрын
Ama kweli mwenye nacho huongezewa mh!
@husseinshabani95224 жыл бұрын
@@jevinjacob5439 Akijenga Mnasema kajenga kwao....tulieni Sasa msilalamike.
@chifupromise95754 жыл бұрын
@@jevinjacob5439 usimjibu ndg. maisha tumetofautiana sana utakuta mwenzetu shida azijui anasikiaga tu tangu anazaliwa anasoma mainternation chuo ulaya s wa kumlaumu mana awezi kujua maisha tulioishi wengine uku