Hizi nyimbo nikizisikiya zinanipa hamasa majonzi nq kunirejesha nyuma miaka ya 80
@ashahamad-mq3iz58 минут бұрын
Kweli Lugha ya Kiswahili amefanikiwa kuiharibu kiasi kikubwa majongoo sasa maboga tumetawali mpaka tujisahau uikinga l 2:59 ugha yetu ama kweli wagawanye ikisha watawale kwa urahisi Zanzibar Kwisha kabisa waachie watu wachukuwe Chao Mapema karamu ikishituka tayari watu wameondoka na mali zao
@soudsoud3356 сағат бұрын
Matango bahari ndio nini? Haya si majongoo? Mbona lugha mushaiharibu hivi! mumefanikiwa kukubwa kuiharibu lugha ZANZIBAR nyie munaojiita waandishi wa habari mara pea muliite para chichi ,mara tungule muiite nyanya alimradi imekua hamna maana pesa Kwa kuiharibu lugha
@FahadAbubakari-y3fСағат бұрын
Sifa ya lugha ni watu waweze kuwasiliana na wakaelewana basi, pili lugha katika kukua kwake hubadilika , kusema lugha imeharibiwa ikiwa kiswahili Leo ni moja ya lugha kubwa duniani inaonesha hujui unachosema , ni kama useme siku hizi tunakula chips zamani hazikuepo tukila mashelisheli na bokoboko mshaharibu chakula, haya zamani pemba ikiitwa kambaluu basi na tanganyika kukiitwa mrima basi iwe ivo ivo . Lugha yeyote duniani kuanzia kiarabu kiingereza hubadilika na kubadilika ndo kukua kwake .