Hongereni sana Ayo Tv....naomba kutowa ushauri kwanza jambo mlolifanya zuri sana la kufanya mahojiano na raia wa nchi nyengine....ombi langu muwe munaweka ssuti ya kutafsiri pale mtu anapozungumza lugha nyengine au mahojiano ya lugha nyengine. Ahsanten sana Mko vizuri sana
@nassorsalim87482 жыл бұрын
Yahe sehemu mzuri sana Lakini ni bora kwenda Maka kuliko kuja huku na ni kupoteza pesa Bora uko nazo nyingi pesa wasaidie mayatima wajane na mafukara Uipate pepo ya Allah InnshaAllah Allah atuwezeshe amin
@GMD8202 жыл бұрын
Kweli kabisa maana Ii ni fahari ya Dunia tu wala munyanzi mungu haitambui.
@ceciliamabala6152 жыл бұрын
Pp0
@imanmohamed76322 жыл бұрын
SubhannahAllah
@husseinathuman84692 жыл бұрын
Kweli ndugu
@mohamedkutwambi2 жыл бұрын
🙏🙏
@KhalifaShaban-n6x10 ай бұрын
Huo mtihani sana je ikaja shida ya kupasuka kio maji yakaingia ndani sikifo chakujitakia manankionahapo nikama upo kwenye yai likipasuka hatari sana
@HekaSaid10 ай бұрын
Beautiful i can see one of my hand work it was crazy job for sure
@malikzafarani1722 жыл бұрын
Woow amazing saana 🙌🙌🇶🇦
@piusmajo81332 жыл бұрын
Ubunifu mzuri sana,Safi Sana mwanasayansi kwa Jambo hili
@AbisinaRashidi-wg5jt10 ай бұрын
Mwenyezi mungu sianipe mume anipeleke tu hapo mm
@Mchsaidsalum6769 ай бұрын
Hatakama hautapata mume wa kukupeleka mungu akiamua utaenda2
@AngelShedrack-q4u9 ай бұрын
Amin tyu utampata
@AhmadySeifsoud-ng3bn10 ай бұрын
Karibu pemba 🤗
@yassirrashid78022 жыл бұрын
Amazing Sana
@ismailalfankihiyo32158 ай бұрын
Mimi nilishawahi kukaa 2 days kwakweli ni raha sana,very enjoyments
@TonnyMaleko8 ай бұрын
Wegiñe. Ha5a ndege Hawaii. Kapakia.
@KhadijaMasoud-m6u9 ай бұрын
Kuna uboresho mzuri ss mpk wageni wanaenda tn miaka na waokoaji hpo wapo karibu kuna umakini
@mrsinia30642 жыл бұрын
Hongera sana kwa ubunifu muzur, one day nitafk inshaalah
@ajayakikoytz5902 жыл бұрын
Ila wandishi wahabali wanashuhudia mengi Da🥰, Apo kulala tu million Kadhaa na laki mbili😅
@KemmyPrince-r4l4 ай бұрын
Mbna padogo mngepaongeza jmn 😊😊 pabaya bhnaa ata apavutiii
@mshamhemedy8567 Жыл бұрын
Super cute maganga wa pemba
@hokakoko7302 жыл бұрын
Daah ila mm siwez kulala sehemu iyo ata ikiwa bure
@maujanjatv24h412 жыл бұрын
Huna hela
@annajustin19452 жыл бұрын
@@maujanjatv24h41 jamani siyo hela kwanza huo usingizi unakujakujaje weeee mm kuyachungulia maji tu hoi
@neemamungula9 ай бұрын
Hata Mimi siwez, nyangumi mara owaaa kioo chalii
@fifo2628 ай бұрын
Hhhhhh uoga uoo
@OmaryZuberi-o3b7 ай бұрын
@@neemamungula😂😂😂😂😂😂😂😂owaaaaaaa😮😮😮
@adamhashim33522 жыл бұрын
Ukilala hapo ni sawa na mwanandani kasoro sanda
@janekuria18982 жыл бұрын
Waaaa 🥺 Mimi siwezi lala kwa hicho chumba. La....
@anitamabuga63468 ай бұрын
Hizo ni dalili Moja wapo za siku za mwisho, Yesu anarudi hivi karibuni tujiandeni kuraki mwokozi wetu mambo ya Dunia yote ni ubatili tu.
@fatmasuleiman11042 жыл бұрын
Jiran yetu ndo walikuwa mafundi waliniambia kma wanatengezea room chini ya bahar nikajua utani kilipoisha kikaonyeshwa kwenye tv akaniambia twende nikupeleke utaingia bure maana bado ndo kwanza tumemaliza kujenga nikamwambia sisubutu maisha bado nayapenda labda mungu atake kunichukuwa kwa hiar yake lakin c kwenda kujitaftia kifo cha kusud
@mwajabumsami63882 жыл бұрын
Yaani wewe kama mimi😂😂😂😂
@bahakyejo38002 жыл бұрын
Hata Mimi duuuu
@janekuria18982 жыл бұрын
Pia mie siwezi hata kutembea hapo
@jeremiahsanare87542 жыл бұрын
Hata bure siwezi kulala hapo
@mukhsintwaha59092 жыл бұрын
Acha uoga
@gloriadaniel38272 жыл бұрын
😄😄😄😄
@khayratmhina37352 жыл бұрын
Bwanaweee 🤣😂🤣
@aminanamoyo832 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣☝ pia 😇
@wemakalama64582 жыл бұрын
🤣🤣🤣acha uoga
@ramadhanjuma40872 жыл бұрын
Mashaallah nicely Ilike it
@MussaIbrahim-xz8mr8 ай бұрын
Amazing
@kassebo2 жыл бұрын
Acha mwenye pesa! aendeleee kuitia ushamba Dunia
@pesamadafu16739 ай бұрын
Mungu aritega mahari naichi kafu
@KadeejaKadeeja-ej4bu10 ай бұрын
Atali sana
@storytownTv2 жыл бұрын
Mimi ninachumba juu ya mti wa muembe jamani.. kulala buku tu... Hamna kunguni kiivyooo ila utazoea tu wote mnakaribishwa okoa milioni nne yako kwa buku..😁
@rhodarabani32222 жыл бұрын
haha
@thuwaybah56792 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@wasalimie112 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jamesobedy39402 жыл бұрын
😁😁😁😁
@johnbernad39902 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@jescaisrael73388 ай бұрын
❤❤cool
@asiaoman30402 жыл бұрын
MashaAllah 😙😙😙
@cornelytv283910 ай бұрын
congratulations 💐
@priscamagambo53202 жыл бұрын
Acha yanipite,hata bule silali ng'oooo
@TheSalma19992 жыл бұрын
Mbona rahisi hicho chumba ntakuja kwenye honey moon yangu insh Allah
@ngoshachaula1722 жыл бұрын
Nyoko unae ww
@فاطمهنزوى2 жыл бұрын
Mashallah
@Celestineshikuku-i4x2 жыл бұрын
Doreen edasi from saudi arabia, jini makata na jini maimuna kanipata mle ndani kwisha mimi 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@burhaanmamboleo35512 жыл бұрын
What????
@NeemaShababi-nu8dr10 ай бұрын
Aki ya mungu
@MwantumRashidi9 ай бұрын
Ila wazungu wanapenda kumchefua Mungu anaweza kuwaletea gharika wasiamin
@theresialubida1619 ай бұрын
Wenzao waribadirishiwa rugha Sasa subiri wao MUNGU akikasirika
@MwantumRashidi9 ай бұрын
Kabisaaaaaa umenenaaaa
@DeusJonathan-np8gd8 ай бұрын
Duh!! Mie siwezi lala hata kama ninalipwa
@RamadhaniHamimu10 ай бұрын
Hayo ndio matumiz ya pesa acha wenyepesa wainjoi
@tumumaumba30372 жыл бұрын
Aisee
@hamadsuleiman51772 жыл бұрын
Milioni 4 kawaida sana hapo kwani hata hizo booking tu unaona zilivo na compition...I think Blue economy ingeangalia miradi kama hii ina collaboration with Ministry of Tourism.
@nasrahassan73462 жыл бұрын
Gorofa heluwa wagidi mashaallah
@mariyammariyam65842 жыл бұрын
😀😀😀🇴🇲Heiwaaa ana shufii heluwaa
@SalumuMeso9 ай бұрын
Kiukweli ni laha sana namm nakwenda
@MylaSheukindo10 ай бұрын
Siwez lala hata kwakulipwa😮😮
@IsmailDede-nz5ut10 ай бұрын
Cwez lala hapo mm
@benderarulenge24772 жыл бұрын
Ata Hilo boat Mimi sipandi kabsaaa,mungu aniepushe majanga hayoo🙉🙉🙉🙉🙉🙉
@aaminaasljbgbvf745 Жыл бұрын
Iyo apana kabisaa siwezifika
@CyprianNyakundi-m8d10 ай бұрын
Maajabu hayo et nyumba chini ya maji mimi nsons hiyo n miujiza natamani siku moja nitembelee hiyo sehemu
@RuthBoke-i6q8 ай бұрын
Never siwezi hata bure
@mercypeter1622 жыл бұрын
Mmmh !!
@njeyaduniatv10 ай бұрын
GO EAST GO WEST----AYO TV IS THE BEST.
@ibraheemiddy86122 жыл бұрын
Watu wanabalaaa jaman mmmh silali aje papa aniletee vurugu mie
@nuruali78592 жыл бұрын
Ntakuja kulala hucho inshaallah honey moon yngu when mi bby arrived amiin
@SulemaniBaynit9 ай бұрын
Jamani jamani
@HassanKubwito-uv7jv8 ай бұрын
Kwakweli Zanzibar wamepiga hatua
@ShanyShany-d1u9 ай бұрын
Ndomujue Tanzania laha
@sharmelasaif472 жыл бұрын
Mmmmh makubwa hayo
@teedullah57089 ай бұрын
Mimi uzungu Hu cutaki Kuja kuona mamba apasuwa viyoo atujiya ndani atule Bure akhu
@LovelyCoastline-il1lr10 ай бұрын
Kwann chumba kimoja
@OmarNuri-w7v10 ай бұрын
How do u get oxygen under the water
@uswegemwasumbi57392 жыл бұрын
Iko vizur
@BushiriRashid4 ай бұрын
Nilifka siku moja sirudihi Tena nilitowe million 3 Yani siendi Tena Yani Siji tena
@khayratmhina37352 жыл бұрын
AyoTV wanamaswali yalioenda shule mashallah
@ayshamahariq66652 жыл бұрын
Tabarakallah
@salhidasuleiman62022 жыл бұрын
Nishawahi kuenda na family yangu mallah
@salhidasuleiman62022 жыл бұрын
Mashallah
@credo78372 жыл бұрын
@@salhidasuleiman6202 mmmh
@aliclassic84682 жыл бұрын
Vip kuhusu samaki papa
@OmaryZuberi-o3b7 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😊
@priscillawilliam360310 ай бұрын
Mmm kumbe ni huko haya kila na kheri.
@IyallymikidadiLukongono9 ай бұрын
Mimi nalalaaa
@TonnyMaleko8 ай бұрын
Julianne deep Sea.
@KelvinKalagesya Жыл бұрын
Safiii
@kasukukasuku38962 жыл бұрын
It's amazing katumia mechanisms zipi kujenga na je wimbi la bahari likija Hari inakuaje apo
@jambo37512 жыл бұрын
Hahaha. Halafu Ayo ungetutafsiria muarabu wako amesema nini😄 Nasikia GHORFA TAHTA LMAI MAA MAUJUDI FIY OMAN WA HADHA AWAL MARRA ASHUF HADHA sijui ndio nini amesema😄😄😄🏃🏃🏃🏃
@jambo37512 жыл бұрын
@@swaumdodoma7591 Nitafsirie.
@jambo37512 жыл бұрын
@@swaumdodoma7591 bobo ndio wapi?
@jambo37512 жыл бұрын
@@swaumdodoma7591 Niko nje ya Africa lakini nyumbani TZ.
@jambo37512 жыл бұрын
@@swaumdodoma7591 Boboo japo unasema kuwa ipo TZ lakini sipajui ila kule nchi jirani KENYA kuna mji unaitwa KAKUMA! Kwahiyo inawezekana kukawa na mahusiano baina ya miji miwili hii🏃🏃🏃.
@Chekibob2 жыл бұрын
Mbona mmekata hiyo sauti tusikilize habibi 😁😁😁😂
@shailglobal22962 жыл бұрын
How do you get oxygen inside the watar
@achouraachoura576310 ай бұрын
Apo Mimi kama Mimi Siwezi lala chini Kwa maji Japo tutakufa..😂☑️📌
@فاطمهنزوى2 жыл бұрын
Imshallah wamekusikien wa2 wa oman watajarbh na wao
@issaal-busaidi44792 жыл бұрын
Fatma uko nizwa sehem gan
@AnnaSanga-bs7pl10 ай бұрын
Sunami vipi
@MarthaMkasi9 ай бұрын
Me siwezi lala we maji yakihingia ndani huko jee😂😂
@hellenmwasalwiba65559 ай бұрын
nimecheka sana
@aggerdihenga46732 жыл бұрын
Makangale manta I mic u so much 2taonana tena soon Inshaallah 🙏
@gabriellyadam94152 жыл бұрын
hata bure siingii ata ndan
@esthersissamo11202 жыл бұрын
Inaogopesha kwa kweli
@tumumaumba30372 жыл бұрын
Hahaha kwakweli
@neemaneema99692 жыл бұрын
Cwezi kulala humo hata bure
@wazirmlogi75322 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mkalywagoka99132 жыл бұрын
Hela hela zinasababisha tuuwaneeee
@drankskhally70192 жыл бұрын
Ukiwa na pesa hakuna unachokosa na kushindikana
@adamhashim33522 жыл бұрын
Afya baba hela inagonga mwamba
@abrahmansururu43932 жыл бұрын
Pumzi
@rhodajoseph90432 жыл бұрын
Silali humo hata kama ni bure kwanza usingizi sintaupata kabisa
@marcellakomba67588 ай бұрын
Wenzetu SA na Ulaya zipo "Under Water Room" zipo nyingi tu. Nanga zake ni makini haiwezi kupinduliwa.
@agnesbaligono27422 жыл бұрын
Maajabu kweli
@AsiyaMmanga8 ай бұрын
Jeeeee wagen ni million 4 na lak mbil jeee kwa wat wa ndan ni bei ndooo hy hvy au
@gloryndoss8135 ай бұрын
Hapana kwakweli ata nipewe milion mia sisubutu
@jamesobedy39402 жыл бұрын
Hata kwa bure siwezi kulala 😂😂 Labda kuingia na kutoka basi 🚶🚶
@christercheru83282 жыл бұрын
Tuko pamoja
@tumainlession4112 жыл бұрын
Meonae
@AsumtaTandarusi Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@neemamjengi99132 жыл бұрын
Mwanadamu ana akili nyingi sana,Mungu alizo mjalia
@saidmandoadaahtumepotezaje993710 ай бұрын
Kwer
@Haulat-yc9gz9 ай бұрын
Mm hata unilipe silali wala siingii
@franciscosmas61089 ай бұрын
1
@dorislema24659 ай бұрын
0:42 mimi siwezi kufa kwa presha looh,,naona kama nitakua nafata kifo walai siwez kulala apo
@manaseliberatus13472 жыл бұрын
hayo ni maeneo ya washirikina
@sabilibrahim24572 жыл бұрын
Bei gani kwa siku 1
@kassimomar75892 жыл бұрын
Zanzibar
@helenangamoga59272 жыл бұрын
Ama kweli ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni
@elizabethshillah-u4j8 ай бұрын
Kabwawa tu Kindai huku kwwtu nakaogopa hata kusogea,,humo kwa kweli kufika tu nishakuwa marehemu kwa pressure,,tena mbao,,,,,bado tu hazijaoza?
@josiahkulwa342 жыл бұрын
Good
@emmadominic96012 жыл бұрын
Kusema ukweli,hicho chumba hakina starehe yoyote,nishida tu,jinsi ya kushuka huko kama vile mtu anarumia ngazi za kujengea nyumba
@emmadominic96012 жыл бұрын
Yaani hizo ngazi utadhani mafundi umeme wa tanesco,hata bure sitaki katu
@Gorgeousij9 ай бұрын
Inanikubusha ile sub marine iliopasukia America.njia ya kuingia chini ya ogopesha sana juu ukiteleza itakuwa je?hata nikalipwa niende pale siwezi.wenye waliandikisha historia kama Dedan kimathi,Mandela hawako.
@yordanyona12342 жыл бұрын
sio lazima tour
@nasrahassan73462 жыл бұрын
Yaani samaki unawaona live bila chenga😀😀
@phaustineJoseph9 ай бұрын
Ata Bure siwez lala
@JobMulengeki-r5u Жыл бұрын
Hv yule Samaki mkubwa anaepinduaga Meli akifanya yake hapo inakuwaje?
@kakabaraka10582 жыл бұрын
manta🇹🇿
@theresiamartin30082 жыл бұрын
Kwa jinsi navyoogopa maji,Hata kwa buku 2 siwezi kulala hapo