RAIS RUTO alivunja BARAZA la MAWAZIRI la KENYA na kumfuta kazi MWANASHERIA Mkuu wa Serikali

  Рет қаралды 35,372

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

21 күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 259
@george496
@george496 19 күн бұрын
Kuna kitu Cha kujifunza kwa wenzetu wa kenya ifeka wakati wa kuondoa woga nchini Tanzania tuseme enough is enough
@rainekisha
@rainekisha 19 күн бұрын
Mjue kuwa politics it's life
@AhmedHassan-vl5zf
@AhmedHassan-vl5zf 19 күн бұрын
NI mjinga wewe hayo maandamano yanayo zaminiwa na kabila la Kikuyu hawakuwa happy nafasi zote wamepewa wakenya
@PabloEscobar-wt1fq
@PabloEscobar-wt1fq 19 күн бұрын
Yataka roho mshkaji wangu🔥🔥
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 19 күн бұрын
haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..niseme tena haasswwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@felixmsale9244
@felixmsale9244 19 күн бұрын
Tanzania ni nchi ya waoga .Marais wake ni miungu wadogo.kama huyu Mama nae kajitambulisha rasmi yeye ni kiziwi hasikilizi wananchi kabisa.
@leonolinga2834
@leonolinga2834 19 күн бұрын
Power to the GenZs, Power to the people of the nation 💪🏽🫡🫡🫡
@chancelebishopofficial2785
@chancelebishopofficial2785 19 күн бұрын
Erick omondi ✊🏿✊🏿✊🏿✊🏿
@kassimbayuu5217
@kassimbayuu5217 19 күн бұрын
Dj smaa upo sahihi kabisa
@dvoice_ginn
@dvoice_ginn 19 күн бұрын
Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@isabellarkageha7707
@isabellarkageha7707 19 күн бұрын
Hoyeee gen z saa hii tutasukumana kwa traffic jam ......na hao 😅
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 19 күн бұрын
Tanzania inafaa tuwaige Kenya Uwaziri tanzania ni kama ufalme . Ndo maana kila wakati nasema tanzania inaitaji katiba mpya
@omarnimrod1369
@omarnimrod1369 19 күн бұрын
anza wewe.
@tatukingi2543
@tatukingi2543 19 күн бұрын
😂😂😂tulieni tuwaoneshe mambo yanavyo fanywa mpka tulize hili kazi ndio.mkurupuke n.a. nyinyi
@Elizabeth-gq9kl
@Elizabeth-gq9kl 19 күн бұрын
Mpiganie katibakwanza ndio mutaanzakuandamana kamasisiku kenya
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 19 күн бұрын
@@Elizabeth-gq9klkatiba mpya itatuondolea utawala wa kifalme . Eti baba yako alikua na cheo fulani kwa serikali na mtoto wake anapewa cheo
@Maishanimaamuzi
@Maishanimaamuzi 19 күн бұрын
​@@Brunotarimo10mambo ya kijinga wakenya wamekataa kufanyiwa
@halimahassanungura4588
@halimahassanungura4588 19 күн бұрын
Hivi sasa ndo amejua kua hana washauri wazuri😊
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 19 күн бұрын
Muda ulikuwa hauruhusu. Angeharibikiwa kama angefanya mapema. Usisahau alianza. Lkn hakuendelea. Hakuwa na Back up
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 19 күн бұрын
Bado hajasema na atasema tu😂Genz hoyeee🎉😂😂
@faiththwagi238
@faiththwagi238 19 күн бұрын
Hoyeee
@yussufoptic
@yussufoptic 19 күн бұрын
Mawaziri hawana shida, ajiangalie yeye mwenyewe "chombo cha mabepari"
@yahyamohamed1831
@yahyamohamed1831 19 күн бұрын
Nchi ni wananchi
@trendz_2548
@trendz_2548 19 күн бұрын
Baaaas tuende kazi
@aliijumanne8293
@aliijumanne8293 19 күн бұрын
We are winning 🥇 this move..... Lakin bado kazi.....
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 19 күн бұрын
Wakenya ,kwa sasa inatosha ,, serikari imewasikiliza ,wanapaswa kumpa muda Raisi wao ,,,,na SI kupanga maandamano yasiyo na maana yoyote kwa sasa zaidi ya kuivunja nchi yao wenyew,,wakenya Mh raisi kawasikiliza ,sasa mpeni muda aiendeshe nchi kwa utulivu
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd 19 күн бұрын
Umesema sawa kaka
@cooljay9489
@cooljay9489 19 күн бұрын
tulimpa mdaa akatudanganya. alf kuskiza wanachi si favor ni katiba.
@emmanuelmasanja6040
@emmanuelmasanja6040 19 күн бұрын
Kwa kweli wampe muda
@zeinababdi4757
@zeinababdi4757 19 күн бұрын
Power to the people , especially the youth who lost their lives for justice and calling out the leadership
@piusrweyemamu3900
@piusrweyemamu3900 19 күн бұрын
Umemuona Mh. Rutto anataka kulia😢😢😢
@UmmyZakiah
@UmmyZakiah 19 күн бұрын
na amekonda wallah nikama hakuli
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 19 күн бұрын
Bado tunazidi kumfinya makende zake bila huruma hadi asalimu amrita. Hapa kenya 🇰🇪 hakuna wajinga wa kucheza na ruto. Ataenda nyumbani. Alikuwa ametuzoea sana
@piusrweyemamu3900
@piusrweyemamu3900 19 күн бұрын
@@ChumanaSusi hongereni wakenya, Mmeamua.
@piusrweyemamu3900
@piusrweyemamu3900 19 күн бұрын
@@UmmyZakiah 😂😂😂
@UmmyZakiah
@UmmyZakiah 19 күн бұрын
@@piusrweyemamu3900 🤣😂amekua kama mkufi imediately
@billjames1216
@billjames1216 19 күн бұрын
Huyu Ruto bado haaminiki my friend bado twa tazama tu
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 19 күн бұрын
Kwa lipi?
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 19 күн бұрын
Tutampeleka nyumbani. Tumemfinya makende hadi amesalimu amrita ya Gen Z
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 19 күн бұрын
Tutampeleka nyumbani. Tumemfinya makende hadi amesalimu amrita ya Gen Z
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 19 күн бұрын
Tutampeleka nyumbani. Tumemfinya makende hadi amesalimu amrita ya Gen Z
@stejasatv7349
@stejasatv7349 19 күн бұрын
Kumekucha mkuuu❤️❤️❤️🙏🙏🙏
@michaeljuma7764
@michaeljuma7764 19 күн бұрын
Ruto knew on Tuesday atapinduliwa serikalini ndo maana anajaribu kubadilisha mwongozo. So I don't understand what will happen on Tuesday kwasababu hashtag imebadilika na kua #RutoMustGo
@Qqambaa
@Qqambaa 19 күн бұрын
😂😂😂
@henryachila5448
@henryachila5448 19 күн бұрын
Shida yetu ni ruto as long as bado yuko pale hatuna amani, atashuka
@sarafinawanja8549
@sarafinawanja8549 19 күн бұрын
Kenya my nation God bless you
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd 19 күн бұрын
Wewe shida yako ni ubinafsi
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 19 күн бұрын
Bado Tuesday ataanguka tu
@salimmwakaribu942
@salimmwakaribu942 19 күн бұрын
Huku bdo anauwa vijana wetu Ruto must go
@abassimussa7473
@abassimussa7473 19 күн бұрын
Bunge livunjwe tafadhali ruto🇸🇸🇸🇸🇸🇸 tupige Kura tena
@malongoisack5811
@malongoisack5811 19 күн бұрын
Usijali hiyo inakuja soon Na itakuwa solution no 2 Ikishindikana solution no 3 itafanyika ambayo ni Ruto kuresign
@billjames1216
@billjames1216 19 күн бұрын
Ww ni wa nchi gani hii unataka kupiga kura kenya???
@annanzallo1150
@annanzallo1150 19 күн бұрын
​@@billjames1216😂😂😂 sio Kenya
@unjuusalvatory5331
@unjuusalvatory5331 19 күн бұрын
Nevertheless of its majority setbacks, democracy remains to be the most practical approach of governance for the modern demanding humanity. You got it Mr. President, lead to demonstrate and influence others🇰🇪
@remiomar7154
@remiomar7154 19 күн бұрын
Ukisikia hiyo hutuba utasema Ni kweli mtatimiziwa anayoyasema ..... Mm simuamini hata robo
@jumakassim8718
@jumakassim8718 19 күн бұрын
Hata mimi simuamini muongo sanaa
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 19 күн бұрын
Huyu ruto.ni pepo wa urongo. Lakini round hii hana chake. Amekataliwa na nchi nzima hadi watoto
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 19 күн бұрын
Huyu hata Rachel alimpata kwa kumdanganya😂😂
@fuadbawayo9233
@fuadbawayo9233 19 күн бұрын
Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 nchi yangu
@FelistersMejumaa-xi2ge
@FelistersMejumaa-xi2ge 19 күн бұрын
Comments zote zilizo comentiwa in English niza Wakenya congratulations my fellow Kenyans l like this 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦 proud of my country people
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 19 күн бұрын
U will alwys b slaves kwenye nchi yenu wenyewe
@mwalimunyerere
@mwalimunyerere 19 күн бұрын
@@KassimAlly-xp4dz Please write without grammatical errors; until then, we can talk about slavery.
@martinmwasubila8762
@martinmwasubila8762 19 күн бұрын
Mwafrika jikomboe ktk nyanja zote, hata ktk lugha...ipende lugha yako mama...kutumia lugha ya kikoloni ni sehemu ya utumwa wa kifikra! Kujifunza, kuelewa, kuongea kifasaha na kumudu vizuri lugha za nje ni jambo jema na zuri na linafaa LAKINI zisitufanye watumwa ktk nchi zetu ...lugha zetu za Kiafrika kwanza zipewe kipaumbele cha kwanza. Mfano KISWAHILI ktk nchi za Afrika Mashariki na kati tukipende, tukiongee hata kwenye majukwa rasmi ya shughuli za kiserikali hata kimataifa!
@mwalimunyerere
@mwalimunyerere 19 күн бұрын
@@martinmwasubila8762 kwanza kiswahili si chetu. ni lugha ya pwani. kama wewe si Bajuni, unazungumza lugha ya mtu mwingine. HAHA
@martinmwasubila8762
@martinmwasubila8762 19 күн бұрын
@@mwalimunyerere pwani hiyo iko wapi?
@rehemashariff3119
@rehemashariff3119 19 күн бұрын
Lapili tunalo subiri kila police aliye piga risasi mwana nchi maramajo afute kazi kibarua nacho bado hajapona
@olomweneabongela1717
@olomweneabongela1717 19 күн бұрын
Huko awezi ndugu yangu kwa salama wa taifa na yeye binafsi.
@laurine7898
@laurine7898 19 күн бұрын
​@@olomweneabongela1717 hakuna kisichowezekana, tupe mda tu, kwa wakati wake vitu vitanyooka, wala sio rahisi, ni ngumu tena sana, lakini tunaamini Mungu na pia tunao ujasiri haki zetu tutazilinda. Watch this space.
@erqmusic5973
@erqmusic5973 19 күн бұрын
Na ivo ndio tuna need bro...coz taifa ni mwananchi na karao KAZI yake ni kulinda mwananchi sio kumuua jo😢d​@@olomweneabongela1717
@wambuageorgemutua1930
@wambuageorgemutua1930 19 күн бұрын
My Kenyan people we keep on pushing....#RutoMustGo
@SamuelOuma-uy2ci
@SamuelOuma-uy2ci 19 күн бұрын
Mimi ni mkenya ila huwa nawafatilia na kusikiliza habari kutoka kwenu
@laurine7898
@laurine7898 19 күн бұрын
Kazi bado, ndio tumeanza tu, mambo ni mengi mda ndio mchache. Governors na mcas tunawaweka rada hakuna kuchezea jasho letu.
@directortwicep3028
@directortwicep3028 19 күн бұрын
Huyu jamaa anawakati mgumu sanaa
@dayahkibadeni185
@dayahkibadeni185 19 күн бұрын
my president my hope my happiness
@Elizabeth-gq9kl
@Elizabeth-gq9kl 19 күн бұрын
Kwerakabisa.
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 19 күн бұрын
Lione hili naye kubwa jinga😂
@mustaphabett5616
@mustaphabett5616 19 күн бұрын
Congratulations 🎊 my president...we kenyan genz we are so grateful now....let the work begin.....we are proud of you baba.....lets end this vice of corruption
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 19 күн бұрын
Ur not genz i can see
@hanashhanash535
@hanashhanash535 19 күн бұрын
He try to remove are little problem but we can't forget the big problem is You, still we stand Ruto must go
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 19 күн бұрын
Bado wakenya tunataka hela walizoiba na wevi wapeana za umma wakamatwe ikiwa mmoja wao Ruto
@lapozzydone5203
@lapozzydone5203 19 күн бұрын
Namna hiyo Anza fresh.. Tunataka mawaziri watenda kazi sio mafisadi.
@zayumar2955
@zayumar2955 19 күн бұрын
Duuu makubwa bado yanaendelea ila Jmn ndugu sky tunaomba uwe unatuelezea kwa kiswahili tupate kuelewa kwa uzuri zaidi make wengine tuliishia la 7 B kingereza tunakislilizia Kwa bombaa😅😅😅😅
@rainekisha
@rainekisha 19 күн бұрын
Ahahaha
@zayumar2955
@zayumar2955 19 күн бұрын
@@rainekisha we usicheke acha tu ni mbaya sana kutokujua kinge make unakuta kuna mambo yanakupita 😂😂😂
@boazmisango9797
@boazmisango9797 19 күн бұрын
Mbona ndio kumekucha Na bado naona ata yeye akienda sugoi
@dvoice_ginn
@dvoice_ginn 19 күн бұрын
🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@Chawamsafi1
@Chawamsafi1 19 күн бұрын
Sasa mzee malizia miaka yako kwa amani usijekufia kwa kiti 😂
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 19 күн бұрын
Hawezi maliza huyu .mKora fisadi mkubwa Wakenya wamemumulika kama tochi
@USDisdoomed
@USDisdoomed 19 күн бұрын
Bado tunataka wale polisi wauwaji wakamatwe pia
@3erffeoui86
@3erffeoui86 19 күн бұрын
ANGUKA NAYO BADO YEYE PIA AENDE ZAKE
@Alfredo_Kenya
@Alfredo_Kenya 19 күн бұрын
Power to all Genz kenya
@jeffchurum1431
@jeffchurum1431 19 күн бұрын
Na wakirudi nyumbani wapitiye barabara kuu tuwazidikishe na tunyoroshe kila mtu viboko tatu moto za hiyo miaka tatu wametupotezea. Hizo whips zipakwe mafuta.
@user-xm9jc4of2e
@user-xm9jc4of2e 19 күн бұрын
😂😂😂
@Majambo_Duniani_Tv
@Majambo_Duniani_Tv 19 күн бұрын
Eric Omond
@leeheyon
@leeheyon 19 күн бұрын
well said
@sonnyr1899
@sonnyr1899 19 күн бұрын
Mwigulu za jioni?
@michealouma2410
@michealouma2410 19 күн бұрын
Anguka nayoooooooooo😂,,bado sasa IG of police
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 19 күн бұрын
People's Power 💪 🙌 🙌 🙌 Nguvu ya Wananchi Siyo Mchezo..
@MoinaminaAmina-qh1jb
@MoinaminaAmina-qh1jb 19 күн бұрын
Ruto atavunjwa yéyé lazima yaondelewe madarakani hafai kua raisi wa Kenya
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd 19 күн бұрын
Who is fit enough? You foolish
@martinsafaris4314
@martinsafaris4314 19 күн бұрын
Apa ndio napata revelation as to why the major general was eliminated. If only he was there...he would be the one standing like Traore. They saw it coming. I have lived in Kenya for 17 years. Now in Tanzania But Ruto must Go anyway. Gen Z ❤
@halimahassanungura4588
@halimahassanungura4588 19 күн бұрын
Bado picha inaendelea
@aaa64sa13
@aaa64sa13 19 күн бұрын
❤🇰🇪❤ Gen Z....🤜👍❤❤🎉
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 19 күн бұрын
Nlichojifunza ni kwanza woga ndio adui wa maendeleo. TANZANIA bado sanaaa. Viongozi ni Miungu watu. Tupo katika usingizi mzito, hali za wananchi ni mbaya sana ila hawana wa kuwasemea.😢😢
@nasorsaid5371
@nasorsaid5371 19 күн бұрын
Bongo nyoso.....bongo tutaendelea kuramba wanasisa mato😂😂😂😂
@billskeez92
@billskeez92 19 күн бұрын
Tuendelee kuitazama hii movie hadi Mwisho
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 19 күн бұрын
Ausio
@ARNOLDKARISA-fs3ht
@ARNOLDKARISA-fs3ht 19 күн бұрын
alafu muchukue mafunzo
@FredMaulid
@FredMaulid 19 күн бұрын
Watanzania tuna cha kujifunza hapa
@pendomalisa9308
@pendomalisa9308 19 күн бұрын
Ahsante
@KhamisBeja
@KhamisBeja 19 күн бұрын
All that we need is transparency zakayo
@catherineshayocwbp.2093
@catherineshayocwbp.2093 19 күн бұрын
Honera Raisi ni maamuzi ya busara na yanastahiki pongezi kubwa... Ila waliokufikisha apo ni wabunge ambao mbali na kuwasikia wanaowawakilisha wakisema nou...bado walipitisha zike sheria hao ndio wanastahiki haswa hiyo adhabu...! Wakaombe kura upya kwa wananchi wao! Wao ndio sabbu ya wananchi kukosa trust na wewe....i pray all goes well...Gen Z Asanten.
@mkambotv5418
@mkambotv5418 19 күн бұрын
Ruto must go.... Bado hajasema yani mpaka aseme. Wakenya hatupendi ujinga.
@elijawakaba
@elijawakaba 19 күн бұрын
Na bado
@waendaotvcom204
@waendaotvcom204 19 күн бұрын
Miguna miguna nimekuita marambili unge kaa kimya😂😂😂
@NoName-pp4lo
@NoName-pp4lo 19 күн бұрын
Picha ndo linaanza bado ni teller movie haijaanza
@abdullahkazungu4025
@abdullahkazungu4025 19 күн бұрын
Koome na mudavadi walifaa pia waende kwanza koome aki ..
@ISSACKRICHARD
@ISSACKRICHARD 19 күн бұрын
Dj smaaaaa ni atariiiiii😂😂😂😂😂😂
@somoeomar4861
@somoeomar4861 19 күн бұрын
Basi kazi iendelee sasa
@user-rc2ye4ri6t
@user-rc2ye4ri6t 19 күн бұрын
Ruto must go
@tuwasalimu
@tuwasalimu 17 күн бұрын
hongera muheshimiwa ruto kwa maamuzi yako
@samuelmwatsuma4462
@samuelmwatsuma4462 19 күн бұрын
Mpaka kieleweke...
@barazanaphtally
@barazanaphtally 19 күн бұрын
Good job Mr. President
@user-ui5zo9re8b
@user-ui5zo9re8b 19 күн бұрын
Mungu. Wakongo angalihayi
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 19 күн бұрын
Am proud to be a kenyan..thank you g.zee ..leo wameanguka nayo mawaziri wamekuwa job less kama ss😂😂😂😂😂😂😂..
@emmadora7848
@emmadora7848 19 күн бұрын
But they already have life aiseee si sawa na wengine
@midundotechtz6843
@midundotechtz6843 19 күн бұрын
Nasema hivii mh. Ruto anaangaliaga GPS 11:09
@sultanmswahilitv4864
@sultanmswahilitv4864 19 күн бұрын
Kenya ni nchi ya watu wenye akili mingi sana
@messiasulleydidy2585
@messiasulleydidy2585 19 күн бұрын
Sanaaa...
@cath-ef7wd
@cath-ef7wd 19 күн бұрын
Hamna kitu ovyo kabisa
@MwemajaphetyZackalia
@MwemajaphetyZackalia 19 күн бұрын
Kuna nchi africa azina serikali ni vikundi vya wahuni angalia vizuri sana akuna rais alikuwa gaddafi wengine wanajua kukopa kulipa wanalipa wanainchi poreni ngozi nyeusi
@swalehemusa4546
@swalehemusa4546 19 күн бұрын
Kweli kbs vikundi va kihuni hakuna tena viongozi labda angalau traore anajitahidi nchini mwake
@emmadora7848
@emmadora7848 19 күн бұрын
​@@swalehemusa4546kafanya nn huyo Traore huko bukina faso?
@saidyabdalla7410
@saidyabdalla7410 19 күн бұрын
Uku tayari
@kemalhussein2532
@kemalhussein2532 19 күн бұрын
Reduce the rent of house, school fees, and food
@user-rc2ye4ri6t
@user-rc2ye4ri6t 19 күн бұрын
Wacha kudanya wakenya wwe
@Chrisscherry
@Chrisscherry 19 күн бұрын
Hapo sasa now we are fixing the Nation hta US Embassy tunakuja kusafisha huko
@midundotechtz6843
@midundotechtz6843 19 күн бұрын
Sasa anaanza kuwa na akili
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 19 күн бұрын
Mshenzi kesha-panic huyu.
@thelordsgarden4083
@thelordsgarden4083 19 күн бұрын
Si utusiane huko kwenu wachana na huyu wetu..
@user-yp9el7xp8g
@user-yp9el7xp8g 19 күн бұрын
Inafaa tufanye maandamano Moja ya mwisho so that he can fire himself too.....#RUTO MUST GO🇰🇪
@classicwaisala6677
@classicwaisala6677 19 күн бұрын
Ujinga sasa
@USDisdoomed
@USDisdoomed 19 күн бұрын
Wazimu ww😂😂
@zeinababdi4757
@zeinababdi4757 19 күн бұрын
Watanzania waoga sana, Kenyans dont play
@chai_r
@chai_r 19 күн бұрын
This was a revelation to this puppet?
@roselynealima3618
@roselynealima3618 19 күн бұрын
😂😂mnajua nacheka nini? Send a thief to catch a thief #Ruto must go no matter what😆
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 19 күн бұрын
Ameanza mapema.
@user-rc2ye4ri6t
@user-rc2ye4ri6t 19 күн бұрын
Maandamano bdo ni yafaniwe hii sio njia ya kuzima maandamano
@NtakarutimanaIriho
@NtakarutimanaIriho 19 күн бұрын
Amuka kesho wende ufanye
@ankalmzito254
@ankalmzito254 19 күн бұрын
Kama kuna MKENYA yeyote humu inua mkono ✋ juu..
@hassanswaleh8720
@hassanswaleh8720 19 күн бұрын
Utaacha kuongea urongo lini mr tumetenga Mr tumepanga?
@stanastana3199
@stanastana3199 19 күн бұрын
😂😂😂😂
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po 19 күн бұрын
Watu hawamtaki rais sio mawaziri anajikosha😂
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 19 күн бұрын
Sisi watanzania kuliko kuvunjwa miguu bora tukae kimya,Hatuwezi kinukisha kama Wakenya sababu tunalima chakula kwa wingi na tukishiba ugali na wali kisha tusikilize Diamond siku inaenda.Wewe na akafe kwenye maandamo.
@emmanuelmasanja6040
@emmanuelmasanja6040 19 күн бұрын
Wacha nicheke tu😂😂
@Hassan_Mengi
@Hassan_Mengi 19 күн бұрын
GenZ wa Bongo wajifunze kwa wenzao wa Kenya wasikubali huyu “maza” na “sisiemu” yake kuwaonea… naishia hapo.
@Tg.7_7
@Tg.7_7 19 күн бұрын
Kuongoza Taifa kama Kenya, honestly akili zako lazima ziwe zinakaa kichwani! Maana kuna maraisi akili zinakaa sehemu nyingine kabisa za mwili 😂😂
@nasorsaid5371
@nasorsaid5371 19 күн бұрын
Maraisi wangine akili zao ziko mkunduni😂😂😂😂
@nassoroshakiru7094
@nassoroshakiru7094 19 күн бұрын
Huu ndo uanaume sasa hapa mzee ndo katumia maamuzi ya Busara kwanza kapunguza hasira za watu kitu ambacho kisingeisha bila kuchukua hatua na ukizingatia jamaa tayar askari wake washaua raia baadhi, so ili kumantain hii hali lazima acheze na akili za raia, sisi raia huwa tunadanganyika kwa vitu vidogotu navo nikama hivo hapo kwa hilotu alilolifanya ni ishara tosha kwamba kakubali kutumia busara zaidi ya nguvu kwani nguvu haijengi! Ni maamuzi ya heshima na busara kwa upande wangu ❤ na hiki kitu GPS walikitabiri saha Smaa na Ally
@geniuskid2544
@geniuskid2544 19 күн бұрын
Gotha tenaa😂
@DrNdii
@DrNdii 18 күн бұрын
Katiba ya kenya iko na kitu kinaitwa freedom of speech,unakosoa hata raisi, lakini tanzania ukichoka shati lenye sura ya raisi unafungwa ama upotee mazima,badilisheni katiba
@RoseMary-jw2im
@RoseMary-jw2im 19 күн бұрын
Na waende nyumbani ruto afanye kazi yake na amani..
@ramadhankakai7303
@ramadhankakai7303 19 күн бұрын
Bado yeye sasa aondoke
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 19 күн бұрын
Viva Gen Z 🎉🎉🎉🎉
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l 19 күн бұрын
sawa sawa eric omondi oyoo
@omartwahir7859
@omartwahir7859 19 күн бұрын
Gen Z power
@irenematari6218
@irenematari6218 19 күн бұрын
Polepole tu tutafika🇰🇪
Silaha iliyomuua Kiongozi wa Hamas, Ismail Haniyeh yatajwa
3:29
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 8 М.
EDWIN SIFUNA || I  AM SORRY
21:49
Eroo Mtetezi
Рет қаралды 8 М.
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 97 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 15 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 65 МЛН
Hezbollah: Yule Israel walimlenga yupo hai, subirini kisasi chake
3:27
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 15 М.
Urusi yazidi kusonga mbele na kuishikilia miji hii mipya ya Ukraine
2:28
Mazingaombwe na maajabu ya Chell De Magician[Part 1]
17:43
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 114 М.
Tuning a 270+whp Kawasaki H2R
0:13
Jahir motovlog
Рет қаралды 6 МЛН
Exhaust Tips GLE 63s
0:19
Straight Piped by: Gexhaust
Рет қаралды 1,2 МЛН
ЗАКЛИНИЛО ГАЗ 🤯
0:16
Top YouTubs
Рет қаралды 376 М.
Самая кровавая бандитская тачка
0:39
Леха Беспалый
Рет қаралды 2,6 МЛН