Silaha iliyomuua Kiongozi wa Hamas, Ismail Haniyeh yatajwa

  Рет қаралды 25,287

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 219
@ronaldmatimbo9691
@ronaldmatimbo9691 Ай бұрын
Israel is the only non Muslim and a small country in the middle East. It is the only country country that fights for survival or rather for it's existence. It is a country that loves it's citizens to an extent that you can't mess with one and go untouched.
@MAHAN-SMART
@MAHAN-SMART Ай бұрын
Innalillahi wainna ilaihi raajiuun hasbunallahu waniimalwakiil 🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇵🇸
@mdimistudio6041
@mdimistudio6041 Ай бұрын
Ima Shahada ima Nusra Allah mpokee mja wako amiiiin
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 Ай бұрын
Hivi Mungu wenu anawapokea wamwagaji wa damu? Yaa binadamu amejaa Damu mikononi unafanya masihara ,kweli Mungu wenu ni mrahisi Sana mnampangia mnavotaka Daah ,kama wauaji wataingia peponi basi watakatifu wote wataenda jehanam
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 Ай бұрын
Inna lillahi wa inna ilaihi rajiun. Wame muua huu kuna hawa zaidi walisha zaliwa nawengine wana endelea kuzaliwa 🤲🏾Allah ampumzishe vyema amsameh makosa yake ampe pepo ya firdausi
@igurusitv6553
@igurusitv6553 Ай бұрын
Watauliwa wote😂😂
@aishaarusha894
@aishaarusha894 Ай бұрын
​@@igurusitv6553pamoja na mama yako sheitwani we
@majidimussa8678
@majidimussa8678 Ай бұрын
Amin Thuma Amin
@JeanMalilo
@JeanMalilo Ай бұрын
Magaidi wote wauwawe
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 Ай бұрын
Mbona Osama ajazaliwa?
@hemedmwipopo780
@hemedmwipopo780 Ай бұрын
Magaidi wa Kizayuni wamehusika Haniyeh Sasa ni vita vya Moja kwa moja kuikabiri Israel na waitifaki wake. Mungu wangu Sasa Vita kuu ya 3 ya Dunia.
@emmadora7848
@emmadora7848 Ай бұрын
Wewe ndo utapigana hiyo vita ya 3 au nategemea wengine ndo wapigane?
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 Ай бұрын
​@@emmadora7848Kafirwe na Israel Shogaaaaa jeusiiiiii
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Ай бұрын
​@@nasseralhatmi1762aise mbona umepaniki
@emmadora7848
@emmadora7848 Ай бұрын
@@nasseralhatmi1762 ndio option mliyobakiwa nayo Kwa sasa ,pole sana 🤣🤣🤣🤣
@igurusitv6553
@igurusitv6553 Ай бұрын
​@@nasseralhatmi1762mtu wa haki unatukana hivi😂😂😂 ukiambiwa uislamu ni ushetani tu
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 Ай бұрын
Alikua mzuri kweli ❤
@fauzishabani2622
@fauzishabani2622 Ай бұрын
Mungu amependa! Wanaokufuru kufuru yao isikuuzunishe Marejeo ni kwa Mwenye Nguvu. Kila nafsi itaonja umauti. Maisha ya dunia si kitu
@Kulwakisansa-zk5yg
@Kulwakisansa-zk5yg Ай бұрын
Upewe ulinzi
@user-sd5hj2im4q
@user-sd5hj2im4q Ай бұрын
Nimeamini Iran ulinzi ni mdogo sna
@ramadhanichuma7925
@ramadhanichuma7925 Ай бұрын
Vp mashambulizi ya juzi telavivu
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 Ай бұрын
Ulinzi wanao ila maarifa wanayotumia wazungu niyajuu sana
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh Ай бұрын
Mm pia naona iran ipo shda
@emmadora7848
@emmadora7848 Ай бұрын
😂😂😂 Kwa hiyo lile shambulio kweli ufananishe na yanayojiri Iran,Syria , Palestine, Lebanon ,daaa lazima ujivue ufahamu kwanza 😂​@@ramadhanichuma7925
@kassioothemiracle1688
@kassioothemiracle1688 Ай бұрын
​@@jamesjahasa3348kabisa
@rahmahassan7510
@rahmahassan7510 Ай бұрын
Innalillah wainna ilayh rajiuun
@pastormbokoti3613
@pastormbokoti3613 Ай бұрын
Alicho sema Mungu kuhusu taifa hakibadiliki niwakumbushe tu Bibilia inaseme Israel ni taifa la Mungu na atakaye wagusa amegusa mboni ya jicho lake nashauri Viongozi wa Dunia warudi kuangalia bibilia maana majibu ya mzozo huu unaogharimu maisha ya watu wasio na hatia yako kwenye bibilia.
@user-yh3do3pk4y
@user-yh3do3pk4y Ай бұрын
Ukiacha ushoga tuta kusikiliza
@SaidKondo-rw8wb
@SaidKondo-rw8wb Ай бұрын
@@pastormbokoti3613 mungu wa dini Gani mkuu,naona unachanganya mada,izraeli hawaijui biblia,Wala hawautaki ukristoo,biblia ni dini ya ndugu zetu wakristo
@MikelSitoe
@MikelSitoe Ай бұрын
kama wa Saudia awa taki ku i Saidia, Hamas basi kuna viongozi watakae kui ingilia kat i na ku pigwa israel, tusubirie matokeo makubwa
@raydanfrenk
@raydanfrenk Ай бұрын
Tusbili mpka lini😊
@MikelSitoe
@MikelSitoe Ай бұрын
@@raydanfrenk Dunia inako elekeya ni kubaya zaidi, kidogo kidogo, Mungu ana tukusanya, na vita via 3 vina Kalibia, ila wengi hawajui hili, kila ntu ataku wa na nshirika wake, Sasa hapo Wata Julikana wa nafk, weislam, ni wapi
@Theman-dn8vo
@Theman-dn8vo Ай бұрын
Haya maisha ukisubiria kusaidiwa utapata shida pambana mwenyew
@SaidKondo-rw8wb
@SaidKondo-rw8wb Ай бұрын
Safi sanaa pongezi kwake hanniyah, kafa akiwa shujaaaa,kafa kiume, tulitamani afe hivo kishujaaa. na Sasa kafanikiwa.kufa kwa haniya sio kufa kwa hamas,hamasi ni mfumo mapambano yaendeleee.
@user-jh9yv1zp1l
@user-jh9yv1zp1l Ай бұрын
Shujaa kafny nn boya ww
@SaidKondo-rw8wb
@SaidKondo-rw8wb Ай бұрын
@@user-jh9yv1zp1l wee mwanamke,unauliza kafanya nin? Kafa kwa kifo alichokuwa anatarajia,sisi wanaume kufa kitandani ni aibu ,unafikiri izraeli itakuwa salama kwa kufa hanniyya ,Bado hujawaza waza tena
@gasperjohnson3388
@gasperjohnson3388 Ай бұрын
Shujaa wa mamio
@raymrash
@raymrash Ай бұрын
mliwachokoza wenyewe, mkaua watu wengi October 7... mpaka leo mmeshikilia mateka wao
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 Ай бұрын
Wazazi wa Hanieh waliishi ktk Kambi ya Wakimbizi na mwaka 1963 Hanieh alizaliw km mkimbizi ktk nch yke mwenyew dhidi ya Mazayun Leo unasem wamechokoza wenyew October 07....
@user-dx6dm6lh1i
@user-dx6dm6lh1i Ай бұрын
Ww kafir kakojoe ulale maana akili huna hujui hta chakuonhes
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 Ай бұрын
Wewe huna akili waisrael wamekuwa wakiwauwa wapalestana toka wewe upo kwenye kiuna cha baba yako
@selemanisalum7685
@selemanisalum7685 Ай бұрын
Wewe huna akili waisrael wamekuwa wakiwauwa wapalestana toka wewe upo kwenye kiuna cha baba yako
@raymrash
@raymrash Ай бұрын
@@salehkhalfan7345 1947 Waarabu walipewa sehemu ya ardhi waanzishe taifa, wakakataa kuanzisha... Wayahudi walikubali kuanzisha na 1948 Taifa lao likazaliwa! Sasa kosa la nani?
@allymohamed4764
@allymohamed4764 Ай бұрын
Mosad on mission
@omargargaar5611
@omargargaar5611 Ай бұрын
Inna lillah wainna illahi rajiun Mchongo upo Iran ina husika iwe apigwe ndani ya Iran huo kwangu mm ni mchongo Allah amrahamu
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh Ай бұрын
Hamas inafadhiliwa na iran alaf wamuuwe Wkt miaka yt anakwnda iran
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 Ай бұрын
Watu weusi sisi kweli ni Nyani au Sokwe mijitu meusi inatukanana matusi ya nguoni hapo Juu kwa Ajili ya kuwatetea watu weupe, mitoto mingine inashabikia Iran mingine Israel, inashindwa kusikitika ndugu zetu Congo hapo wanakufa Daily yani Akili zero Africa"
@stanleyalfredy1938
@stanleyalfredy1938 Ай бұрын
Kweli kabisa sisi WaAfrika ni watumwa wa fikra, sijui kama tutabadilika, sijui nani katuharibu
@aminakasim1198
@aminakasim1198 Ай бұрын
Kiukweli mm hataa sielewi kabisaa maana naonawarab tu wanaopiganaa,nashindwa kuwatofautishaa kabisaaaa,mungu,aidumishee,amani ya,tzd
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 Ай бұрын
@@stanleyalfredy1938 Tuna Ujinga flani hivi wa kiasili tuliopandikizwa na Hao hao tunaowashabikia"
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Ай бұрын
Ukoloni ndugu uko kazini, kuna watu wanaamini hawa wako karibu na Mungu kuliko sie. Ndio maana wamebarikiwa mafuta na weupe. Ila mapinduzi ya technology yanaproof ujinga. Sasa jua, umeme na madini yanapiku mafuta. Sasa Africa tutasemaje nani Yuko karibu na Mungu au Allah?
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 Ай бұрын
@@GodfreyOswardAisee MUNGU atatunusuru siku Moja na kututoa kwenye Giza labda vizazi vyetu maana Sisi pia tumeshindwa kuwa na utambuzi"
@DuuSaid
@DuuSaid Ай бұрын
Mungu amueka mahala pema peponi amiin kafa kishujaa Sana kupigania nchi yake na arzi ya waislam wote msikiti mtakatifu Alie ujenga nabii suleiman ulimwenguni.
@DuuSaid
@DuuSaid Ай бұрын
Mungu amlaze pahala pema peponi kafanya kazi ile alio ambrisha mungu kupigania haki msikiti mtakatifu Alie ujenga nabii suleiman na arzi ya waislam
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata Ай бұрын
KAZI nzuri Kwa I D F
@mussammanga7791
@mussammanga7791 Ай бұрын
Wafanye wanavyofanya lkn kwa uwezo wa MwenyeziMungu wazayuni wataangamizwa muda si mrefu.
@Muzammil99p
@Muzammil99p Ай бұрын
​@@mussammanga7791 kbsa Ndugu yangu ❤ wazayoni wakufa wote
@AbdullahMzee
@AbdullahMzee Ай бұрын
Wewe unajidanganya ​@@mussammanga7791ww
@AbdullahMzee
@AbdullahMzee Ай бұрын
Tupo pamoja na wairan na wapalestina
@gyanglory-qr7qy
@gyanglory-qr7qy Ай бұрын
Usishangilie vita ndugu, machafuko yakianza utalia huko ulipo
@mussaisaac
@mussaisaac Ай бұрын
Utasakwa tu hata ukiwa wapi.
@jotafungo4622
@jotafungo4622 Ай бұрын
Dunia inazidi kunoga
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Ай бұрын
Ushetani ni ule uvamizi wa October 7, wanalipia kitendo chao.
@sahraqaalib902
@sahraqaalib902 Ай бұрын
Wewe ambaye unawatetea hata hawakujuwi kama uko dunia hii Nenda kasoma history ya Wapalestina ndio utajuwa Muhimu Hamas iko HAI
@somoeomar4861
@somoeomar4861 Ай бұрын
Innalillahy wainailahy rajiuun akwenda fanyaje huko na hakuna ulinzi huko raisi wao mwenyewe ameuliwa daah mungu upee nguvu uislam washinde hivi vita
@mapundawilliam370
@mapundawilliam370 Ай бұрын
Keep it up Israel piga hao wasilamu magaidi.hahaha😅😅 kwani hamuogopitu nyie magaidi.God bless Israel
@user-sd5hj2im4q
@user-sd5hj2im4q Ай бұрын
Mh Israel noma
@goodluckmsoka3660
@goodluckmsoka3660 Ай бұрын
Mm nawaambia Israel inatisha sana
@juliuskitomari3057
@juliuskitomari3057 Ай бұрын
Hivi wanakua wanajuaje kuwa kiongozi fulani yupo sehemu fulani? Ni hatari sana hawa jamaa Israel.
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh Ай бұрын
Kuna tumika heza za wamRekan Upeley ni uwe na mapesa Sadam husen aliuzwa na ndg tn mtt wa dada ake Kumewekwa kitita cha ofa Bas
@gihungaselemani8727
@gihungaselemani8727 Ай бұрын
Baraka DJ SMA afany uchunguzi kuhus Smail
@issazalala4907
@issazalala4907 Ай бұрын
Dunia ya mungu na tunaishi kwa muda mfupi lakini Kuna mijitu kaziyao kuzitoa roho zawatu kila kukicha Nini shida
@daslamonline4665
@daslamonline4665 Ай бұрын
Innalilahi wa Inna ilayhi rajioun 🤲
@Theman-dn8vo
@Theman-dn8vo Ай бұрын
Haya sasa mtu katunguliwa kwa jirani kbsa anaemtegemea na nyie mnasubr nn, Nanyi tafuta kiongoz wao mumtungue pia😂😂😂
@victorvenantkaigarula6255
@victorvenantkaigarula6255 Ай бұрын
Ndugu zangu, unabii umeshatoka tayari, Dunia ijiandae kwa Vita ya 3 ya Dunia. Na katika Unabii huo,Mungu mwenye huruma anatuambia ikiwa Ulimwengu hautajinyenyekeza mbele yake na kuomba Huruma yake basi Vita ya tatu itatokea. Hizo chokochoko ndio maandalizi ya Vita hivyo. Bado tuna nafasi ya kuomba Huruma ya Mungu ili hayo aliyotuambia yasitokee.
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 Ай бұрын
Wakiuliwa watu weupe mnasema unabii umetimia wakiuliwa waafrika hakuna unabiii, Acha utumwa wa kifikra soma taratibu maandiko
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata Ай бұрын
Kombora gani lime tumika ni LORA ama RAMPAGE
@davidandrew6332
@davidandrew6332 Ай бұрын
Nasubili GPS 😂😂😂 DJSMA Vs Ally + 2 people😂😂😂 hua na enjoy GPS Sana
@mapundawilliam370
@mapundawilliam370 Ай бұрын
Mkome kumchokoza Israel. Keep it up Israel piga hao magaidi
@iddikibwana9185
@iddikibwana9185 Ай бұрын
Innah lillahi wainna illahi rajjiun
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 Ай бұрын
Bora utafutwe na marekani au russia kuliko Israel 😂😂😂
@nassibuduma7162
@nassibuduma7162 Ай бұрын
Alisumbua sana miaka ya nyuma hinie
@mariamumechara3398
@mariamumechara3398 Ай бұрын
Ptingi we ingiatu
@user-iu4sf9pf9p
@user-iu4sf9pf9p Ай бұрын
Inna lillahi wa inna illahi rujin mauaji yote hyo ya kuuwawa viongozi wa kiisilamu saudia ndo anahusika kwa kuwafadhili wamerekani kukaa saudia kwa ajili ya kuwauwa viongozi wakubwa wa kiisilamu wamewakaribisha makafiri kuishi saudia kwa ajili ya kuuwa waisilamu
@hudumablack9339
@hudumablack9339 Ай бұрын
Kwa mfumo huu, Israel itamaliwa viongozi wa kiislamu😢
@EnikoSanga
@EnikoSanga Ай бұрын
Wanakula kichapo
@juliussamson6143
@juliussamson6143 Ай бұрын
kwa lugha rahisi hata Iran haijajua bom lilitoka wap au ni bom gan sasa wamepandisha red.flag je wanalipiza kisas kwa nani.?
@johannesssamsonambogo4125
@johannesssamsonambogo4125 Ай бұрын
Kumbe ni mkimbizi, alafu mnasema Palestina ni kwao 😂😂😂
@evansmumo3921
@evansmumo3921 Ай бұрын
Si wakuje huku kwetu kenya? Kuna mtu ametusumbua sana jamani. Waambieni wakuje watumalizie shida
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 Ай бұрын
Acha ujinga wewe 😂😂😂
@rashidhasni2112
@rashidhasni2112 Ай бұрын
Afe tu hawa ndio wanaosababisha watu wanakufa palestina bila sababu za msingi
@daudimchileg307
@daudimchileg307 Ай бұрын
Kama alikuwa ni kiongoz wa HAMAS afu tuuu
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y Ай бұрын
Inalilahi jmn watuulia ndugu zetu tu kweli
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 Ай бұрын
Huo undugu umeanza lini?
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y Ай бұрын
@@vincentcharles4385 una wazimu ww waislamu wote ni ndugu bro
@peterilimwa5754
@peterilimwa5754 Ай бұрын
tunaomba uchambuzi wa dj esma Henry na mwasubi khs hii habari
@user-im1jg3rm3t
@user-im1jg3rm3t Ай бұрын
😂😂😂😂 dj smaaa analia saizi
@ElijahOwino-xe2cd
@ElijahOwino-xe2cd Ай бұрын
​@@user-im1jg3rm3t😂😂😂
@nassereltiwany
@nassereltiwany Ай бұрын
@@user-im1jg3rm3tunazingua 😂
@user-bf5zo2jd3k
@user-bf5zo2jd3k Ай бұрын
Mimi nimekuja speed nikajua uchambuzi wa dj sma ngoja nisubirie uchambuzi wake kuhusu hili sky mshutue bana dj sma tunaamu sana na uchambuzi wake kwenye hili
@user-lf3zk6hh5c
@user-lf3zk6hh5c Ай бұрын
😅😅😅😅😅na mimi
@SalimBomboro-gt3qq
@SalimBomboro-gt3qq Ай бұрын
☝️
@ashahaji518
@ashahaji518 Ай бұрын
Hakika kila nafsi itaonja umauti pumzika kwa Amani kiongozi jasiri na mtetezi wa haki
@mejjalomayan9792
@mejjalomayan9792 Ай бұрын
Ni aibu sana kwa iran inamaana kiongozi yeyote anaweza tunguliwa na israeli
@user-jo5ig8ww1b
@user-jo5ig8ww1b Ай бұрын
Vita vinaanza Israel naomba iran iwape kichapo tuh
@jonasmrema8550
@jonasmrema8550 Ай бұрын
Iran enyewe iliuliwa kiongozi wao na hakuna kitu walifanya
@AGM19697
@AGM19697 Ай бұрын
Raisi wao alidunguliwa kitaalam kweli mpaka leo amekaa kimya na hajafanya kitu
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 Ай бұрын
Na huyu kapigiwa ndani ya Iran 😂😂
@AGM19697
@AGM19697 Ай бұрын
@@charlesboniphace2249 Tena sebuleni kabisaa Tehran
@AGM19697
@AGM19697 Ай бұрын
@RwechuMulengera 😀😀 Dunia hii ina mambo mengi sana. Sasa wanajua jamaa Israel huwa hataniagi kwenye mambo yanayohusu usalama wake
@Evnce007
@Evnce007 Ай бұрын
😭😭😭😱
@magigesabai8674
@magigesabai8674 Ай бұрын
Kumbe Iran haina technologia yoyote kama wanapigiwa makao makuu aibu kwao Nato ina nguvu sana
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Ай бұрын
Wangegonga tu na huyo aliyekuwa anaapishwa
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw Ай бұрын
Mayahudi ni waongo sana sio wa kuwaamini Mpaka tuskie kutoka kwa hamas wenyewe kwa sababu hatamzika kinyemela lazima tutajua tu
@emmadora7848
@emmadora7848 Ай бұрын
Bado unasubiri kutoka Kwa hamasi?
@AbelCharles-co6qb
@AbelCharles-co6qb Ай бұрын
Iran wamemuuza huyu jamaa....kwann afie kwao tena hata hakuwa akiishi iran
@directortwicep3028
@directortwicep3028 Ай бұрын
Wakwanza leo waarabu weusi mpo wapi Kuuawa nyumbani kwa Baba yake Iran 😅😅😅😅
@nasseralhatmi1762
@nasseralhatmi1762 Ай бұрын
Na wewe Mzungu mweisiiii kaa kufirwa na Israel na Marekani ili upate misaada uletewe na Ushoga na ule vizuri na Baba yako na Mama yako mzazi na wote nyie mnafirina wewe kwa wenyewe sababu mpate misaada tu Fuck youuuuuu
@mejjalomayan9792
@mejjalomayan9792 Ай бұрын
Duuu poleni sana hamas kwani iran haina ulizi wa anga????
@alimkumbukwa8363
@alimkumbukwa8363 Ай бұрын
sasa iran mbona wanatuangusha
@usercabal
@usercabal Ай бұрын
Asa huyu kauawa vp ndani ya Iran 🇮🇷
@JumaUbwa-c1c
@JumaUbwa-c1c Ай бұрын
Netanyahu anazima moto mkali Kwa kutumia petroli......
@Theman-dn8vo
@Theman-dn8vo Ай бұрын
Hakuna ambae hajui madhara ya vita so huu mchezo kila upande una upenda
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 Ай бұрын
Mimi nasema tena iran inahusika pia
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g Ай бұрын
Safi sana
@user-hv4px1dh4l
@user-hv4px1dh4l Ай бұрын
Watu woote wenye akili na ufahamu ni Wayahudi bila kujali utaifa wala rangi🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️🙋‍♀️Ukitaja Putin ni muyahudi ,uk france nk wote hawawezi kumutetea mwislam abadani /nani asiyejua kuwa waisla m ni magaidi?😮😮😮😮
@mesaidikazungu4299
@mesaidikazungu4299 Ай бұрын
Innalilahi Waina ilayhi rajiun
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 Ай бұрын
MAGAIDI WAFE TU . KWANI VITA NA KIFO NI MARAFIKI
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 Ай бұрын
Waue yule neta paka tu nae akwende
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 Ай бұрын
Utasubiri sana😂😂😂
@richardmoses5891
@richardmoses5891 Ай бұрын
1
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g Ай бұрын
Msicheze na israel
@AliNassor-qt6fm
@AliNassor-qt6fm Ай бұрын
Nina wasi wasi na Iran, inawezekanaje hii
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh Ай бұрын
Shekh wangu achana na umagharib Hayo makund ya palestna hamas iclamik jihad nafataa Yt yanadhaminiwa kila kitu kutoka iran Hata mafunzo ya kijesh claha toka zaman vyatoka iran
@johnssaimon450
@johnssaimon450 Ай бұрын
MOSSAD ni nani? Ni usalamq au kina nani hawa jamaaa
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 Ай бұрын
Iran imehusika
@naomikrause1762
@naomikrause1762 Ай бұрын
MUNGU HIBARIKI🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🙏🙏🙏🙏
@simonmwaliru8590
@simonmwaliru8590 Ай бұрын
Ukiwa mtawala wa nchi za kiarabu,na ukakaona umashuhuri wako umeisha?we taja Israel,utakaa madarakani mpaka basi.
@raydanfrenk
@raydanfrenk Ай бұрын
😂😂😂😂😂 wajalibu wote na Mrusi wake wapigw kama ngoma
@milanozanzibar
@milanozanzibar Ай бұрын
mrusi unamjua lkn ww
@msodokidasilva6739
@msodokidasilva6739 Ай бұрын
Cheki nako aka kila siku kanakuja kutafta repy ili kapate subscribe 😂 wauni wameshakashtukia nenda endelea kuuza makalio uko apa cyo maali pako 😍🖕
@tekashisixtynin9threewithd727
@tekashisixtynin9threewithd727 Ай бұрын
@@milanozanzibarrusia ni kama mtoto mdogo yuko jangwan alafu akileta ujinga akiachwa uko ajui nan anaweza msaidia 😂😂😂💔
@raydanfrenk
@raydanfrenk Ай бұрын
​@@msodokidasilva6739 😂😂😂 nenda na Mrusi wako mtatuliwe malinda 😅😅 manane mengi akuna kitu pimbi ww
@raydanfrenk
@raydanfrenk Ай бұрын
​@@milanozanzibarkwa yy ni nani Israel ndio Nchi pekee yanafanya kwa matendo
@MauriceNyello
@MauriceNyello Ай бұрын
Yuko wap Dj wa mchongo,Dj esma platnium aje atoe ufafanuzi wake wa kishoga 😂😂😂😂
@uwimana6533
@uwimana6533 Ай бұрын
Kua nadabu nawatuwanae kuzidi umri. Mwambie mamako na babako wafungue chanel yao watu wawafatilie mbwa wewe usokua nadabu nawatu wakubwa
@user-im1jg3rm3t
@user-im1jg3rm3t Ай бұрын
😂😂😂😂😂 dj wa mchongo aje atoe ufafanuzi yule mtoto mdogo sana 😂😂😂😂😂
@user-im1jg3rm3t
@user-im1jg3rm3t Ай бұрын
Alafu wakipigwa wanalia kweli 😂😂😂😂
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Ай бұрын
​@@user-im1jg3rm3t😂😂😂😂😂
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@songamberetv2219
@songamberetv2219 Ай бұрын
Kwa upande wangu naona kwamba Iran inahusika katika hiki kifo maana hamas walijiunga na gv ya Palestina hivyi majuzi uko china na gv ya Palestina ni watu wa mlengo wa kati so Iran ni watu wanapenda vita wasingemuacha salama
@johnkodos9393
@johnkodos9393 Ай бұрын
Why u always talk about abroad but u never talk about your neighbors Congolese
@daprince7545
@daprince7545 Ай бұрын
Sorry bro, its a business platform and nowadays is competition.
@johnkodos9393
@johnkodos9393 Ай бұрын
@@daprince7545 that's why I'm loosing my focus on SNS coz they never talk about Africa anymore
@daprince7545
@daprince7545 Ай бұрын
@@johnkodos9393 no bro, they focus in Africa too. Can u check their updates. Sometimes they host youngmen analysts for interview what going on in central Africa regarding Congo .
@Eng2460
@Eng2460 Ай бұрын
IDF & MOSSAD🫡🫡🫡
@user-mn5yq3xc7j
@user-mn5yq3xc7j Ай бұрын
Bado hamjasema viva Israel 🇮🇱🇺🇸🇮🇱🇺🇸🇮🇱🇺🇸✅♥️♥️♥️💪💪💪💪🤣🤣🤣
@jonasmrema8550
@jonasmrema8550 Ай бұрын
Hapa ndio naona jinsi waislam hawaeleweki mara wengine waseme mashia ndio wameungana na wayahudi kumuua yaani wao lawama tu
@DifaRobelindo-cj2ij
@DifaRobelindo-cj2ij Ай бұрын
Mrusi ni mchumba tu kama anaweza mchokoze muisrael
@meckmussa1840
@meckmussa1840 Ай бұрын
Mrusi anakelele kumbe hana kitu
@paulvimbamvula9508
@paulvimbamvula9508 Ай бұрын
Musecheze mu Yahudi
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 Ай бұрын
WAFE TU KWANI WAO WANAPENDA VITA SASA VITA MATOKEO YAKE NI KIFO . BADO WENGINE MPAKA WAISHE
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 Ай бұрын
Mashia wamehusika
@AGM19697
@AGM19697 Ай бұрын
Kwanini mashia
Hivi ndivyo ISRAEL walivyousuka MPANGO wa kumuua ISMAIL HANIYEH nchini IRAN
15:31
Самое неинтересное видео
00:32
Miracle
Рет қаралды 1,2 МЛН
나랑 아빠가 아이스크림 먹을 때
00:15
진영민yeongmin
Рет қаралды 15 МЛН
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 8 МЛН
Nabii Kiboko ya Wachawi afunguka alivyotimuliwa Tanzania ndani ya saa 24
8:03
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 514 М.
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
35:23