RAIS SAMIA ASIMULIA ALIVYOFUKUZWA NA GARI LA POLISI, AKEMEA LUGHA ZA KIBAGUZI

  Рет қаралды 35,782

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер
@fafanua
@fafanua 3 жыл бұрын
Ahsante Rais Samia! Mungu akulinde na kukuongoza !
@hyattdfw1133
@hyattdfw1133 3 жыл бұрын
Uhuru hajayapitia hayo!
@mussamlewa2178
@mussamlewa2178 3 жыл бұрын
Waambie hao mama wanatesa sana raia hao
@nicholausmosses8007
@nicholausmosses8007 3 жыл бұрын
Afadhali umeyapitia Raisi wetu
@isiakamfugale3621
@isiakamfugale3621 3 жыл бұрын
Kutoka moyoni nampenda Mama Samia
@jmaakilonzo1542
@jmaakilonzo1542 3 жыл бұрын
Ukweli mtupu
@jizzomonster
@jizzomonster 3 жыл бұрын
Nilichogundua mama ni jasir Sana strong woman
@mnyamisiofficial
@mnyamisiofficial 3 жыл бұрын
Kuanzia Sasa Ukiingiza kichwa kwenye gari langu ni mwendo wa nyundo tuu 🤣🤣🤣 ahsante mama kwà haka kambinu ulikotupa. Mbona mtajuta wakina Mwambino.
@gideonlazaro3146
@gideonlazaro3146 2 жыл бұрын
Kwa harakaharaka ujue hakuna anaekupenda tz zaidi yangu
@peternyamasiriri5450
@peternyamasiriri5450 3 жыл бұрын
Yaani mama kwa swala la police umeongea ukweli yaani tabia ya askari wetu sio nzuri na hairidhi hapa inchini na hata useme huwa hawabadiliki na wamesababisha watu wengi wamekoswa imani nao lazima kama selekali ilifanyie kazi sana na msisitizo mkubwa sana ili wananchi
@ramadhanmahongole5663
@ramadhanmahongole5663 3 жыл бұрын
Samia jina zuri sana nikipata mtoto wa kike nitamuita "Samia" jina la president wangu
@artisthusnatalal3099
@artisthusnatalal3099 4 ай бұрын
Ama JINA langu😊
@calebrashid4322
@calebrashid4322 3 жыл бұрын
"Hawana shamba wacha wale..." Duh!!!
@frankmtei3017
@frankmtei3017 3 жыл бұрын
Police wengi hawana adabu kabisa....
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 3 жыл бұрын
Tatizo lao limeanzia kwenye uniform za Polisi, maana ukifananisha na watu nawe unakuwa kama wao, hayo unayoyaona kwa polisi wa Tz ni sawa na Polisi wa India, yaaani ni baba mmoja mama mmoja, kwanini uniform zetu Zifanane na India??? Au alipewa tenda muhindi kutuletea hizo uniform? Nashauri askari polisi wabadilishiwe uniform zao ziwe Rangi nyingine
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 3 жыл бұрын
Kama gari lako bovu, usilalamikie police.! Wamefanya kazi sawa. Wewe nimhalifu!!!! Mshahara wako pamoja na ufisadi unazo hela za kutosha kununua taa ya gari. Usitulalamikie!!!!
@managermipango2843
@managermipango2843 3 жыл бұрын
Askari Mnaingiza kichwa kwa mama??? Aaaah🤔🤔🤔🤔🤔
@fanleck2922
@fanleck2922 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@safsanjulius5829
@safsanjulius5829 3 жыл бұрын
Wewe so mama muzuli
@EmmanuelAngribert
@EmmanuelAngribert 4 ай бұрын
Usiombe yakukute mama
@sohrabtajadin3402
@sohrabtajadin3402 3 жыл бұрын
Hata wa Kenya ni hivyo. Mbona Wazungu polisi wana nidhamu??
@machoguhameri7757
@machoguhameri7757 3 жыл бұрын
Tukitaka.kupata askari wazuri tusitangaze nafasi hizo kihorela kama tufanyavyo kwa ajira zingine.Hebu tuchukue mfumo wa ajira ya Usalama waTaifa.sijui siju hizi lakini zamani tuliambiwa kuwa unamchunguza mtu tangu historia ya familia anayotoka,shule alizosoma. Kujua tabia zake. inawezekana huko shule alikuwa anaongoza kwa fujo na utoro.Utaratibu wa ajira za Polisi ubadirishwe kabisa.
@betterhomesxperience8911
@betterhomesxperience8911 3 жыл бұрын
mwerevu mwenye hekima wewe, nimekubaliana na wewe
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 3 жыл бұрын
😛 noma ,lugha ya kijeshi 😬
@alexanderson1805
@alexanderson1805 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣hawana Shamba mama wacha wale
@deograciakashaigili5973
@deograciakashaigili5973 3 жыл бұрын
Hao unafikiri wanaogopa kitu? Lakini kuna baadhi yao wameshaanza kujirekebisha ila kuna wengine mmh!
@jamesnjenga813
@jamesnjenga813 3 жыл бұрын
Nlidhania TZ polisi ni wakarimu kumbo wako mbure tu kama Kenya dah!
@langilangizanzibar
@langilangizanzibar 3 жыл бұрын
inanitokea sana kwangu hata jana mtoto mdogo beach amenita wewe muarabu, ahh roho iliniuma mtoto miaka 12 beach nungwi, inauma mama
@nyororotherock5567
@nyororotherock5567 3 жыл бұрын
Huhuhuhu.....kweli leo umejua kunikosha
@mahaudhiallly6189
@mahaudhiallly6189 3 жыл бұрын
Story ya kutunga
@ibrahimmsumi
@ibrahimmsumi 3 жыл бұрын
Police wanamfukuzia Hadi Mama😭
@walaaabdallah3236
@walaaabdallah3236 3 жыл бұрын
Kipindi ichi alikuwa siyo raisi alikuwa naibu waziri ndomana walikuwa hawamjui
@Ministries803
@Ministries803 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Y5_Em2CYmbaWos0
@SharifaOmary-lm1xc
@SharifaOmary-lm1xc 9 ай бұрын
Daah ila ss wanyonge tunaonewa sjuw tumekosa nini mm nilipeleka kes mahakaman ila hakimu akasema hawez kuongea na mm bila hela
@khatibabdi
@khatibabdi 3 жыл бұрын
Hawana shamba, wacha wale tu.
@wilonderby
@wilonderby 3 жыл бұрын
Anaingiza kichwa ndani
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 3 жыл бұрын
😷😷😷
@lewiswanyama2596
@lewiswanyama2596 3 жыл бұрын
Sasahv tutazungumza nao kibabe hata gumi zipingwe fresh tyuuu aje mjenda, cjui police usipofata utaratibu kwangu utanyooka
@immanuelmaswi8382
@immanuelmaswi8382 3 жыл бұрын
Kumbe mama ni officer,,ko ni.....
@mussamlewa2178
@mussamlewa2178 3 жыл бұрын
Na tabia ya kuingiza vichwa ndani ya gari waache
@johnmasanja1762
@johnmasanja1762 3 жыл бұрын
Police shida, hawana onyo hata siku moja,
@frankmtei3017
@frankmtei3017 3 жыл бұрын
Waambieeee
@jorampeter6131
@jorampeter6131 3 жыл бұрын
Mama huo ndo uhalisia wa police wetu ndiomaan wananchi maskin hawawapend askar wetu,,,wanawafanyia vtendo vya hovyo havina mfano
@mdalamgir-gu9hu
@mdalamgir-gu9hu 3 жыл бұрын
INGIZA KITCHWA NDANI....ATI NAYEYE KAINGIZA.HAHAHAAA.KICHWA ICHOOOO
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 жыл бұрын
Polis no watu wa ovyo wako ki maslahi tuu
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 3 жыл бұрын
Hhhhhhhhh hawa polisi n maadui sn wa raia huku kwetu kwl kabisa..
@deusdeditswebe8930
@deusdeditswebe8930 3 жыл бұрын
🙄🙄🙄
@hadijaabdul8765
@hadijaabdul8765 3 жыл бұрын
Mimi Samia 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@OmarMohamed-bp9ix
@OmarMohamed-bp9ix 3 жыл бұрын
😁😁 utamgonga nyundo
@ndayizeyeisael1071
@ndayizeyeisael1071 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Z3bYgWhnhq94iKs Ibintu bikomeye bigiye kuba kuwanditse ko uganda ABANYARWANDA barimo kwitoza igisirikal
@herculesthepower1544
@herculesthepower1544 3 жыл бұрын
Si tuliambiwa wanachukuliwa waliofeli au waliopata zero grade.
@safsanjulius5829
@safsanjulius5829 3 жыл бұрын
Hatukutaki wewe
@abdallahamad855
@abdallahamad855 3 жыл бұрын
Sf
@mcsabufa2716
@mcsabufa2716 3 жыл бұрын
Sema watu wenye Asili ya Kiarabu huwa wana tabia ya dharau sana kwa wabantu nisha interact nao sana na huwa nawakazia sana hadi wanakaa tena maksudi ile kiroho mbaya😂
@sohrabtajadin3402
@sohrabtajadin3402 3 жыл бұрын
Wewe Sabufa jifunze ustaarabu wa kuongea.
@mwanaishakhamis8069
@mwanaishakhamis8069 3 жыл бұрын
😭🇰🇪
@abdulatiftu9836
@abdulatiftu9836 3 жыл бұрын
We ndio maana unaitwa Sabufa Huna tofauti na Sabufa
@mwanaishakhamis8069
@mwanaishakhamis8069 3 жыл бұрын
Wewe unalo ulilo nalo lilokuka a moyoni😭🇰🇪.
@mcsabufa2716
@mcsabufa2716 3 жыл бұрын
Me ndo nawaambia huku Tanzania huwa wanajifanya wajuaji sana so mm huwa sipapariki nao sana huwa nawasubiri wajae kwenye 18 then kifuatacho ITV huwa wanaenda simulia makwao sema pia wapo wanakujaga kwa nidhamu na huwa ninawatendea kwa namna njema na yenye upendo kadri walivyokuja❣
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 3 жыл бұрын
😷😷😷😷
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 45 МЛН
Raila's AUC Bid Launch: Tanzania President Samia Suluhu's speech
7:05
I WANT SUMO (Shorts Version)
0:30
FilmPop
Рет қаралды 50 МЛН
Duy Beni 14. Bölüm
2:22:58
Duy Beni
Рет қаралды 3,6 МЛН
Хорошее время было!
1:00
Дмитрий Романов SHORTS
Рет қаралды 1,1 МЛН