RAIS SAMIA AWAVAA WAPINZANI KISA BANDARI ya DAR, KATIBA MPYA na UDINI - ''HAMNA VYA KUZUNGUMZA''...

  Рет қаралды 6,291

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер
@sportsnewjs4330
@sportsnewjs4330 Жыл бұрын
Acheni kugawa raslimali zetu ughaibuni Nchi ni yawaTanzania'🇹🇿 Msituletee swanga za kisiasa uongo, ili muendelee kusambaratisha raslimali zetu.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Lissu Tundu anajifanya mjuaji sana baada ya kukaa ubeljiji kama mgonjwa na mkimbizi feki.Kazi ni kuwapotosha watu tu na baadaye kukimbilia Ulaya ka ma kawaida yake.Nia yake fujo tu tumwage damu ili aweze kuwaleta vibaraka wake.😢. Enough is Enough
@Mjeda-q1m
@Mjeda-q1m Жыл бұрын
Mama watu wengi walishabadilika wanajitambua zaidi ya asilimia80 wanaunga mkono upinzani kama hauamini rais wangu vyombo vya Dola vikae pembeni ccm na chadema msimame kwenye uchaguzi misa ya kwanza ccm itakuwa chaliii
@R10_Rajab
@R10_Rajab Жыл бұрын
Magufuli alivyowapiga marufuku ulimuona mjinga ...kula chuma hicho na wala bado watakuzingua sana tu si ulitaka kuonekana mwema zaidi ya Magufuli
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 Жыл бұрын
Watanzania siyo mazuzu wala msiww na maasira ya wananchi kukataa kuuza bansari na mbuga zetu waachieni watanzania waburudike na maua y mungu aliyowajalia. Mtu akipinga mnamwita ngombe tengua hilo neno.
@stevenpingu
@stevenpingu Жыл бұрын
Hawana shukrani hao akina lisu
@musamshema7838
@musamshema7838 Жыл бұрын
Ukitaka kujua katiba mpya niyalazima na inahitajika nikutokana nahizo fursa zakuomgea kutolewa namtu 1 hapo ndio utaona umuhimu wakatiba
@mussamtupa
@mussamtupa Жыл бұрын
Mm sio CCM nawala sijawahi kua CCM ila kwa hichi wanacho fanya akina Mboe na genge lake kupotosha watu haikubaliki Fursa hii inatumiwa vibaya na wana siasa uchwara Kwa lengo ovu Haikubaliki haikubaliki.
@Moc.khalfan
@Moc.khalfan Жыл бұрын
Sasa ao wazungu vipi? Au vikao vyao waafrika hua tunawaingilia?
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 Жыл бұрын
Siungi hoja
@jumasawa9159
@jumasawa9159 Жыл бұрын
Madam hii nchi ni kweli tumeumbwa na roho ya ukarim ila nyie viongozi mnatumia hiyo fursa kutunyonya mnajiwqza nyie tu njoo mtaani uone jinsi watanzania wanavyotaabika maisha ni magumu mno mama ingali nchi yetu Ina kila kitu. Hebu fanya kitu hata kimoja kinachoeleweka ili watanzania tukukumbuke tupe hata katiba mpya mungu atakubariki
@EmmanuelNyinyigwa
@EmmanuelNyinyigwa Жыл бұрын
Mama tambua hakuna Rais mzuli anapo kuwa madalakani. Kuwa mkali Acha kuwabembeleza
@MungayaLaitayok-mr1gs
@MungayaLaitayok-mr1gs Жыл бұрын
Kama Tanzania ni yetu wote mbona Ngorongoro wanapitia katika halihi wanayo pitia kwa sasa naunaona unanyamasa kimya watu wanakamatwa umetulia kimya
@istambulahmed6664
@istambulahmed6664 Жыл бұрын
Hakika huyu Rais ni shujaa sana na ni mtu makini , na ni mvumilivu sana, na hi ndio SIFA YA KIONGOZI BORA, Tunamuomba muumba wetu amlinde na shari za kila mbaya na awaangamize wote wenye nia mbaya na Rais wetu.
@GeofreyKalo-ot3we
@GeofreyKalo-ot3we Жыл бұрын
Ni kwel
@SaidiSingano-ey7gj
@SaidiSingano-ey7gj Жыл бұрын
Sawa mama
@solutionprovider7155
@solutionprovider7155 Жыл бұрын
Sijakuelewa hata kidogo, Tanzania imejaaliwa Neema na Mungu ila serikali inafaidi ,angalia matumbo mbele,ila wananchi njaa kali. Wavunja sheria ni nyie mbona hamchukuliwi hatua, nani aliyekuambia uwape waarabu bandari zetu,ngorongori yetu,why? Mimi nitakuwa rais wa nchi hii, hakika nakuambieni Mungu atanisaidie,
@mosessamwel1179
@mosessamwel1179 Жыл бұрын
Vipi kuhusu bandari?
@MohamedAhmed-yi1yf
@MohamedAhmed-yi1yf Жыл бұрын
Suala la Bandari ni la serikali upinzani mmekosa hoja
@BraytonMwakitalima
@BraytonMwakitalima Жыл бұрын
Kwani mpinzani sio raia watu wengine bwana
@solutionprovider7155
@solutionprovider7155 Жыл бұрын
Kashetani hako
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Жыл бұрын
​@@solutionprovider7155kanamsumbua eti
@zuenahamoud1532
@zuenahamoud1532 Жыл бұрын
Mavi yako
@allydingi9736
@allydingi9736 Жыл бұрын
Muongo hakuna anayozungumzia udini
@jastinmodest8073
@jastinmodest8073 Жыл бұрын
Jamani nisaidieni hivi haki au ni fursa? Madaraka matamu tuliwambia mapema mkatubishia na msituulize nini kimetokea 😁
@KasangaKalanga-vo6od
@KasangaKalanga-vo6od Жыл бұрын
Mbona wewe rais moja una haki kuliko sisi wanangorongoro wengi, jamani uwe na huruma tunateketea huku, mpaka hii nchi tunaona chungu, spich yako haieleweki unajaribu kujitetea ila hamna kitu
@KATOPE1
@KATOPE1 Жыл бұрын
Hata hujui maana ya urais 😢ni wale wafutamikumbo
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 Жыл бұрын
😂😂😂
RAIS SAMIA: Katiba sio mali ya vyama vya siasa
4:52
Azam TV
Рет қаралды 634
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
Landsmøte 2024: Politisk debatt
1:03:01
Politiets Fellesforbund
Рет қаралды 4,6 М.
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН