RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA IGP NA MAKAMISHINA WA JUU WA POLISI | SAKATA LA MAANDAMANO SIKILIZA HADI MWI

  Рет қаралды 6,815

GACHI TV Online

GACHI TV Online

Күн бұрын

Karibu Sana katika GACHI TV Online tafadhari usisahau ku bonyeza neno Subscribe ili kuwa wanafamilia wetu.

Пікірлер: 37
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 9 сағат бұрын
Jeshi halitakusaidia chochote, watanganyika hatukutaki hata tone rais feki wa mchongo samia
@RaibebeBebe
@RaibebeBebe 10 сағат бұрын
Serikali kufanya vitisho sikumaliza tatizo raia siku wakichoka Amani itapotea jeshi Kwa sababu linapewa mishahara minono isiwe chombo chakuwadhalilisha wengine na kuwalinda wengi hii sio democr
@daudimchileg307
@daudimchileg307 4 сағат бұрын
Nasi tujuage mnazungumza nini?
@NancyMatuli-fb5jp
@NancyMatuli-fb5jp 2 сағат бұрын
Mama mama hakuna mwanamke anayekutaka uendelee kuwa Rais Labda wale wana ccm wanaokula na wewe ndo wanakutaka kwa hiyo ulikuwa unawaelekeza namna kuendelea kuuwa watu na kuwateka Mungu anakuona
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 9 сағат бұрын
Hili ni taifa letu hatutishiki kama kutu ua watuue wote ili aongoze ardhi tupu tumechoka kua mbuzi wa kafara
@salwasarai4532
@salwasarai4532 10 сағат бұрын
Anatisha nani
@ImaculathaMasuka
@ImaculathaMasuka 3 сағат бұрын
Ni rais uyo.sio mtu mdogo.
@georgempogomi7329
@georgempogomi7329 4 сағат бұрын
Mipango ya kuteka na kuua
@NorbertKagali
@NorbertKagali 10 сағат бұрын
Chadema waliitaka serikali iwatoe vijana waliopotea ambao hawajulikani walipo wakiwa hai au wamekufa, na endapo haitakuwa hivyo watafanya maandamano ya amani kupaza sauti. Kwa bahati mbaya watuhumiwa naomba moja wameibuka na vitisho na kutangaza kuwa maandamano ni batili. Naomba busara itumike kwani hakuna mahali popote duniani mtutu uliwahi nyamazisha watu wanaodai haki. Haki huinua taifa,anguko lake ni aibu kwa watawala.
@HuseinMwakindole
@HuseinMwakindole 6 сағат бұрын
Haiki ya rain ni sawa lakini siki maandamano yakikolea vizuri haki ukiiona utaifahamu kwa sura au utakimbirua kwa jilani yako ukaione inavyofanana
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 18 минут бұрын
Polis hawa ipo siku Mungu atakuja kuwahukumu hukumu mbaya sana maana kuna watu kutekwa na kuwawa bila hatiya.
@NancyMatuli-fb5jp
@NancyMatuli-fb5jp 2 сағат бұрын
Kwenu hakuna hata mmoja aliyetekwa wala kuuliwa Inaumiza sana
@JoyceKabula-in1sh
@JoyceKabula-in1sh 8 сағат бұрын
Punguza kuongea unaongea sana
@SalumMohammed-r8n
@SalumMohammed-r8n Сағат бұрын
Halafu hikichama viongozi wake karibu woote wachungaji lkn wakipanda majukwaa ya siasa utasikia salam aleikm😂😂😂😂😂
@charleslukumai7875
@charleslukumai7875 6 минут бұрын
Mwandishi acha longolongo. Aliyekuruhusu kuingia ndani ya hicho na kujua kilichozungumziwa ni maandamano?
@SalumMohammed-r8n
@SalumMohammed-r8n Сағат бұрын
Mama umewapa domo hawa walikua kimya hapa wengi walikimbia
@HuseinMwakindole
@HuseinMwakindole 6 сағат бұрын
Watanzania nazani kunasiku hii siku uliyonavyo itapita itakuwa siku nyingine tena lakini naimani tutaikumbuka siku hii tulionayo ikipita
@BbyBoy-j9u
@BbyBoy-j9u 10 сағат бұрын
Mbona mama Ajiamin jaman
@MaryMwamwezi-xm3iz
@MaryMwamwezi-xm3iz 3 сағат бұрын
Kama hajiamini andamana uone
@ImaculathaMasuka
@ImaculathaMasuka 3 сағат бұрын
Rais samia.mama yetu uko vizur wew chapa kazi tu.
@seiftaji7838
@seiftaji7838 2 сағат бұрын
mapichapicha tu. najionea mazonge tu.
@hajjisanga789
@hajjisanga789 Сағат бұрын
Serekali chukua hatua kama serekali ikiwa mtu anajisikia kusema anavyo taka haheshim watu basi jukumu lenu kama serekali kuchukuwa nafasi ili hivi viashiria tuvingo'e ili iwe fundisho
@FadhilyOthman
@FadhilyOthman 5 сағат бұрын
Samia hao machogo wote hawakutaki hata hao police pia nguja wauwe na ww uteseke duniani na akheira
@sajurumassawe7431
@sajurumassawe7431 Сағат бұрын
hii sio serekali bali gegnge LA wa wauwaji na hii laana itawatafuna mpaka visasi vyao
@SalumMohammed-r8n
@SalumMohammed-r8n Сағат бұрын
Chukizenu hizo
@johnmoi743
@johnmoi743 Сағат бұрын
Uandishi wako wa chekechea
@SalumMohammed-r8n
@SalumMohammed-r8n Сағат бұрын
Mavundo hawaa
@SalumMohammed-r8n
@SalumMohammed-r8n Сағат бұрын
😂😂😂😂😂 vundo tu
@jumamwita8180
@jumamwita8180 Сағат бұрын
Nyoko
@RichardMgweno
@RichardMgweno 5 сағат бұрын
Watuambie watu wetu wapo wapi
@Zuwenamachela
@Zuwenamachela 4 сағат бұрын
We chiz nn kwahyo kila alokufa unamdai rais huna akili hata kdgo kamdai na magu bc
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 18 минут бұрын
.
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 сағат бұрын
POLISI FANYENI KAZI YENU TUNATAKA VIWETE WAZIDI TUWAFANYIE MIUJIZA 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@SmartOfficial-u5j
@SmartOfficial-u5j 2 сағат бұрын
Kiwete wa kwanza utakuwa wewe bodaboda itakigonga leo
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 сағат бұрын
@@SmartOfficial-u5j USIJALI nitaenda kwa WACHUNGAJI nifanyiwe miujiza 🤧
@BarakaGabriel-f1b
@BarakaGabriel-f1b Сағат бұрын
​​Ommy James sijawahi kuona umecoment coment yenye maana naona unamihemuko ya kisiasa kama siyo hivyo unainamishwa wewe maana coment zako za maajabu ajabu sana kwenye chanel mbalimbali na mitandao ya kijamii vitoto vya mwaka 2000 bwana basi tuu namuomba MUNGU uwe kiwete kweli wewe
MAANDAMANO CHADEMA GUMZO
11:22
Wasafi Media
Рет қаралды 18 М.
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 11 МЛН
1ОШБ Да Вінчі навчання
00:14
AIRSOFT BALAN
Рет қаралды 6 МЛН
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 63 МЛН
The Weekend Intelligence: Detoxified
45:52
The Economist
Рет қаралды 8 М.
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 8 МЛН
Why EU’s Tariffs Won’t Stop Chinese EVs
11:55
CNBC
Рет қаралды 361 М.
DU!!TUNDU LISU NA LEMA PAMOJA NA MAASKOFU TUKATWE MIKIA? HIVI HAWA WASIOJULIKANA WANATUONAJE?
24:30
MSANGE JKT
3:51
Mc Ndile
Рет қаралды 40 М.
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 11 МЛН