MAANDAMANO CHADEMA GUMZO

  Рет қаралды 16,995

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 68
@reginas1832
@reginas1832 12 сағат бұрын
Tanzania hajawahi kuwa na amani. Amani bila haki ni uongo
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 12 сағат бұрын
Bila mapambano serekali ya umoja wa kitaifa Zanzibar isingepatikana,.
@faridiathumani3114
@faridiathumani3114 13 сағат бұрын
Mpaka hapo watangazaji nanyie mmekubali kuwa polisi ni wauwaji tarehe 23 wanaweza kuuwa zaidi tena hazarani?
@AlexcpetroCpetro
@AlexcpetroCpetro 15 сағат бұрын
CCM watatumaliza wahunii kabisa
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 8 сағат бұрын
@@AlexcpetroCpetro Tukatae utumwa huu na huu tayari tunaingia kuongozwa kidkteta kigaidi! Amkeni tuikatae ccm na vibaraka wake wote! Watanganyika ni muda wa kuchagua Rais Mtanganyika na kura zilindwe! Ila naona hawa wamejoandaa kupora uchaguzi kwa nguvu zote! na hata kukamata watu na kuua watu!!!
@NuruLutembeja-h1r
@NuruLutembeja-h1r 14 сағат бұрын
Kwa hiyo ninyi watangazaji mnaunga mkono upuizi wa unaofanywa na Hii Selikari,endeleeni sasa,yakiwafika mtajua.
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 12 сағат бұрын
Machawa mnachambua magazeti kichawachawa! Hovyoooo kabisa! Mnaongelea polisi kuua watu kwa risasi na kuweka vionjo vya kichawachawa! Kwa nini msiweke vionjo vya kuonyesha kwamba maandamano ni haki ya wananchi kikatiba na yanastahiri kufanyika kwa Amani huku polisi wakilinda Amani ya wananchi??? Mko bize kuchombeza kwa uchawa kwa habari za kutisha wananchi!
@EstherSamwel-vk4wb
@EstherSamwel-vk4wb 10 сағат бұрын
Inaumiza saana😢kama wanawapa sifa mapolisi badala ya kukemea uchawa tu
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 4 сағат бұрын
wewe tumia akili hebu chukua mfano mwachiwe muandamane na polisi iweke ulinzi mpaka mwisho wa maandamano yenu hayo maandamano ndio yatazuiwa wasiojulijana kutoteka watu na kuuwa ? nchi yeyote inayoshinda kwa nguvu za maandano jua polisi na jeshi la inchi hiyo wamechoka na huo utawala kama bado jeshi na polisi wanatumikia nchi mtasagwa kama mbu.
@charlesnyamiti3172
@charlesnyamiti3172 12 сағат бұрын
Hii nchi Ina watu wa hovyo Sana, watu wasio na uthubutu wa kusema kweli na kukemea maovu bila kujali yamefanywa na nani! Nchi hii inahitaji Kina Mbowe na Kina Lisu wengi zaidi ili kusafisha na kuondoa uchafu wa kiutawala na matumizi mabaya ya vyombo vya Dola! Kuna wakati ninakubaliana na Ukweli kwamba "Amani haiji ila kwa ncha ya Upanga" Bila kuheshimu uhuru na haki za watu kuna siku nchi hii watawala wataiingiza katika machafuko makubwa!
@NuruLutembeja-h1r
@NuruLutembeja-h1r 8 сағат бұрын
Kaka uko sawa kabisaaa.
@NuruLutembeja-h1r
@NuruLutembeja-h1r 8 сағат бұрын
Tunahitaji watu wanaojua matumizi sahihi ya akili zao kama wewe.
@floramsacky3929
@floramsacky3929 6 сағат бұрын
Maandamano ya nini Mimi naandamana maandamano ya Ekaristi Takatifu maana yananosogeza karibu na Mungu, mengine tumshukuru MUNGU
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 12 сағат бұрын
Hata ukiwa kimya bado utakufa tuu,hata mzee ali kibao hakuna aliyemjua tulikuja kumjua alipo kufa wazo la Lipumba siliungi mkono.
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 11 сағат бұрын
My brother umenena point,hatujui Kesho ni wewe au mimi tutafuata
@MICHAEL.C.E.O.4Gnga
@MICHAEL.C.E.O.4Gnga 10 сағат бұрын
Point broo
@saidnassormohammed9589
@saidnassormohammed9589 10 сағат бұрын
Nakupigia CUF tulifia Zanzibar yetu
@hazolemwashemele4308
@hazolemwashemele4308 12 сағат бұрын
WAPUUZI WATATU
@NuruLutembeja-h1r
@NuruLutembeja-h1r 8 сағат бұрын
Wapeleke mahakamani hao wapuuuzi watatu,ili wewe ambaye si mpuuzi usije ukaambukizwa upuuzi wao.
@sebastianmmasa5163
@sebastianmmasa5163 13 сағат бұрын
Wananchi wanapigania nchi na haki sio chama! Wale wa CUF walikuwa wanapigania nchi sio chama
@Steve-q8m
@Steve-q8m 12 сағат бұрын
Bila kupigiwa kelele nchi na uongozi uliopo hawatabadirika Tania zao za udikteta
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 11 сағат бұрын
Lipumba ashaua chama hana jipya
@FrancisThomas-jc8wq
@FrancisThomas-jc8wq 14 сағат бұрын
Haki ndiyo inazaa amani
@fabby1181
@fabby1181 2 сағат бұрын
Chadema Wana haki na wanalia hawana Amani wanawezatekwa muda wowote wakapotezwa, kwahiyo ni Bora waachwe waandamane kuliko kushindana nao. Wapi tayari kwa lolote
@CharlesMlaponi-h6z
@CharlesMlaponi-h6z 13 сағат бұрын
Watu wanapaswa kufahamu "Watu wafikiri zaidi"
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 14 сағат бұрын
We hando nikibararaka wa ccm usitishe watu ccm wamezoea kuuwa watu na kuwateka
@DanielSinavangi
@DanielSinavangi 9 сағат бұрын
Sio Ando pekeake ata zembela pia
@rahimahamad1016
@rahimahamad1016 3 сағат бұрын
Mashauriano miaka zaidi ya sitini wamekalia viti hawaondoki, watungaji katiba ni wale wale, wanatuletea viongozi waovyo tu kila siku. Police wa Bara ndio wanatumwa siku zote. Zanzibar 1995 na 2001 waliokuja ni police wabara. hawa police nimagaidi lazima tuundamane miaka 60s hatuna mabadiliko ya haki kwa raia. Watanzania tuundamane.
@jongosalehe1036
@jongosalehe1036 14 сағат бұрын
Maandamano ni haki ya kikatiba kabisa ila inavyochukuliwa sindoilivyo hata kenya wanatushinda kwa democracy
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 13 сағат бұрын
Kenya bado sana😂, walipewa hiyo haki ya maandamano ila kinyume chake walichokifanya ni kinyume sana, watu waliharibu kila😂 kitu hapa utasema wanatushinda ?
@DennisAnthony-j5y
@DennisAnthony-j5y 14 сағат бұрын
Heriiiiiiii
@ahmedsultan8561
@ahmedsultan8561 10 сағат бұрын
Sio wamekufa semeni waliouliwa
@harounali9057
@harounali9057 7 сағат бұрын
Dj hapendi uchambuzi wa magazet kalala nyuma ya desk
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 12 сағат бұрын
Ndiyo waambieni wakina mage kimavi😮😊
@isumailparadiso2074
@isumailparadiso2074 10 сағат бұрын
Machafuko hayawezekani hap tanzania labda kenya
@derrickmsa8505
@derrickmsa8505 10 сағат бұрын
Hando huyu uchawa ni too much!
@BoniphaceManyama-y2s
@BoniphaceManyama-y2s 2 сағат бұрын
Hawa ndio watu wa habari do!! Watu walikufa kwa kutete taifa lao na haki za watoto wao siyo uhau wa chama .ndio maana Leo hii ccm hawataki kukubaliana na ukweli na wameshindwa kuelewa nyakati badala yake wanaforce na kuleta machafuko , Ninyi watu wa habari mnavyoanalys insue muwe na ueledi uliotukuka ,Kumbuka , UKIWA DHAIFU UTAKUWA CHAWA
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 12 сағат бұрын
Hakuna serikali hata moja duniani inayowe kuridhia kuchezewa na kikundi cha baadhi ya watu, ulisema chadema inatetea wananchi ni uongo. Kuna acr, ccm, cuf n.k. hatutaki upumbavu wao.
@CharlesMaghembe
@CharlesMaghembe 12 сағат бұрын
For every action there is equal but opposite reaction.
@EdwardBalloho
@EdwardBalloho 11 сағат бұрын
𝔫𝔞𝔲𝔠𝔥𝔲𝔨𝔦𝔞 𝔪𝔲𝔲𝔫𝔤𝔞𝔫𝔬😢😢
@nyamarungujr7834
@nyamarungujr7834 8 сағат бұрын
Kama wasojulikana hawajulikani sasa haya mazungumzo ni mapatano baina ya nani na nani cz issue kubwa ni utekaji umekithiri asa kidogo nawaza kwamba hayo mazungumzo yatamalizaje utekaji? Na kama mazungumzo ndio njia yakumaliza utekaji asa chadema wanazumgumza na nani cz anaetakiwa kuwepo mezani na chadema kutokomeza hili swala upande mwingine uo ambao ndo hao hawajulikani! hapa ndo utajua wasojulikana kwanini hawajulikani. Nafikiri njia bora iwe kukaa na kupanga njia bora ya kulikabili hili swala na japo lina viashiria vyakisiasa ila tuweke siasa pembeni viongozi wetu wakae pamoja viongozi wa nyanja zote zakiusalama na zingine ikiwemo io yakisiasa tushirikiane kwa njia yoyote bora iliishe maana mambo yamekua mengii sana.😢
@florencejohn6427
@florencejohn6427 3 сағат бұрын
Hawa wapuuzi leo wamejadili hii issue kiwoga na unafiki mwingi. Na hawataki kujiuliza maswali ya msingi kama kwanini serikali ikataze maandamano ya amani? Mbona yale yaliyooita waliruhusu kwanini haya wakataze? Sababu ni nini? Pia haya maandamano sio ya chadema, ni ya wapenda haki na amani wote, japo yameitishwa na chadema. Na chadema wanasema haina haja kuogopa kuumizwa au kufa kwenye maandamano kwa sababu adhabu wanazopata huko mtaani hazina tofauti na zile labda watakazopata kwenye maandamano(wanatekwa, wanateswa na hata pengine kuuawa). Wanajiuliza kuna adhabu kubwa kuliko kuuawa?
@danielndam5997
@danielndam5997 8 сағат бұрын
Hakuna mtu anae fia chama watu tunafia haki hatakama chadema itapotea lakini haki yawatu kuishi ipatikane
@kandecharlessanduku1539
@kandecharlessanduku1539 9 сағат бұрын
HAKUNA SHIDA BILA KUFA HAKUNA HAKI
@DavidKagulu
@DavidKagulu 3 сағат бұрын
Wacha tukafe tuwaokoe mapunguani Kama nyie mnaoitetea utawala wa kidhalimu
@DavidKagulu
@DavidKagulu 3 сағат бұрын
Cuf wamebaki wasaliti,nyie waandishi kama mafala hamjui kwamba asilimia 90ya wanachama wa cuf walihamia act
@reginas1832
@reginas1832 11 сағат бұрын
Kwa nini mnakimbilia kwenye maandamano???? Waachie vijana wetu . nyie hamfai kabisa hata kwa dawa.
@AdamCheze
@AdamCheze 14 сағат бұрын
Maulid Ww Hauna Upande Kwel
@JansanMokiwa
@JansanMokiwa 13 сағат бұрын
Hawajafia chama wamefia nchi yao
@derrickmsa8505
@derrickmsa8505 10 сағат бұрын
Yani wewe Hando huoni shida zilizopo nchi hii?
@DanielSinavangi
@DanielSinavangi 9 сағат бұрын
Ando mshamba sana
@omarmsuya2459
@omarmsuya2459 4 сағат бұрын
Kwaiyo unataka zizidi au? Raha gn unayotaka zaid ya aman achanj ovyo ovyo pia semen na njaa zenu rizika unachopata
@FatumaSaid-t4r
@FatumaSaid-t4r 10 сағат бұрын
Mimi Chadema kindakindaki.ushauri wangu tusiandamane.wametuzamilia.tutaonana ktk masanduku ya kura tu.
@florencejohn6427
@florencejohn6427 3 сағат бұрын
Ovyooo. Kura unapiga ya nini wakati unajua atakayetangazwa hata kama hujamchagua? Unaamini sanduku la kura kwa mazingira ya tume ya uchaguzi vyombo vya dola vya Tz? Unaota mchana kweupe.
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 15 сағат бұрын
LABDA WAANDAMANE KWENYE MITANDAO 😢😢😢😢😢SACCOOS WAMECHEMSHA DAKIKA 90 HAWAZIWEZI
@NuruLutembeja-h1r
@NuruLutembeja-h1r 14 сағат бұрын
Wewe kama unaona ni upuuzi,tuache tuliotayari tuandamane tumechoka kutekwa,kuuwawa,ghalama za maisha kupanda unyanyaswaji.Siku yakikufika utaelewa.
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 14 сағат бұрын
​@@NuruLutembeja-h1rtunakusubilia paleeee.ila usisaau kubeba nafamilia yako kwenye ayo maandamano yenu.
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 14 сағат бұрын
😂😂😂
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 13 сағат бұрын
@@NuruLutembeja-h1r MAANDAMANO HAYASAIDII UNGEENDA KWA MCHUNGAJI AU PALOKO ANGEKUFANYIA MIUJIZA 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@NuruLutembeja-h1r
@NuruLutembeja-h1r 13 сағат бұрын
@@khaalidcheo5383 kwa sasa utacheka kwa kuwa hatuna ukobozi wa kifkra,siku tukipata ukombozi wa kifikra hauta Cheka Bali utafurahi.Nivyema tukabadilika na si kujikinai katika mbawa za kuitwa wanyonge wakati tunateseka.
GODBLESS LEMA AKIZUNGUMZA NA RAIS SAMIA MAMBO MAZITO
21:28
Chadema Media TV
Рет қаралды 77 М.
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 49 МЛН
Teaching a Toddler Household Habits: Diaper Disposal & Potty Training #shorts
00:16
SHAPALAQ 6 серия / 3 часть #aminkavitaminka #aminak #aminokka #расулшоу
00:59
Аминка Витаминка
Рет қаралды 408 М.
MWANZO HABARI LIVE: MBOWE:TUKO TAYARI KUFA KWA MAANDAMANO
24:04
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 6 М.
Alpha Waves Heal Damage In The Body, Brain Massage While You Sleep, Improve Your Memory
1:22:11
KIJANA AUAWA KWA KUCHOMWA KISU AKIAMUA UGOMVI WA WATU WENGINE
10:01
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 49 МЛН