mwenyezi mungu nenda uwaondelee hao dungu wenye wanakumbwa na hio shida🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@SamsonKena8 ай бұрын
Poleni sana amani ilejee.
@josephjulio61122 жыл бұрын
Natamani nikajiunge na jeshi la Congo naipenda Sana Congo kutoka 🇹🇿🇹🇿
@alfoncemanda7442 жыл бұрын
Twende mwamba tukajiunge nao
@anaanaelle65002 жыл бұрын
Karibuni kwetu Kongo
@eliudmkumbwa56812 жыл бұрын
Kama mm
@othumanlorenzo2602 жыл бұрын
Haunishindi mimi
@eliudmkumbwa56812 жыл бұрын
@@anaanaelle6500 tunaomba serikar ya kongo na tanzania zikubaliane vijana tusio na kazi tukapate mafunzo tukapiganie kongo
@simontamba12852 жыл бұрын
Mungu ibariki Congo Mungu ibariki Afrika Mungu ibariki East Africa Community
@nyotaramadhani662 жыл бұрын
Felix depuis uhingie kumadaraka leo ndohume hongea jambo namungu akulinde sasa.
@henryking60702 жыл бұрын
Tatizo ulikuwa ahujaelewa siasa yake tumushukuru Mungu tumepata raisi tulikuwa tukililia kila siku
@johnnzanzu84232 жыл бұрын
Ni sawa, alakini tunaomba Kwa serikali ya Jamuhuri ya Demokratia ya Congo kuongeza malipo ya jeshi.
@josephmulula44027 күн бұрын
Niko tayari kujiunga jeshi chance application congo
@heritiertusali-so2xl Жыл бұрын
C'est bon
@kambituva27692 жыл бұрын
Angesema wa Afrika tungeenda wengi...npeni mchongo mm niko tayari kujiunga.
@rechoinnosent55782 жыл бұрын
Natamani sana kuja congo niwasaidiye mabalaki wezagu
@akidanyanje90722 жыл бұрын
I'm tanzanian but I would like to join to your Army camp training to give you brother n sister my support please..
@Zero_Brainer2542 жыл бұрын
After hii vita itakavyo kwisha naomba Le Presidante akuwe makini sana na wanohitisha hongo hili ku recruit wanajeshi. Hiwe tu free and fare no corruption.
@BON357 Жыл бұрын
Wakongo wasenge mtakufa kiumbe Cha mungu a kibaguliwi
@alexchungu62632 жыл бұрын
Mimi mtanzania, naweza kujiunga na jeshi la congo ?
@marionnjoroge42372 жыл бұрын
can any personel from other country join you
@benonbyatbashaija70842 жыл бұрын
BE CAREFUL MAKE SURE YOU RECRUIT ONLY CONGOLESE IN CONGOLESE ARMY DON'T RECRUIT NYA RWANDA
@kassimchande48062 жыл бұрын
safiiiii
@salummzee97392 жыл бұрын
mitihan mikubwa Africa kwann hatushikamani kuijenga Africa Mabeberu tukawashinda,,,,Suluhisho kubwa Jeshi la Serekali likubaliane na m23 ili kuondoa mzozo wa nchi maguvu haya jengi yana haribu tu
@josephmulula44027 күн бұрын
Aplication militarily jeshi chance to congo
@MauriceKakule-ul6mt Жыл бұрын
Kilamara hukokwetu vijana waki ungana n'a FRDC kilamara FRDC ina piga vijana masasi
@jingtapemuhindo74452 жыл бұрын
Les deux premiers commentaires zina kataaa sana RAÏS ali sema ivi diplomatia ime shindwa tuna enda kwa vita
Ndugu nzangu waca kuguca vibaya wacene vita kwani musi semulieye na M 23? Musipipigane ?
@christianssegawa40252 жыл бұрын
Nikweli
@msafiriomary893 Жыл бұрын
Sisi watanzania tunawahurimia sana poreni sanaaa
@constipated3272 жыл бұрын
mimi nina hunga mko hakuna kukutana m23
@johnmjata26752 жыл бұрын
Niko tayali kwenda Kongo nikapiganie maslayi ya wakongo
@faustinmuhindo-r2l10 ай бұрын
virement président ans semaka kweli, ila sa tuna enda ku vita bana tu kataliya ma armes
@patrickchapwe87782 жыл бұрын
Nauliza Fdlr iliwahi kushambulia Rwanda 🇷🇼? Mwenye aliletaga wanyarwanda congo 🇨🇩 nando yeye atakaye warudisha mbone hamuna shukrani?, Kagame mbone husumbuwa congo nawanyarwanda wenzako sisi hatukuzoweya kumwanga damu huu ndo mwisho wako sasa
@rizikivincent52552 жыл бұрын
Wacongomani tunakuwa wakaombaomba muinchi yetu na duniani kote na kulialia kila leo kwakuwa tuliwaona wanyarwanda ndo wanaweza kutuletea maendeleo inchi mwetu kumbe tumepandikiza kirusi cha kuangamiza wenyeji
Ahhh jeshi linalo zaidi ya 300.000 militaires inahaja gani yawengine jeshi??
@jeniphanzeran82312 жыл бұрын
Acha ujinga ingieni vitani
@patrickchapwe87782 жыл бұрын
Mutakosaga mbingu nadunia mahali pote mulipo nikusumbuwa watu kwanini nyinyi hupenda vurugu? Nyinyi kizazi cha kaini
@henyochabo22682 жыл бұрын
Awa ambie wabemebe mai mai wanasubiri iki kitu kwa miaka mingi sana hayo makundi yote yawa piganaji wajiunge na serekali
@kajetanimgeta77382 жыл бұрын
Vijana wa congo muungeni raisi mkono raisi wenu Rwanda kwa congo ni Kijiji ni haibu Rwanda kuionea congo taifa kubwa Kama ilo haingii akilini.
@musahenry6892 жыл бұрын
Ahingize batoto yake, analipaka ba soldat ngapi na alilaga kulipa wa soldats ngapi?
@veroniquelukama12722 жыл бұрын
Eliezer.mpesaa.nngai Numero.na.yo.maman.vero
@Enemyofallah-y4u2 жыл бұрын
Tuna taka vita na Rwanda atuna tena mda waku ongea
@jeniphanzeran82312 жыл бұрын
Wacongo wacheni rumbha ingueni vitani hakuna atakae wapigania nchi yenu
@thierrylecommandothierryle11092 жыл бұрын
FELIX TSHILOMBO 666 Bazo reclamer oyo olakaki bango po bapesa yo pouvoir ya muyibi. Kokisa posa na bango tozo zela.. Ho banyamulenge aza congolais, loba lisusu.
@barakabahati66002 жыл бұрын
Vita haita isha huo ni uongo ya serekali
@ismailasman91032 жыл бұрын
Hii ndio mbona walikuwa wakitaka kuungana na east Africa community mambo hayo za vita hatukuwa nayo wakati tulikuwa inchi 3 tz ke and ug sahi hao inchi zingine wameingia kati yetu s,sudan rwanda congo na kadhalika tumechoka hii wanatuaribya jina la east Africa community
@oscarmario4662 жыл бұрын
Sio kweli maana Rwanda anatumika na nchi za magharibi kutoka siku nyingi Sasa congo ilikua haitangazi vita nao pia lengo la kagame ni kuwanufaisha UN kuchukua madini
@musatuzitv44042 жыл бұрын
Weeee
@hamadsheni89972 жыл бұрын
Wakongo amkeni mmeteseka miaka 60 ya vita. Pigeni rwanda nawao wasilale.
@simontamba12852 жыл бұрын
Nani anawapa kiburi hawa m23
@mwigakatumpula56952 жыл бұрын
Ufaransa wana watumia kwa ajiri ya yale madini 😄
@KasongoKitenge-d9v Жыл бұрын
Bravo au président pour son discourt
@jumakitutu40622 жыл бұрын
💯💥💥💥👏👏👏👏👏🤲🤲🤲
@musatuzitv44042 жыл бұрын
Eee
@abed-kacibambi99162 жыл бұрын
55
@madinisilasofficial78312 жыл бұрын
How can I join them
@djumadjumbe69072 жыл бұрын
Raisi wa ovyo Unaona uchaguzi una karibia unaanza kutu pumbaza na kupigana na waasi , ndugu zangu wakongomani msi jiunge na jesi maana ata wapotezea maisha yenu bure , tulishuudia safari zake ngapi akienda rwanda pasipo kua na sababu ya safari
@abuukajembe59852 жыл бұрын
Pigania nchi yako
@djumadjumbe69072 жыл бұрын
@@abuukajembe5985 Naweza nika ipigania ila sio kwa hawa viongozi tulionawo wala rushwa , wanao jali maslayi yao na sio raiya Mara ngapi wana tusaliti hao na kuangamiza vijana vitani , kaka mimi ni mtoto wa East nimeshuhudia hao jamaa waki sapitiwa na serekali niuzuni sana
@someaafrika.33792 жыл бұрын
djuma djumbe, kwa kauli yako wewe utakuwa ni mnyarwanda.
@estajeanette74872 жыл бұрын
Alianza kupiganisha waasi mashariki congo tangu Angie rais.
@simontamba12852 жыл бұрын
Alikuwa hataki kukurupuka alitaka kwanza afanye dipromasia kwanza
@thierrylecommandothierryle11092 жыл бұрын
FELIX TSHILOMBO 666 Bazo reclamer oyo olakaki bango po bapesa yo pouvoir ya muyibi. Kokisa posa na bango tozo zela.. Ho banyamulenge aza congolais, loba lisusu.