#paulkagame #rwanda #kongo #congo #un RAIS WA RWANDA KAGAME AFICHUA MAZITO NYUMA YA PAZIA VITA YA KONGO AWATAJA UN, MAREKANI NA UFARANSA • RAIS WA RWANDA KAGAME ...
Пікірлер: 122
@HassanLwendo9 күн бұрын
Wana support but wapiganaji Ni wanyarwanda acha kujifanya eti unapotosha watu apa adui anajulikana
@SeanNillaКүн бұрын
Anasema kweli kbs
@gisbertsambala49917 күн бұрын
P kagame ni sahihii
@AbuuAli-nf4fb10 күн бұрын
UN na Marekani na ufaransa ndio chanzo cha matatizo ya Congo waondoke wote Amani itapatikana
@SaidOmary-fd3bj9 күн бұрын
Kweli
@VyizigiroDeo-lu1gv10 күн бұрын
Mungu ameyi kumbuka congo 🇨🇩
@rosinebwiraКүн бұрын
Un utile Congo
@CharlesMs25Daghaly8 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤ ivo ndo mnajuwa kuongea kuwaamb watu ku like na kususcribe lkn kuleta Aman Aaaaaaaaaaaaaaaaah
@makamejoho7 күн бұрын
Haya ni maslahi ya wengi kagame hana hatia
@EagleArchive22 сағат бұрын
Wanatumika pamoja ila nafasi kubwa niya UN
@MuzuziElishachubaka3 күн бұрын
Kagame mu uliza anangoja mchahara kwa mungu tu sababu Kila kazi ita lipwa n'a mungu tu kinacho n'a mwanzo chéri kiwe n'a mwisho
@roberomartnez4020Күн бұрын
Tatizo ni hao UN watimuliwe hapo congo mambo yatakuwa sawa fanyeni Kila linalowezekana fukuzeni hao UN
@ManaKashindiDaniel9 күн бұрын
Naomba Rapatriemeant, kwa UNHCR Likinipa na silaha pamoja na risasi ili nirudiye nyumbani kwakuipiganiya inchi yangu mwenyewe...
@MosesMagwila10 күн бұрын
Pole krgame nimekuelewa sana wa nakuonea tuu, Un, unesco wote wezi tuu
@ElieNkurunziza-b4j3 күн бұрын
Kwa nini wa Kongo hawafukuzi UN....!!! MIMI NAONA KUWA NI UJINGA MWINGI KWA VIONGOZI WA KONGO....!
@AmadiAbadi4 күн бұрын
Kagame anaona mbali
@PrinceKamateKatembo9 күн бұрын
nandiyo maana congo siku ya leo imetangaza vita na rwanda ili iweze kupata amani
@JamesKitenge-z8l5 күн бұрын
Un ni waibaji rasilimal za congo africa tuamke
@AmansumilaКүн бұрын
Mzungu ndo tatizo siyo rwanda hapo mwangalie vizuri wazungu kwanini walikuja kutawala hapo un waondeke
@nchilingungu8 күн бұрын
UN wapo kwa kutafta mali za afrika
@KhadijaIddy-s2t6 күн бұрын
Kagame nikuombe kitu kimoja raisi wa rwanda kama kweri uhusiki kwanini majeshi yako yapo congo ivi engekua niwewe sisi watanzania tukufanyie ivyo utajisikaje ebu tukuombe toa majeshi yako ndani ya congo wananchi wanateseka sana
@husseinkassimu27144 күн бұрын
Wazungu wasenge sana ndio wanaendesha mauwaji ya congo huyu kagame nae anausika kwani hayaanayosema hakusema siku zote dawa Rwanda ipigwe tu wacongo wasikubali
@abdouljabbar98354 күн бұрын
UN ndio Ina aribu congo kilasiku wanzung
@EssauMahundi4 күн бұрын
Hao wote wanaiba madini kongo
@sharifnassor44176 күн бұрын
Kagame Ameongea ni sahihi, Waondolewe UN tumtafute adui
@edwinakoyi31255 күн бұрын
UN ni kupora tu madini ya wa congo tu
@thabitiabdallah51185 күн бұрын
Waafrica tuamke kwani ibrahim traore mtoto mdogo amewezaje kuwaondoa haowezi waulaya?
@thabitiabdallah51185 күн бұрын
Wazungu ndio wanao sababisha vita drc.watuachie cc wenyewe waafrica Tutamaliza mzozo.umoja wanchi zakiafrica tunaweza.
@magdalenanicholaus54597 күн бұрын
Congo walioba walinda amani waondoke lakini watalinda wenyewe lakini bado wapi? Kuna nini nyuma ya pazia
@makamejoho7 күн бұрын
Poul ni mkweli lawama ni kujificha kwa mataifa mengi yasiyo na huruma
@PeterMhoja-m8q8 күн бұрын
UN inaundwa na nchi za magharibi ambazo ni kama America na ufaransa hivyo mgogoro huo una manufaaa kwao hivyo never stopped.
@RossignolLotika-ug8ft3 күн бұрын
Azante tuko pAmoja
@mohdmnemo92817 күн бұрын
Mwaafirika alecho semaha kagamee nikwele un wanafanya nn. Mpakaha leoo. Usalamaa aupatikani
Baba huyu kangame amesema Kweli siyokangame ninanga najaa yawa congomani
@peacemwesiga10 күн бұрын
Mmmmmmh dah!!!!!!!
@JeanBaraka-pu5xo9 күн бұрын
hakuna un kuleta amani vita waondoke warundi.kwao.hakuna.wanachokifanya
@josephndia855910 күн бұрын
Kama kweli kwanini Rwanda inasaindia m23
@mwansi9 күн бұрын
Inzoka inyenzi
@valenakomba768610 күн бұрын
Muonyeshe tunsikie. Maana mwanzo mimi nilimsikia anasema wanatoka Uganda.
@hafsalucky10889 күн бұрын
Kagame Acha Unafiki. Wachie Ndugu zako Congo Amani yao, Wazungu wanakutumia kutesa kuua na kuiba mali za Congo
@Atsonmasebo-j9i9 күн бұрын
wewe unajua nini kuhusu mugogolo hu.
@MariamSaidy9 күн бұрын
Nikweli kagame anacho kiongea ni kweli watu wananufaika kutoka congo watu wanaingia kwa ajili ya kuiba tu mali za Congo twanda imejenjwa kwa nali ya Congo 🇨🇩 yani wote majeshi yange tolewa kama vita itakuwaga wajionhoze wenyewe kama wacongomani wenyewe
@anisiamchembe655210 күн бұрын
Waafrika acheni kutumika na watu wa magharibi😊😊
@raymoszakayo23469 күн бұрын
UN imeshashindwa kusuluhisha huko Kongo kwa miaka 30, sasa kisingizio ni Rwanda?
@nishimweissa31259 күн бұрын
Anacho kisema Kagame nikweli, UN nindumia tuwili kule kongo .watu wote watoke Congo,wawaachie wakongo
@Nyamayachumvi8 күн бұрын
Mnamlaumu kagame nawakati hana kiwanda cha silaha wala bandari ya kuweza kuingiza silaha hamjiulizi silahazinaingilia wapi inawezekana kagame kabebeshwa msalaba usio wake nawakati wachonga msalaba wapo wametulia na bandari zao
@danielosango12639 күн бұрын
Wote hao wanahusika hadi, Museveni
@AnangisyeMbughi-xw4ky10 күн бұрын
UN iondoke Congo.Na Rwanda nayo iondoke ,wanafanya Nini Congo,Hawa ni wezi tuu.
@TeamKRX9 күн бұрын
Jamani hana huyo UN mtoweni uyo wakongo anamaliza rasilimali zenu mulizeni Bokina faso kawatimua
@KasaKamanga9 күн бұрын
Kagame anaelekea pabaya. Atapigwa na wanainchiwako.mkewake alikimbia juzi saa8.na familia nzima.
@UwaseGoodluck9 күн бұрын
Richa ya mathilahi kagame kiwa kongo anlinda usalama wa nchi yake chisekedi anwasaidia waasi wa Rwanda
@MutabaiJeanpiere9 күн бұрын
Un ilimusadia kagame na akwawuwa wakimbize congo na wakamuficia sili
@yahsavechassala10379 күн бұрын
HAKUNA VITA KATI YA RWANDA NA CONGO BALI VITA NI VYA WAKULIMA NA DHIDI YA WENYE SHAMBA SIKU ZOTE UN IKO KINYUME NA WAAFRICA KWA SIRI SANA
@evansjohn77669 күн бұрын
Mimi naona tatizo kubwa ndi UN,kwanini imeshindwa kumaliza mgogolo wa DRC,inamaslahi nyuma ya m23,ningeomba UN,itoke Congo,and Kagame apewe mda wakutowa m23,ndoo turajuwa kwamba Kagame hana tatitizo na Congo.bila hilo hakuna kitu
@MahmoodAbas-x2y9 күн бұрын
M-23 Wamepata nguvu maana wamepata uwanja wandege nanjia nzuli toka Rwanda na Ug kuingia Goma kilahisi.Burundi iwe makini
@manyusiabubakar43708 күн бұрын
Cha kua makini ,sio Burundi pekee yake . Hapa kuna agenda mbili . 1... Wazungu wapate njia ya kuba rasilimali za Congo 2... Kagame ,asaidiwe na wazungu ili apitishe agenda zao na MUSEVEN na RUTO . Ya Hima impire. Chakuzingatia NI kwamba ,MUSEVEN,kagame na RUTO ,wote NI kabila moja ,kutoka uko Ethiopia na Somalia 14 century, walipo vurumushwa na wa Somalia .. Kwa hiyo basi , walengwa NI wa 3 Kwa sasa ivi .DRC , Burundi na Tanzania .Kwa mana .. Uganda ,Sudan kusin , Rwanda na Kenya . NI za kwao ndio wanao ziongoza .
@issadullah20749 күн бұрын
Uyu kagame niwakupiga ili awe naadabu anayajua yote anafichua nn?
@maryam28-p4j9 күн бұрын
Yuen walikuja kuhimbq ni waizi hakuna usalama
@CharlesMs25Daghaly8 күн бұрын
Un ndo chanzo cha Migogoro kwenye bara la Afrika Mana Kagame amewekwa ndo chambo cha Migogoro ndan ya Afrika lkn nyuma yke kuna nchi kubwa kubwa Nk ila waafrika Simamen Imara kma Traore na Wengn waliosimama kma wao
@MoinamoinaSaid10 күн бұрын
ndio asema ukweli lakini ? kwa Nini amekubali kutumika kwa wabeberu ???
@ljmarketlakhshov369 күн бұрын
Kwa Maswali ya hovyo kama hayo Juu ya Rwanda ni ukosefu wa wa uzalendo wa panafrika M23 na wa Rwanda ni sawa na wamasai wa Tz na wale wa Kenya
@MudathirJamal9 күн бұрын
Africa union force wakowapi mbona ni upumbavu mtupu unaoendelea DRC Congo .UN wanafanya nini Congo miaka yote hao M23 mbona sio wa Congo nivibaka wa magharibi tunajua
@ManaKashindiDaniel9 күн бұрын
Mutakacho kijuwa congo haipigani tu na M23 wala Rwanda Bali inapigana na Marekani,France, pamoja na union European nzima.
@LabieliMaliko-n5x10 күн бұрын
Kama rwanda hihusiki katikavita kwanni majeshiyake yapohuko kongo mm nisem tu sis waafika wenyew hatupendani nahatuyaki kujua kwamba huyomzungu tunaye msaidia mwishowe akisha patavileanavyovihitaj anarudikwake ulaya sis ndo tunaumia kwasababu tumetengenezewa chukizisiz namsing
@jumamnumbwa94839 күн бұрын
Umoja wa mataifa ni wakufukuzwa ndio maana bukina faso ,mali na guinea imewafukuza
@athmanaman42799 күн бұрын
UN chanzo cha matatizo na mataifa ya magharibi..itolewe UN ya fatwe makundi moja baada ya kengine na umoja wa AU
@EzekielBisengimana9 күн бұрын
UN , Uganda, na Rwanda,ndio wana tuiba vitu madini Pia nawatu wametufanya biashara Kama wakimbizi YESU atusaidie
@ferdinandkamandi90289 күн бұрын
Wewe Bisengimana upo mnyarwanda pia
@AllyIssa-l1j9 күн бұрын
Kagame usiwe mbishi zuia m23 kuingia rwanda
@RaymondRaymond-p3e9 күн бұрын
Un wezi
@dennisabuya45119 күн бұрын
I feel sorry for the common people who don't know why all this is happening. Don't ignore the so called mercenaries that were in drc. Those were not mercenaries but agents of different Europe countries including the main criminals in America. KAGAME is completely right this situation has been planned for a long time and everyone knew what was going to unfold. M23 are Congolese being manipulated to unstabalise congo for the looters to come and steal.
@JellyCiza9 күн бұрын
Vita ya Congo nivita ya kihistoriya ndiyomana Tanzania kunawatuwana ongeya kirundi naniwa Tanzania nacongo kunawatu wanaongeya kirundi Nani wa congomani vile vile Congo Kuna watu wanaongeya kinyarwanda.wakatiwawa koloni walipo gawa mipaka makabila fulanifulani walibaki ngamboyapili .ebujiulize kwanini raisi wazamani Mobutu hajawatimuwa? Nikwasababu anaelewa true story
@martinesango939310 күн бұрын
UN itoke wanafanya kazi gani na Rwanda ndio kitumikisho cenu Kagame unaaribu Afrique yamashaliki
@remybaloji59499 күн бұрын
Kagame nous dit que le m23 est une rébellion congolaise , mais lorsque l'armée sud africaine vient combattre cette rébellion congolaise pourquoi kagame pointe du doigt l'Afrique du Sud ??? C'est un menteur et un menupilateur hors norme !!!
Sasa jambo hilo ni wazi kama mchana UN ipo Kongo kwa lengo la kuchochoea mgogoro.
@AllyKategile9 күн бұрын
Shida ni kagame haaminiki yeye alitokea msituni na kukaa madarani hivyo analipa fadhila Kwa walio muweka hapo Kwa kuwa sehemu ya mkakati wakufanikisha mambo yao wazungu. Na chisekedi asipokuwa makini watamuondoa madarakani
@jamesbayo191010 күн бұрын
VITA VYA CONGO DRC. UN,MAREKANI. UFARANSA NA RUWANDA WOTE WANAFANYA WIZI WA. MADINI. NDANI. YA. CONGO. WOTE. HAO WAONDOKE CONGO. KAGAME. NI MWAVULI UNAOTUMIKA NA MATAIIFA HAYO YANAO SABABISHSA VITA HUKO CONGO.
@EmmanuelKamaka10 күн бұрын
Kagame kaamuakusema ukweli
@joharifarahani273910 күн бұрын
Anajikosha tu kwanini watu wakiwashambulia m 23 anaumia yeye ..yeye ndio kibaraka wa hayo mataifa ndio maana anawaumiza congo Ili aibe mali
@IsmailMaberi10 күн бұрын
YANI AFRIKA TUTAKUWA NI WAJINGA SANA KUPIGANISHWA NA MATAIFA YA WAZUNGU
@asumanikabika85010 күн бұрын
Tatuzo kubwa hapo ni Rwanda. Waswahili wanasema jerani nindugu, na mahandikopia inakazia mpende jerani yako kama unavyojipenda mwenyewe. Tatizo la Kagame anasau kuwa mzungu nikigeu-geu anasaidiana na wazungu kupora mali zawafrika wenzake kwa maslai ya muda mfupi. Ukweli nikeamba Rwanda wamesaini mikataba na mchi za magaripi yani Europian Union zakuwauzia madini wasiokuwa nayo ichini kwao.
@BarakaGodfrey-p9j8 күн бұрын
Hahaha Paul Kagame Who died four years ago, was replaced by someone in a mask made by his western Bosses. This toy did not show up in very critical situations of Rwanda, but now his strings are being pulled by his Bosses, to address English speeches to the entire world conveying his Bosses message. For the issue of eastern Congo, the so called Kagame, is playing his last Role before this name is omitted forever. What is happening now in Congo, is a tangible proof of the western hand in all kinds of impunity that we experienced in all these 35 years, where none could withstand their killing machines of Kigali. The truth shall win and our region shall be free of evel soon.
@LoistaSteven10 күн бұрын
Point yako ina mashiko. Ila Mzee wetu tunaomba ondoa jeshi lako pale Congo jitenge mbali na hii bita hapo huo ukweli wako mimi ninsona wazi upo sahihi. Wazungu hawakupendi Mzee wanakutumia kukuchsfua ili wavune hapo Congo. Leo wazungu wamekatwa wengi humo M23