MWACHENI TRAORE KAGAME AMEWALIPUA MANYANG'AU VIBAYA

  Рет қаралды 76,039

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)

UKUU WA MWAFRIKA (IBM)

Күн бұрын

Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

Пікірлер: 293
@bogalechtafari378
@bogalechtafari378 10 күн бұрын
Mimi nilizaliwa Tz Kwa mama familia ilihamia Rwanda baada ya Genocide nilitaka Tz Nina miaka 23, kweli Leo hii Rwanda maisha ni poa, Rais Kagame ni kiongozi kweli pamoja na Traore Mungu awabariki sana waikomboe Afrika
@MANING41
@MANING41 3 күн бұрын
Sisi wote tuko kwenye mazingira yanayofanana na yako ila ukisema kuwa rais Kagame ni kiongozi bora unaongopa! Maana bado yeye anawatumikia wamarekani hananushujaa wowote anapenda baadhi ya watu kwenye kabila la kitusi na sio lote ujue!
@bogalechtafari378
@bogalechtafari378 3 күн бұрын
Ndiyo kawaida tu ya mambo ya siasa, kweli Hana ushujaa wa MAGUFULI au Traore lakini labda tu Kwa kujenga nchi na maisha Bora lakini hatukatai manung'uniko yapo.
@muhitira
@muhitira 16 күн бұрын
Paul Kagame Mtu poa sana ni wakuigwa sana ,Léo wanyaru wanaeshi poa kwa Amani,huyo Dogo Traore ata toboa akishirikiana na Mzee kagame❤❤❤❤
@neemamasudi7988
@neemamasudi7988 11 күн бұрын
Kagame ameona Kama wazungu wana taka kumwangusha ndomana anataka kujiunga na Traore. Kagame sio mto nzuri.hina alivyo isumbuwa Congo.
@gisabenjamin9394
@gisabenjamin9394 15 күн бұрын
Asante sana president PK tunakupenda sana wana wa africa
@shaameshaame2837
@shaameshaame2837 10 күн бұрын
Traore Atafute rafiki mwengine co hapo
@JamilaJumanne-u7q
@JamilaJumanne-u7q 8 күн бұрын
@@shaameshaame2837😊mtego huo
@Rodamathayo
@Rodamathayo 12 күн бұрын
Ila Traore asiamini mtu yeye ni Askari,Kaa kiaskari Traore, Mungu ibariki Africa,mbariki Na Traore
@rukundorwiza5223
@rukundorwiza5223 8 күн бұрын
@@Rodamathayo kzbin.info/www/bejne/i4C2dnmkg7GafNEfeature=shared
@abelchuche7968
@abelchuche7968 12 күн бұрын
Mungu akusimamie mwalimu benson uendelee kutupa shule kuhusu africa yetu.
@mugangatv.
@mugangatv. 8 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@TibihikaGerad
@TibihikaGerad 10 күн бұрын
Rwanda ni inchi No 1 Est Afrika kwa kuwa na Aman Love u Mzee Kagame
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 күн бұрын
Amani Gani?
@TibihikaGerad
@TibihikaGerad 10 күн бұрын
@christinewomanoffaith5479 umewah kwenda Rwanda wew kabla sijakusimulia chochote?
@muj-c6p
@muj-c6p 8 күн бұрын
​@@christinewomanoffaith5479wewe ni fdrl
@muj-c6p
@muj-c6p 8 күн бұрын
​@@TibihikaGeradhuna lolote la kusema fdrl
@TibihikaGerad
@TibihikaGerad 4 күн бұрын
Umesema wew
@Bosswellcarlos
@Bosswellcarlos 16 күн бұрын
Ibrahim Traore ni kipenzi cha Afrika
@RahayirwaCelestin
@RahayirwaCelestin 16 күн бұрын
Mimi naishi Kenya alakini utawala wa Kagame nimuzuri ❤nawewe nakupenda juu unaeleza vyizuli injili nimeelewa mengi about biblia juu yako nakushukuru sana
@Mariejo123-g2x
@Mariejo123-g2x 11 күн бұрын
Ulakose le presidal P. kagame.merci, Ulakose chane, chane 🙏🏻🙏🏻👏🏽👏🏽
@MukarusineEsperance
@MukarusineEsperance 9 күн бұрын
Wanasema urakoze😂 😂😂😂😂
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk 14 күн бұрын
Kagame ni kiongozi mzuri kwa wanaopenda mafanikio ya taifa lao
@Bosswellcarlos
@Bosswellcarlos 16 күн бұрын
Mzee kagame ni super tunampenda sana yeye pamoja na mzee kaguta Museveni mwenyenzi Mungu awabariki
@James_Jabari
@James_Jabari 15 күн бұрын
wote wawili hao ni Nilotic na wanachukia wabantu sana. wanatamani siku ije itokee ukanda wa maziwa makubwa wote ugeuke uwe HIMA TUTSI EMPIRE. Nothing else. kagame is a fool, so is mu7. Since earl 1990’s mpaka leo, hima empire iliwashinda kutengeneza. Hivi unafikiri watoto wao akina ian na kainerubaga ndo wataweza kuijenga hiyo empire? mtasubiri sana!!!!!!!!!!!!!!!! WABANTU OYEEEE
@katemachanda7035
@katemachanda7035 15 күн бұрын
Sio kweli 😅​@@James_Jabari
@rukundorwiza5223
@rukundorwiza5223 15 күн бұрын
​@@James_Jabari ume ongeya ukuweli sana ! Kagame nikibaraka cha wazungu
@TibihikaGerad
@TibihikaGerad 10 күн бұрын
Shida Mzee mseven kafuga sana vijana vibaka kama Tanzania na Kenya
@KhalfanHabibu-o9e
@KhalfanHabibu-o9e 16 күн бұрын
Shukran sana mchungaji wetu pendwa kwauchambuzi mzuri.Allah azidi kukulinda kwamazu ambayo unayotuletea.
@Home-Sweet-homeTV
@Home-Sweet-homeTV 14 күн бұрын
Hongera kbx. Pamoja Africa tutasonga mbele
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 16 күн бұрын
Waafrika tunitambuye na tuwe na msimamo wa kweli. Asante na Mungu mkuu atusaidie wana wa Afrika Nchi yangu. Amen.
@kisosekitunda
@kisosekitunda 16 күн бұрын
Wewe ni mtangazaji Mzuri sana
@lacroquetalacroqueta6813
@lacroquetalacroqueta6813 10 күн бұрын
Simjamsikia Mwalimu Mwakilembe kwa siku mingi sanaaaa
@dieudonnekayobera933
@dieudonnekayobera933 4 күн бұрын
From BURUNDI. Tunakupata 100% Mpenda ❤
@dusengimanajeandedieu4481
@dusengimanajeandedieu4481 15 күн бұрын
Shukurani bwana mtangazaji kwa kuwa umetupa habari nzuri. Pia Rais wa Rwanda ni mtu hodari sana
@BellaNathalie-xt5gm
@BellaNathalie-xt5gm 12 күн бұрын
Kagame mungu akurinde
@Sixtus-k7v
@Sixtus-k7v 16 күн бұрын
Hahaaa wanatulazimish kuiga utamuduni wao kwnn wsitusitulazmishe tuungane kama walvo wao hatuwez kwenda wanavo taka wao africa hatuna matata 💪💪
@NicksonBedaus
@NicksonBedaus 15 күн бұрын
Uyo raisi namkubali sana
@Usam.Ally01
@Usam.Ally01 7 күн бұрын
Kila nikimuona kagame hata azungumze vizuri namna gani. Naonaga kama inside him he is something else. Huyo jamaa mjanja sana. Anyway. Ka wewe huja wai ishi eastern congo huwezi kunielewa.
@WemaJuma-k1w
@WemaJuma-k1w Күн бұрын
Mungu mlinde Ibrahim traole.ili awezenkutukomboa waafrika wt
@MakoroSimba-eb6lp
@MakoroSimba-eb6lp 13 күн бұрын
Magufuli kauliwa na watanzania wenyewe
@clememallya4257
@clememallya4257 3 күн бұрын
Acha tu ndiyo namshauri huyu dogo yetu Traore achukue biskuti wale asile huko tz. Na asisahau dkr wake snslinda africa huyu mali za africa
@bonifacensengiyumva742
@bonifacensengiyumva742 3 күн бұрын
Kagame hanaga ujinga, Ukiona ameongea jua pigo liko nyuma. Nampenda sana General PK
@alisaleh283
@alisaleh283 15 күн бұрын
ibrahim traore allah akuweke
@JomoKilawe
@JomoKilawe 15 күн бұрын
Kbs Kagame Waambie Hawa Wapuuz..🙏🙏
@MugishaMoses-di1cp
@MugishaMoses-di1cp 3 күн бұрын
Hiyo history tunaijuwa uko sahihi kabisa
@longinemuhumba3804
@longinemuhumba3804 Күн бұрын
Karume aliuawa na mwafrica mwenzie
@salehaljadidi8206
@salehaljadidi8206 Күн бұрын
Kagame mwenyewe Dikteta, mwizi wa madini ya Congo.
@Mjukuuwabunduki
@Mjukuuwabunduki 15 күн бұрын
Kweli Kabisa
@SaidCannal
@SaidCannal 15 күн бұрын
Viongozi wa Afrika kwa pamoja waitetee Afrika kwa nguvu zote ,waunge mkono viongozi wanamapinduzi wanaoipigania Afrika
@CaristoNgulube-i9f
@CaristoNgulube-i9f 15 күн бұрын
You are too funny😂 uko mtoto wakagamee eee
@emmytafsiri9928
@emmytafsiri9928 11 күн бұрын
Kimekuluma heee 😂
@muj-c6p
@muj-c6p 8 күн бұрын
Kajinyonge
@bonifacensengiyumva742
@bonifacensengiyumva742 3 күн бұрын
Huyu mzee na mpenda sana, Kagame ndo shujaa wa africa ambaye yuko hai.
@birikoaime5621
@birikoaime5621 9 күн бұрын
Nisawa sawa kabisa
@augustabisetsa5007
@augustabisetsa5007 13 күн бұрын
Pk wise presdent dunia.inamjuwa
@LevyMundeke
@LevyMundeke 5 күн бұрын
Ndio amezungumza vizuri but hawachane na DRC Congo,tunakubali ame Fanya vizuri kuzungumza ila ni muuwaji kagame,na vita ambayo anafanya Congo ita mrudi yeye Rwanda ,damu anayo imwanga Congo atalipa
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 6 күн бұрын
Kagame anaakili sana mzee
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 16 күн бұрын
Wafaransa ni watu wabaya sana
@Bantu-u9m
@Bantu-u9m 13 сағат бұрын
Mchungaji jitahidi kuuondoa music nyuma ya kila taarifa zako za thamani unazotoa.
@VICTORMASHILINGI
@VICTORMASHILINGI 11 күн бұрын
Kaka uchambuzi wako nauunga mkono 100% we mchambuzi mashuhuli ,panafrica kamili
@issasalum1546
@issasalum1546 5 күн бұрын
Kama kweli unajua uafrika wetu...sasa unatakiwa uache mambo ya ukristo mana hayo mambo wanayotumia kututawala
@godchila8013
@godchila8013 11 күн бұрын
Bravo traore bado TZ 🇹🇿
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 6 күн бұрын
Hapa kwetu vipi
@GakubaNyirimihigo-sc7ym
@GakubaNyirimihigo-sc7ym 6 күн бұрын
Uyu raisi kagame nadabu sana ameendeleza inchi yake sana katika vyote hutu kagame ni muafruka asio wa kawaida huyu ni raisi mzuri sana katika afrika yote njoo Rwanda ijionee mwenyewe utashangaa
@PatrickKibantula-b4p
@PatrickKibantula-b4p 11 күн бұрын
Toa taarifa direct Acha mizunguko ming unatuchosha
@samsonjoseph4260
@samsonjoseph4260 15 күн бұрын
Kwa kagame hapana aisee ☝️ sio mwanetu huyu ☝️ achunguzwe vizuri atakuna na jambo lake☝️
@ramosfally2318
@ramosfally2318 13 күн бұрын
mi niko na wewe kagame m simuamin
@Kwamutwee123
@Kwamutwee123 12 күн бұрын
Poul kagame we love him ❤❤
@DeoKanyatta
@DeoKanyatta 5 күн бұрын
WAfaransa ni wapuuzi sana hata eliminate yao ya kijeshi wanayoitoa ktk ncho za kiafrika ni ya kiwango vha chini sana. CHUO CHETU CHA Monduli kinatoa mafunzo ya hali ya juu sana Mwl Nyerere na Malamamanda wa TZ waliona mbali sana hongera Hata mzee Kagame analifahamu hilo anachofanya yy ni maboresho tu.
@NdishakiyeFilemo
@NdishakiyeFilemo 2 күн бұрын
Cool
@Rachid-b1y7t
@Rachid-b1y7t 14 күн бұрын
Pk ❤❤❤ İbrahim ❤❤❤❤👏🏻👏🏻👏🏻
@athuman7480
@athuman7480 15 күн бұрын
Kweli isaya vijana wanashinda mtandaoni tu
@mbonyeburuhani3039
@mbonyeburuhani3039 7 күн бұрын
Usi seme kagame killing machine.
@zazo-bmike6082
@zazo-bmike6082 8 күн бұрын
Apa kwetu Afrique mashaliki tumem kosa John pombe magufuli
@mussasaid284
@mussasaid284 15 күн бұрын
Walau leo kagame amenifrahisha sana japokuwa huwa simkubali sana lkn kwa hili namuunga ✋
@muj-c6p
@muj-c6p 8 күн бұрын
Polepole utakubali
@Danielkatima-lr1nu
@Danielkatima-lr1nu 5 күн бұрын
Munapa sifa PK wenu kwa sababu munaishi vizuri ju ya umwangaji wa damu Congo 🇨🇩 mda si murefu mutapata mateso ju ya hiyo damu ya wa kongo
@djchano4111
@djchano4111 15 күн бұрын
Dah aoseeee umeharibu sana mzee eti kagame kupiga atuwa ya kimaendeleo yakuwa kibaraka cha wazungu kuleta michafuko kwa nchi zingine
@NdahiromugungaErnest
@NdahiromugungaErnest 15 күн бұрын
nenda jifunze kuandika kiswahili fala ww
@muj-c6p
@muj-c6p 8 күн бұрын
wewe ni fdrl mbwa we
@mbinonyoso7501
@mbinonyoso7501 8 күн бұрын
Nyiye hamuna hakiri kusema kagame uyu ndo cawa kubwa wa maebero tizama Mozambique Nani
@igiraneza4
@igiraneza4 16 күн бұрын
Kagame huyo huyo mwenyewe ni kibaraka number one cha manyan’gau. Usije ukashangaa wakamtumia huyo huyo kumuua Traore. Usituletee za huyo mpuuzi.
@hamadiharuna9974
@hamadiharuna9974 16 күн бұрын
@@igiraneza4 asante sana watu wengi hawajamtambuwa kgm
@jeanonaseane5896
@jeanonaseane5896 16 күн бұрын
Una sema kitu cha maana naku penda sana ❤️❤️❤️🇨🇩🇨🇩
@msholozizuma5428
@msholozizuma5428 16 күн бұрын
Kibaraka wakuanza wa Manyangau Alikua ni Mobutu Raisi wenu unajisaulisha😃😂😂
@jeremiaaugustino7187
@jeremiaaugustino7187 15 күн бұрын
unajua nn kuhusu hilo? au ndo wazungu wanakudanganya
@TibihikaGerad
@TibihikaGerad 10 күн бұрын
Adui wa Kongo sio Kagame ni viongoz wao
@mrope348
@mrope348 15 күн бұрын
Anatembelea upepo. Yeye pia aachane na CONGO
@IldephonceRutta
@IldephonceRutta 16 күн бұрын
Kagame mwenyewe nyang'au. Sijui hapo unamaanisha nyang'au ajilipue na wenzie????😢😢😢
@NdahiromugungaErnest
@NdahiromugungaErnest 15 күн бұрын
unajichanganya wewe 😢
@UmutoniKeren
@UmutoniKeren 14 күн бұрын
Siko wenzie ila ni diplomacia tu
@augustabisetsa5007
@augustabisetsa5007 13 күн бұрын
Shamba wewe kagame tishio kwa ability na busara dunia ina mjuwa , ,, fisi wewe nyie ndo mizigo pants rod weee
@muj-c6p
@muj-c6p 8 күн бұрын
iyo ni fitina tu mbwa we
@muj-c6p
@muj-c6p 8 күн бұрын
​@@NdahiromugungaErnestmjinga
@msafiriomary893
@msafiriomary893 16 күн бұрын
Sasa wazungu nao siiii wanakwao.
@AmadeSalimoSalimo-gw8ij
@AmadeSalimoSalimo-gw8ij 15 күн бұрын
🎉🎉🎉asaanteh
@ThamiKhundula
@ThamiKhundula 15 күн бұрын
Kagame ni president mubaya sana kàma haujui hajui😢😢Kagame puppets of Europe
@UmutoniKeren
@UmutoniKeren 14 күн бұрын
Uwongo uwo ni mu diplomacia kwako Lakini haimkataze kuwaambia ukweli
@kwisa4899
@kwisa4899 16 күн бұрын
Hivi unafahamu kwamba kagame anatumiwa na wene nguvu kufazili mtandao wa wezi wa madini congo
@katemachanda7035
@katemachanda7035 15 күн бұрын
Inasadikika hivyo. Lkn haimaanishi ndio kweli...
@Mrsalt-zs
@Mrsalt-zs 14 күн бұрын
Ni kweli na uganda
@muj-c6p
@muj-c6p 8 күн бұрын
Kinywa chako kinanuka mavi ya mama yako
@muj-c6p
@muj-c6p 8 күн бұрын
Wewe unafirwa msenge
@jeanonaseane5896
@jeanonaseane5896 16 күн бұрын
Kagame hana funjo ya kutupa sisi wa Africa, yeye mwenyewe amekua na woga kwasasa kwa sababu Europa na marekani wameanza kum saliti, kumbuka istoria ya Rais Mobutu wazungu wali muinuwa kama malaika zao mwisho waka mtupa. Kagame nae atapitia kwahi njia apende asipo penda!!!!
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq 16 күн бұрын
🤔🤔 kuna ka unafiki hapa me huyu simuamini Wacha tuone japo ameongea vizuri 🙌🙌
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 10 күн бұрын
Nchi nyingine Africa bado hatuna viongozi
@Jacksonsaidyomary
@Jacksonsaidyomary 14 күн бұрын
Ibrahim traore na hapa ipo😊
@japhetdaudmaneno8440
@japhetdaudmaneno8440 16 күн бұрын
Mwamba sana a.k.a JPM wa Bukunabe
@Hamylove_25
@Hamylove_25 17 сағат бұрын
Nikupe nyepesi nyepesi Konde Gang yataka kumsaini Msanii mpya anaeitwa Hamy Love anaetamba kwa wimbo wake wa Subira andika Subira by Hamy Love ukaone utamu wa huyo mwamba
@mwajumasakina9599
@mwajumasakina9599 15 күн бұрын
Traore awe makini sana,huyu kagame museveni ndio viongozi ambao wanaongoza kwa kuwauwa viongozi wazuri Africa, kifo cha kadafi museveni na kagame waliuusika, kagame mnafki mkubwa sana, chunguzeni sana mnapozungumzia habari za huyu kagame sio mzuri hata kidogo
@katemachanda7035
@katemachanda7035 15 күн бұрын
Sio kweli, hisia tu hizo😅
@jacksonphares8744
@jacksonphares8744 14 күн бұрын
😅😅😅😅 ndugu mchunguzi sisi hatukuwezi daaaah ila kwa hili nimeamini ata uo ubaya inawezekana wanampakazia2, lkn ukweli upo
@BonderNampeja
@BonderNampeja 14 күн бұрын
Sema kiukweli kagame nae ametuchosha wapenda mageuzi awaachie vijana nao walisogeze taifa lake mbele
@jameskenny1808
@jameskenny1808 16 күн бұрын
Ni karma wewe humfahamu kagame. Kagame anafahamu anacho kisema hiyo kauli yake, ni maji ya kutafuta kuji kosha ila kifo cha traore kita tokana na kagame kujisogeza kwa traore Magufuli iko wapi baada ya kujisogeza kwa kagame. Mimi ukiendelea ku mtakasa kagame wako sita kuwa na wewe tena.
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 16 күн бұрын
Kagame mwenyewe ni nyang’au
@muj-c6p
@muj-c6p 8 күн бұрын
Baba yako ni msenge anakufila
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk 14 күн бұрын
WAZUNGU NDIVYO WALIVYO KIONGOZI AMBAYE HAKUBALIANI NA MATAKWA YAO YA KUKANDAMIZA KUIBA HUYO KWAO NI DICTATA HAWATAKI KABISA VIONGOZI WAZURI WENYE NIA YA KUMNUFAISHA MWAFRIKA
@Thomasgodfrey-o1i
@Thomasgodfrey-o1i 15 күн бұрын
Leo umeongea ukweli.
@PatrickKagiraneza-ok8cw
@PatrickKagiraneza-ok8cw 16 күн бұрын
Apana bwana isaya mimi niko DRC kagame ana sumbuwa Congo na magaidi yake ya m23...na huko mosumbidji kagame hatakiwi huko...ni mtu mubaya sana...
@TabataKinyelezi
@TabataKinyelezi 16 күн бұрын
Kweli kabisa
@NdahiromugungaErnest
@NdahiromugungaErnest 15 күн бұрын
hhhhhh je wewe ni mtu mzuli et
@MosesGahutu
@MosesGahutu 11 күн бұрын
shinda ya Congo nii Congo wenyewe
@esperatamukankusi
@esperatamukankusi 10 күн бұрын
Kagame tunamupenda saana
@TibihikaGerad
@TibihikaGerad 10 күн бұрын
Kwa nn inch ndogo inawasumbua? Ivo unajua Kongo ni ya 3 kwa ukubwa Afrika nadhan🤔Iv unajua Rwanda n sawa na mkoa mmoja wa Tz? Kuwa na akili mwiz wa Mali zenu sio Kagame ni wazungu na viongoz wenu
@ibn-morishot.v623
@ibn-morishot.v623 16 күн бұрын
Siku Ibrahim traore! Ataamua kushirikiana na Paul Kagame! Basi juweni anakaribia kufariki maana yule Kagame ni Kibaraka wa Marekani. 🇰🇪
@katemachanda7035
@katemachanda7035 15 күн бұрын
Sio kweli, hizo ni habari za hisia... Hadi Sasa mbinu za kukabiliana na ugaidi Traure kapewa na Kagame Kwa taarifa yako...
@muj-c6p
@muj-c6p 8 күн бұрын
Nafikili unatombwa kinywani
@gashemaolivier2913
@gashemaolivier2913 Күн бұрын
Traore is not stupid to join Kagame
@katemachanda7035
@katemachanda7035 Күн бұрын
@gashemaolivier2913 Kwa sababu hufuatilii yanayoendelea bali waongozwa na hisia.
@TheonesteNdatimana
@TheonesteNdatimana 16 күн бұрын
Waazungu Wanatuona Kam matakoao one day watatuona sisi wafulika
@selestinfrancis5904
@selestinfrancis5904 13 күн бұрын
Kila laheri ktk kujali na kuwajibika
@AzizimmembuMmembu
@AzizimmembuMmembu 16 күн бұрын
Huyoo hapana siyo shujaa Wetu bwana mwakilembe!!!
@augustabisetsa5007
@augustabisetsa5007 13 күн бұрын
Wewe tu na roho yako ,, mbaya,, kagame kioo cha africa,, dunia inamjuwa
@muj-c6p
@muj-c6p 8 күн бұрын
Kwako wewe shuuja unaemkubali ni fdrl mbwa we
@AzizimmembuMmembu
@AzizimmembuMmembu 8 күн бұрын
@@muj-c6p oyaa we choko nn we tòaa hojaa sio unatukana watu huyo mm simkubali namuona kibaraka kama wewe fala wewe
@AzizimmembuMmembu
@AzizimmembuMmembu 8 күн бұрын
@@augustabisetsa5007 huyo unaemuona mungu ndio ana roho mbaya anasababishaa unafki tu africa Congo wanaumiaa na huyo huyo kibaraka wa wazungu pumbavu wewe!! Hawezi kuwa shujaa wa africa !!
@RamazaniAmisi-ns5mf
@RamazaniAmisi-ns5mf 11 күн бұрын
muda simrefu congo itakuwa tegemezi kwa duniya
@muj-c6p
@muj-c6p 8 күн бұрын
Kwa Congo shida ni moja tu, viongozi majambazi
@martinclassic7595
@martinclassic7595 16 күн бұрын
Kaka wewe ni mtagazaji mzuli Ila puguza kurudilia maneno kila siku
@CodeWithAthanase
@CodeWithAthanase 16 күн бұрын
Mwakilembe usisahau Rwanda inatumiwa na Manyang'au kuivuruga DRC
@msajigwa9882
@msajigwa9882 16 күн бұрын
Mwakirembe Mimi huyujama kagame siwagi na mwamini hata kidogo japokuwa nasikiya ametowa cece kwa manyankawu
@MurphyDjuma-u3u
@MurphyDjuma-u3u 12 күн бұрын
Unamwamini we mnyarwanda? Wanyarwanda tunamwamini mia Kwa mia , achana na usutwa mtupu
@muj-c6p
@muj-c6p 8 күн бұрын
Mbona unamkubali mama yako na yeye ni kahaba
@rukundorwiza5223
@rukundorwiza5223 15 күн бұрын
Wewe muwongo KAGAME nikibaraka cha wazungu 😊don't compare TRAOLE and KAGAME please
@MurphyDjuma-u3u
@MurphyDjuma-u3u 12 күн бұрын
Alafu traore , Russia ni weusi😂
@rukundorwiza5223
@rukundorwiza5223 12 күн бұрын
@MurphyDjuma-u3u ndiyo
@alfredirect
@alfredirect 15 күн бұрын
Amen Amen
@dicksonagapity7231
@dicksonagapity7231 16 күн бұрын
Huyu ana tofaut na raisi wa uturuki...n ndumi la kuwili
@afropanorama4730
@afropanorama4730 16 күн бұрын
magu pia wamemdedisha
@Babalaokingi
@Babalaokingi 11 күн бұрын
Acha kutetea ujinga na upumbafu unamusifia kagame kwakipi unamusifia kwakuauwa wa africa
@muj-c6p
@muj-c6p 8 күн бұрын
Mbona unamsifiya mama yako na ni malaya
@MuganzaIlkando-l7v
@MuganzaIlkando-l7v 15 күн бұрын
Huyo kagame ni mtumishi mdogo ,Sasa wewe una hishi wapi wewe kweli???
@NdahiromugungaErnest
@NdahiromugungaErnest 15 күн бұрын
hivi ww hulizishwa na nini kama hauliziki na kiongozi bola ka PK
@TibihikaGerad
@TibihikaGerad 10 күн бұрын
Ni mdogo kivip?
@VeronicaBonafasi
@VeronicaBonafasi 7 күн бұрын
K❤❤🎉🎉🎉👍
@GatagariRubano
@GatagariRubano 12 күн бұрын
Na msifuni kagame nyie watanzani kama a single kuwa kagame hao magaifi wangewamaliza kwasababu jeshi lenu la Tanzania ni jeshi la wanawake tupu ka alivo amri jeshi wenu.
@ELIFASMADEBHO
@ELIFASMADEBHO 15 күн бұрын
MWALMU KAGAME SYO MKOMBOZI HUYO HE IS STILL A PUPPET
@ndigimunaziri3575
@ndigimunaziri3575 15 күн бұрын
Huna habari rafiki yangu endelea na ucunguzi wa kina kuhusu huyo Raisi
@JumaManyama-c8j
@JumaManyama-c8j 16 күн бұрын
Zungumza ya Traore usichanganye mambo Kagame hafai
@TibihikaGerad
@TibihikaGerad 10 күн бұрын
Hafai kivip? Mara nyingi mnaongozwa na story za mitandaon na huenda hupajui Rwanda wew
@inamahorosauda5983
@inamahorosauda5983 16 күн бұрын
Apanekwanza amani kongo amewuwa wakongo mamiriyoni nawanyarwanda kisha anareta unafiki anatafuta minutes zakuwuwa huyo rayis ayace uongo shetani mukubwa afrik
@Nehemiaayo-b8c
@Nehemiaayo-b8c 16 күн бұрын
kagame. mnafiki. achie wakongo kwanza wawe na amani
@RahayirwaCelestin
@RahayirwaCelestin 16 күн бұрын
Acha kudanganyia Kagame hana uwezo wakukosesha amani Congo juu inchi ya Kagame nindogo watu wake nikidogo Congo inaweza futa Rwanda mara moja kwahivyo nguvyu za m23 sio zakutoka Rwanda zinatoka inje ya Afrika
@augustabisetsa5007
@augustabisetsa5007 13 күн бұрын
Mnafiki wewe usiyejitambuwa ,, endeleeni kunenguwa viuno
@MosesGahutu
@MosesGahutu 11 күн бұрын
kwan kagame ni kisekedi kagame hahusiani na 🇨🇩 wa na wapi kuwa mwelewa
@TibihikaGerad
@TibihikaGerad 10 күн бұрын
​@@RahayirwaCelestinumemwambia ukwer uyu kichaa kwa mtu ambaye pajua Rwanda ni inch moja safi sana sema wengine wanaanglia stor
Duniani Leo
29:46
VOA Swahili
Рет қаралды 5 М.
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
MWAMBA AMEUNGURUMA KINACHOENDELEA  CONGO UMOJA WA AFRIKA UMENYAMAZA
11:03
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 11 М.
HOTUBA YA TRAORE AMEIDHALILISHA UFARANSA BILA AFRIKA MNGEKUWA OMBA OMBA HATUWATAKI
10:22
KWA NINI MWAMBA TRAORE HAJAJA TANZANIA?
10:09
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 111 М.
TRAORE KAPEWA SNIPERS NA PUTIN BAADA YA JARIBIO LA 13 KUTAKA KUMUUA
9:53
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 47 М.
TRAORE AMEWAHUKUMU KUNYONGWA MA-SPY WANNE WA UFARANSA ALIOWAKAMATA BURKINABE
9:31
UTABIRI HUU ALIO UTABIRI MWALIMU NYERERE UMETIMIA KWA ASILIMIA 100%..?
9:13