RAMMY GALIS AONYESHA BMW YA MILIONI 40/ NISHASAHAU NIMEUZA FILAMU/ HIZI NI JUHUDI ZANGU MWENYEWE

  Рет қаралды 15,073

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

#wasafi #refresh

Пікірлер: 53
@AhmedSalah-ri3es
@AhmedSalah-ri3es 4 жыл бұрын
Acha uchonganishi rammy galis mstaarabu sana anajielewa wachonganishi sana nyinyi haswa wcb
@maheeraltooby6862
@maheeraltooby6862 3 жыл бұрын
Huyu kaka namkubali xnaa mm nipo Omani muscat
@bonnysureolkokolaboy4342
@bonnysureolkokolaboy4342 4 жыл бұрын
Wew Dada mtangazaji jaribu kufunika hizo vipaja kaa za kuku
@gullaalex6590
@gullaalex6590 4 жыл бұрын
😂😂Jaman
@adsonjoseph8933
@adsonjoseph8933 4 жыл бұрын
Mapaja kama miwa ya kilombero
@musichealsTz
@musichealsTz 4 жыл бұрын
Mtangazaji mwenyewe amevaa nguo kinyume na maadili yetu.
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Rami unapendeza usipo suka ukiduka unakuwa mbaya
@healer4282
@healer4282 4 жыл бұрын
Weee nae vaa nguo nzuri viguu kama miwa vipaja viko wazi kama njiwa huini kama wajidhalilisha ama wataka diamond apite na ww nn wamvalia vituko?
@munaahmed8499
@munaahmed8499 4 жыл бұрын
Yaan ana jina zur lkn vazi lake subhannallah mtihan kweli sijawah ona akivaa vzr kwakweli
@MohammedAli-vq2dk
@MohammedAli-vq2dk 4 жыл бұрын
@@munaahmed8499 mpk Ramadhan ndo anavaa vzr
@munaahmed8499
@munaahmed8499 4 жыл бұрын
@@MohammedAli-vq2dk sasa ndugu yangu Ramadan had Ramadan si kumchezea mungu ? Ni sawa na wale wanaoswali mwez wa Ramadan na ukiisha na swala zao zimeisha astaghafirullah mtihan kweli
@MohammedAli-vq2dk
@MohammedAli-vq2dk 4 жыл бұрын
@@munaahmed8499 ndo hv watu tunaendekeza Dunia hatufikirii kesho yetu
@munaahmed8499
@munaahmed8499 4 жыл бұрын
@@MohammedAli-vq2dk kweli kabisa
@mussaabobakar7537
@mussaabobakar7537 4 жыл бұрын
Kwan leo umevaa nn jaman naona vinguu tu mm atasivielewi
@yudatadeshayo4434
@yudatadeshayo4434 4 жыл бұрын
Yaniii aliyaaa hivii unajiangaliaga kwenye kioo una miguu kama banio la ugali
@rehemahamisi9971
@rehemahamisi9971 4 жыл бұрын
usimfokee 😁😁😁😁😁
@happyjohn5882
@happyjohn5882 4 жыл бұрын
@@rehemahamisi9971 hahaaaaa kweli watu wana jock's mbaya za ngumi kabisaa hahaaaa eti banio la kupikia ugali tena lilee la mtiii hahaaaaa
@christophadismas8980
@christophadismas8980 4 жыл бұрын
Wewe mtangazaji unawaziz kweli au Yatima unataka simba akuone hatununui kama matete
@hamisikalulumbe6857
@hamisikalulumbe6857 4 жыл бұрын
Kwani we umevaaa sahihi apo
@innocentandrew401
@innocentandrew401 4 жыл бұрын
Hiyo rammy
@vicentbrown4503
@vicentbrown4503 4 жыл бұрын
mmmh tatizo iloo.....!!!
@delsonandrew9330
@delsonandrew9330 4 жыл бұрын
We ni Kioo cha Jamii wadogo zak unawafundisha nn?
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Dahaa unaongeaga vixur devi beby wako akikusikia anajivunia kuwa na wewe
@delsonandrew9330
@delsonandrew9330 4 жыл бұрын
We mtangazaji umevaa kinguo gan hayo ndo maadili
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 4 жыл бұрын
Mnawatafutia watu kik naona
@SIMULIZIZONE
@SIMULIZIZONE 4 жыл бұрын
Mjue "Dada wa Kim Jong-un, Mastermind mkuu wa utawala Korea Kaskazini, kzbin.info/www/bejne/j3fIqqN-ms2Dhtk kzbin.info/www/bejne/j3fIqqN-ms2Dhtk
@kombomwazini7748
@kombomwazini7748 4 жыл бұрын
Hjhhhjh eti muguu ya kuku
@oscarx5916
@oscarx5916 4 жыл бұрын
BMW ina kilometer 350,000😁
@dellamurphy7400
@dellamurphy7400 4 жыл бұрын
Anaazima magari ku show off kwa fans wake, nina ushahidi nae, nilicheka sana
@jessicabrown5885
@jessicabrown5885 4 жыл бұрын
@@dellamurphy7400 ushaidi kaa nao mwenyewe
@dellamurphy7400
@dellamurphy7400 4 жыл бұрын
@@jessicabrown5885 acheni shobo
@jessicabrown5885
@jessicabrown5885 4 жыл бұрын
@@dellamurphy7400 fala nn we si ndo mwenye shobo kufwatilia maisha ya watu
@professerayyub4825
@professerayyub4825 4 жыл бұрын
@@jessicabrown5885 kbsa dadangu wajipe kazi wasio na kazi
@elvistv7601
@elvistv7601 4 жыл бұрын
Bongo movie ndo nn
@linuskide9549
@linuskide9549 4 жыл бұрын
Bongo movie ni aina ya chupi isiyovutika
@elvistv7601
@elvistv7601 4 жыл бұрын
@@linuskide9549 🤣🤣 we muhuni punguza bangi aseee
@linuskide9549
@linuskide9549 4 жыл бұрын
Kumbe unajua alaf unatuchoraaaaaa hahahahahhahaha
@ziadamkinga5254
@ziadamkinga5254 4 жыл бұрын
Wa kwanza leo
@zawardrugemalira9517
@zawardrugemalira9517 4 жыл бұрын
Hv hyu dada kavaa nn hapo,kanaboa😏😏😏
@mkamemgesi1778
@mkamemgesi1778 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@happyjohn5882
@happyjohn5882 4 жыл бұрын
Hahaaaaa
@eliarichard9218
@eliarichard9218 4 жыл бұрын
Ako kanguo na wewe vimiguu kama kuku.
@dellamurphy7400
@dellamurphy7400 4 жыл бұрын
Anaazima magari huyo kujionyesha kwa watu kama ana uwezo, stupid sana huyo
@ahmednoor1412
@ahmednoor1412 4 жыл бұрын
Nawewe kaazime..wivu tu unakusumbua na chuki za kijinga
@linuskide9549
@linuskide9549 4 жыл бұрын
Hapo nadhani ujawahi kalia hata sit ya gar unaishia za daladala kaaazime na ww kama unaaaona nikujionesha huna hela ni saawa unapig kelele
@dellamurphy7400
@dellamurphy7400 4 жыл бұрын
@@linuskide9549 kumbe na wewe mpumbavu kama huyo mwenzako, nina gari mzee, sina maisha ya kimasikini kama wewe, utakufa kufirwa, muache tamaa, kutetea upumbavu kama huko, fanya kazi umiliko gari lako
@linuskide9549
@linuskide9549 4 жыл бұрын
Mzeeeee huna maisha mzeeee waaandika comment wote hawanaga maisha
@linuskide9549
@linuskide9549 4 жыл бұрын
Na wish nikupe no uwone wa2 2navyotembelea maisha panya road ww
@AhmedSalah-ri3es
@AhmedSalah-ri3es 4 жыл бұрын
Acha uchonganishi rammy galis mstaarabu sana anajielewa wachonganishi sana nyinyi haswa wcb
@boniventurejohn4825
@boniventurejohn4825 4 жыл бұрын
Rammy as xteven kanumba
ЭТО НАСТОЯЩАЯ МАГИЯ😬😬😬
00:19
Chapitosiki
Рет қаралды 3,5 МЛН
🍉😋 #shorts
00:24
Денис Кукояка
Рет қаралды 3,8 МЛН
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:51
Rammy:Sababu Ya kuachana Na POSH QUEEN/Aibu/Ananipigia Simu
12:54
Dizzim Online
Рет қаралды 68 М.
WIKI 10 ZA MAANGAMIZI : UNTOUCHABLE NA RICH MONSTER
13:00
EastAfricaRadio
Рет қаралды 56 М.
ЭТО НАСТОЯЩАЯ МАГИЯ😬😬😬
00:19
Chapitosiki
Рет қаралды 3,5 МЛН