Snack Man Anajua kufundisha ngumi za kisasa.kwa sababu ya Leval kubwa Ambayo wamefikia na kupita kwa macocha wazuri na wakubwa.
@BakariMtangenange9 күн бұрын
Umaarufu wa kijinga huo cfa nyingi alafu mnagombania wote daladala
@johnngongi48109 күн бұрын
Broh beka unayumba sio maneno hayo kabisa…… Mzee wetu Rashid Matumla ni bondia mkongwe na aliyejizoelea umaarufu way back huku…. So kuhusu kugombania daladala au kutogombani daladala it depend na bless za Mungu so usimcheki aliyekupa mzee chukua hiyo…….👊🏽👊🏽👊🏽