RATIBA YA SAFARI ZA TRENI YA SGR DAR - MORO

  Рет қаралды 7,443

TRC RELI TV

TRC RELI TV

Ай бұрын

Пікірлер: 11
@cruxmkwizu1618
@cruxmkwizu1618 Ай бұрын
Nafikir kama pangekuwa na safari ya 06 :00 kutoka morogoro ingependeza zaid maana watu wanatoka moro kufuata mahitaji mjin ila kutoka dar es Salam watu watakuwa wachache kutokana na mazingira yalioko kwa sasa Kwa mfano kituo cha mwendokas bado hakijaanza kutumika na pia mwendokas wanaanza root 05:30 hivyo hawez wahi kwa muda huo ili spande 06:00 Hakuna kituo cha daladala hapo tanzanite tofaut na posta station na abiria anabid aunge magar meng kufika hapo Ni maoni tu ndugu zang TRC
@clementmsenga2485
@clementmsenga2485 Ай бұрын
umeongea point sana watu wanafuata mahitaji mjini na wengine wanaweza kupanga Soga au PUGU alafuwakafanya kazi AU BIASHARA Dar, kama vipi train zipishane si mabehewa yapo yakutosha?
@stewartkilewo4433
@stewartkilewo4433 Ай бұрын
Kwa jinsi nilivyoona huu ni mwanzo kwa sababu zile treni nyingine zimepaki labda baada ya muda wataanzisha safari zaidi kwa sababu mi nakumbuka jumapili nilienda na hiyo treni morogoro saa 10 jioni na kuke moro ikayoka saa 1:30 usiku na dar ikafika saa 3:19usiku
@bangarocky8925
@bangarocky8925 Ай бұрын
wekeni ofisi mjini morogoro wengine hawawezi kukata kwyenye mtandao nakionda mbali maana ukienda iwe kwa safali husikatu
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 Ай бұрын
Kumbe mara moja tu kwa siku😮
@SaidSaid-bl9cs
@SaidSaid-bl9cs Ай бұрын
Iko poa Sana hii
@nachengasir5426
@nachengasir5426 Ай бұрын
Kwa hiyo hakuna safari za join kutoka moro kuja dar hii haijakaa sawa mi nilipanga niende moro asubuhi jioni nilud sa itanilazimu kulala au nilud kwa bas
@iddiadam857
@iddiadam857 Ай бұрын
Safari za jioni zipi😂 weka video full screen
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 Ай бұрын
Treni ya mwisho inaondoka mororgoro saa 1:30 usiku kuelekea Dar sasa sijaelewa jioni ya saa ngapi unayoi zungumza ww
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 Ай бұрын
Nilud ndio nini kiswahili kimekupiga chenga
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 17 күн бұрын
Jioni si ndo hiyo ya saa Kumi Mkuu?
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 8 МЛН
Советы на всё лето 4 @postworkllc
00:23
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,5 МЛН
Station Tour : Station Mpya ya TRC Dar kama Airport ndogo
10:50