Ray vanny ashambuliwa na mashabiki baada ya kufanya REMIX ya wimbo wa Dayoo "huu mwaka"

  Рет қаралды 14,458

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Pakua Application ya Upawa ili ujifunze jinsi ya kupika vyakula mbalimbali na kusoma makala muhimu za chakula na lishe
play.google.co...

Пікірлер: 97
@official_dicksonmunga
@official_dicksonmunga 8 ай бұрын
Binafsi ni shabiki mkubwa wa Rayvanny ila anajishusha sanaaa. Tumeanza kuamini kua ni msanii wakufata upepo
@marthangowi9812
@marthangowi9812 8 ай бұрын
Kabisa
@innocentchacky6126
@innocentchacky6126 8 ай бұрын
Ungekua unajua mziki usingesema anajishusha
@masheyn
@masheyn 8 ай бұрын
Kabsa
@firstnakoko6605
@firstnakoko6605 8 ай бұрын
Piga Kaz chuiiiii
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 8 ай бұрын
kusema kweli rayvanny ana zingua yani hana tena idea zake kichwani kila siku REMIX
@deospackle2158
@deospackle2158 8 ай бұрын
Rayvanny anapromote sana wasanii wadogo kupitia nyimbo zao wenyewe marekani wanafanya sana ivyo...
@leaurexcereh2836
@leaurexcereh2836 8 ай бұрын
Nikweli jamaa anaboao sana, unapenda sana kufanya remix it's song, Nilitambua ilo ilipoaza kwenye it's song ya mavokali Commando
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 8 ай бұрын
Alianza na Jennifer ya Gucci
@almasially6509
@almasially6509 8 ай бұрын
Collabo anazotakiwa afanye macvoice, anafanya yeye
@mahandoamisse793
@mahandoamisse793 8 ай бұрын
Ki ukweli raivanny anazinguwa dayoo ni mwamba lakini hi atujapenda ilibidi maokoto yawe ni yakwako
@PhyinaElias-mu4wf
@PhyinaElias-mu4wf 8 ай бұрын
Rayvanny na harmonize wanapenda sana remix ila saiv Ray ndo anaongeza,,,ila inapenda n wanaendeleza mziki na kusuport new generation 🎉🎉
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 8 ай бұрын
Harmonize niliamini avofanya remix Ile ya furaha kulewa na marafiki mara Ile liwalo na liwe Saiv yupo Ile laaaaa Naona vanny nae anafata upepo
@MashatiClassic
@MashatiClassic 8 ай бұрын
😂😂😂 Gibela,commando,bounce,hihihi,Ngoma kibao remix
@zmclassictv
@zmclassictv 8 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/paa8cpaQf9l8qs0si=6SwmJD3jhtoAw2mq Nandi amkana belnice hazarani
@simbajumanne9718
@simbajumanne9718 8 ай бұрын
Ni mpumbavuuu sana uyuuu.alianza na mavokaali.sasa iv miso misondo na sasa anazingua
@SALUMUKATANI-u8b
@SALUMUKATANI-u8b 8 ай бұрын
Na gibela ya chinno kid umeisahau yaaani sijui kaishiwa
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 8 ай бұрын
Hiyo nyimbo Akija nayo Wasafi Festival tunamzimia tena mziki kama Arusha maana sisi WcB Hatupendaji nyimbo za kudandia dandia na Atujapenda hiyo kitu"
@DizzoclassicSoundstz
@DizzoclassicSoundstz 8 ай бұрын
Kaishiwa mashaili uyo kwanza hata jina la chui alimfai uyo dogo ajui kuimba
@hamiszali1434
@hamiszali1434 8 ай бұрын
Nyimbo ni hit sana ,,huyu dogo alipaswa aimbe mwenyewe ili wamfahamu aseee
@yeasrmsafi7152
@yeasrmsafi7152 8 ай бұрын
Kwa hio dayoo haumfaham
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 8 ай бұрын
​@@yeasrmsafi7152itakuwa mgeni uyo
@Maishanimaamuzi
@Maishanimaamuzi 8 ай бұрын
Mpk kenya tunamfaam bana dayo yuko chonjo
@USDisdoomed
@USDisdoomed 8 ай бұрын
Mashabik wa WCB hao washamba sana,,,,msanii anaenuliwa vp sio kma wasanii wengine wanaiba nyimbo zawatu
@keithebest7853
@keithebest7853 8 ай бұрын
We ndo mshamba kama anataka kumsapot watoe nyimbo sio remix remix ni kumfanya msanii asikue
@Foundernationtz
@Foundernationtz 8 ай бұрын
Dooh rayvanny pia ni taper anajib messej fb. Kwawasanii chipkiz anawatapeli. Broh mungu yupo. Utayumba acha utaper
@user-yd8sp4es9n
@user-yd8sp4es9n 8 ай бұрын
Chui.🎉🎉
@HalimaJuma-de5gc
@HalimaJuma-de5gc 8 ай бұрын
Mzee hata ya mavokali alipita nayo kweli hbakizi kitu ni zoa zoa 😢😢😢😢
@mrsinia3064
@mrsinia3064 8 ай бұрын
😂😂😂
@aishabakari8040
@aishabakari8040 8 ай бұрын
Kwakweli
@msafirisaidiire
@msafirisaidiire 8 ай бұрын
tusemeukweli ni kwamba vanboi misuli mziki imesharegea awezi kufanya chocote bilia FT kondegang mwaka 2020 2021 alitaka kubadili upepo anachofanya vanboi alishutukia nyimbo zake azisikilizwi mtaani club REMIX
@emmanuelrobina4894
@emmanuelrobina4894 8 ай бұрын
Hakuna cha ku-support madogo… we fatilia kila ngoma anayoifanyia remix ndo inapotea
@HAFEEZABAKR
@HAFEEZABAKR 8 ай бұрын
Chui king 🤴 🙌 💙 🎉🎉🎉🎉
@WilfredMuteti-wl4bp
@WilfredMuteti-wl4bp 8 ай бұрын
Mm namuomba tu pesa jamani sina bana chui nisaidie ayse
@WilfredMuteti-wl4bp
@WilfredMuteti-wl4bp 8 ай бұрын
Eti
@nicksonbrown3245
@nicksonbrown3245 8 ай бұрын
Kwa sasa hana vibe lolote yupo yupo anapotea mshamba huyo 😅
@hanifamziray277
@hanifamziray277 8 ай бұрын
Mwachen alee mimba kwanza ameshuka sn kimziki
@PeterMalima-fc4tf
@PeterMalima-fc4tf 8 ай бұрын
Iyo ngoma ni kali ila ina mapungufu Dayoo kaimbia makundi machache iyo ngoma kasahau makundi mengine kwenye verse zake kakomalia bodaboda na wamama wauza mbogamboga,sikilizeni ngoma kwanza usikute ina burudani ya nyongeza😀😀
@KwizerJackson-is7fh
@KwizerJackson-is7fh 8 ай бұрын
Amejima
@dreampachaofficial
@dreampachaofficial 8 ай бұрын
Rayvvanny amebooma jamani 😢 heri tu angebaki wasafi masikini ya Mungu
@CHIEF_WA_BUJONDE
@CHIEF_WA_BUJONDE 8 ай бұрын
mimi napenda rayvanny wasani wachini wapo vizuri Mimi napenda dogo arikuwa ajurikani sasa tunapenda vani boy waonge tu watz washamba sana rayvanny wasani wachini yupo vizuri wimbo nimeupata vijijini vizuri
@HassaniHemedy-jf6dv
@HassaniHemedy-jf6dv 8 ай бұрын
Daah rayvanny hana lolote huyo ani ana penda dezo dezo huyo hana lolo te huyu chui hasaivi amepotea kabis
@bokabecca5473
@bokabecca5473 8 ай бұрын
Vijana wengi wana vipaji lakini hawajui nini wanafanya kwenye biashara ya muziki. Sidhani hata kama wanajua kwanini nifanye rmx wimbo wangu. Yani yeye ndio ameomba aufanyie wimbo wake rmx. Lakini tusimbeze sana kila moja ana njia yake ya kutafuta jukwaa, Makubaliano. Baadhi ya Wasanii wanaochipukia hutoa muziki mzuri lakini kwa ufahamu, akili zao za kutojiamini kwao hufanya kazi dhidi yao kuwa ngumu kutokana na kutoamini kuwa kitu kizuri kinaweza kutokea kwao. Lazima uamini kuwa wewe ni bora kwa kazi yako na kuvuma kwako kunawezekana.
@jamespilimo8986
@jamespilimo8986 8 ай бұрын
Hamna kitu huyo mzee wa kudandia,tena anaweka kwenye utube yake maana yake nn
@dannymarl2037
@dannymarl2037 8 ай бұрын
Sipoa kwanini afanye remix upep zote anataka apite nayo 😂😂😂
@NeyoBreezy-ie1by
@NeyoBreezy-ie1by 8 ай бұрын
Mi nilikua nampenda rayvanny kutokana n'a alivo kua anaenda international anachapa mangoma Mara ma maruma Mara akafanya ivi Ila naona katudi nyuma kiasi kwamba ata kwenye top 5 yangu hakai ivi ju ya kujishusha vinyimbo tu bikivuma anarukia ata awe Nani Bira kutizama ye ni lever tena ameniangusha huu mwambaa kichizi yani
@Laughter_man
@Laughter_man 8 ай бұрын
Dayoo sio msanii mdogo 😮😮 muheshimu bas
@RobsonWisdom
@RobsonWisdom 8 ай бұрын
Saiz amekufa kimziki Hana ideas mpya anaenda na trending 😂😂😂😂😂daaa chui anatuangushaaaa
@Mtazyinstrumental
@Mtazyinstrumental 8 ай бұрын
Kama dayo karuhusu watanzania bana
@Mtazyinstrumental
@Mtazyinstrumental 8 ай бұрын
Kusapot hit ni kaz nyepes
@Mtazyinstrumental
@Mtazyinstrumental 8 ай бұрын
Kusapot hit ni kaz nyepes
@juliusmagunila6308
@juliusmagunila6308 8 ай бұрын
Kiukweli rayvann anapitaga na upepo
@Rafaeltuli-gw8ii
@Rafaeltuli-gw8ii 8 ай бұрын
Mzee wa upepo
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 8 ай бұрын
Binadamu hawana wema wakikausha munawaona hawatoi ushirikiano wakitoa ushirikiano munawasema, angalieni tu ana viwers wangapi dayo na vany ana viwers wangapi, na istoshe huwezi kumsaidia mtu asiejitaihidi au kuonesha nia ya kusaidiwa nikimaanisha ushawishi, dunia ya sasa hakuna alietayari kuharikiwa kwa ajili ya mwengine.
@RajabuShaibu-m6d
@RajabuShaibu-m6d 8 ай бұрын
Uko saw ila sio kumsaidia kwa kutoa limix nyimbo yake maan ukitoa limix nyimbo yake kumbuk unasukum guludum lako mbele maan tunaita upepo inakuwaj dayoo katoa hit song ndo utoe limix nae ulikuwepo wapi alipo kuw anaimba nyimbo zingine ukasapot ukiw staa msapoti dayoo kwa kufanya nae ngoma mpya na sio limix
@RajabuShaibu-m6d
@RajabuShaibu-m6d 8 ай бұрын
Mfano uoni mondi akimsapot mtu uwa afanyi limix kaka angalia kafany nyimbo na jux ngoma emeenda maan ya kwamb kamsapot mpak jux mwenyew anasem ajawai kufikish viwazi wengi kweny ile nyimb alio fany na diamond na juz katok kumshukul na kumpa zawad pia j nako pia naw kafany na daimond pia emeenda na aijawah kutokea kwake kuw na hit song ambay mpak wazung wanaimba iyo ndo saport pia na wasanii wengine ambao wameshafany kaz na diamond ila ajawah fany limix nao katoa nao nyimbo mpya
@zenahnyale3551
@zenahnyale3551 8 ай бұрын
Hawa wataka kupoteza wengine
@giddie_barnabas
@giddie_barnabas 8 ай бұрын
hata harmonize anaitabia
@bigirumanalululouise4540
@bigirumanalululouise4540 8 ай бұрын
Kumekuchaaa😂😂😂😂😂
@deospackle2158
@deospackle2158 8 ай бұрын
Wanaocomment negative hawajui music wanadhani rayvanny anategemea tena trending za Tanzania anymore...waangalie interview za vanny boy za nje ya nchi...
@googleus4903
@googleus4903 8 ай бұрын
RAYVANNY KAANZA KUFANYA REMIX YA "HUBA HULU" YA JAY MELODY, COMMANDO YA MAVOKALI, MISO MISONDO, NA HII PIA🤔🙄
@allenkwaya8594
@allenkwaya8594 8 ай бұрын
Rayvan sifa nyingi saana!! Huyo hana ideia yeyote hiyo akili hana
@CharlesLwinga-y5m
@CharlesLwinga-y5m 8 ай бұрын
anafata upepo
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 8 ай бұрын
Hana jipya
@eliusjulius3531
@eliusjulius3531 8 ай бұрын
Hata mimi nimekasilika sana, harmonize na van boy wamekua na hiyo tabia, sijui wamechoka ama shida iko wap
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 8 ай бұрын
hapana harmonize hana hizo pigo mwenye tabia hiyo ni rayvanny
@JbabaMzikimnene
@JbabaMzikimnene 8 ай бұрын
Hivi wewe boya unaongelea harmonize yupi funika bakuri lako wewe bwege ..harmo ukifanya ngoma nayy unaenda town sio kama huyu paka anaejiita chui anakuharibia ngoma yako
@HalimaJuma-de5gc
@HalimaJuma-de5gc 8 ай бұрын
Unaota amka ukojoe konde unamjua ww au unawashwa
@doreenmsafari2945
@doreenmsafari2945 8 ай бұрын
​@@HalimaJuma-de5gc😂😂😂😂😂
@BigZhumbe
@BigZhumbe 8 ай бұрын
​@@ilynpayne7491 Hujasikia ngoma Remix ya Tabulele aliyopiga Korosho boy?
@Akbar_Rich10
@Akbar_Rich10 8 ай бұрын
Mapopo Gibela Misomisondo Huu mwaka 😂😂
@mirroyjunior8348
@mirroyjunior8348 8 ай бұрын
😂😂😂😂
@mwezzireen17
@mwezzireen17 8 ай бұрын
Chui all the way
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 8 ай бұрын
atunge nyimbo zake tuna mchoka kwa ufala wake
@gaspergasper9830
@gaspergasper9830 8 ай бұрын
Yani ili apone arudi wcb kwamagoti mana anapoye kama rich mavoko sasa itabaki story
@Jaydannychawaboy1.
@Jaydannychawaboy1. 8 ай бұрын
Mih nadhani hajakosea kwa lolote lile maana ye ndo alieombwa remix 😢😢😢😢😢❤❤❤
@salmonmkanula3718
@salmonmkanula3718 8 ай бұрын
Anazingua Sana jamaa
@BigZhumbe
@BigZhumbe 8 ай бұрын
Vanny Anazingua sana
@FakiBuzwhite-no6re
@FakiBuzwhite-no6re 8 ай бұрын
Oi icho kitu kweli uyo ni mzee wa remix
@obizowizzy9432
@obizowizzy9432 8 ай бұрын
Rayvanny hawez tafuta upepo kwa nyimbo kama io na dogo ndo kamcheki broo kwann asi show love kwa mdogo ake,
@alawisaid280
@alawisaid280 8 ай бұрын
hizo ni dalili za kushuka kimziki Hana ubunifu tena
@vincentmushi1247
@vincentmushi1247 8 ай бұрын
Hata nyinyi SnS mna ubaguzi...angekuwa harmonize kafanya...msingeichambua hivi...bali mngemsifia sababu anawapa maokoto...chui akifanya vizuri hamumsifii....kazi kumponda tuuu...hasa ww Chris fevaz una kiherehere sana...ebu badilika uwe na usawa...unaboa sana Hakikisha unaisoma hii comment maana umesema uwa hauruki comment 😊
@jadenmsafi
@jadenmsafi 8 ай бұрын
Ni wajinga hawa
@Anthonyzombie-d2s
@Anthonyzombie-d2s 8 ай бұрын
Chui king piga kazi bro
@nicolenabintu2509
@nicolenabintu2509 8 ай бұрын
Sofi amelowa 😂😂😂😂
@official_kingnabiryOg
@official_kingnabiryOg 8 ай бұрын
Ila Rayvanny katumwa bwana ana kela sana 🙏🙏🙏
@alibachirofficial3939
@alibachirofficial3939 8 ай бұрын
Nikweli is killing upcoming artists
@abdulkarimmtumwa3039
@abdulkarimmtumwa3039 8 ай бұрын
Sio poa kabisa
@SALUMUKATANI-u8b
@SALUMUKATANI-u8b 8 ай бұрын
Rayvanny kaishiwa
@juniorchobobachaboba1581
@juniorchobobachaboba1581 8 ай бұрын
Another Hit Song
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 8 ай бұрын
atunge nyimbo zake tuna mchoka kwa ufala wake kila msanii afanye nae REMIX
@Oldskulgemini9991
@Oldskulgemini9991 8 ай бұрын
Ameshaisha huyo
@Ommyson.
@Ommyson. 8 ай бұрын
Anazingua😢
@erickzephania1030
@erickzephania1030 8 ай бұрын
ASAKE WA TANDARE VP..!? mnamuogopa au.. mbona anakopi kuanzia beats, videos, melody, tone za watu mpaka muonekano mpo kimyaaa... na ndio atakuwa kawafundisha vijana wake kutembea na upepo
@fj8317
@fj8317 8 ай бұрын
Punguza chuki huyo unayemuongelea ndo msanii mwenye mafanikio zaidi Afrika mashariki
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН
'Waliotumwa na Afande' wahukumiwa kifungo cha maisha jela!
2:25
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 5 М.
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 6 МЛН