Kwa kweli ni movie nzuri tena naamini tupo wengi tunao ipenda,lkn naona kama movie imeanza kuruka ivi nyie mliona doctor sonia alivo hamia kwake?ninaombi kwa ray jaribu kutizama movie ilipo ishia basi ianzie hapo ili tufatilie story vizuri,asante🇧🇮
@husnabilali309911 ай бұрын
Ilo muhimu
@AbdulZiru9 ай бұрын
Kweli hatujaona jmni
@abdallahassan637811 ай бұрын
🎉🎉🎉Na hi msije mkatuacha njian km tandi ,sisi km mashabiki tunajiis vby
@Baudouin-Tv11 ай бұрын
Kipindi moja imeruka atuya ona pale dr sonia ali amia kwake jamani 😢😢😢😢😢😢 Ray thegreatest jiongeze
@Aysher14611 ай бұрын
Basi naona ni mm ndio nimeruka kumbe ni wenyewe 😢😅😅😅
@lizybright-s7g11 ай бұрын
Washaanza uongo mbona hatujaona Sonia kuhama Jenifer kuupokea barua nk
@AminaMwavita11 күн бұрын
Big up good job 💞❤💕♥️🥰😍😘
@MastolehMastoleh10 ай бұрын
I give suzy big congrats ❤❤❤
@banjoumachen766711 ай бұрын
Vincent kigosi the king of Africa movie
@reginaIssa-m2j11 ай бұрын
❤❤❤ very nice 👍 ila hapa kunakipande kimerukwa kunamatukio mengine yanaongelewa hatujayaona jamani 😮
@ImanMarasi11 ай бұрын
Naona hii😂move because of suz tu jmn suz huyu nampenda mpaka basi ❤️❤️🔥
@Leilah211 ай бұрын
Mda umekatwa sana..@Ray Kigosi ebu angalia hapo kweli...nimeipenda
@mariyammbonakimysasaabdaal12411 ай бұрын
Mwisho nime wakuta nilisha izoweya nikajuwa ipo yoote hadi nilikuwa sifanyi kazi za waarabu vizur kumbe mwendo ule ule wa kusubir kama tandiiii😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@fatma-jh2lf11 ай бұрын
Pamoja my wa kwa Mwarabu mwenzangu
@athanasiomatonya697811 ай бұрын
😅😅😅 nakubali San hii movie brother Rey unawez
@AncyMerci-un2nu11 ай бұрын
Hongera sana watoto wa Mistha Mukamba muko juu sana 👌nawaamini sana najuwa hamutaniangusha
@JonChifuijii11 ай бұрын
Doctor 🏥 Suzen nmpend sana anguikuwe oku kwa Angola 🇦🇴 nge muwowa kabisa!
@SalmaMarselino11 ай бұрын
Yani mnaruka sana sehem nyingn sijui mkoje maana huelew bhnaaa
@ዚዱጋልትግራይ-አ7በ9 ай бұрын
Aki mwaboesha mbona mwarusha vipengele jamani😢😢
@AbdulZiru9 ай бұрын
Jmni hii move tumechoka tunaomba tandi tena
@husnabilali309911 ай бұрын
Bro ray😢😢😢😢😢 usitufanyie ivi naomba uwe unatuwekea kuanzia pale palipo kaishia usirukishe bahadhi ya matukio unatuboa naomba uzingatie ilo plz🙏🙏🙏
@chellauwimana319711 ай бұрын
Acha Namie nijiamini kam Dr Suzan ❤
@alfredtebeka249711 ай бұрын
Kikulacho kiko kingoni mwako doctor ken ata ibuka mda si mrefu, kumbe Dr Lewis karudi❤
@damasanita11 ай бұрын
Mbna kambaee imerukaa 😢😢,.sijapenda kwa kwelii
@ancillarneema11 ай бұрын
Uyu mme wa Magret nkama majinuni😂😂😂🎉🎉🎉❤❤❤
@kadkadzo754311 ай бұрын
😂😂😂😂
@vxp522811 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@SalamaFrancis-yg7sr11 ай бұрын
😂😂😂na mashavu yake ya juu juu😂
@Farthun11 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ancillar www mafii kwaisi
@ancillarneema11 ай бұрын
Waerevuke bana juu sisi tunaeza waachia coment za kiwaiguru apa na wasitulaumu
@amour769311 ай бұрын
Da Yan mm. Ata sijaelewa hii ep 38 imekuwa vp mahana ep 37 tofauti Na ep 38😢😢😢
@saeed224211 ай бұрын
Suzi kama mkurugenzi unafanya kazi vizuri
@saumodzumbo967111 ай бұрын
Jeny nakupenda bure dadaangu ❤❤❤❤❤❤
@clianmtalima306911 ай бұрын
Daah mnawahisha matukio khaa
@samyabahatialhiani40111 ай бұрын
Wakwaza1 ❤❤❤❤️
@nurudinmwakisale150911 ай бұрын
Rey kigos ume powa
@ReginaRichard-r6b11 ай бұрын
Mmmh hapa hatujaelewa kesho mje na majibu ya hili😢😢 but move ni nn nzur❤❤
@LearntowinLTN11 ай бұрын
Ray umeanza kuzingua kabisaa
@LinasudMethew-ll8bf7 ай бұрын
Yani Jennifer haamini anachokiona au kuambiwa ,safi sana anadharau bora hata alivyomsimamisha kazi,yani mtu unamstiri halaf bado anajibu shombo nadharau juu,analeta mpk wanaume kwa watu yy anaona sawa tu mjinga kbs
@fatumakushonda427711 ай бұрын
Ila Sonia ni mrembo mashallah 🥰😍❤️
@m.mmarckus629811 ай бұрын
Nimrembo lkn kuna muda wanamkosea marangi ya uso
@clevertouch461511 ай бұрын
Sonia ni mdhuriih thanaa jaman so beautiful
@Fbmovie25411 ай бұрын
Kwn vp mbn atukuona vp doctor Sonia n Jenifer kuama Kwa suszy
@Nahdiya-nr3de11 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 mama anataka uridhi kbla Baba hajafa jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AngelSteven-x4h11 ай бұрын
mbn sehem ya majambaz sjaona jamn😢
@DavidMichael-dk5fw11 ай бұрын
Naitwa David wa temeke tuko pamoja❤
@PetrinaMwalimu11 ай бұрын
😅😅😅maiti ilikufa kitambo na inatembea'KEN
@kokugonzaalfred864011 ай бұрын
Doctor sonia ameondokaje mbona ray unatuvuruga jaman 😢😢😢😢
@pridencians122711 ай бұрын
Sijapenda 😢
@RehemaSaid25511 ай бұрын
Mbna atuelew majambaz atujawaona Wala hatima ya jane😮
@reymtemi287511 ай бұрын
Nikajua ni mm tu naona wanapita shot
@AtuAtu-v9f11 ай бұрын
Ww ray ushaanza kuzingua
@astelialaurenti425711 ай бұрын
Suzani nampenda sana ❤❤
@Sheluckmsang11 ай бұрын
Hii movie inaruka vipandw bhna ray mbona atujaona majambaz wakikamatw Wala Sonia akihama kwak
@maryjohn444811 ай бұрын
Jamani humu tumepigwa na kitu kizito
@furahamanju11 ай бұрын
Ray unatokosea sana, kwanini kupunguza dakika. Kwassa dakika imekuwa ndogo sana kwakweli
@RobertKombo-nu8su8 ай бұрын
Brother Ray mbona hii tamthilia unashindwa kuipanga forexample episode ya 37 ilipo ishia hakuna uwiano na episode ya 38 inapoanzia na wewe ndo Director kama vipi muachie Mr, Single Mtambalike ndo Director anaepanga vizur series
@VeronicaZuli11 ай бұрын
Mbona pale pa jenifa kuchukia barua sioniii🙆🙆🙆
@princehenry711311 ай бұрын
Kesho jiandae cha kutuambia.... Hii tem unatukoroga kweli..... Na kama huwa unasoma hizi coment elewa kuwa wananchi wa sasa wanaelewa kuliko, haya tuwekee epsod husika, umeruka epsod moja na ufanye haraka.... Puuuuumbaaaaavuuuu
@NanaMilfath11 ай бұрын
😅😅😅
@basilikyando531911 ай бұрын
wanatuchanganyaaaa yaaaaa
@UpendoMichael-p1z11 ай бұрын
Can umeshindikana. Yaani ni shida.
@clianmtalima306911 ай бұрын
Wanazngua sana hawa
@Mauamunga11 ай бұрын
Doctor suz swadata
@Bintmsanif11 ай бұрын
Kigosi leo umetuacha
@WaydaHaji11 ай бұрын
Uvumiliv ND Kila kitu ...magret hongera
@IsaacOdhiambo-gw1ct10 ай бұрын
Like 🎉🎉 zikuje
@FatumaNjowa11 ай бұрын
Uyu Ray ukimwambia arekebishe ndio anazidi kuaribu😢
@MALCOM_TV60211 ай бұрын
39 ije ije ijeeeeeee
@irenemueni883711 ай бұрын
Kwan majambazi atujawaona
@deboraezekiel596611 ай бұрын
Kabisa majambazi hatujaona
@ashurajengela392611 ай бұрын
Iko kipande cha majambazi kuvamia kwa kina suzani kiko wapi?? 😢😢😢
@saeed224211 ай бұрын
Mbona kama episode mbili mmeruka
@meckraudndelwa-jv8co11 ай бұрын
Ray msenge😂
@lizybright-s7g11 ай бұрын
Uongo ushakuwa mwingi majambaz walikamatwa lin aaa
@maryjohn444811 ай бұрын
Eti baada uji tetee umeingia kwenye mfumo Moja kwa moja😅😅
@SamwelTz-sk3vz11 ай бұрын
Hakuna kipande kilicho niachan njian panda kama hiki sielewi kabisa Nahis Kuna kitu hakipo saw
@ZoazinaJohn11 ай бұрын
Kutokea huku DAR TMK-YOMBO KILAKALA POLICE POST ✍️😍 naisubiri mnoooo.... Maana "IMENINOGEA" 😋
@marthaelias342211 ай бұрын
Mi cjawahi ona madocta wakaenda sehem kula au kunywa wakiwa wamevaa nguo za kaz
@gaspermapesa11 ай бұрын
Hamjielewi..Kuna episode mmeruka
@WaydaHaji11 ай бұрын
Kw iyo na Sonia na WA umehama kw dr suzy
@safinyasa11 ай бұрын
Mmmmh mbona kama kuna Episode zingine hakuziweka maana kama kuna maneno humu hatujaelewa kabisaa
Brother Ray umetuchanganya ivi mashabiki tunachukulia ajeeeee??? Kama ....??? Ya samoja vipande ua vinalushwa sazingine vina katwa dakika 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢 this is not okey
@estanchekahoko273511 ай бұрын
Eti leo mm nijitahidii😅😅
@ZamdaRashid-w9t11 ай бұрын
Jmn kwan epsode ya 35 mbn siion
@Riziki-y7x11 ай бұрын
Umetukoroga ray mbn umetupeleka mbali lkn
@mishiabdul283411 ай бұрын
Next plzz ya 39
@ggfwtgg165211 ай бұрын
Kwani sonia alihama lini kwa dr Susan???na hawo wajambazi hatukuwaona ???vip nataka kujua kunavipande hatukuona jmn ray ebu panga vizuri maana inazidi kua tamuu 😅😅😅😅
@m.mmarckus629811 ай бұрын
Ndonamm nashangaa nailikua 37 ndoinafata hii
@AmaniNangerembe9 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@Zahara-l3l11 ай бұрын
🙄🙄Rey mambo mengine ss mbona unazingia
@zuhurasaid42711 ай бұрын
Nampenda sana doct Suzan yupo very strong and smart afu anajiamini sana
@MaryAmaiza-th2fo11 ай бұрын
Kama kawa niko ndani
@everlinekenga43711 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@UpendoMichael-p1z11 ай бұрын
Can umeshin
@maryamomar909411 ай бұрын
Mbn kama hatuelew hii episod
@fatma-jh2lf11 ай бұрын
Tunasubiri mchakato wadau
@FurahaDada-z3z11 ай бұрын
Wapiri
@MwanaMisi-v3r11 ай бұрын
Yaan hii movie Iko na 27min lkn comment ziko tangu Jana kwani wenzangu huwa munaiangalia wapi au munacomment bila ata kuangalia 🙄🙄
@reymarmunna679311 ай бұрын
😂😂😂😂 watu wako mbele ya muda
@MwasitiHindu-r1p11 ай бұрын
Mimi mwenyewe nashangaa wanacoment saa ngapi?
@fatumabakari264011 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@fatumabakari264011 ай бұрын
Hikiwa imepin📌wao wnacomment😂😂😂
@levistembo507211 ай бұрын
Nimechanganyikiwa sana hata mimi
@anthonymsuya34711 ай бұрын
Halafu huyu Rey ameshapunguza dk kutoka 30 Hadi 18 kweli jamani hatutendei haki huyu mwamba