No video

RAYVANNY Afanya KUFURU, BIRTHDAY ya PAULA, AMMWAGIA MIHELA Mbele ya MAMA YAKE...

  Рет қаралды 248,030

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

RAYVANNY Afanya KUFURU, BIRTHDAY ya PAULA, AMMWAGIA MIHELA Mbele ya MAMA YAKE...
MTOTO wa muigizaji Kajala na prodyuza P Funk Majani, Paula, usiku wa leo Julai 15, amefanya sherehe ya kuzaliwa huko Masaki na imehudhuriwa na watu wachache akiwemo mwanamuziki Rayvanny, ambaye inadaiwa ni mpenzi wake.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 123
@freadyjackson315
@freadyjackson315 Жыл бұрын
Thank you so weet rayvanny
@genovevaoiso2111
@genovevaoiso2111 2 жыл бұрын
Dada.kajala.hongera.kwa.kuzaa.mrembo.kama.wewe...mmependeza.sana.naomba.mungu.rayvani.afunge.ndoa.na.Paula.amina
@siakiwelu3007
@siakiwelu3007 2 жыл бұрын
Daa Paula kwa kuhug nakupa Big up. Unajua sanaa kuhug 🥰❤ isiwe maigizo mpendane kweli kweli. Wabaya waulizane.
@dothomwandaliw4057
@dothomwandaliw4057 3 жыл бұрын
Poleee sana fahima umebadilisha dini umejiaminisha hawez kupinduwa kwako kafika. Kumbe alikuwa anapita hajafika. Utulivu rudi kwenye dini yako ulee mtoto wako.
@maryambakari4934
@maryambakari4934 3 жыл бұрын
Kisa mume kabadili Mpka Dini! Nabado zaitwaaa laaanah.....hilo n lingine kumpata mpaka atakapo rudi kwa mola wake
@neemaalexander5164
@neemaalexander5164 3 жыл бұрын
@@maryambakari4934 ,
@dan_platnumz8790
@dan_platnumz8790 3 жыл бұрын
Mapenzi matamu❤️❤️, Vanny boy mtoto mzuri
@tiger0gtiger0g32
@tiger0gtiger0g32 2 жыл бұрын
Chui 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌 ckilupngi bloody
@janeshigami8769
@janeshigami8769 2 жыл бұрын
Rayvanny looks nice dressed in white....even at Elizabeth Michael's birthday party he was dressed in white 👌
@freadyjackson315
@freadyjackson315 2 жыл бұрын
Chuiii nexti levo
@salmacazzy1915
@salmacazzy1915 3 жыл бұрын
Raha sanaa
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 3 жыл бұрын
Khaaaaaaa 🙌🙌🙌
@xkingx8041
@xkingx8041 3 жыл бұрын
Jamani huyu mtoto!! Hata aibu hamna !! Umekua mamaangu. Lakini chunga saaana. Hata wengine walipendwaga hivyo hivyo.
@janetndanu4033
@janetndanu4033 2 жыл бұрын
Ameskia kwel kwan Nana na fahma hawakuwa na nn?
@naemawadhi4736
@naemawadhi4736 3 жыл бұрын
Mama na mtoto wote niwavunja Mahusiano ya watu
@jamesmtui1681
@jamesmtui1681 3 жыл бұрын
Hatari sana
@tedymwandara5480
@tedymwandara5480 3 жыл бұрын
Acheni wale maisha, hakuna mwanamke asopenda pesa Paula, usisikie hii mitandao ponda maraha, hata huku mtaani mabinti wameshindikana vile vile na wengine wanakutupia maneno huyu Wana mitoto inachukua Hadi waume zawatu.Kula rahaaaaa! Una bahati mtoto huyo wako deka mamae!
@tecklamwakyambo7444
@tecklamwakyambo7444 3 жыл бұрын
Duniaaa hiiii Mungu atusimamie sisi wazazi
@mouzaseif1147
@mouzaseif1147 3 жыл бұрын
Laanatu llah alayhi looh
@lizkenya7583
@lizkenya7583 3 жыл бұрын
2030 Enshallah i will play this video
@amenyemwansile631
@amenyemwansile631 3 жыл бұрын
Utasubiri sana
@mariamyussuph7946
@mariamyussuph7946 3 жыл бұрын
Honger paula
@yusramadodo8269
@yusramadodo8269 3 жыл бұрын
Brother rayvani umeacha mwamke mzuri sana mrembo nashangaa umebeba kiporo cha juzi mrembo wako nimzuri San
@janetndanu4033
@janetndanu4033 2 жыл бұрын
Obvious hapo ni kutoa na kuondoka
@getrudeamos38
@getrudeamos38 3 жыл бұрын
Duh! Limama nalo lilivyova! Huyo paula atakavyokuja kuwa bonge ngoja ajichezeshe tu.
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 3 жыл бұрын
Sasa hamisa kosa lake Lili simama wap hapo jaman mbona mambo mushikide
@joharishabani2893
@joharishabani2893 3 жыл бұрын
Wanasema kajara hakubaligi kosa huona anaonewa tu mavi yake huyu mama
@azeezaya8510
@azeezaya8510 3 жыл бұрын
Hela ndiyo kila kitu huyo rayvany angekuwa hana pesa huyo bint asingeenda kwake shikamoo pesa wameenda mpka namama yake🤣🤣🤣
@mnyongeiddi2454
@mnyongeiddi2454 3 жыл бұрын
Ukitaka heshima tafuta pesa ukitaka vitu vzr lazima uwe na pesa ukitaka kila mtu akuone huna akili kosa pesa ndugu ndio utajuwa
@mercymekedes9136
@mercymekedes9136 3 жыл бұрын
kinachokuhusu Nini maisha Yao hao
@zakizzyjrajuu1706
@zakizzyjrajuu1706 3 жыл бұрын
Mmependeza sana mpaka naona wivu😍😍
@sseluwuolivia8478
@sseluwuolivia8478 2 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 3 жыл бұрын
Duuu nimejaribu kukaa nafasi ya fahma moyo unauma ila hakuna jambo lisilokuwa na mwisho
@nzeyimanamwavita1904
@nzeyimanamwavita1904 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 leo ni furaa kesho mtaliya 😂😂😂😂😂😂😂
@joharishabani2893
@joharishabani2893 3 жыл бұрын
Hawa
@ayshaayush8539
@ayshaayush8539 3 жыл бұрын
Kabisa yale yale ya queen darlin na sabra yako wapi sasa
@shemsaomar2785
@shemsaomar2785 3 жыл бұрын
Kwani huyo fahma yy ameolewa au njoo nenda tu
@joharishabani2893
@joharishabani2893 3 жыл бұрын
@@shemsaomar2785 njoo nenda wasaf wanaowaga
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 3 жыл бұрын
Watazamaji tupo tu hapa wamependeza
@mandyuwimana7735
@mandyuwimana7735 3 жыл бұрын
Fimbo inayo mpiga mke mwenzio... Tupa nyuma ya upango😪😪😪ukii acha ndani kesho itakupiga na wewe🙋
@madarakadeche305
@madarakadeche305 3 жыл бұрын
Kabisa
@jacforti3091
@jacforti3091 3 жыл бұрын
jamani mwanaume akiacha haruhusiwi kupenda tena
@frankmwapinga4730
@frankmwapinga4730 3 жыл бұрын
Haswaa
@yopemapesayoo561
@yopemapesayoo561 3 жыл бұрын
Vanny boy
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 3 жыл бұрын
ALIYEACHA DINI KWA WANAUME YUPO WAPI NA BADO UTATIA AKILI MWANGA WEWE
@hafidhsalim1077
@hafidhsalim1077 3 жыл бұрын
Kabisa ety kaacha dini yake ya uislamu
@salomewandya7257
@salomewandya7257 3 жыл бұрын
Arudi tu kwny dini yake
@smila0
@smila0 3 жыл бұрын
By the way this is her punishment l also think so. Balaah kubwa
@ashuraomar4935
@ashuraomar4935 3 жыл бұрын
NA BADO LAANA YA KUACHA DINI YAKE MWENYEENZI MUNGU ANAMCHAPA HAPA HAPA ,SASA AJIFUNZE
@rozakita7506
@rozakita7506 Жыл бұрын
❤❤❤🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@wowwow494
@wowwow494 3 жыл бұрын
Nakupali sana hadi raha pamesemwa mengi sana Allah awazidishie mapenzi yenu
@muharrammwinyisuleiman430
@muharrammwinyisuleiman430 3 жыл бұрын
Wamependezana kwel nawapenda sana
@binttsulu647
@binttsulu647 2 жыл бұрын
Kazi ipo
@zenakihondo5195
@zenakihondo5195 2 жыл бұрын
Weweee pambe tuu
@lydiakemuntookindo7254
@lydiakemuntookindo7254 3 жыл бұрын
Lovely mnaendana sana
@rosejoely4518
@rosejoely4518 3 жыл бұрын
Jibebishe mama huu ni wakati wako na Kila mutu anakula kwa ulefu wa kamba yake usiogope mishale ya watu ziba masikio ikisha chapa mwendo Nakupenda sana
@kabintmpase1544
@kabintmpase1544 3 жыл бұрын
Mmmmh
@neemapraigory8832
@neemapraigory8832 Жыл бұрын
Jaman rayvan ww napaula mtaurudiana tu
@philipnkomole5015
@philipnkomole5015 3 жыл бұрын
Mmh kama kumi na tisa! yupo hivi ikifika ishirini na mbili atakuwaje? 😨😨
@majengomajengo1347
@majengomajengo1347 3 жыл бұрын
Sio kumi na tisa ni kumi na saba.😂😂😂 mtu mzima mtoto uyo
@fatemabrundi1308
@fatemabrundi1308 3 жыл бұрын
Mnapendez
@ndikumanamarielle8037
@ndikumanamarielle8037 3 жыл бұрын
Seigneur aide cette enfant prcq tu es encore bb
@raelnyawera825
@raelnyawera825 3 жыл бұрын
Niulize tu wakiachana kwa mfano watalia Instagram ama kwa choo kajala kuleni hzo pesa za rayvany ndyo msitoke bure😂😂😂😂
@zou7470
@zou7470 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@babybaby8384
@babybaby8384 3 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅😅
@frankngoloka2589
@frankngoloka2589 3 жыл бұрын
Rayvan pesa yake ndiyo inaliwa hivyo hiyo part kaandaa mwenyewe Rayvn,hiyo studio itatoboa kweli?hela iliwe na mama na mtt pia
@sabunitv2121
@sabunitv2121 3 жыл бұрын
Pale Pesa inapopata MPENZI 😁
@debrahcharz4306
@debrahcharz4306 3 жыл бұрын
Mdumu basi jamani
@inkson4704
@inkson4704 3 жыл бұрын
Majuto huja badaye
@azizamihungo9659
@azizamihungo9659 3 жыл бұрын
Sasa Hamisa alishitakiwa wa nn?
@neemakilomoni4258
@neemakilomoni4258 3 жыл бұрын
Umeona eeeh Kajala mshenzi sana yule mama
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 3 жыл бұрын
Hapo sasa
@sameerafauzi1829
@sameerafauzi1829 3 жыл бұрын
Hatali tamba Paula
@fransiskahubert7481
@fransiskahubert7481 3 жыл бұрын
Hii hela itatufikisha wapi?
@hamzanasry8011
@hamzanasry8011 3 жыл бұрын
Raha ziendeleye kwao
@rosetembe3785
@rosetembe3785 3 жыл бұрын
Tafuta pesa bro,hacha kuangalia pesa za wanaume wenzako,nenda Sasa hivi katafute.,hacha ujinga
@robhvathempoki5981
@robhvathempoki5981 3 жыл бұрын
Wazazi usikute mkoa hela ya kununua Sukari hawana wewe unatupa hela kwa Mwizi huku
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 3 жыл бұрын
Khaaa macho yangu mimi 👀👀👀👀👀
@Jtech429
@Jtech429 3 жыл бұрын
🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️😀😀😀
@mankamushi771
@mankamushi771 3 жыл бұрын
Haoi wameshazoe kuchezea Vito to vya watu take care totorito
@zuhuramdoba5015
@zuhuramdoba5015 3 жыл бұрын
Daaaah inasikitisha Sana wenyewe wanaona Kama wanamkomoa harmonize kumbe wanaharibikiwa kaaah et anataka kurubishwa chuo
@aminahsudi5241
@aminahsudi5241 3 жыл бұрын
mmh
@sudymgeni701
@sudymgeni701 3 жыл бұрын
Uyo mwanafunzi jamani mwacheni ndio majibu yetu sisi waungwana
@sheyrrunmtp2958
@sheyrrunmtp2958 3 жыл бұрын
Hamna filter apo tizama yale magoti😂😂😂😂
@erastitesha943
@erastitesha943 3 жыл бұрын
Mama na mwanae hawan haya
@hibaalfarsi7756
@hibaalfarsi7756 3 жыл бұрын
aka kumbe jambo lipo🤔
@cynthiajelagat335
@cynthiajelagat335 2 жыл бұрын
Hahaha 🤣🤣 mtoto na make ana haibu ata
@miriamsimwanza6371
@miriamsimwanza6371 3 жыл бұрын
Nakumbuka Fahma aliimbiwaga siri ya nini.....
@rosejoely4518
@rosejoely4518 3 жыл бұрын
Hatuwezi kujua ss sili wananijua wao je Kama kasha poswa hebu tunyamaze tuone upepo unavuma wapi tusikaumu tu
@nadegeuw.5703
@nadegeuw.5703 3 жыл бұрын
🇸🇪❤
@robhvathempoki5981
@robhvathempoki5981 3 жыл бұрын
Anammwagia hela kama mbuzi wa kafara aisee..., movie za kinaijeria
@zawadimasula6253
@zawadimasula6253 3 жыл бұрын
Jamani umevunja ndoa ya mwenzio na wewe van fy van ulichomfanyia mungu yupo
@inkson4704
@inkson4704 3 жыл бұрын
Pesa za fayma
@kinggaming928
@kinggaming928 3 жыл бұрын
Haaaaa 😃 19 year old mudogo sana bado! Sio wa ndoa niwa showbiz
@jasminetarimo6952
@jasminetarimo6952 3 жыл бұрын
😂😂 ww ndo umejua chakuongea
@melvineodamah4590
@melvineodamah4590 3 жыл бұрын
Nina mimba ya rayvanny
@leanahbusanga8272
@leanahbusanga8272 3 жыл бұрын
Kula rahaa mama wakati wako
@neemaruben5427
@neemaruben5427 3 жыл бұрын
Shepu iko wapi leo hapo upo live hahahahaha
@jamesmtui1681
@jamesmtui1681 3 жыл бұрын
Mambo
@nancyfamilysharesmoments7634
@nancyfamilysharesmoments7634 3 жыл бұрын
Mkiiachana mposti pia tuone
@winnymoraa3400
@winnymoraa3400 3 жыл бұрын
Hahahaha ❤️
@veronicamalifimbo3270
@veronicamalifimbo3270 3 жыл бұрын
Hayayot nimaisha hakunachenyemwanzo kikaksamwisho Eemungu tuurumiesswtotowako
@lennympole5910
@lennympole5910 3 жыл бұрын
Mama ndio wakuokota pesa 🤣🤣🤣🤣
@emmyloveemmylove6584
@emmyloveemmylove6584 3 жыл бұрын
Duuh
@gloryandrew9428
@gloryandrew9428 3 жыл бұрын
Mama atatuambiia nn tena maana kesha tufanya mazuzu
@sylviaijugo9589
@sylviaijugo9589 3 жыл бұрын
Do
@nadegeuw.5703
@nadegeuw.5703 3 жыл бұрын
Natowa machozi kwa furaha
@zulehasalim6627
@zulehasalim6627 3 жыл бұрын
Hivihawatu jamni wapowotekimapenzi kweli au nihizokikitu?nakqmanikweli basi faima ananyooka kweli napia siyopoa anachokifa raivan faima nimzazi mwenzako haitakiwi kufanya uyafanyayo
@fasterwalker1464
@fasterwalker1464 3 жыл бұрын
Km ningekua namanati lazma ningelala lokapu
@upendoparsons2654
@upendoparsons2654 3 жыл бұрын
Mtasema yote
@zulfakibwana6193
@zulfakibwana6193 3 жыл бұрын
Fahima usijalie rav niwako.atatumiwa tu
@ruthwaithera4054
@ruthwaithera4054 3 жыл бұрын
Chunga usiwachwe aibu utapata jikaze
@kwilayajaphar1569
@kwilayajaphar1569 3 жыл бұрын
Mama yako anapigwa na narudi mbeya hata ungemnunulia hiter....🙄
@isackmaturo7331
@isackmaturo7331 3 жыл бұрын
Mama yake ndo Hana akil kabisa kalea mtoto kipumbavu
@oprahjulius2107
@oprahjulius2107 3 жыл бұрын
makubw hay
@songoroali4869
@songoroali4869 3 жыл бұрын
Wapige nao wote mama na mwana kama chinga boy alivyo wakanyaga nao
@diyaosman6268
@diyaosman6268 3 жыл бұрын
Ndugu abiria langu jicho 🤣
@sharonchristian3711
@sharonchristian3711 3 жыл бұрын
🤣🤣
@husnakidoti9849
@husnakidoti9849 3 жыл бұрын
Mmmmmh 🙄🙄
@eastafricabrokerkiller8028
@eastafricabrokerkiller8028 3 жыл бұрын
hahah
@babavick9220
@babavick9220 3 жыл бұрын
Kunayatima wanataka msaada bwege ww
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 3 жыл бұрын
Nanukuu japo kidogo tu maana mambo ni mengi muda ni mchache ,serikali naomba inisaidie ilikuwa siku nimesahau hyio siku hamisa alikuja kunchukuwa mwanangu akadai wanatoka lanchi walivyofika huko wakamywesha mwanangu pombe kisha wakamlikodi vidio chafu jamani nanukuu mkato mkato tatizo mb ,haya leo imekuwaje na jamii itakuchukuliaje maana wengine tuliamini kweli hamisa Haya tena mhmh jamani tusitukane mamba kabla ya kuvuka mto 😂,kajala huna uwaminifu tena hata kama ukija midia kuongea ukweli sie tutakuona muongo asaivi ukiwa na linalokusibu bora ulitatuwe huko huko kwako lakini sio kuja kutia huruma kwa mitandao nisaidini nisaidieni ,haya sasa kwa haya unafikili utakuja kusaidiwa nini yakitokea mengine maana tutakuona ni muongo
@shillah8791
@shillah8791 3 жыл бұрын
Hujamwambia poa naomba urudie mara ya pili ndo imuingie vizuri
SNAKE BOY | ep 35 | SEASON TWO
30:48
CLAM VEVO
Рет қаралды 87 М.
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 32 М.
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 24 МЛН
Paula kajala Vs Kajala masanja nan mkali
8:28
Eshe Salum
Рет қаралды 82 М.
BABA YANGU KIPOFU Full episode /34/ #love
30:22
BabaJoan
Рет қаралды 110 М.
❤️ NAMPENDA PAULA SIO FAHYVANNY | HARMONIZE SITAKI BIFU - RAYVANNY
12:16