Rayvanny feat Yammi - Usingizi (Official Visualizer)

  Рет қаралды 194,205

Rayvanny

Rayvanny

Күн бұрын

Пікірлер: 427
@Vampireimmolteur
@Vampireimmolteur 5 күн бұрын
Kila Siku mnaninyima like tu basi fresh tu Ila vanny Na yammi wametisha🎉🎉
@Stingageecomedy
@Stingageecomedy 4 күн бұрын
Wakenya na ndugu zangu wa Tanzania si mnipee subscribers zangu niondoke
@DavidSanura-v3m
@DavidSanura-v3m 5 күн бұрын
Uyo ndo Rayvan nnae mjua sio yule anaeimba amapiano za pombe pombe... OYA RAY IZO NDO NYIMBO ZAKO...
@DezideryJaphesi
@DezideryJaphesi 4 күн бұрын
kabisa uyu sasa ndo vany boy
@AsimweMusinguzi
@AsimweMusinguzi 4 күн бұрын
Umeongea point bro
@SamwuelBazirake-y1s
@SamwuelBazirake-y1s 4 күн бұрын
ukweli kabisa
@CollinsMercury
@CollinsMercury 5 күн бұрын
My favorite ❤ , sijui mbona hamwoni hii ngoma ni tamu kabizaa🎉❤...Gonga likes tukisonga
@_lexuslexy
@_lexuslexy 5 күн бұрын
Ila kama ningekuwa na mpenzi❤ningemuimbia na hii🇰🇪
@kyalodorcas
@kyalodorcas 5 күн бұрын
Kuja nikuimbie kababa
@dieudonnebigirimana8083
@dieudonnebigirimana8083 5 күн бұрын
@JustusOkumu-q2k
@JustusOkumu-q2k 14 сағат бұрын
V vanny boy hapo sasa mambo ya ma remix na kizungu wachana nazo panga vacals hivi🫵sasa huyu ndiye rayvanny ambaye wakenya tunajuwa mwenye tuiishi kumujuwa two years ago 💪big up bro🔥🔥🔥
@gizzmusyoka5400
@gizzmusyoka5400 16 сағат бұрын
We really missed this Rayvanny. Huyu ndo Rayvanny tuliomjua kutoka kitambo
@AbiTech96
@AbiTech96 4 күн бұрын
Ndo Rayvanny tulie zoea huyu sasa, from 🇨🇩👌👌👌
@lovsply
@lovsply 5 күн бұрын
WILLY PAUL RUDI BUSH… HUWEZI HAYA… TZ tumeshajibu na ngoma kama 6 this week 🇹🇿
@stancreatives
@stancreatives 2 күн бұрын
Usikue fala
@Lifeszone1
@Lifeszone1 17 сағат бұрын
@@stancreativesWacha tukubali bro hawa waTZ kwa music wametulemea kwa sahii but it shall be fine😂😂😂
@dalmasnyakora2231
@dalmasnyakora2231 4 күн бұрын
Rayvanny you are back,hizo ndio wimbo tunatarajia kutoka kwako chui, congratulations 🎉
@MuhireJustin-k7c
@MuhireJustin-k7c 4 күн бұрын
Baba courage sana umerudi kwenye mufumo hayo ndio nayataka kwako🎉🎉❤❤❤❤
@Kitwe-z8w
@Kitwe-z8w 18 сағат бұрын
Goma hili nalikubali sana has mda wa kulala❤❤❤
@nurumelody8392
@nurumelody8392 4 күн бұрын
Ray, you are very humble, and you are son kenya broo 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@ChochoteTv
@ChochoteTv 4 күн бұрын
Hii ngoma ukiiskiliza afu uko single unaona kama unanyanyaswa kwenyehii dunia😅😅
@BarakaAnthony-c4p
@BarakaAnthony-c4p 4 күн бұрын
😂😂😂😂 mbona unatusemaaaa
@rispathequeen
@rispathequeen 4 күн бұрын
😂😂😂 kweli kabisa kunyanyisika Kwa Hali ya njuu.
@yustonrandybrandy8401
@yustonrandybrandy8401 3 күн бұрын
Wallahi Tena 😂😂😂😂
@OmnOk-v8p
@OmnOk-v8p 3 күн бұрын
Take heart ❤
@magdalenadiocles6095
@magdalenadiocles6095 2 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@allanokello1718
@allanokello1718 3 күн бұрын
Kaka rudi tu uimbe hizi aina za nyimbo mi shabiki wako mkuu wa mashairi achana na amapiano...imba tu bongo safii kama hii,,, shabiki toka Kenya
@JulienBaguma-y2s
@JulienBaguma-y2s 5 күн бұрын
DRC tupo pamoja chui nakukubali sana👍❤❤❤❤
@Geraldkimathi-vl8ef
@Geraldkimathi-vl8ef 2 күн бұрын
We salute ✋🏻 Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 bro
@polyfortmus6627
@polyfortmus6627 5 күн бұрын
Iyo ni high level ya Rayvanny, amekuwa mpiga muziki mkuu, mapenzi tupendane❤
@DekelvaSoujaboy-mb8ps
@DekelvaSoujaboy-mb8ps 4 күн бұрын
Na wakubali Sana Ngoma kali Sana never disappoint my mwamba vivanny boy and Queen yammy ❤❤🎉🎉🎉 from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩
@RosetteAlain-ib7mc
@RosetteAlain-ib7mc 5 күн бұрын
Chui unapendeza sana chuiii 🐆🐆🇨🇩
@kitambindende2657
@kitambindende2657 Күн бұрын
Jamaa kakufinika ikabidi uruke kwa shemela..#Aminia✌️
@newtohtv
@newtohtv 4 күн бұрын
❤❤❤❤❤for Yami I love you from Kenya 🇰🇪 you. Big up Rayvanny
@widebrainclassic
@widebrainclassic 5 күн бұрын
Vany boy. Number 1 fan from malindi 254
@MichaelKimako
@MichaelKimako 4 күн бұрын
Mboso kuja huku ana taka atuibie demu wetu😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@AlfroLyd
@AlfroLyd 5 күн бұрын
Usingizi munono kabisa, nvua ikiwa ime nyesha, ukisha Kula chakula Kitamu cha Moto Kisha una mkula mkewe pia Zaidi Sana kama ana makalio kama Za Kajala, usimuone Harmonize ana lalamika kila siku mueleweni😊
@NanaMilfath
@NanaMilfath 5 күн бұрын
😅😅😅😅mjinga Sana wew
@consolathanyota6507
@consolathanyota6507 4 күн бұрын
😂😂😂
@ChannellaChacha
@ChannellaChacha 4 күн бұрын
😅😅😅
@akibambokani9593
@akibambokani9593 4 күн бұрын
Ndo rayvany tunaye mjuwa ❤❤❤🎉
@PeaceMucowera-y6t
@PeaceMucowera-y6t 5 күн бұрын
Wakwanza kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@joshuandunguofficial
@joshuandunguofficial 5 күн бұрын
Woooow Rayvanny mpeni naye like zake jameni ☺️
@Oumaymahmm
@Oumaymahmm 5 күн бұрын
Nawapenda ❤ sana mmependeza sana mnaendana mpaka basi jamani uwwiiiiiiii 😊😊😊
@Akilimbilicomedy77
@Akilimbilicomedy77 Күн бұрын
Umetisha sana kaka pamoja na sister yummi❤❤❤🎉🎉
@abdulrazak3998
@abdulrazak3998 2 күн бұрын
My fav.😍 from Ghana 🇬🇭
@KelvinMutie-l3h
@KelvinMutie-l3h 3 күн бұрын
Hapo mwamba amejaribu kwa hii Ngoma ❤️❤️❤️🥰🥰🥰
@brothersalim001
@brothersalim001 4 күн бұрын
Vanny boy.. Ungeweka n lyrics kabisah tukashika kabisah tuimbe sote 🎉
@AlbanusKioko-c6o
@AlbanusKioko-c6o 4 күн бұрын
My friends from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪usipite bila ka like🤭🤭
@CollinsKipngetich-y3t
@CollinsKipngetich-y3t 5 күн бұрын
First comment from Kenya much love bro❤❤🎉any Kenyan here
@TravyKen
@TravyKen 5 күн бұрын
Walai napenda rayvanny sana....from kenya
@PurityJerop-u9v
@PurityJerop-u9v 2 күн бұрын
Am missing someone already..this song haitaki mayatima wa mapenzi❤❤❤❤..
@PeterNjuguna-jq9um
@PeterNjuguna-jq9um 5 күн бұрын
No matter what happens btn Kenya and tz,am always a fan of rayvanny,much love,gonga like
@ElizabethNyabu-q1x
@ElizabethNyabu-q1x 4 күн бұрын
Yan wanaendana balaaaaaaaa❤❤❤❤❤
@Never-s6f
@Never-s6f 5 күн бұрын
From kenya wangapi😂😂❤❤
@danielmacharia9603
@danielmacharia9603 5 күн бұрын
Niwaone huku😂
@Rymeizofficially
@Rymeizofficially 5 күн бұрын
Mm ndo mkenya mwenye roho nzuri 😂😂nipe like zangu bure
@salomeandrew4148
@salomeandrew4148 5 күн бұрын
😂😂
@Rymeizofficially
@Rymeizofficially 5 күн бұрын
@salomeandrew4148 kabisa
@fatumasaid1149
@fatumasaid1149 5 күн бұрын
😅😅😅😅😅
@fatumasaid1149
@fatumasaid1149 5 күн бұрын
Mtaachaje kusikiliza music ya tz kula chuma hicho 😅😅😅😅
@NeemaMacheni
@NeemaMacheni 5 күн бұрын
😂😂😂😂
@Iamstarkingm.d
@Iamstarkingm.d 4 күн бұрын
Thank you Rayvanny for this song I want I girl now❤❤❤
@BlackOg-f3i
@BlackOg-f3i 4 күн бұрын
Watching from 🇿🇦 🇿🇦 🇿🇦 🇿🇦 🇿🇦
@Kolizoutamumusic
@Kolizoutamumusic 5 күн бұрын
Hatari sanaaaa ❤️ Mapenzi Jamani mtaniua Mimi,254 love
@EmmanuelMagesa-u1g
@EmmanuelMagesa-u1g Күн бұрын
nandy ft yammi barnaba ft yammi mbosso ft yammi mwisho kabisa vannybway ft yammi😅😅😅🎉🎉🎉❤❤❤😊
@Youngvoice.
@Youngvoice. 4 күн бұрын
Rayvanny one of my dreams are to meet you my mentor 🇰🇪 amazing melody
@MariaLambertoGilLaisse
@MariaLambertoGilLaisse 2 күн бұрын
Amo tua músicas 🥰🥰🥰♥️♥️🫂
@AgathaTango
@AgathaTango 3 күн бұрын
Chui nipe vitu baba wimbo ninao na ninatamba nao🔥🔥
@alidzenze716
@alidzenze716 3 күн бұрын
From +254 mombasa 🇰🇪 🇰🇪 I love this song
@IanOmondi-k6l
@IanOmondi-k6l 3 күн бұрын
Huyo ndio Ray Ilov it
@Diamond_platinumztz
@Diamond_platinumztz Күн бұрын
Namkubali huyu mwamba
@GiddyAfrica
@GiddyAfrica 4 күн бұрын
Wakenya wenzangu pita na likes hapa acha wiv
@GinaFaruqueFaruque-e6j
@GinaFaruqueFaruque-e6j 4 күн бұрын
Hongera sana Yammi ni mkala sana❤❤❤❤ kwasauty hiyooo
@antonymaina-l8i
@antonymaina-l8i 5 күн бұрын
Chui mwezangu you never disappoint
@Olviniuss-oma-boy
@Olviniuss-oma-boy 4 күн бұрын
Formidable my bigg bro❤❤❤
@willsonofficially4676
@willsonofficially4676 5 күн бұрын
fahyma kazi anayo 😁💎🔥🔥🔥🔥
@Faustinoarmando2
@Faustinoarmando2 4 күн бұрын
Chuuuuiiii is the best in the wold❤❤❤❤❤
@Trendingkenyatv
@Trendingkenyatv 3 күн бұрын
Chuuuuuuuuiiiiiiiii❤❤❤❤❤ wakenya mumekusanyika tena 😂
@Vexboy_tz
@Vexboy_tz 5 күн бұрын
Kama hii nyimbo umeipenda like this 👍👍❤️‍🔥
@modybabazjr8760
@modybabazjr8760 4 күн бұрын
usingiziii❤❤ ni mengine ya ndotoni
@JumarCapemba
@JumarCapemba 5 күн бұрын
Good melody💪 Lintening From Angola🇦🇴
@thaommoja
@thaommoja 4 күн бұрын
Love song ya ukweli
@ThetheStella
@ThetheStella 4 күн бұрын
Bamba moja kwenye album❤❤❤❤❤❤
@Rutazunguzwatv
@Rutazunguzwatv 5 күн бұрын
Kama una mupenda chui nipee Like 🎉 from 🇷🇼
@MsodokiSokoine
@MsodokiSokoine 4 күн бұрын
mtoto fundi sana huyo daaah❤❤❤❤ yammy
@SAYZ-Officiel140
@SAYZ-Officiel140 5 күн бұрын
From SAYZ🎉🎉🎉 maua yako hiyo
@ElizabethPhilimon
@ElizabethPhilimon 4 күн бұрын
Upewa maua yako🎉🎉
@nathanaelkitoko6389
@nathanaelkitoko6389 5 күн бұрын
Chui mwenzangu nakupenda sano kk❤
@gerysongratian
@gerysongratian 4 күн бұрын
Usirudie kusema hvo kama bado wa kiume ... sema unamkubali sio kumwambia kidume mwenzako unampenda
@mwangi.254
@mwangi.254 5 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥 rayvanny my best artist #kenya🇰🇪🇰🇪
@Girangonieswicky
@Girangonieswicky 4 күн бұрын
much love from kenya
@Mrishowalengamina-bx2to
@Mrishowalengamina-bx2to 5 күн бұрын
Vanny boy mm nime kuwa namba 2 apah
@yustonrandybrandy8401
@yustonrandybrandy8401 3 күн бұрын
Ray we love you from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@KhayruniMussa
@KhayruniMussa 5 күн бұрын
Mbeya boy umetisha sana
@BarakagPetro
@BarakagPetro 4 күн бұрын
Baba hapo umerudi kwenye ubora wako wa zamn hiz song za aina hii ndo nzuri na mashabiki zako tuna zipenda achana na Mapigano rudi kweny nyimbo za kubembeleza tumezimic kitamboo
@Michaeljaja-tq9nh
@Michaeljaja-tq9nh 5 күн бұрын
TEAM yamii kujeni apa ❤
@VinnieboyOfficialMusiq
@VinnieboyOfficialMusiq 4 күн бұрын
I'm sorry on behalf of our celeb boy pozee he is good nivenye sometimes akiwa ajakula vizuri huwa anajam ,,anakuanga last born usijali but ni mkali pia na wewe nigoat ❤🎉😊 🇰🇪 🇰🇪 🇹🇿 🇺🇬
@isaackapalata8534
@isaackapalata8534 4 күн бұрын
Ngoma kali kaka. Nakukubali kutoka DRC❤❤❤
@cristaezekiel1036
@cristaezekiel1036 5 күн бұрын
❤❤❤Yammi
@Martinyoung123
@Martinyoung123 5 күн бұрын
Wapi like pwani Mombasa ❤❤
@VictorKipkemoiKoech
@VictorKipkemoiKoech 5 күн бұрын
Hii ya valentine jameni❤❤❤❤
@HesbonImbalo
@HesbonImbalo 4 күн бұрын
agreed 💯 from Kenya tunakupenda sana❤️❤️❤️
@EmilyMagego
@EmilyMagego 4 күн бұрын
Huu wimbo wasisimua jaman na sina mpenz natafuta wakunipenda ❤
@WenslausSanya-y8q
@WenslausSanya-y8q 3 күн бұрын
Wow our Rayvanny back to a senses with love manenoes
@JapharyShaban-r7z
@JapharyShaban-r7z 5 күн бұрын
Van boy Mzee wa toto mbichi 😂,Yani we kula tu .
@ShabaniKasongo
@ShabaniKasongo 5 күн бұрын
Kazi nzut broo
@zakianzai6854
@zakianzai6854 3 күн бұрын
Moto moto napenda hii zaidi
@Blacksontigre25
@Blacksontigre25 5 күн бұрын
Rayvanny félicitations sana unajituna sana
@Juliahmutemi-ou5fk
@Juliahmutemi-ou5fk 3 күн бұрын
The rayvanny we love❤❤❤
@BénédictionMpenda
@BénédictionMpenda 5 күн бұрын
Utaniuwa vanny ni Siku sasa sijatokea Ku penda nyimbo zako inne kwenye album moja ila the Big 1 ni namba 1💪💪💪 fromq🇨🇩🇨🇩
@nyanza-lactv2573
@nyanza-lactv2573 4 күн бұрын
From Burundi hio mbona Kali Sasa
@Tariqgandu
@Tariqgandu 5 күн бұрын
Wa kwanza from kenya good song
@migilnyambura
@migilnyambura 5 күн бұрын
Navyopenda rayvanny., Itabindi nikipata nishukuru
@slingczar
@slingczar 4 күн бұрын
Izi ndo tunataka ray sio amapiano
@LeaderJay-g6i
@LeaderJay-g6i 5 күн бұрын
Love from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤🎉
@elvisgustavo
@elvisgustavo 4 күн бұрын
Sema Utamu wa huu wimbo ❤
@shabanimaapunda6570
@shabanimaapunda6570 4 күн бұрын
Yaan mpk raha❤️
@salemaleburta
@salemaleburta 4 күн бұрын
Yessss ...My fav Vanny .My crush, ain't marrying mpaka ni afford uje my wedding samburu
@MathiasSigeli
@MathiasSigeli 5 күн бұрын
Nilimis mzki kam huu kutoka kwa vanny🔥🔥
@Vampireimmolteur
@Vampireimmolteur 5 күн бұрын
Kila Siku mnaninyima like tu basi fresh tu Ila vanny Na yammi wametisha🎉🎉
@Iddcaboofficially-CMW
@Iddcaboofficially-CMW 5 күн бұрын
Chui hajawahi kukosea kwenye nyimbo za mahaba kama hivi kama una kubali gonga like
@ronofestus99
@ronofestus99 4 күн бұрын
Watching u from kericho Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Rayvanny feat Phina - Ataniua (Official Visualizer)
3:55
Rayvanny
Рет қаралды 118 М.
Yammi - Kukupenda (Official Music Video)
3:19
Yammi
Рет қаралды 109 М.
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
Rayvanny feat Mbosso - Mon Amour (Track No.5)
3:49
Rayvanny
Рет қаралды 391 М.
Ruger, Bnxn - RnB EP Mix by Dj Kaylore
19:21
DJ KAYLORE 🎧
Рет қаралды 1,3 МЛН
Phina ft Harmonize - Bye Bye (Official Lyrics Video)
3:07
Rayvanny - Cheating  (Official Visualizer)
3:47
Rayvanny
Рет қаралды 94 М.
Yammi - Tiririka (Official Music Video)
3:52
Yammi
Рет қаралды 11 МЛН
Marioo feat Harmonize - Wangu (Visualiser)
2:50
MariooOfficial
Рет қаралды 2 МЛН
Rayvanny - Kaniacha  (Official Visualizer)
4:03
Rayvanny
Рет қаралды 122 М.
Zuchu - Hujanizidi Feat D Voice (Official Lyric Video)
4:19
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН