Rayvanny feat Mwamposa - Ni Mungu (Track No.1)

  Рет қаралды 178,317

Rayvanny

Rayvanny

Күн бұрын

Пікірлер: 611
@azaboicomedy
@azaboicomedy 10 күн бұрын
Kama umekuja hapa baada ya kumuona kwenye madhabahu ya Mwamposa, gonga like 📌
@adampk8715
@adampk8715 10 күн бұрын
Sawa brother ngoja nigonge like hapa😁🎉
@YvesFireScott-zi1ix
@YvesFireScott-zi1ix 10 күн бұрын
Uko sahihi
@azizatatu1677
@azizatatu1677 9 күн бұрын
Njo sisi
@thoomasmwangende3992
@thoomasmwangende3992 9 күн бұрын
Sahii
@stanleyjoely6508
@stanleyjoely6508 8 күн бұрын
😂😂😂😂 Nimecheka tujuane jamani
@AmaseAdoka
@AmaseAdoka 10 күн бұрын
Kama umemwona ray kwa mathabahu ya arise and shine plz give love to him 254 much love❤❤❤❤
@Royal_priest1
@Royal_priest1 10 күн бұрын
Wangapi wamefika hapa baada ya kujitambulisha mkeshani #kuchek track ft apostle ❤😂
@MikaMbeyale
@MikaMbeyale 11 күн бұрын
Watu wote kama unaamini Mungu yupo like usiwe na roho nyoka
@goodluckndunguru995
@goodluckndunguru995 8 күн бұрын
BABA yetu anatupenda Sana shida NI pale tunapokutana na magumu tunaanza kujiuliza kama MUNGU YUPO na hapo ndipo mwanzo WA matatizo yote🙌
@SheijaxMcoast
@SheijaxMcoast Күн бұрын
say it loud
@DidierByenda
@DidierByenda 4 күн бұрын
Rayvanny anajuwaa imba yimbo zamapenzi kweli tazaniya zima ule njo wakwanza namupenda sanaaa. Mungu amuogezeye nguvu kwasababu anatuba shauri naburdani ❤❤ yamapenzi
@Musafande
@Musafande 4 күн бұрын
❤🎉🇹🇿thank you
@Gmanartist08
@Gmanartist08 10 күн бұрын
Rayvanny boy hii ndyo sound yako sauti yako ya zamani imevuta sn hongera pia kwa mtumishi wa Mungu mwamposa Mungu atupe mwisho mwema🙏
@MusaClement-tw6om
@MusaClement-tw6om 8 күн бұрын
Amen😢
@LATEST001-s5y
@LATEST001-s5y 11 күн бұрын
Huyu ndo Rayvanny wa kitambo,,,we need more like these songs,,,
@DanielMuyisa
@DanielMuyisa 10 күн бұрын
Yeah
@agnessmnyole4416
@agnessmnyole4416 10 күн бұрын
Nimekuja kwa sababu ya kukuona kwa mkesha,nimekuja kusikiliza hii nyimbo vizuri 👏
@DremoDreezy-pk4ud
@DremoDreezy-pk4ud 11 күн бұрын
Mungu bariki mwenye anasoma hii comment Acha ukambariki na uzima apite mwaka huu akiwa salama❤ hata yy siku moja aseme "mm ndo Yule🙏🏾"
@juliethwiliam5011
@juliethwiliam5011 10 күн бұрын
Balikiwa pia wewe uliyeandika ujumbe huu
@DremoDreezy-pk4ud
@DremoDreezy-pk4ud 10 күн бұрын
​@@juliethwiliam5011❤😊
@Mrishowalengamina-bx2to
@Mrishowalengamina-bx2to 9 күн бұрын
Na wew pia mkuuh
@StellaNyakango-iq9yg
@StellaNyakango-iq9yg 9 күн бұрын
Ameen
@JaneElijah-tz6li
@JaneElijah-tz6li 9 күн бұрын
Amen
@chadyptz3137
@chadyptz3137 9 күн бұрын
Rayvan unaenda kuwa Msanii mkubwa Sana Africa mungu akupe nguvu nauzima 🙏🙏🙏🙏✨🌟✨🎤💪💪💪💪🇹🇿🇹🇿
@Infonewsmediatz
@Infonewsmediatz 11 күн бұрын
Wa kwanza jaman Msininyime Like za Mwamposa
@GSS-g5v
@GSS-g5v 11 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/mmqWipmVeKZ_qsksi=osy54xaUYZVXROBt
@bashilokweemedi2089
@bashilokweemedi2089 11 күн бұрын
Nakupa like ya kwangu kwa ajili ya mwamposa, maana hapa bujumbura najulikana kwa jina la mwamposa❤❤
@davashindradev1704
@davashindradev1704 11 күн бұрын
Namuelewa sana ray Akiimba slow ivi 🫶❤️ Waaachatu
@MariamuAndrea
@MariamuAndrea 8 күн бұрын
Dah, Mungu yupo kama tunaamini basi Iman yetu idum katika bwana maana watu tunatoka mbali japo sio wote
@SaraphinaOfficial
@SaraphinaOfficial 9 күн бұрын
Kupitia wimbo huu hakika sintokufa Kupitia huu wimbo ntaishi KATIKA NDOTO Zang🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@MozeNation
@MozeNation 11 күн бұрын
KAMA UME IELEWA NGOMA HII HARAKA BASI DONDOSHA ❤❤❤
@RichardEmanuel-o1y
@RichardEmanuel-o1y 10 күн бұрын
Rayvanny mungu akibariki uzidi kupata mafanikio kwenye mziki wako upate tunzo kubwa
@godfreymassawe927
@godfreymassawe927 11 күн бұрын
Oya rayvan wimbo mzuri ume nikosha naenda kuweka picha yako kwenye bajaj yng
@georgeyunji6278
@georgeyunji6278 10 күн бұрын
sipandi hata bule
@triceyanga
@triceyanga 10 күн бұрын
​@@georgeyunji6278waja mna nn lakini😂😂😂
@Peresi-t1d
@Peresi-t1d 10 күн бұрын
😂 😂 🔥 🔥
@SharyMary-s8t
@SharyMary-s8t 9 күн бұрын
​@@georgeyunji6278utafikir ulishawahi kupanda Hahaha 🤣
@FRANKMASTAAJABU
@FRANKMASTAAJABU 9 күн бұрын
🎉
@Massok_tz
@Massok_tz 9 күн бұрын
Nakutakia mwaka huu uvuke salama wewe unaesoma sms ❤❤
@RusselAyale
@RusselAyale 9 күн бұрын
Kupitiya mkesha wa mamposa njo nimeuona wimbo huu🙏🙏🙏
@YonaAmon
@YonaAmon 11 күн бұрын
Inshallah ipo siku tutakua msaada mathubuti kwa familia zetu trust the process 🙏🙏🙏
@princeteddie
@princeteddie 9 күн бұрын
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪we love your songs bro keep going.. wewe huna kiburi kama paka
@hyman2188
@hyman2188 11 күн бұрын
NIMESIKIA SAUTI YA BABA TU HAPO NISHAPOKEA MUUJIZA WANGU KABISA 🙌🏻🙌🏻
@Best_tz
@Best_tz 11 күн бұрын
The Big sound my bro unajuwa sana hii sound usiiache bro inakubarika kinoma 🎉🎉🎉
@JEANS-TZ
@JEANS-TZ 11 күн бұрын
Daaa wimbo nime utafuta sanaaa munipe like zangu Kwa ku hangaika kutafutia huu wimbo sasa Leo nime upata ❤🙏
@jofreyjustine2172
@jofreyjustine2172 10 күн бұрын
kuna watu Bado wanajiuliza Why Mwamposa..... Tunafaa kujua Tu kuwa Mungu ni wa Sisi Wote muhimu kutafuta kufanyika Mtoto wake ..... Lakini pamoja na hayo jua Kwa Mambo yote uko nayo Bado Ni Mungu .🙏🔥🔥❤️❤️ Hapo Ulipo,hicho ulichonacho Huyo ni Mungu 🔥🔥🙌
@FurthermanSaliver
@FurthermanSaliver 11 күн бұрын
Daaah Ray Mungu Akubariki naonaBaba Mtume Mwamposa Katutia Nguvu katukumbusha Tena ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@BrayanMwilongo
@BrayanMwilongo 9 күн бұрын
Tunaamini wasanii wengi wataanza kumsifu MUNGU kupitia vipaji vyao❤
@JeniEmmah
@JeniEmmah 9 күн бұрын
Tulio toka kwenye mkesha wa kuvuka kabla ya kuvuka, mkesha usio sahaulika na kuja kusikiliza huu wimbo tujuaneee kwa like
@ElizabethNyabu-q1x
@ElizabethNyabu-q1x 9 күн бұрын
Tupo😂😂😂
@JeniEmmah
@JeniEmmah 9 күн бұрын
@ElizabethNyabu-q1x 😁😁 maana imebidi tu kuja kusikiliza 😁
@Dicksonkanihasimon
@Dicksonkanihasimon 9 күн бұрын
❤❤
@MercyAhmed-zq6tb
@MercyAhmed-zq6tb 10 күн бұрын
Listening to this song at the right time, Am going through a lot right now but next year the same date and time like now I will come to give testimony in this page I believe God is fighting for my victory and blessings. Much love vanny for this song ❤🔥
@SharyMary-s8t
@SharyMary-s8t 9 күн бұрын
In the name of Jesus Christ everything will be fine 🎉❤
@DremoDreezy-pk4ud
@DremoDreezy-pk4ud 9 күн бұрын
God is going to fight for you sis❤
@sakisamke7008
@sakisamke7008 4 күн бұрын
Amen believe in God .He is mighty and all knowing God .mungu akupe faraja
@medatonny632
@medatonny632 10 күн бұрын
Nani kaingia KZbin baada ya kumuona rayvanny kwa Mwamposa
@nzaukilonzo3235
@nzaukilonzo3235 8 күн бұрын
Mimi apa
@norfenvgeraldo9493
@norfenvgeraldo9493 11 күн бұрын
Tunakukarimbisha leo uje kwenye mkesha wa vuka kabla ya kuvuka tanganyika pakers kawe .🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@EagleMfugale
@EagleMfugale 10 күн бұрын
M ndo yule nilie waza mwamposa ataimba nn mi ndo yuleeeee
@PapiaDeogratiusMpangaje
@PapiaDeogratiusMpangaje 10 күн бұрын
😂😂😂😂
@CatherineLaurent-zr7xo
@CatherineLaurent-zr7xo 9 күн бұрын
😂🙌
@SharyMary-s8t
@SharyMary-s8t 9 күн бұрын
Hahaha 🤣 Alisema ameweka sauti yake tu😂😂
@PapiaDeogratiusMpangaje
@PapiaDeogratiusMpangaje 9 күн бұрын
@@SharyMary-s8t huenda kweli
@JacklineSweetbert
@JacklineSweetbert 2 күн бұрын
😂😂nimesklza kwa makn sana niskie sauti ya mwamposa
@Mc.Mwagamwaga
@Mc.Mwagamwaga 9 күн бұрын
Mungu nisaidie wanao niishi vibaya wasini one niwazidi mbali 🎉🎉🎉🎉🎉
@abeljacksonTz
@abeljacksonTz 6 күн бұрын
Huu ndio Uamsho mpya duniani umeanza kazi, Wasanii wa BONGO FLEVA wote wanakwenda kwa YESU.
@rispathequeen
@rispathequeen 6 күн бұрын
I Dedicate this beautiful song to my only brother in jail,and it also to my first daughter who feels rejected after plans to join university failed to know one day God will come 😭 through.
@grizu10
@grizu10 11 күн бұрын
God has always been my number 1 - Keep blessing me, oh God ❤ thanks for this hit CHUI 🐯
@FreddyJackson-d3m
@FreddyJackson-d3m 11 күн бұрын
Kam unamkubali rayvanyn gonga like hapa
@AsiaRamadhan-dr2uu
@AsiaRamadhan-dr2uu 8 күн бұрын
Kama unamukubari mutume mwaposa ngoga like hapo
@FortunataNguma
@FortunataNguma 8 күн бұрын
Asante my son Wimbo umenibariki❤
@ManyiziMusicStar
@ManyiziMusicStar 11 күн бұрын
Oyooooooooooo piga kelelee Kwa chuiiiiiiiiiiiiiiiiiiii na mwaposaaaaaaaaaaaaa❤
@ElizabethNyabu-q1x
@ElizabethNyabu-q1x 9 күн бұрын
Bhac nimekuja chaaap nikajuwa n kipande kikubwa mtumish kaongea ooooh kumbe n maneno ya IMANI amen
@Presentermambo
@Presentermambo 10 күн бұрын
Finally the song I have been waiting for ,,,from tiktok let's gather here
@AbasiGérardprince
@AbasiGérardprince 11 күн бұрын
Asante sana mungu nimepata tena engine nafasi yakukushukuru baba 🙏
@iptisamismaill-f6h
@iptisamismaill-f6h 11 күн бұрын
Hiii nyimbo itaish milele yaan mpk dunia inaisha wote tutakufa hiii nyimbo itabak kuwa hai.... mungu atubarik sote- tusisahau kufanya yaliyomema na kuacha mabaya
@dremond_credo
@dremond_credo 11 күн бұрын
Hamna kazi hapo
@tonymtaani6615
@tonymtaani6615 8 күн бұрын
Vvany bwoy ni mungu siku zote🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@KokuMalinzi
@KokuMalinzi 9 күн бұрын
Endelea kuimba nyimbo za kumtukuzaa mungu
@kyannickk2be
@kyannickk2be 9 күн бұрын
Huu ndio wimbo sasa wenye hadhi ya juu kabisa
@ngolobulugu9525
@ngolobulugu9525 8 күн бұрын
kusudi la kuumbwa kwetu lazima litimie tumechaguliwa na MUNGU ###MUNGU ANANIPENDA SANA😊
@williammsekwa5347
@williammsekwa5347 10 күн бұрын
Gonga like hapa kam unamkubari rayvanny 🔥🔥🔥🔥🔥
@MutuaJulius-vq5dy
@MutuaJulius-vq5dy 9 күн бұрын
Mimi ndio yule walisema sitafika popote... Mungu ananipenda sana .
@aronbenjamin670
@aronbenjamin670 10 күн бұрын
Daah rayvanny huu wimbo umeua ❤
@kingkitoko6538
@kingkitoko6538 10 күн бұрын
Huyu nimungu 🇨🇩🇨🇩 cool message oyo eza vraiment important
@antonymligo4623
@antonymligo4623 11 күн бұрын
Kama unaamini hii ni ngoma kali album nzima lime hapa
@Hyline-g6u
@Hyline-g6u 10 күн бұрын
Nice song my brother..May God open your doors, give you wisdom and knowledge like Solomon and bless you with your family. I'm from kenya and your my role model, loving your song always and I can't wait to listen for them
@IsabelaGilead
@IsabelaGilead 8 күн бұрын
Rayvany my brother sing for the Almighty God cause that is the reason to why you were born and given that talent............you got the voice from heaven 🙏
@DanielLukumay-h7c
@DanielLukumay-h7c 9 күн бұрын
God bless you more brother Ray
@Speed.B
@Speed.B 11 күн бұрын
I was waiting for MWAMPOSA😂😂😂🙌🏽
@Owngoal-op8ys
@Owngoal-op8ys 11 күн бұрын
Chui huku Kenya tunangoja zote kabla hatujalala❤, your number one fan
@brendamsele281
@brendamsele281 9 күн бұрын
rayvanny uwe unaimba hiv mwaya❤
@johnmnyawi5718
@johnmnyawi5718 11 күн бұрын
Mungu yupi yanayemtaja Hawa watu?? Na uhakika si Mungu wa kweli aliyeziumba Mbingu na nchi(Yesu Kristo) na wao ni madhahidi
@KervinTitho
@KervinTitho 11 күн бұрын
Usimjaji m2 kaka mung pekee ndo anaetoa ukumu
@abyhenry440
@abyhenry440 10 күн бұрын
We ni mchawi eeh
@johnmnyawi5718
@johnmnyawi5718 10 күн бұрын
@@KervinTitho Sawa uko sahihi kabsa, ila hapo sijamjaji mtu..nimezungumza ukweli kutoka kwenye Biblia yenyewe..maana Biblia imeandika wazi manabii wa uongo watajitokeza sana na ikatupa na ishara za hao manabii..Sasa usiongee tu kama huijui Biblia braza..Tuongozwe na Neno la Mungu na si mihemko
@godfreyapolnary5856
@godfreyapolnary5856 10 күн бұрын
Biblia hiyo hiyo inasema msihukumiane ninyi kwa ninyi na Kama hukumtuma wewe umejuaje kuwa ni nabii wa uongo ikiwa Kuna viumbe wawili wanazungumziwa mpinga kristo na nabii wa uongo je' uliwahi kuwajua au na wewe ni wale unaosema wanaongozwa kimihemuko ya mapokeo kwenye madhehebu tuliyoko maana kwenye biblia sijawahi kuona Jina la dhebu Sasa wewe hapa unaleta mapokeo ya madhehebu
@godfreyapolnary5856
@godfreyapolnary5856 10 күн бұрын
​@@johnmnyawi5718Biblia hiyo hiyo inasema msihukumiane ninyi kwa ninyi na Kama hukumtuma wewe umejuaje kuwa ni nabii wa uongo ikiwa Kuna viumbe wawili wanazungumziwa mpinga kristo na nabii wa uongo je' uliwahi kuwajua au na wewe ni wale unaosema wanaongozwa kimihemuko ya mapokeo kwenye madhehebu tuliyoko maana kwenye biblia sijawahi kuona Jina la dhebu Sasa wewe hapa unaleta mapokeo ya madhehebu
@calvinfoden47
@calvinfoden47 11 күн бұрын
Nyimbo yangu namba moja, imenigusa sana. God bless you🙏
@Benny318m
@Benny318m 11 күн бұрын
Waooooo bonge moja la wimbo ina haki ya kukaa namba 1🎉🎉🎉🎉🎉
@OmyCrez
@OmyCrez 11 күн бұрын
Hii nyimbo nimeiludia mara nying imenitoa machoz
@BeesDees
@BeesDees 11 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤The next level music ndo hiyi sasa
@Alifa-bt9ey
@Alifa-bt9ey 9 күн бұрын
maneno ya mwamposa kwakweri yame ni bustsha jamani 🔥🔥🔥🔥 nasubr tu kuona mwamposa kwenye amapiano
@SophiaMajid
@SophiaMajid 11 күн бұрын
Mafanikio yoyote huyo ni mungu dah we van wewe umeanza kurudi kwenye mfumo waooo
@IssaMkali-k6y
@IssaMkali-k6y 10 күн бұрын
tulio elewa neno kutoka kwa mwamposa,like zake weken apa nikauze mimi😅🤣😂
@AishaShaban-k4y
@AishaShaban-k4y 10 күн бұрын
nimeelewa neno la mwamposa 😢
@Mussakhamiskheir
@Mussakhamiskheir 10 күн бұрын
We nimoto wakuotea mbali mze chuwi for everything
@coka164
@coka164 9 күн бұрын
Huu wimbo umenibariki na pia utabariki wengine🙏🙏
@officialK-looh
@officialK-looh 10 күн бұрын
Ngoma kali sana aisee...hafu ina bonge moja ya upako wa kibabe
@MussaFerdinand
@MussaFerdinand 9 күн бұрын
Mungu akunyanyuwe
@NoreenKimaro-h5y
@NoreenKimaro-h5y 11 күн бұрын
Mungu ni mmoja kwakwel heshima kwa mwamposaaa
@AlistarSimbajeshi
@AlistarSimbajeshi 9 күн бұрын
Chuiii forever ❤
@NtemiKidayi
@NtemiKidayi 10 күн бұрын
❤❤❤❤ rayvann umtisha sana mwaposa
@VincentMulukurwa
@VincentMulukurwa 6 күн бұрын
Much love to you kaka 😍😍endelea kumjuwa Mungu zaidi ....... Twangoja nyengine kama hiii
@ColinsNgabani
@ColinsNgabani 11 күн бұрын
Rayvan unanifanya nalia😢😢😢 unanikumbusha mbali woyiiii😢😢😢😢
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 11 күн бұрын
King Amenifanya niwe mshabiki wa Rayvan
@Natchinaomie
@Natchinaomie 11 күн бұрын
Nangonga meza my artistes 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@oscanyakunga
@oscanyakunga 8 күн бұрын
Kumtaja Yesu aaaaaah! Muwe mnalitaja jina ilo kama kweli mnataja Mungu wauhumbaji
@pureanimationtv2139
@pureanimationtv2139 11 күн бұрын
Nimeelewa kwa nini Ray ameamua kuweka hii song number 1;ili kuibless album 👩‍🍳
@E7BITS_FAMILY
@E7BITS_FAMILY 11 күн бұрын
Mwamposa hemedy phd au mwamposa huyu mtumishi mungu amuweke❤
@stevenmushi6538
@stevenmushi6538 11 күн бұрын
Izkonka ad huku upo😂
@stevenmushi6538
@stevenmushi6538 11 күн бұрын
Katutolee movie sio 😂
@chibbodangote
@chibbodangote 9 күн бұрын
ONLY GOD AND WILL ALWAYS BE GOD
@sharronkemunto5756
@sharronkemunto5756 9 күн бұрын
Song if the year...was loosing ita kabisa but nmekataaaa kuogopa mmi ni kipenzi cha Mungu no matter what God is there for me💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾
@verosir1416
@verosir1416 9 күн бұрын
Kaka vanny hii umeenda nimekubali kuona hii kazi Kama navyo kkbali kqkq vanny
@rennyleo4874
@rennyleo4874 10 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤Safi sana barikiwa kijana wa Yesu Vanny boy
@youngG-qs3gs
@youngG-qs3gs 7 күн бұрын
Kweli sasa hii ndio next level music vanny boy ukiingia kuomba gospel tunaeza barikiwa tena sana hii wimbo inanikumbusha kule nimetoka😢sikuaminiwa na yeyote kweli ni mungu 😊lots of luv weka Eka hata pay bill tussuport next level music 🎉
@SahagiNyika
@SahagiNyika 10 күн бұрын
Nilikua nasubiri mwamposa aimbe...ila anaongea tu😮😮
@LuckNdabila-t6n
@LuckNdabila-t6n 11 күн бұрын
DAWA YA GONO NININI WAKUU NAOMBA MSAADA 🙏🙏
@Eagle-kilometer
@Eagle-kilometer 11 күн бұрын
Nenda pharmacy kuna azuma pia kuna zingine zinauzwa 12000 sijui zinaitwaje nimesaau kidogo
@allenkatunzi9075
@allenkatunzi9075 11 күн бұрын
Nenda kwa Mwamposa weweee😂😂 in the building
@georgeyunji6278
@georgeyunji6278 10 күн бұрын
nenda dispensali yoyte ukikutana na muhudumu mchane ila ulipo litoa hilo gono mtibie maana asije kutuambukiza nasisi maana
@bonnymakuke3153
@bonnymakuke3153 10 күн бұрын
​@@georgeyunji6278kweli mwamba asisahau kumtibu pia asije tuletea shida na sisi 😂😂
@jacksonmsizilo3993
@jacksonmsizilo3993 10 күн бұрын
Rekebisha jina hapo huwezi kuandika mwamposa tu..... weka kitu kinachomtambulisha kuwa ni nani aiseeee
@Crospahimself
@Crospahimself 10 күн бұрын
🎉dah wimbo mzuri God bless you
@GoodluckKachinde
@GoodluckKachinde 11 күн бұрын
Mi wakwanza jamani kutoka kati naombeni hizo kopa kwa rey❤
@IreneMbobua
@IreneMbobua 9 күн бұрын
From kuona ray kwa madhabau piga like tukosonga
@joanmumo1352
@joanmumo1352 9 күн бұрын
Chui I need 2 more albums of gospel your voice can be used by many please
@EmmyAlly-n3z
@EmmyAlly-n3z 9 күн бұрын
Uyo ni mungu jaman do you see my family uyo ni mungu 🎉
@PasmondLayanny
@PasmondLayanny 11 күн бұрын
Wenye tupo marekani tunarukanayo mchana kweupe 🇺🇸
@High-km1dm8et9x
@High-km1dm8et9x 11 күн бұрын
Uyo ni mungu
@weelee4123
@weelee4123 8 күн бұрын
Mungu atambariki yeyote anaenipa like mpaka December hii iishe.. Merry Christmas and happy new Year!!
@nantala299
@nantala299 10 күн бұрын
Mungu nibariki
@EbbaKayandabila
@EbbaKayandabila 11 күн бұрын
Chuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii MKUBWA MUNGU TU🙌🏻
@SarahMbote
@SarahMbote 5 күн бұрын
Kupitia sauti ya mtume Boniface mwamposa iliyowekwa kwenye wimbo huu naamini nimepokea kuanzia sasa jiandaeni kusikia ushuhuda basi🙏🙏🙏🙏
Rayvanny feat Mwamposa - Ni Mungu (Official Visualizer)
4:44
Rayvanny
Рет қаралды 170 М.
Mpoki, Mtanga, Eliudi | Mkutano wa wanakijiji
9:22
CHEKESHA TV
Рет қаралды 503 М.
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
HOUSE GIRL EP 08 | S4 | LOVE STORY 💞💕
18:27
BUSATI TV
Рет қаралды 54 М.
RAYVANNY PERFORM WIMBO WIMBO WAKE ALIOMSHIRIKISHA MWAMPOSA.
5:52
Rayvanny feat Mbosso - Mon Amour (Official Visualizer)
3:48
Rayvanny
Рет қаралды 269 М.
Marioo feat Aslay - Pini (Track No.10)
3:53
MariooOfficial
Рет қаралды 484 М.
ZAWADI YA DIAMONDI KWENYE BIRTHDAY YA SHILOLE
8:18
Ophoro Tube
Рет қаралды 14 М.
Joel Lwaga - Olodumare (Official Lyric Video)
3:07
Joel Lwaga
Рет қаралды 7 МЛН
Zuchu ft Diamond Platnumz - WaleWale (Official Lyric Audio)
3:55
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН