No video

RC CHALAMILA APOKEA MELIVITA YA JESHI LA CHINA, BANDARI YA DSM

  Рет қаралды 1,523

Daily News Digital

Daily News Digital

Күн бұрын

DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amepokea Melivita ya matibabu iitwayo Peace Ark ya Jeshi la ukombozi la watu wa China katika Bandari ya Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam Mara baada ya Kupokea Meli hiyo, RC Chalamila amesema lengo la kuja kwa meli hiyo ni kutoa huduma za matibabu Bure kwa wananchi wa mkoa wa Dar es salaam na maeneo mengine.
RC chalamila amesema matibabu hayo yataanza kutolewa Julai18 hadi 23 mwaka huu, Ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Ushirikiano kati ya Tanzania na nchi ya China na Maadhimisho ya miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Jeshi la wananchi Tanzania JWTZ.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: ....
SpotiLeo: ....
TWITTER;
Twitter HabariLeo: Ha...

Пікірлер: 4
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 Ай бұрын
Safii
@EmmanuelNkwabi-u5f
@EmmanuelNkwabi-u5f Ай бұрын
Hii nizaidi ya wema Kwa kiongozi wetu mkuu(raisi Samia) MUNGU AMBARIKI SANA!
@nongollohsuleyman9734
@nongollohsuleyman9734 Ай бұрын
Ipo gati namba ngapi?
@ZaidSeifSuleiman
@ZaidSeifSuleiman Ай бұрын
Hao kipindi wakati makufuli ni rais na makonda nimkuu wa mkoa walikuja usituongope mkuu
BREAKING: JPM Awasweka Wenyeviti Ndani Hadharani!
17:33
Global TV Online
Рет қаралды 110 М.
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 23 МЛН
طردت النملة من المنزل😡 ماذا فعل؟🥲
00:25
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 23 МЛН
Meet the one boy from the Ronaldo edit in India
00:30
Younes Zarou
Рет қаралды 19 МЛН
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
HUMAN BODY vs NUCLEAR EXPLOSION simulation
6:02
atomic marvel
Рет қаралды 6 МЛН
Kenya’s president Ruto sacks most of cabinet after protests
2:29
The Times and The Sunday Times
Рет қаралды 143 М.
China has Launched New Generation Transport SHOCKING The US
9:21
Carros Show
Рет қаралды 718 М.
Please Help Barry Choose His Real Son
00:23
Garri Creative
Рет қаралды 23 МЛН