JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@Isack-b9k16 сағат бұрын
Chalamila mkuu wa mkoa ni mwanafalsafa mzuri sana namkubali sana
@ceciliamlowola598018 сағат бұрын
Kwa Mungu kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kuwa yeye ni Bwana
@wabaremasandiko10249 сағат бұрын
Mungu apewe sifa na utukufu!!
@Sarakiseo-e3q19 сағат бұрын
🎉🎉🎉ya baraka Kwa mkuu wa mkoa na mtume mwamposa,nibariki Mimi uchumi ukue ninunue gari,nifuge kuku wengi,niwe na biashara kubwa mzuri ya kipato kikubwa,nijenge nyumba mzuri Hadi washangar,
@nicksonngogo790410 сағат бұрын
🎉🎉
@johnmalembo646415 сағат бұрын
Chalamila.... Mara wewe mwislamu....mara wewe Mkristo..... Sema neno Moja tu ....wewe ni mtafuta Mungu.. Iwe heri kwa nchi na watu Tz
@JonathanNelson-l8h13 сағат бұрын
Uyo ni kiongozi elewa neno uongozi na unaongoza watu wa dini tofauti lazima uwe nao wote
@bakarimkwizu43353 сағат бұрын
Mwamba na NUSU chalamila
@MzeewaslowHusseinAndrew14 сағат бұрын
Mwamposa nakusihi sana aposto wangu mwamposa acha kuwapa nafasi hawa watu waropokaji kama huyo charamila anaanza kuongelea siasa tena kwenye jukwaa la madhabahu.
@philipomwazyunga457216 сағат бұрын
Hunaga Siri ww chalamila..nilijua TU utasema yote...ha ha ha ha
@MzeewaslowHusseinAndrew14 сағат бұрын
Chizi kapewa maiki wewe na dili wapi na wapi mpuuzi usilete siasa kwenye neno la mungu
@ThomasAlute16 сағат бұрын
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Albert chalamila ni muongo sana unasema mkoa upo salama wakati watu wanatekwa na hawapatikani paka leo
@exaverysimon106411 сағат бұрын
nan anateseka
@TM-zs3rm18 сағат бұрын
Dini na siasa. Siasa inatumia dini kwa maslahi. Na hii ni Mbaya kwa Taifa. Means siasa kuhubiri siasa na dinî kwa wananchi ni hatari kubwa sana sana.
@EvaEva-rk9pl14 сағат бұрын
Nikweli
@venantrugabela67986 сағат бұрын
Siasa kanisani
@juliethkatabwa530614 сағат бұрын
Comment za waliofeli utaziona. Nyamaza muache mtumishi afanye kazi yako
@Isack-b9k16 сағат бұрын
Mkuu wetu wa mkoa dar ,chanika tunaibiwa sana usiku wanavunja nyumba na inasemekana wanaweka dawa za usingiz waweze kuiba
@marcondokeji898210 сағат бұрын
Chalamila uko mchungaji kabisa
@wilfredlukowo947617 сағат бұрын
Siasa na dini havitengani acheni kupotosha
@juliethkatabwa530614 сағат бұрын
Tutashinda tu
@GreysonMdee-x3n14 сағат бұрын
Ni masikitiko makubwa sana eti mpaka leo kuna watu bado wanaamini Yesu ni Mungu na ukristo ni dini ya haki, huu ni msiba mkubwa sana. MWENYEZI MUNGU awanusuru.
@nancyenock560114 сағат бұрын
Wewe vip umeshanusuliwa kuacha chuki na mapandio uliopandiwa kichwani mwako
@Jerie-q1c14 сағат бұрын
Mungu akusadie Ili ujue yakupasayo kufanya kwa HATMA yako
@shammhagama252714 сағат бұрын
We sikitika tu mpaka ufe, ila YESU atabaki kuwa mwamba. Na usipokuwa makini utapata na majanga mpaka utashangaa mwamini Yesu Sasa akuokoe
@WilsonWizzo12 сағат бұрын
Kwan mfano sasa ww ndio huamini. Tatizo lipo wapi kwn wanao amini wala hawana. Tatizo na ww😂
@SuzaniKelvin-p9z15 сағат бұрын
Maneno ya hekma kutoka kwa mkuu wa mkoa uenda alikua mchungaji,mungu akutie nguvu in the name of Jesus