RC CHALAMILA HAPOI ATUA TRA MWANZA JINO KWA JINO KUPAMBANA NA WAKWEPA KODI!

  Рет қаралды 13,081

Global TV  Online

Global TV Online

3 жыл бұрын

RC CHALAMILA HAPOI ATUA TRA MWANZA JINO KWA JINO KUPAMBANA NA WAKWEPA KODI!
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 21
@silabongamasenga3314
@silabongamasenga3314 3 жыл бұрын
Yaa huyu mama kafeli kila kitu bora hata huyu mkuu wa mkoa anajielewa asante sana baba
@itwaaky75
@itwaaky75 3 жыл бұрын
Kafeli nini?
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 3 жыл бұрын
Unafikiri Sana Ndugu yetu....
@gracemima5234
@gracemima5234 3 жыл бұрын
Mama Suluhu ametatanisha watu. Anazungumuza ni kama Hayati Magufuli amewaonea wafanya biashara na hiyo sio kweli. Wafanya biashara walikuwa hawalipi kodi. Waliokuwa wakilipa kodi ni waajiliwa tu. Hayati Magufuli ndiye aliyeanzisha wafanya biashara kulipa kodi. Na wengi walifanya biashara na serikali na kulipwa mabilioni na bado hawakulipa kodi. Hao ndiyo walifuatwa na TRA. Kulikuwa na mtindo mbaya sana wenye fedha Hawakuguswa kulipa kodi
@amanimpakasini7614
@amanimpakasini7614 3 жыл бұрын
Ifakti kama mbowe na uyo anajiita mfanyabiashala sasa ivi baada ya magu kufa ndiyo wanamuona Sabaya afai
@frederickbaryagat7431
@frederickbaryagat7431 3 жыл бұрын
Ukienda kinyume na rais unapigwa chini .asbh na mapema utajisikia uko Kwa jembe kama Hai
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
Huyu mkuu wa mkoa ni kichwa sana lakini sijui kama atapendwa na wale jamaa
@amanimpakasini7614
@amanimpakasini7614 3 жыл бұрын
Kama magu tuu uyu na alihapi
@renatusmisigaro6332
@renatusmisigaro6332 3 жыл бұрын
Hili jamaaaa lina Akili sana!!
@thamu3133
@thamu3133 3 жыл бұрын
😂😂😂 kwel kabisa tunakatwa kwa lazma . Waje waskilze tone ako ya mwanzo na mwisho 🤣🤣🤣
@LucasLucas-sj6fg
@LucasLucas-sj6fg 3 жыл бұрын
Tusidanganyane ukusanyaji wa mapato bila nguvu au mabavu hamna atakae toa Pesa huwa haitoki kirahisi kihivyo....kuweni wapole muone Kama mtapa kitu au nchi itapata maendeleo...
@ellymzalendo4517
@ellymzalendo4517 3 жыл бұрын
Kweli kiongozi ss wafrika hatuna utamaduni wa kulipa kodi kwa hiari serikali hii ya mama akiwabembeleza wafanyabiashara hawalipi kodi atajikuta serikali haina hela
@athumanmfangavu7320
@athumanmfangavu7320 3 жыл бұрын
Hhh
@faridhassan6834
@faridhassan6834 3 жыл бұрын
Baba upepo umebadilika,udikteta ulisha zikwa, raisi hakuongea kwa mafumbo aliongea kwa reserch na mifano hai,unahalalisha uonevu wanaofanya lakini kubwa zaidi unabadilisha maana ya moja kwa moja ya raisi,na unaweza kuwa unajenga umaarufu wa kisiasa au unataka raisi tena achengane na wananchi,tra kamwe ni taasisi inayoongoza km rushwa, na kinachoniuma km unaongoza kwa kula rushwa na unapewa mamlaka makubwa tena kwa kukingiwa ubavu na mtu km rc si ni hatari kubwa kwa raia.utumishi hautaki hasira,pupa na kukurupuka kabla hujafanya utafiti
@juliusmatthew17
@juliusmatthew17 3 жыл бұрын
Mvurugaji kauli ya kidikteta hivyo hivyo sabaya kafanya maovu mengi kisingizio anakusanya kodi. Kubaka na kukusanya kodi wapi na wapi.asnte mama watumbuliwe wamejisahau.
"WANYWE POMBE" | Kauli ya RC Chalamila iliyowavunja mbavu TRA
8:35
Mwananchi Digital
Рет қаралды 91 М.
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 13 МЛН
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 9 МЛН
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 6 МЛН
Fighting scene, Donnie Yen vs Darren Shahlavi/Ip Man vs Twister
11:54
Fierce Fights with ASARGAS
Рет қаралды 74 МЛН