RC Mwanri ageukia Bodaboda "Mkong'oto, tikitaka kama Tyson, wodi ya bodaboda"

  Рет қаралды 344,420

Millard Ayo

Millard Ayo

5 жыл бұрын

Пікірлер: 267
@kelvinkelviny4426
@kelvinkelviny4426 5 жыл бұрын
kama umeuona mzula wa RC ,,gonga like twende
@riphathpeterson6364
@riphathpeterson6364 5 жыл бұрын
Bila unafiki huyu mkuu wa mkoa ni mzuri anajua kuelimisha wananchi anabusara wananchi wanahitaji elimu Big up babu Aggrey Mwanri
@AndrewMugaya
@AndrewMugaya 5 жыл бұрын
Makusudi makusudi!!!! 😂😁😅😆 Kama unamuelewa Agrey Mwanri like apa
@kingkahene2210
@kingkahene2210 5 жыл бұрын
Makucud
@alexmushi135
@alexmushi135 5 жыл бұрын
Mm napenda awe wa Kilimanjaro
@crianikasambaganyi6448
@crianikasambaganyi6448 5 жыл бұрын
Uyu ndiokiongozi anaetakiwa natamani Sana angeletwa shinyanga
@smartboytifudangote9674
@smartboytifudangote9674 5 жыл бұрын
Kama ningekuwa nna uwezo huyu mzee ndo angefuata baada mjomba magu namkubali xana tena zaid ya sana
@henrykatamba3679
@henrykatamba3679 5 жыл бұрын
AMEN MKUU MUNGU AKUBARIKI SANA UNAFANYA KAZI NZR SANA NAKUOMBEA KWA MUNGU AKUJALIE AFYA NJEMA NA ULINZI UKUFUNIKE
@komboomar8275
@komboomar8275 5 жыл бұрын
Nani anatamani huyo Mzee angekuwa mkuu wa mkoa wake?? hapo watu wa tabora wamepata kiongozi wa mfano wake.
@paulbuchira28
@paulbuchira28 5 жыл бұрын
Kombo Omar aisee mimi bro
@hamzarumela1784
@hamzarumela1784 5 жыл бұрын
Binafsi natamani huyu angekuwa mkuu wa mkoa wa kigoma
@mararegiononline3457
@mararegiononline3457 5 жыл бұрын
Me mwenyewe namkubali sana anaishi maisha yake halisi hana time ya kung'aa saana wala kutafuta sifa na kikubwa zaidi anahofu ya Mungu
@RobertThomas-kb4ur
@RobertThomas-kb4ur 5 жыл бұрын
Mimi natamani angekuwa mkuu wa mkoa tanga, maana alieko simwelewi anafanya nini.
@jonaskimaro5112
@jonaskimaro5112 5 жыл бұрын
Asee tabora wamepata kiongozi bora
@ibrahimmzee3237
@ibrahimmzee3237 5 жыл бұрын
Rais wangu ujakosea kumteua huyu baba I real appreciate him# Hapa kaz tu
@noahmathew2256
@noahmathew2256 5 жыл бұрын
kila mkoa unatamani kuwa na mkuu wa mkoa kama huyu Big up sana mkuu
@ramadhanpeter3423
@ramadhanpeter3423 4 жыл бұрын
Xhida inaanziawapi Sema shida inaanzia wapi Dah!!!
@fizzoboy6137
@fizzoboy6137 4 жыл бұрын
Ambae anamkubali. Rc mwanri Adondoshe like na comment yake
@averinamarco5808
@averinamarco5808 5 жыл бұрын
Hebu sema shida inaanzia wapi kulike jamani😂😂😂😂
@harunamroboto5858
@harunamroboto5858 4 жыл бұрын
wanangu wa Tabora gonga like kwa RC wetu
@bensonkesi1489
@bensonkesi1489 5 жыл бұрын
Jamani mm ni mkenya ila n@penda sana kumfuatilia huyu mheshimiwa nimetamani angekua governer wa count yetu ningefurai sana
@wazirigodlisten2908
@wazirigodlisten2908 5 жыл бұрын
mkuu wakupe nafasi ya kuwafanyia refresher training rc wengine
@emmanuelbonifase1114
@emmanuelbonifase1114 4 жыл бұрын
Nimekuelewa safi
@rajmkonje7149
@rajmkonje7149 5 жыл бұрын
Hebu sema shida inaanzia wapi 😁😁😁
@cameroonsekeye1013
@cameroonsekeye1013 5 жыл бұрын
hakika anayeshastahili sifa apewe unastahili kuwa kiongozi wa kuigwa mungu akujarie afya njema na hekima zaid
@nsiakim5498
@nsiakim5498 5 жыл бұрын
Safi I like u mbe
@michaelmrosso2106
@michaelmrosso2106 5 жыл бұрын
Huyo ni comred jembe mwalimu hyo kama hujaelewa kwel makusud
@abuuqaasim4815
@abuuqaasim4815 5 жыл бұрын
Uongozi ni kukaa na watu vizuri hongera sana mkuu wa mkoa unajua kukaa na wananchi unalugha nzuri na mfumo mzuri wa uongozi
@serianjamal8254
@serianjamal8254 4 жыл бұрын
Mkuu mi nakukubali sana yaani kila siku nikirudi kazini naangalia leo umefanya nini hongera sana niko Bedford Bedfordshire England
@ramadhanifelix7285
@ramadhanifelix7285 5 жыл бұрын
Namkubar sana uyu mkuu..anajua kaz sana...kenya bodaboda lazma uwe na bima
@jumambalashi3024
@jumambalashi3024 5 жыл бұрын
Makusud km hujaelewa.
@teachingtruthmissionafrica9998
@teachingtruthmissionafrica9998 5 жыл бұрын
Huyu mzee angekuwa mkuu wa mbeya ningehudhulia vikao vyake vyote
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 5 жыл бұрын
Huuuuuuuuu mbavu zangu tena anzie tukuyu
@majosamalundi4016
@majosamalundi4016 5 жыл бұрын
Ingekuwa kiwira ingependeza
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 5 жыл бұрын
@@majosamalundi4016 hiv kiwira nakatumba .na mwambegele wap wanaongoza kwa mauwaji
@tumainbeatus3282
@tumainbeatus3282 5 жыл бұрын
amen kabisaa yan
@dicksonsheja9376
@dicksonsheja9376 5 жыл бұрын
Sambaya ndo angekuja MBEYA DC wa Hai
@augustinokileo7076
@augustinokileo7076 5 жыл бұрын
Hatari fire mr mwandy Mungu akubariki sanaa uko vizur
@jullyregy3057
@jullyregy3057 5 жыл бұрын
Na mzula wake kichwan na raincoat hana presha asa alikwa ww hata kwenye birthday utavyojipanga hahahaaaa ni makusudi nyoosha mkono juu kama unabisha hahahaaa ticktaka kama Mohaned nan vile......hahahaaa nahamia mkoan kwako kiongozi
@mcmpomaonlinetv3483
@mcmpomaonlinetv3483 5 жыл бұрын
jully regy saf
@nicholausmakundi2663
@nicholausmakundi2663 5 жыл бұрын
Me naona Ukuu wa Mkoa wa Dar es salaam unamfaa kabisa.
@mathazakayo288
@mathazakayo288 5 жыл бұрын
saf sana mkuu wetu
@stanleysarronga3501
@stanleysarronga3501 5 жыл бұрын
Itabidi akimaliza aje kuwa mkuu wa mkoa wa dar es salam
@seifdisail3007
@seifdisail3007 5 жыл бұрын
Me mwenyewe napenda angekuja dar aisee....
@maujanjatv24h41
@maujanjatv24h41 5 жыл бұрын
Atuletee mvua za tabora na kaupepo kake😂😂
@deojohn5779
@deojohn5779 5 жыл бұрын
Paul makond mtapeleka wapi
@saidyusuph4129
@saidyusuph4129 5 жыл бұрын
Mavazi yake tu! Wala hana gharama
@jacksonjastinmpongo944
@jacksonjastinmpongo944 5 жыл бұрын
Said Yusuph 😂😂😂😂
@harounheri6702
@harounheri6702 5 жыл бұрын
Hana mbwembwe mzee wa watu sijui tusuti walaa yoyote anajivalia
@asteriambwei95
@asteriambwei95 5 жыл бұрын
Hivi hao wakuu wa mikoa wako likizo au maana wamwige huyu agrey bc hawaoni aibu mwingine chapa kazi ni ali appy wa iringa nadhani yuko vinzuri ila tungepata wakuu kama mkuu wa tabora hongera sana yaani naangaliaga you tube nikimtafuta mkuu wa mkoa tabora
@evelynebwire7684
@evelynebwire7684 3 жыл бұрын
@@asteriambwei95 hata wa kwetu Geita yupo vizuri
@methodmahona3546
@methodmahona3546 5 жыл бұрын
Mh.ubarikiwe 🌎👊🙏
@sofiachilunzo9268
@sofiachilunzo9268 4 жыл бұрын
Makusudi makusudi 😁😁😁
@uzaohalisi5811
@uzaohalisi5811 4 жыл бұрын
Huyu mkuu wa mkoa si bure.kwa vyote anavyofanya huyu kuna sehemu mheshimiwa anamandalia,,kama unakubaliana na mimi gonga like hapaaaah
@charlesnyembeke6907
@charlesnyembeke6907 5 жыл бұрын
Daaah!! Uyu mkuu angekua dar mbon tungenyoka
@salmaelhinai833
@salmaelhinai833 5 жыл бұрын
Good work mkuu wa mkoa
@abellucas7392
@abellucas7392 5 жыл бұрын
Mungu akulinde mzee wa kichaga✊✊
@lazarohonest3120
@lazarohonest3120 5 жыл бұрын
mkuu wew n shida unapiga kazi kama kijana bigup
@vicamarketingelectronics5534
@vicamarketingelectronics5534 5 жыл бұрын
This guy is very wise
@komboomar8275
@komboomar8275 5 жыл бұрын
Yaani namuelewa kinyama huyu kamanda.
@mathazakayo288
@mathazakayo288 5 жыл бұрын
namkubal sana mkuuu huyu hakika yuko sawa
@alcadkasanu666
@alcadkasanu666 5 жыл бұрын
hatarii sana vizurii rc
@musamahenge8169
@musamahenge8169 5 жыл бұрын
Daaah aise wakuu zetu wa mikoa wote wako fire sana
@phabianmelitha8198
@phabianmelitha8198 4 жыл бұрын
Kama umependa koti la mkuu wa Mkoa, tujuane hapa...
@phabianmelitha8198
@phabianmelitha8198 4 жыл бұрын
Uko vizuri mzee
@elisanteshedrack2018
@elisanteshedrack2018 5 жыл бұрын
Mkuu wa mikoa yote tz
@oscarmateimatei5920
@oscarmateimatei5920 5 жыл бұрын
jaman angekuja na kwetu uku awa ndo wakuu wanaotakiwa
@mfalmegideon3987
@mfalmegideon3987 5 жыл бұрын
Muongo,Muongoze 😆
@anselemimichael5453
@anselemimichael5453 4 жыл бұрын
nice mkuu,God bless u mkuu wng
@arnoldnicholaus3835
@arnoldnicholaus3835 Жыл бұрын
Yuko na busara sana, I want him on my team.
@patrickpaschalmanumbu1145
@patrickpaschalmanumbu1145 5 жыл бұрын
Makusudi makusudi ....makusudi @#🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪👏👏
@ibrahimaziz7158
@ibrahimaziz7158 5 жыл бұрын
Mzeee kala ngei unajua kabisa km mzee wa kazi
@rajabngunga9530
@rajabngunga9530 4 жыл бұрын
Kama umesikia utapigwa pembe weka like yako hap
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 4 жыл бұрын
Natamani sana huyu mzee angekuja hapa dar (bongo) pangenyooka makonda naona analeta ushamba tu hapa bongo
@brunompolle1404
@brunompolle1404 5 жыл бұрын
Usipo mwelewa huyu kafie mbele
@musasiame8041
@musasiame8041 5 жыл бұрын
😀
@miriamkarata7495
@miriamkarata7495 5 жыл бұрын
Hahahaaa kweli
@ombenimshana9162
@ombenimshana9162 5 жыл бұрын
Mkuuu upo vizuri yani wewe ni kiongozi wa kuigwa
@jafarsalum8656
@jafarsalum8656 5 жыл бұрын
mzee wetu Leo kapiga mzura na overall makusudiii
@frenklubago5748
@frenklubago5748 5 жыл бұрын
Yupo kikazi hana MDA na masuti good
@kuryaphotography8838
@kuryaphotography8838 4 жыл бұрын
Hebu sema tunaachana👏👏👏
@estamelejomah572
@estamelejomah572 5 жыл бұрын
kweli banah tabora oyeeee
@thomaschambala1475
@thomaschambala1475 5 жыл бұрын
Mzee simple anavaaa simple anavutiaaa
@teddyklex6618
@teddyklex6618 5 жыл бұрын
Thomas Chambala naona kofia imekuvutia kama wale chalii wa R
@thomaschambala1475
@thomaschambala1475 5 жыл бұрын
@@teddyklex6618 hahahaha atareee
@khatibalamin401
@khatibalamin401 5 жыл бұрын
Anaongea na waendesha baskeri 😂😂😂
@hermankoba4970
@hermankoba4970 5 жыл бұрын
Mwenzenu mm nataman angekuja kuwa mkuu wa mkoa wa kibaha pwani
@annamsemwa1946
@annamsemwa1946 5 жыл бұрын
Haahaaa.makusudiii!makusudiii. Kuvaa mzura na raincoat makusudiii. Unanifurahisha sana mzee MUNGU AKUPE MIAKA ELF
@mrcan21
@mrcan21 5 жыл бұрын
Jamani mimi nitasema liwalooo na liweeeeeeeeee😂😂😂😂😂😂
@miriamkarata7495
@miriamkarata7495 5 жыл бұрын
Mungu akutunze mheshimiwa,tunaelimika huku tunatoa stress
@samwelhechei8537
@samwelhechei8537 5 жыл бұрын
Hongera Sana kiongozi
@sheikhaalmandhari125
@sheikhaalmandhari125 5 жыл бұрын
Nakupenda sana mkuu wangu wa tabora
@emanuelmsaky8074
@emanuelmsaky8074 5 жыл бұрын
soma hiyo nasema soma hiyo good job watu wanaelewa viongozi wenye busara namna hii
@michaelrashku867
@michaelrashku867 5 жыл бұрын
Namshauri aliy api ajifunze hekima kwa huyu Mzee
@jojo_linkissabiny5238
@jojo_linkissabiny5238 5 жыл бұрын
si mfatiliaji wa mambo ya siasa ila wewe nakukubali sana big up
@joycesanka1187
@joycesanka1187 5 жыл бұрын
H
@rajmkonje7149
@rajmkonje7149 5 жыл бұрын
Kata pembe kata pembe. kata. Pembe
@nyamweririchard5945
@nyamweririchard5945 4 жыл бұрын
Mh Magufuri tunaomba umwamishe Mh Aggrey Mwanri aje mwanza hata kwa miaka miwili tu,arekebishe changamoto za mwanza,ni mmoja ya wakuu wa mikoa wanaojua majukum yao,na sio kukaa maofisin tu.
@zebrongondwe
@zebrongondwe 5 жыл бұрын
SUKUMA NDANII
@justusgration8695
@justusgration8695 4 жыл бұрын
Big up my daddy RC TABORA
@Thuon_
@Thuon_ 2 жыл бұрын
Asiekuwa na bima, *sukuma* *ndani*
@gaspergwanchele
@gaspergwanchele 4 жыл бұрын
5:15 👈click hyoo
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 5 жыл бұрын
Yn nakupendaga yn ikitoka gigy unafatia ww
@silverjoseph4577
@silverjoseph4577 5 жыл бұрын
Mmmmmmmh ooooh sawa:sawa kabisa nimecheka hii mwongo muongozo 😂😂😂😂😂😂😂😂😁ilo koti nimecheka balaaaa
@manjimfungo3789
@manjimfungo3789 5 жыл бұрын
Natamani siku moja nikushike mkono tu ndio ndoto yangu unajua sana mheshimiwa mwanri
@ramadhansururu8988
@ramadhansururu8988 5 жыл бұрын
Manji Mfungo Mimi kofia tyuu
@youngdady7901
@youngdady7901 5 жыл бұрын
Asiekua na bima sukumaaa ndaniiii😂😂😂
@teddyklex6618
@teddyklex6618 5 жыл бұрын
makusudi makusudi?👊👊
@moseswanjara3408
@moseswanjara3408 5 жыл бұрын
Mh makusudimakusidi iv aliwahi kua mwalimu maana huyo akikufundisha ata kama ubongo umelala lazima uamke kweli ww nikiongozi wakuigwa unajua kukaa na jamii
@evamlay8997
@evamlay8997 5 жыл бұрын
Hili ilicha linaakili mpaka zimemwajika una akili nyingi sana mungu nakuomba mpe huyu baba miaka 1000
@silverjoseph4577
@silverjoseph4577 5 жыл бұрын
Eva Mlay Amen oooh
@raynellyaugustino3237
@raynellyaugustino3237 5 жыл бұрын
Anafaa kua Waziri wa Sekta flanii
@yohanamuumbe4628
@yohanamuumbe4628 5 жыл бұрын
Nakuelewa sana mkuu wa mkoa Tabora, na huku Dar inatakiwa iwe hivyo ndugu zetu wa bodaboda na bajaji hawana ustarabu wa kusima sehem sehem salama wao ni popote kituo
@youngdady7901
@youngdady7901 5 жыл бұрын
OK sawa sawa kabisaaaa😂😂😂
@safaridoni6690
@safaridoni6690 4 жыл бұрын
Mimi natamani awe rais wa2026 namkubari xana
@pelesbuchanyi4855
@pelesbuchanyi4855 5 жыл бұрын
hizi znaitwa harakati we twende tu hahahahahah Huwa nakuelewa sanaa
@abbyjma7355
@abbyjma7355 5 жыл бұрын
Ndingi nakuelewa saana
@manganamanganamanganamanga7313
@manganamanganamanganamanga7313 5 жыл бұрын
Uko sawa mkuu
@pikipiki_market
@pikipiki_market 5 жыл бұрын
Nakubali
@raynellyaugustino3237
@raynellyaugustino3237 5 жыл бұрын
Hilo Koti langu kabisaa
@sabatomjungu9727
@sabatomjungu9727 5 жыл бұрын
😆😀😀😆🤣😃😂😅😃Makusudi makusudi ???.. kuto vaa herment ?? Kupikia mshikaki ?? Kuingia barabaran ?? jibu kwa mtindo wa kitendawil
@issahmsumi5308
@issahmsumi5308 4 жыл бұрын
Sukuma ndani
@omarjumanne4471
@omarjumanne4471 5 жыл бұрын
Wakuu wa wilaya hawakusaidie mbona hatuwaoni kufanyakazi kama weye ? Wapo lakini?
@chrisdonline6748
@chrisdonline6748 5 жыл бұрын
Kimhemhe hahaha
@johnodongo110
@johnodongo110 4 жыл бұрын
inafurahisha sana
@abuusufian6506
@abuusufian6506 5 жыл бұрын
Makusudiiiiii
@amanimnyanga2002
@amanimnyanga2002 5 жыл бұрын
Shikamoo bb na kuk ba sana
@davidkatigulajr2212
@davidkatigulajr2212 5 жыл бұрын
Bos yuko vizur aisee
@victorreds9325
@victorreds9325 5 жыл бұрын
Kuna mzee hapo ana mijidevu sijui imemshinda kunyoa!!
@anordallen3685
@anordallen3685 4 жыл бұрын
Yan mm had sasa hv naweka mb kwa ajil ya kumwangalia huyu rc
@kambonamajaliwa4677
@kambonamajaliwa4677 5 жыл бұрын
Hivi waomba like huwa mzazifanyia kazi gani? tabia hii ni ya kiboya
@Riis_media
@Riis_media 5 жыл бұрын
*DOCTOR WA VICHAA ATOA BASTORA KWA MGONJWA CHEKI HAPA👇* kzbin.info/www/bejne/r6ndoJ-Ibst5nKM *SUBSCRIBE CHINI YA VIDEO YAKO*
@adamnguvu1020
@adamnguvu1020 5 жыл бұрын
*Makusudi makusudi makusudi kuowa wake wawili makusudi kuowa mke mmoja makusudi kunyosha mkono makusudi*
@anoldmatole8346
@anoldmatole8346 5 жыл бұрын
Gusa link hapo juu ufulahi
@sulleysonsulley4160
@sulleysonsulley4160 4 жыл бұрын
Huyu Mzee angekuwa mkuu wa mkoa wa DSM
@leonardp.bundala6989
@leonardp.bundala6989 5 жыл бұрын
Si muda tunafika kwenye Nchi ya Ahadi, Ee Mugu wape afya njema Viongozi wetu. Tanzania itafika.
@faidhamyovela179
@faidhamyovela179 5 жыл бұрын
Simu ya mh 😂😂😂😂😂
@zainabumtubwi263
@zainabumtubwi263 5 жыл бұрын
Uyu Mzee kama kaishi Toronto maana Haya mavazi Ni mtihani.
@skjjsj1889
@skjjsj1889 3 жыл бұрын
Niliona pembe zinaota kata pembe kata pembe Magufuri hakukosea kukuchagua mkuu wa mkoa tabora
@youngdady7901
@youngdady7901 5 жыл бұрын
Ebu sema shida inaanzia wapi 😂😂😂
@estherjohn953
@estherjohn953 4 жыл бұрын
Natamani ungekuwa mkuu wa mkoa wa mara
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 29 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 36 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 36 МЛН
Masanja na Mama Emma | Ukaguzi wa Wafanyakazi
11:12
CHEKESHA
Рет қаралды 53 М.
LEONARDO ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAFANYAKAZI WA CRDB!
17:39
Visit Tanzania
Рет қаралды 279 М.
RC MWANRI AWAVUNJA MBAVU WATU MSIBANI "MUNGU AHOJIWI"
7:42
Cg Online Tv
Рет қаралды 279 М.
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 29 МЛН