RC Mwanri aanzisha vita na Walevi "Pombe ina darubini, ulevi ulipojenga nchi!"

  Рет қаралды 679,249

Millard Ayo

Millard Ayo

5 жыл бұрын

Пікірлер: 526
@kamilusmgaya4806
@kamilusmgaya4806 5 жыл бұрын
Jamani huyu mkuu wa mkoa tusipo mpa like zake tutakuwa hatumtendei haki tuanze mimi
@gelsonyusto7772
@gelsonyusto7772 5 жыл бұрын
Appreciate saana kiongozi mkuu wa mkoa tabora na pia heshima kwako Millard ayo kwa habari zako naelimika kuptia katka vipind vyako pia na burudika salute saana Millard ayo
@aliarkam1413
@aliarkam1413 5 жыл бұрын
Huyu ndio kiongoz ambaye mfano kwa wengine , Hongera sana
@amanimnyanga2002
@amanimnyanga2002 5 жыл бұрын
Shikaa mooo baba
@mahamudusaidi8070
@mahamudusaidi8070 5 жыл бұрын
Ali Arkam mambo bambamb
@aginiweyessayakyando9855
@aginiweyessayakyando9855 5 жыл бұрын
Mzee nampenda sana, hlf huyu mzee anaupendo wa ukweli juu ya watu anaowaongoza. Mungu akubariki sana.
@doctorjuniour9459
@doctorjuniour9459 5 жыл бұрын
YAAN HUYU MKUU UTADHANI NDO MKUU WA MIKOA YOTE. Jamaa anatema facts
@anithermsigwa
@anithermsigwa 5 жыл бұрын
Kaongea point sana watoto ndo hazina ya muhimu ni wa Jamhuri kweli ayseee👏👏👏👏👏
@halimamasai2234
@halimamasai2234 5 жыл бұрын
Huyu ndo kiongozi bora mungu akulinde
@naipendaamaniniliyonayodai6399
@naipendaamaniniliyonayodai6399 5 жыл бұрын
Nakukubali sana Mzee Mwanri,,endelea kupiga kazi mkuu we admire you sir!!
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 жыл бұрын
Kabla cjafunga hii taarifa nikiangalia kichwa cha habar tu Nacheka, uyu Baba ni jembe 😂😂😂😂 *Hiyo pombe ina darubini??*
@pauloslegray7438
@pauloslegray7438 5 жыл бұрын
Saumu Hassan anaigiza au anachekesha
@mahamudusaidi8070
@mahamudusaidi8070 5 жыл бұрын
Bam bam tutoo tunatembe tutako
@yunusyusuf4614
@yunusyusuf4614 5 жыл бұрын
jembe kama ww huyo
@joelsule4111
@joelsule4111 5 жыл бұрын
Nadhani tunaweza kumchukulia kama comedian flani hivi! Yuko siriaz na kazi na anamaanisha anachokifanya tena kwa ujumbe wa kirafiki, lkn ni ujumbe unaowalenga wanyonge ambao hawajitambui! Hii kazi hata ustawi wa jamii baadhi yao hawazi kutupatia japo ndo wajibu wao. Hongera sana Mh. Rc Tabora. Kwa maoni yangu wewe ni kiongozi unajitambua na kujua mahitaji ya jamii unayoisimamia. Mungu akulinde wakati unatimiza majukumu yako!
@omarjumanne4471
@omarjumanne4471 5 жыл бұрын
Safi sana mkuu wa mkoa nakuunga mkono chukua hatua wanaume na wanawake pia hawatunzi watoto ni kweri kabisa
@mathazakayo288
@mathazakayo288 5 жыл бұрын
huwa nakukubar sana
@habibalkindy2811
@habibalkindy2811 5 жыл бұрын
nakukubali sana mkuu wangu was mkoa natamani uongoze tabora miaka 800000000000000
@ibrahimkhatibu4561
@ibrahimkhatibu4561 5 жыл бұрын
Hiki kipande cha mama unafungua au ni ingie nao nan anipe jamani😂😂😂😂😂😂
@dellasimulizi
@dellasimulizi 5 жыл бұрын
Mkuu wa Mkoa kiboko kabisa.
@fadhilynolasco7339
@fadhilynolasco7339 5 жыл бұрын
Kiboko huyu jamaa
@mohamedsaidmohamed8664
@mohamedsaidmohamed8664 5 жыл бұрын
Huyu mulimtoa wapi??...tunataka watu kama huyu bwana kila mji
@ablysonco8850
@ablysonco8850 5 жыл бұрын
Half Dada Adela hv zile simuliz zako ulizokuwa hukzsimulia enz zile za mwaka 2009 in passion fm kila weekend...nmezmis sana hem fanya huz upload in you tube ili tupate mafunzo maana dah nlikuwa nakufatilia sana...
@muhammedyusuph5105
@muhammedyusuph5105 4 жыл бұрын
Ntumie namba yako au ntafute 0654033141
@faridahhamza8704
@faridahhamza8704 5 жыл бұрын
Dahhh yaan mkuu itabidi nihame tanga nije tabora kuanzisha makazi kwa ajili ya kasi yko ya maendeleo nimeipenda sana
@faridamkesso97
@faridamkesso97 5 жыл бұрын
Safi sana Mwanri kwa kujali wananchi wako , hongera sana
@godlistenswai8955
@godlistenswai8955 5 жыл бұрын
Anapiga nguchu hahaaa
@faridamkesso97
@faridamkesso97 5 жыл бұрын
@@godlistenswai8955 yaani huyu Mwanri angekuwa mwalimu wanafunzi wangefaulu sana maana anambinu za hali ya juu kwa kufikisha ujumbe yaani ni kiongozi bora nampa 100 %
@godlistenswai8955
@godlistenswai8955 5 жыл бұрын
@@faridamkesso97 namuelewaga sanaaa
@kizitokasulamo9167
@kizitokasulamo9167 4 жыл бұрын
Mke wa mganga ni mnene utafikili behewa 😂😂😂😂😂😂
@badmanno.1650
@badmanno.1650 5 жыл бұрын
Pombe yenye darubini..walevi hawana maana kaabisa..nashangaa serikali zetu zimengangania bangi tu..Mwanri for president
@magynzioka1122
@magynzioka1122 5 жыл бұрын
😂😂😂wakenya tunakupendanga sana tu una chekesha but ni kweli
@franklusangulo4156
@franklusangulo4156 5 жыл бұрын
yuko poa and real
@magynzioka1122
@magynzioka1122 5 жыл бұрын
@@franklusangulo4156 like you see😂
@hassanisadiki824
@hassanisadiki824 5 жыл бұрын
Bx tutaandaa shooo huko Kenya ili mumuone vzr lkn kiingilio ni 2000ksh
@magynzioka1122
@magynzioka1122 5 жыл бұрын
@@hassanisadiki824 vile tuna mpenda tutaingia hata na zaidi ya izo mahana hakika hatufunza mengi kwanza ukiwa kiongozi unatakiwa uwe mtu tu wakawaida unongea kulingana na hasa matokeo halisi hanamengi mazuri ya kua kiongozi na kuingwa upenda kuva usika wake akiwa kazini kama mwanainji ujisusa thamni na kukaha kama wanaiji wake hakika kukiwa kama hawa kumi tazania itakua ulaya
@kilangodole4425
@kilangodole4425 5 жыл бұрын
oi natafuta mke mkenya hasa kutoka mombasa nimekuchek upo poa sana
@liobajoseph8255
@liobajoseph8255 5 жыл бұрын
😂😂😂mwanri mbavu zangu, we ni kiongozi safi Sana, maendeleo ya taifa yanaanzia ngazi ya familia
@pauloslegray7438
@pauloslegray7438 5 жыл бұрын
Lioba Joseph mungu amjalie maisha mazur
@shabanrajab313
@shabanrajab313 5 жыл бұрын
,
@ernestkaria5938
@ernestkaria5938 5 жыл бұрын
Mzee nakuelewaga sana.... Mlevi n kama mshenzi flanii HV.
@aluteharija9402
@aluteharija9402 5 жыл бұрын
Yup
@leonardkalage8591
@leonardkalage8591 5 жыл бұрын
zoo
@sylivestercouncellor7511
@sylivestercouncellor7511 5 жыл бұрын
hongera mkuu wa mkoa wa tabora
@Ba63828
@Ba63828 5 жыл бұрын
UNAONGEA BUSARA SANA I LOVE YOUR INTERACTION WITH THE PEOPLE JAMII IKUZDISHIE
@maxmilianjoseph8065
@maxmilianjoseph8065 5 жыл бұрын
Uteuzi wako umetukuka baba...Maneno yako ni hazina kubwa sana kwa atakayeyatafakari na kuyafanyia kazi...Mungu akubariki
@yosiamboya769
@yosiamboya769 5 жыл бұрын
Hakuna mkuu mkoa anaefanya kazi bora bila visasi kama huyuuuuu adumu mi aka yote
@filbertchulla9881
@filbertchulla9881 5 жыл бұрын
safi Sana MKUU Mungu akubariki sanAaa
@ufc-ultimatefightingchampi8456
@ufc-ultimatefightingchampi8456 5 жыл бұрын
God Bless you. you are hero
@margaretwambete1228
@margaretwambete1228 5 жыл бұрын
Kweli kiongozi.Okoa familia jameni.Asante .Mkenya from london.pongezi.
@denismabubu291
@denismabubu291 5 жыл бұрын
Hengera sana MKUU wetu from morogoro tz
@goodlackhabati4938
@goodlackhabati4938 5 жыл бұрын
kwel hawasikii wapashe
@m.amanitv8534
@m.amanitv8534 5 жыл бұрын
Duh Tabora mmepata kitu na Box Nawaonea wivu
@madadamadada1402
@madadamadada1402 5 жыл бұрын
Hahahaba
@freddymello3227
@freddymello3227 5 жыл бұрын
Huyu ni Mwalimu wa maisha zaidi ya kuwa mkuu wa mkoa.anachoongea ni zaidi ya elimu kwa familia zetu.ni wengi tunakosea! binafsi nashukuru kwa elimu hii uliyonipa mheshimiwa Mwanri.
@mbodzebemasika7477
@mbodzebemasika7477 5 жыл бұрын
😅😅😅😅duh lakini huyu baba ni mwema..tutako twa watt inje inje😭😭😭
@marystelaswai5174
@marystelaswai5174 5 жыл бұрын
🤣🤣😂😂😂
@salomebenson4491
@salomebenson4491 5 жыл бұрын
Hahahahaaa yan hapo nimeangua kicheko kam kichaa 😂😂😂😂😂😂
@emmanuelmoses8340
@emmanuelmoses8340 4 жыл бұрын
Nampenda san,mkuu wa mkoa wa TABORA kwa sabau ana wafanya watu kuwa ACTIVE WAKATI WOTE Aa namkubal san piga kaz mzee
@izdoryb.barnabas1794
@izdoryb.barnabas1794 5 жыл бұрын
Wewe ndo baba Wa mkoa kweli kweli!
@AbdullaAbdulla-pw5nd
@AbdullaAbdulla-pw5nd 4 жыл бұрын
Ww Mzee unayoongea yote mazima halafu ulivokiongozi mzuri 💯💯 huongelei siasa zile zakichama wewe unaonelea siasa ya kuielewesha jamii
@abdulkillya2655
@abdulkillya2655 5 жыл бұрын
Nakufaaaaa, kufa. Wee, wee, wee, nyamaza kabisaaa usiniambie maneno hayo😂😂😂
@vitalesmgenge6984
@vitalesmgenge6984 5 жыл бұрын
Mama Ana mlango unafungua au niingie nao? Pombe hio
@bilihaniadriano5757
@bilihaniadriano5757 5 жыл бұрын
😂😂
@edigerjoseph6565
@edigerjoseph6565 5 жыл бұрын
Vitales Mgenge hahahahah
@hechihechie5558
@hechihechie5558 5 жыл бұрын
Yaani sijui huyu baba alikuwa wapi!!!asante Mh raisi kumteua huyu !!!anasema u kweli japo anatuchekesha,Mungu akubariki sanaaaaaaa!!!
@emmanuelgabagendi4515
@emmanuelgabagendi4515 5 жыл бұрын
Kikwel mm nakupenda sana mze safi sana kanzi njema
@goodluckymanjala5062
@goodluckymanjala5062 5 жыл бұрын
Mke wa mganga wa kienyeji ni mnene kama behewa kuku mchezo?
@mdidiomari7351
@mdidiomari7351 5 жыл бұрын
Hah hah hah hah
@davidevarist6371
@davidevarist6371 4 жыл бұрын
Hongera sana RC tabora
@chibudangote4457
@chibudangote4457 5 жыл бұрын
Asante sana Mkuu wa mkoa genious
@deogratiusdominick3884
@deogratiusdominick3884 5 жыл бұрын
Uyu mzeee namkubali sana like nying kwako
@magehkihwele8274
@magehkihwele8274 5 жыл бұрын
Hahah kwenye kuingia na mlango hapo baba Anna acha t niamke nkufungulie😂😂😂😂
@asegelilemwambapa5976
@asegelilemwambapa5976 5 жыл бұрын
Nakufaaa. Kufaa Hahahahaha tabora yetu ya Toronto. Big up
@michaelmuriithi6808
@michaelmuriithi6808 5 жыл бұрын
Mheshimiwa RC..karibu Kiambu, Kenya...hapa wanatoa lock asubuhi..ndo aweze kuona ( sic!)..ulevi ni ushenzi.
@emanuelmwakarata9721
@emanuelmwakarata9721 5 жыл бұрын
Injinia soma iyo safi sana uko vizuri mzee
@elisonmalisa2169
@elisonmalisa2169 5 жыл бұрын
Akitumbuliwa huyu nahama Tanzania! 😀
@djamanitvonline3623
@djamanitvonline3623 5 жыл бұрын
Ngapiiii ukooo 😂😂😂😂🙏
@drjoshuamadundo8953
@drjoshuamadundo8953 5 жыл бұрын
Kiukwel huwa navutiwa sana na huyuu kiongoz
@yohanamagile7620
@yohanamagile7620 5 жыл бұрын
Hongera Sana mkuuu
@sophsoph4740
@sophsoph4740 10 ай бұрын
❤❤watoto hawawezi kula kipolo😂😂 nakupenda san babaangu naangqlia 2023
@noelbryson7840
@noelbryson7840 5 жыл бұрын
Walevi ni washenziii ( Hapa nakuunga mkono)..😂😂
@maombimpola5371
@maombimpola5371 5 жыл бұрын
namkubar xn
@catherineriwa6488
@catherineriwa6488 5 жыл бұрын
hahahhahahahaha🤣🤣🤣🤣aiseenomna Sana mke WA mganga mnene Kama behewa
@mtanzaniamzalendo7001
@mtanzaniamzalendo7001 5 жыл бұрын
Somo linaingia! Mwanri kiongozi safii
@shabanrajab313
@shabanrajab313 5 жыл бұрын
Natakapicha
@manenoalex7453
@manenoalex7453 5 жыл бұрын
sukuma ndani wooote
@silverjoseph4577
@silverjoseph4577 5 жыл бұрын
Big up Sana unajua kunifanya nicheke niwapo na hasira
@frankfiretz
@frankfiretz 5 жыл бұрын
Mzee wa sukuma ndaniiii,somaa hiyoooooooo Tisha Sana RC
@joachimhancemwakoba8283
@joachimhancemwakoba8283 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂oyee baba mkwe Mwanri
@rosekimario8259
@rosekimario8259 5 жыл бұрын
Daaah kweli huongei uwongo ni kweli kabisa hasa rombo ulevi umekithiri na hakuna kinachoendelea
@annachristopherokeno9387
@annachristopherokeno9387 5 жыл бұрын
Asante baba pigs kazi shuka nao Moja kwa moja
@phoebemmanga299
@phoebemmanga299 5 жыл бұрын
Mkuu una Kipaji cha UONGOZI. Hongera sana.
@banshbansh2329
@banshbansh2329 5 жыл бұрын
kweli kabisa tabora na mwanza waongoza kwa ulevi hawajali familia zao alafu wakorofi sana
@njeerysalum5862
@njeerysalum5862 5 жыл бұрын
jamanii naomba awe mkuu wamkoa arusha
@emanuelf.mwakimbu3048
@emanuelf.mwakimbu3048 5 жыл бұрын
Uyu anafaa mikowa yote
@asueddy1465
@asueddy1465 5 жыл бұрын
Weeeeeee aje Mbeya huyu
@calvinmaimu2955
@calvinmaimu2955 5 жыл бұрын
Njeery Salum aliwahi kuwa DC hapo arusha 1995 na baadae alienda kuwa mbunge wa hai ndipo alifanya juhudi za kupata wilaya ya siha akawa wa siha mungu amjalie akaifufue tabora iliokuwa imeanza kufa
@dorinmboya3770
@dorinmboya3770 5 жыл бұрын
Me pia natamani ingependeza
@kakazikwe2271
@kakazikwe2271 5 жыл бұрын
Njeery Salum we toka hapa, nyie c mnae mrixho gambo sjui?
@jumanguya9116
@jumanguya9116 4 жыл бұрын
Weee weeee Weee Nyamaza kabisa hahahahaaaaaaaa watoto wajamhur
@iddirashid8038
@iddirashid8038 5 жыл бұрын
hahhahaha et mlango utafungua au niingie nao😃😃😃😃😃😃
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 жыл бұрын
😂😂😂
@mahamudusaidi8070
@mahamudusaidi8070 5 жыл бұрын
Iddi Rashid napiga guchu
@oscarleizer404
@oscarleizer404 5 жыл бұрын
Nakubana kama clamp taaap 😂😂😂
@janethjustin5256
@janethjustin5256 5 жыл бұрын
Your My Best RC for sure 😘😘😘
@ronniebertin3563
@ronniebertin3563 2 жыл бұрын
Mzee una point
@luindamchwakanigee4811
@luindamchwakanigee4811 5 жыл бұрын
Mkuu Saluti Kwako
@samsonjoseph7320
@samsonjoseph7320 5 жыл бұрын
Tabia ya pombe ni kuahirisha matatizo yako Kwa muda. Mlevi ni mshenzi na mshenzi ni mtu yeyote ambae si msitaarabu.
@briannyiti208
@briannyiti208 5 жыл бұрын
Hiyo pombe ina darubini😆😆😆😆
@muammarghadaffi3554
@muammarghadaffi3554 5 жыл бұрын
No.1 on trending RC.......
@estamelejomah572
@estamelejomah572 5 жыл бұрын
tabora oyeeeeee wakileta mchezo swekelea mbali
@Crownvalz
@Crownvalz 5 жыл бұрын
Kama naiona nyimbo itakayotoka kwenye hii video...😂😂😂
@neema.shaoshao1361
@neema.shaoshao1361 5 жыл бұрын
Unanifuraisha sana maana unaweka msisitizo asiye kuelewa sukuma ndani
@Ambweneonlinetv
@Ambweneonlinetv 5 жыл бұрын
*_somaaaaaaa hiyoooooo_* 😂😂😂😂😂
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 5 жыл бұрын
*JIfanye kama unakuna kichwa* 😂😂😂
@Ambweneonlinetv
@Ambweneonlinetv 5 жыл бұрын
Saumu Hassan 😂😂😂😂😂😂😂
@Ambweneonlinetv
@Ambweneonlinetv 5 жыл бұрын
Pemba Tv injinia 😂😂😂😂
@nbfchisotta3749
@nbfchisotta3749 5 жыл бұрын
Unafungua au niingie nao?!!😂😂
@adamalibhai4921
@adamalibhai4921 5 жыл бұрын
Aggrey ameongea ukweli halisi kabisa wa tanzania
@josephmakyao1095
@josephmakyao1095 5 жыл бұрын
Mkuu unanipa matumaini ya uongozi bora ktk nchi hii mm naomba mkuu wa nchi akupeleke tamisemi ili hzo juhud uzifanye nchi nzima mungu akubariki sana
@erastojacob17
@erastojacob17 4 жыл бұрын
Wewe ni kiongozi wa kweli.
@kimbokageorge2646
@kimbokageorge2646 5 жыл бұрын
Wachagga wajanja Tanzania 1.Rc Aggrey mwanri 2.George mushi kimboka
@officialjclever9879
@officialjclever9879 5 жыл бұрын
Kama umesikia bam bam gonga like
@valentinamussa4212
@valentinamussa4212 5 жыл бұрын
Urevi ni adui wa maendeleo,jamani shenzi kabisa walevi
@amosamos6078
@amosamos6078 5 жыл бұрын
Salute kwako mkuuuuuuuu
@popperkuch669
@popperkuch669 5 жыл бұрын
Mh salute kwako
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 5 жыл бұрын
Ninakukubari sana mzee kwakweli Ongera ninatamani na mimi niwe kama Kiongozi kama wew aisee safi sana
@bensonndendya9556
@bensonndendya9556 5 жыл бұрын
Mama ana huu mlango unafungua au niingie nao
@aloycayubu24
@aloycayubu24 5 жыл бұрын
Namwelewa sana huyu dingideee ahahaah🤣🤣🤣🤣🤣
@iffahbahet1499
@iffahbahet1499 5 жыл бұрын
Mama ana huu mlango utafungua au niingie nao
@amourjustine925
@amourjustine925 5 жыл бұрын
Huyu ndio mwanry bhana na mpya ya 2019
@bashiryusuph6750
@bashiryusuph6750 4 жыл бұрын
daaah mzee agree tutakuona wp tenaaa aaah sukumandani
@diluxjulius3306
@diluxjulius3306 5 жыл бұрын
Mmmh!!!! Respect 2u RC
@lawmaina78
@lawmaina78 5 жыл бұрын
Hahaha huyu lazima alipitia matatizo sana zama zile, yaani anajua kila kitu.
@marystelaswai5174
@marystelaswai5174 5 жыл бұрын
Hajapitia shida kabisa ndgu ni kiongozi bora tu,namjua tangu kale sanaaaaa
@lawmaina78
@lawmaina78 5 жыл бұрын
@@marystelaswai5174 Lakini anaonekana kufahamu mambo mengi ya maisha ya kawaida.
@estamelejomah572
@estamelejomah572 5 жыл бұрын
nikweli kabisa mkuu wa mkoa wanawake wanapata tabu kulima mwaka mzima mnapopata pesa wapo wanaokula swekelea mbali
@yosiamboya769
@yosiamboya769 5 жыл бұрын
Huyundo Kiongozi wa nchi tunae mhitaji hataakiwa raisi nitampa kuraaaa
@oman3527
@oman3527 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🏃‍♂️✌nimecheka mbayaaaa
@youngchuda1568
@youngchuda1568 Жыл бұрын
Daaaah nchi imekosa furaha inateseeka na tozo watu kama hawa saiz hawapo
@sayimabulla9828
@sayimabulla9828 5 жыл бұрын
Hongera sana kiongoz
@alikarisa
@alikarisa 4 жыл бұрын
Safi sana Mwaniri🤣🤣🤣🤣
@dianamadege1703
@dianamadege1703 5 жыл бұрын
Ameongea point sana walevi kweli ni washenziiii
@annaelias4807
@annaelias4807 5 жыл бұрын
asante baba
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 4 жыл бұрын
Mlevi ni Mtu Hana maana Gonga like.
@ablysonco8850
@ablysonco8850 5 жыл бұрын
Angekaa T.R.A...kma kiongoz Mkuu...Ingekuwa saf sana...hak ingeonekana...
@josephattesha2929
@josephattesha2929 5 жыл бұрын
Tunapenda unavo ongea Mungu akubark katika uongoz wako mkuu wa mkoaa
@innomallya8741
@innomallya8741 5 жыл бұрын
umeongea point mzee. pombe inamaliza matatizo kwa mda tu, ukiamka j tatu unakuta majukumu yapo palepale yanakusubiri
@lekinyimboreti752
@lekinyimboreti752 5 жыл бұрын
Gooder sana Mkuu
MKUU WA MKOA TABORA, AGGREY MWANRI, ALIVYOONGEA KIINGEREZA.
5:26
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 8 МЛН
RC MWANRI Kasalimu AMRI kwa MAMA Huyu "Jifanye Unajukuna"
4:24
Global TV Online
Рет қаралды 173 М.
RC MWANRI TENA - "Fukuza kazi wote, Weka Kwenye Lori Sukuma Ndani"
7:13
Global TV Online
Рет қаралды 249 М.
RC MWANRI AMVUNJA MBAVU MAGUFULI - "Eeh MUNGU Wee, ARDHI INALIA"
4:54
Global TV Online
Рет қаралды 198 М.
"MZEE WA SUKUMA NDANI"  AJA NA MAPYA MBELE YA RAIS
4:53
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 44 М.