MATESO YA FAMILIA - IV (MAOMBI YA UDONGO) - PASTOR SUNBELLA KYANDO & PASTOR JOHN SEMBATWA

  Рет қаралды 31,739

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

Күн бұрын

Пікірлер: 61
@magretochumbo2632
@magretochumbo2632 2 жыл бұрын
Mimi ni Margaret kutoka busia pastor umenibariki sana naomba ubariki kizazi changu kutoka laana ya ukoo
@kayitarecharles6993
@kayitarecharles6993 5 ай бұрын
Kwa jina la YESU aliyekufa akafufuka najinasua kwa madhabahu za vizazi vya baba mzazi na vya kwa upande mwingine wa mama mzazi na laana za ukoo wa kwetu 🙏🇷🇼👏👏👏🇷🇼
@ibrahimambilikilemalema1956
@ibrahimambilikilemalema1956 Жыл бұрын
Somo zuri sana nimebarikiwa Kuna maswali nilikuwa najiuliza nimepata majibu...
@kayitarecharles6993
@kayitarecharles6993 5 ай бұрын
Amen asante mtumishi wa Mungu tunampokea kwa jina la YESU 🙏
@rosemarywanja3339
@rosemarywanja3339 3 жыл бұрын
Haya ndio napitia nikienda mbele navutwa nyuma.nimekombolewa leo.mungu akubariki mtumishi
@JacklinaJeremaya-jb3zw
@JacklinaJeremaya-jb3zw Жыл бұрын
Ni kweli jaman ardhi ni yakuombea sanaa wapendwa tangia nimetoka nyumban tanzania mpaka Sasa uku nilko sfanikiw nakonda mwili nisaidien Jaman
@chikuamedeus8700
@chikuamedeus8700 6 ай бұрын
Najiombea na Mimi baba kupitia maombi haya umbali hauzuwiliw na kitu amini tuu baba naomba mkono wako kwangu na family yangu komboa udongo wa ukoo Wetu kila laana inayo nifanya mpk sasa sijapata ndoa baba najikomboa na laana najifungua na vifungo wanavyo nifunga naomba baba mambo kwangu yaanze kunyooka 🙏🏼🙏🏼
@petermunuo1657
@petermunuo1657 Жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@musondakapwepwe3632
@musondakapwepwe3632 2 жыл бұрын
Nami naomba bwana ukomboe ardhi ya kwetu kwa rehema Zaki bwana ninaomba amin
@petermakenzi3051
@petermakenzi3051 2 ай бұрын
Mtumishi na barikiwa sana na mahubiri yako ijapo niko nawakati ngumu ila na imani nitachipuka tena kwa jina la yesu kristo
@Ellinadot
@Ellinadot Жыл бұрын
Lord , I am grateful for your mercy and favor in my life.
@noellyamuya3844
@noellyamuya3844 2 жыл бұрын
Namshukuru MUNGU AIIEHAI ANATENADA HATA SASA
@bienvenupaluku5262
@bienvenupaluku5262 2 жыл бұрын
Niko Congo ubarikiwe sana mtumishi
@jeanbaptiste5512
@jeanbaptiste5512 3 жыл бұрын
Powerful message pastor be reblessed. I received mine 🙏🙏🙏. From Burundi
@jerubetjoan20
@jerubetjoan20 2 жыл бұрын
Asante Mungu aliyenileta hapa,kuanzia leo ardhi ya kwetu itatapika yote iliomeza.
@magrethmwalongo6331
@magrethmwalongo6331 2 жыл бұрын
Najiunganiasha na neema hii! Asante yesu
@elishasoka6692
@elishasoka6692 2 жыл бұрын
Nmekombolewa kutoka kwenye taratibu za asili na madhabahu za ardhi ya kwetu kwa damu ya Yesu.
@gabrielwafula4382
@gabrielwafula4382 2 жыл бұрын
Be blessed the servant of God,, actually you have blessed ma 💕💕 with this word of God
@gabrielwafula4382
@gabrielwafula4382 2 жыл бұрын
It has forced me to download it,,very healing ma heart
@isabellaluhombo2289
@isabellaluhombo2289 Жыл бұрын
Truely God is alive and he delivers
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 2 жыл бұрын
Eee Mungu nami naomba ardhi ya nyumbani kwetu itapike kila kilichowekwa na hao wachawi wanaoitesa family yetu.
@carolinemaluli2239
@carolinemaluli2239 3 жыл бұрын
Kwa damu ya Yesu najitenga na mizimu upande wa baba,mama na mume. Nafuta mikataba yote kwa damu ya Yesu!
@lilianmollel5355
@lilianmollel5355 3 жыл бұрын
MUNGU wa mbinguni awabariki sana sana na azidi kuwatunza kwaajilia ya watu wake ❤️🙏🏾
@siahernest7646
@siahernest7646 3 жыл бұрын
Nimeangalia online na nguvu za Mungu zimefika hadi nilipo. Uwepo wa Mungu umekuwa halisi sana. Asante Yesu kwa kutufungua kutoka katika vifungo vyote tulivyokuwa tumefungwa kama familia. Tumepokea urejesho wa kila kilichoibiwa na adui katika jina la Yesu, Amen.
@happymathew7414
@happymathew7414 2 жыл бұрын
Hakika kuna Mungu aliye hai katika hii madhabahu
@tatukadope7213
@tatukadope7213 2 жыл бұрын
Ameni
@gloryrestorationministrygr6374
@gloryrestorationministrygr6374 2 жыл бұрын
Yesu yu hai
@blessedtumaini516
@blessedtumaini516 3 жыл бұрын
Asante Mungu Baba kuniokoa na kuniponya na vyote viovu vya aridhi ya kwetu. Nimepokea katika nguvu ya Roho Mtakatifu na uthibitisho mwingi katika jina la Mungu Baba Mwana na Roho Mtakatifu. 1WATHESALONIKE 1:5. MBARIKIWE WATU WA MUNGU. Amina.
@mhamdahmd7758
@mhamdahmd7758 3 жыл бұрын
Mungu wabariki watumishi hawa
@naimakaguo3773
@naimakaguo3773 3 жыл бұрын
Eeeh Mungu nitengamanishe na madhabahu ya kwetu.. nikuone ww tu. Ili kila nachofanya kichomoke kwa speed bila kurud nyuma🙏
@esthermliga4875
@esthermliga4875 2 жыл бұрын
Nami Yesu naomb ukomboe ardhi ya kwetu na ukoo wetu, naomb rehema zako Mungu kwa yote waliyotenda, na nayafuta maagano yote kwa Damu Ya Yesu ya Thaman, ardhi itapike kila mema ya kwetu ktka familia yang kwa jina la Yesu, Mbariki na mtumishi wako kwa verypowerfull massage, Amen amen amen
@albertndululu3385
@albertndululu3385 2 жыл бұрын
Hi to
@jacquelinekamachira5127
@jacquelinekamachira5127 7 ай бұрын
Ilo ndilo ombi langu pita pastoral sunbella. Mungu anisaidiye baba🧎‍♀️🧎‍♀️🧎‍♀️
@susannamatinde4813
@susannamatinde4813 3 жыл бұрын
True man of God when i changed church to a church which pray atrue God all my business collapsed i can't even feed myself
@bennamuchau6487
@bennamuchau6487 3 жыл бұрын
USINIPITE MWOKOZI... I CONNECT WITH THIS HIGH ALTER.. IN JESUS MIGHTY NAME... WACHILIE UKUU WANGU 🙌🙌
@evangelist_gaitani
@evangelist_gaitani 3 жыл бұрын
Baba natamani Sana tuonane situation ninayopitia ni ngumu sana
@janethjoseph368
@janethjoseph368 2 жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeeeen!!! Asanteeee Yesu kwa kuniponya na kunifungua na kunitoa kwenye mikono ya madhabahu za ukooo!!!
@Godisgreat20243
@Godisgreat20243 2 жыл бұрын
Amen
@tumpedaudi6681
@tumpedaudi6681 3 жыл бұрын
Haleluuuuuya Ahsante Yesu wangu mzuri, ahsante kwa kunifungua mimi na ndugu zangu, ninakupenda Yesu wangu Ubarikiwe Baba yangu mwema Abarikiwe Mtumishi wako
@hilgathsanga7241
@hilgathsanga7241 2 жыл бұрын
Pop
@angelngoye4910
@angelngoye4910 3 жыл бұрын
Mungu amenikumbukaa🙏🙌
@hakiufunuo5353
@hakiufunuo5353 3 жыл бұрын
Amen kubwa mchungaji, Mungu azidi sana kukuonekania.
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 2 жыл бұрын
Amen Amen
@mkamimirumbe9427
@mkamimirumbe9427 3 жыл бұрын
Bwana yesu anatenda
@victorvicent6036
@victorvicent6036 2 жыл бұрын
It's real
@isabellarkageha7707
@isabellarkageha7707 2 жыл бұрын
Amen and Amen
@edinahndege6314
@edinahndege6314 3 жыл бұрын
Hope everything in him... He is v powerful.
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 3 жыл бұрын
Kongwa kongwa Hapana kwa kweli lina tesa Munooo
@dorcusloy4773
@dorcusloy4773 3 жыл бұрын
Ameeen,Mungu akuinue zaidi
@annstersianganga6772
@annstersianganga6772 3 жыл бұрын
Connected thank God I have not missed
@ericajohnkayinga4176
@ericajohnkayinga4176 3 жыл бұрын
God is great my life depends on him
@irakozeshakiru1131
@irakozeshakiru1131 3 жыл бұрын
Amen
@Miriam84Akizimana
@Miriam84Akizimana 2 жыл бұрын
Amen 🙏❤️
@jacksonsongo7105
@jacksonsongo7105 3 жыл бұрын
Hakika Mungu tukumbuke na sisi
@mauwashomari8160
@mauwashomari8160 3 жыл бұрын
Eh yesu sisi ambao tuko uku America utuponye kwarehema zako, kwasababu uku tuna ingiya namatatizo yetu natuna toka nayo,
@louisendunguru7106
@louisendunguru7106 3 жыл бұрын
🙏
@edwinrobert9812
@edwinrobert9812 2 жыл бұрын
Rŕfdèeŕ2eeeeerfggggggggggttttttttrrrrtggggggffgggffffgffffgggggfgģfģytghfvgfgggggvgvvvgkom5ukmukukfikkt3in
@annakomba825
@annakomba825 3 жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻
@salumsamesame1741
@salumsamesame1741 3 жыл бұрын
Amen
@swigaray3151
@swigaray3151 2 жыл бұрын
Amen
@faithmakena9988
@faithmakena9988 2 жыл бұрын
Amen
MATESO YA FAMILIA - VI (MAOMBEZI)- PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:35:59
Reality of Christ Church
Рет қаралды 19 М.
MITEGO YA ADUI KATIKA ULIMWENGU WA ROHO (NYAVU) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:28:49
Reality of Christ Church
Рет қаралды 59 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
JANUARY 26 2025 MIDNIGHT PRAYERS TOTAL RESTORATION & OPEN DOORS
1:39:41
Official Gospel TV
Рет қаралды 12 М.
KUPAMBANA NA ROHO YA AIBU NA FEDHEHA ||  PASTOR GEORGE MUKABWA || 15/01/2024
1:22:16
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 24 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: KIVUKO CHA FAMILIA/FAMILY FERRY
1:41:06
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 52 М.
NGUVU YA MAOMBI - MCHUNGAJI MAGDALENA JOACHIM - JPMC
1:06:48
Meggy Valentine
Рет қаралды 22
HAUTAAIBIKA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
55:05
Reality of Christ Church
Рет қаралды 75 М.
KUVUNJA LAANA YA UMASKINI - PR  DAVID MMBAGA (OFFICIAL VIDEO)
59:14
UCHUMI HAUKO KWENYE VITU, UCHUMI UKO KWENYE NYAKATI || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:
11:06
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 150 М.
SOMO - Vita vya kiroho 09-08-2020 |  FULL VIDEO HD
1:32:59
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 24 М.
FINANCIAL TRANSFORMATION  (DAY 1 ARUSHA) - Pastor Sunbella Kyando
59:38
Reality of Christ Church
Рет қаралды 17 М.
NAMNA YA KUSHUGHULIKIA UCHAWI BILA KUPATA MADHARA (III) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:03:52
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН